Kutoka kwa Hafswa bint Omari bin Khattwabi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Atakayemuendea mpiga ramli akamuuliza kuhusu lolote, akamsadikisha, haitokubaliwa kwake swala yoyote siku arobaini". Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim
@maejorhazali95202 ай бұрын
Shirki imekatazwa kwetu waislamu kwa wenye kuamini kuwa Allah ni 1 na Mtume Muhammad S.A.W
@MaalimuMustwafaАй бұрын
Kabisa
@avascouldnt33802 жыл бұрын
From 🇰🇪 kenya, thank you so much. Mafundisho mazuuuri sana
@nkeshimanamohamed80992 жыл бұрын
Acha ushikina soma nguzo za iman
@avascouldnt33802 жыл бұрын
@@nkeshimanamohamed8099 kajifunze kuandika vizuri kwanza
@avascouldnt33802 жыл бұрын
Wewe kilichokufikisha kwa hii chanel ni nini
@MAALIMish Жыл бұрын
Most welcome
@DerickLibrary3 ай бұрын
Nimeanza leo kufatilia Chanel yako upo vizuri
@Nsindi552 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 maokoto ayoooo
@silver-sp8co Жыл бұрын
Muogopen mung achen shirk
@MAALIMish Жыл бұрын
Waijua SHIRK kilugha na kishria ww!! 🤔 Njoo huku +255 713 351 781
@mswakisaid23204 ай бұрын
@@MAALIMishHana ajualo huyo ni kukurupukia mambo tu kichwa kichwa
@walkingspringsab-wi9vb Жыл бұрын
Nauliza swali .jina la kwanza ni Lile la kupewa ni wazazi ,au la kubatiza .kama vile peter . James .shukran
@mohammedndirangu6081 Жыл бұрын
lile umepewa na wazazi
@SaintNjuguna11 ай бұрын
@@mohammedndirangu6081Shukran ata mie hujiuliza hili swali
@khadijaangore44083 жыл бұрын
Waalykum.msaalam waramatulah wabarakatul. samahani maalim mm sielewi
@mamuwilliam46542 жыл бұрын
Naomb nijue
@mdumbemalongo45182 жыл бұрын
Muogopeni ALLAH .....HUU NI USHIRKINA NYIE ....MSIUNASIBISHE NA UISLAM.......ACHENI KUTUKANA DINI HII TUKUFU NYIE WALOZI....NJAAA INAWEPELEKA PABAYA SANA JAMAAAA
@MAALIMish Жыл бұрын
Mbona hamleti hujja zenu huku +255 713 351781.
@myself412811 ай бұрын
aloleta Uchawi ni nani kama sio Allah???
@anyeresa9287 ай бұрын
Hakuna hoja hapo ..shirki hiyo
@kingmansa77039 ай бұрын
Mm mizani yangu ipo tofauti na yako
@PropertySalkiojr8 күн бұрын
Naomba kuwe na Graup wahtissap sheigh
@AhmadSalimu-fo5it4 ай бұрын
Assalaam alaykum wallahamatullah wabarakatu
@barutithemigambo9 ай бұрын
Nataka kufahamu kuna dada nataka kumuowa nifanyeje
@josepharmandus76395 ай бұрын
vp kusu kazi inakuwa
@walkingwaters9721 Жыл бұрын
Shukran sana mwalim .naomba msaada wako .kama majina yangu ni ....Shaki juma bogoro ,,asili yangu nii IPI .shukran
@MariamNgunde-ky7rl Жыл бұрын
Hewa
@GodfreyMwamasoАй бұрын
Moto na hewa wanaweza kuoana?
@GraceFrank-w3s27 күн бұрын
Hamuwez kuixhi
@subulus_salaam20232 жыл бұрын
Acheni shirki nyie jifunzeni TAWHEED
@akhimansurtv15682 жыл бұрын
Jamani wew nishehe ila unatufundisha ushirikina nin umekusudia
Huyu ni mshenzi au ni sheikh...Sheikh gani anayetaka kuwatia watu kwenye shirki,,,,pumbavu mkubwa huyu...Sheikh wa kweli hajishughulishi na wala hafundishi watu ushirikina kama huu.
@saidalhabsi6485 Жыл бұрын
Acheni kuleta mambo ya ushirikina katika dini unasema kumvuta mpenzi wako ili iweje, Mkazini sio au niaje