NJIA 5 ZA KUISHI NA MTU MKOROFI (kutambua Mtu Mkali, Mwenye Hasira) | LENZI | Teacher Gonza

  Рет қаралды 3,932

LENZI

LENZI

Күн бұрын

Watu wengi wamejificha nyuma ya ukali wao. Wameficha madhaifu yao nyuma ya ukali unaoonekana kwa watu wengine. Wata hawa wanaweza kuwa wazazi, wenza, wenye nyumba au wakubwa wetu wa kazi (mabosi)
UNaweza ukakuta anagombana na watu au mara nyingine kuwatoa kauli za vitisho kwa jambo dogo sana lengo lake likiwa kuwafanya watu hawa wamtii na kumheshimu.
Waathirika wa hii hali wamejikuta katika mazingira magumu ya kushindwa kabisa kufanya kazi au kuishi na watu wengine.
Jinge na Teacher Gonza kupitia kupitia channel ya ‪@lenzi.michaelkamukulu‬ ili ujifunze na uweze kujua sababu zilizoko nyua ya ukali na ukorofi wa baadhi ya watu. Pia utajifunza kuhusu jinsi ya kuishi na watu wa namna hii.
Ukishawajua basi utapata namna sahihi ya kudeal nao bila wewe kuingia kwenye mgogoro nao.

Пікірлер: 5
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Tupo wengi lakin mie ni kidog hasir inaisha ila ukizidisha ibada itapunguw hasira mie yakwangu inaishia
@frankjonas7704
@frankjonas7704 8 ай бұрын
Haujatoa sasa njia namna ya kufanya ili kuepukana na Mtu mkorofi yaani umeelezea jinsi walivyo wakorofi
@irene3abi123
@irene3abi123 11 ай бұрын
Hapo maha pa kuweka vitu moyoni ni mimi Nifanyeje
@adidjaAlfonse-zh5yk
@adidjaAlfonse-zh5yk 11 ай бұрын
Daaaaah nikwl mm nayapitia san ayo
@teachergonza2841
@teachergonza2841 11 ай бұрын
pole.sana ndugu yangu.. tunapita ili tujifunze na kuimarika. basi ukishayajua fanyia kazi unayoweza kuyaacha au ukanitafuta nikakupa ABC za kufanya kushinda hiyo hali unapitia..
NGUVU YA KUFANIKIWA KWA HATUA NDOGO KILA WAKATI
4:53
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 444
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Njia ya Kuchagua Watu wa Kushirikiana Nao Kwenye Utafutaji
5:01
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 541
MJUE MWONGOZA NJIA WAKO
1:18:22
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 158
Mifumo ya mazingira inavyo athiri maisha
4:52
Elias Mwinuka
Рет қаралды 136
Fahamu WATU 5 Unawaohitaji kubadilisha Maisha na kupata Mafanikio
4:00
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 631
Jinsi ya Kuchagua Watu Sahihi Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio
2:54
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 827
BADILI UPEO UPATE MATOKEO ZAIDI KWA KUJUA TOFAUTI KATI YA KUPIGA HATUA & KUPANDA NGAZI
3:36
SIRI 5 MUHIMU ZA KUISHI KWA UHURU
2:01
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 28
Waliofanikiwa Wanaficha Maisha Yao (Huu Ndio Ukweli Usioonekana)
2:43
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 1,2 М.
Jiulize Umefanya Nini Jana kwa Ajili ya Kesho Yenye Mafanikio?
2:24
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 366
NI NANI ANAKUSHAURI?
3:24
LENZI Mindset | Michael Kamukulu
Рет қаралды 266
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН