"NJOO TUMALIZANE, SINA RUSHWA, NI MHUJUMU UCHUMI" BILA WOGA MWANANCHI ABISHANA NA MAKONDA

  Рет қаралды 99,186

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 10 ай бұрын
Jamaa anajua kujieleza
@QueenethNcube
@QueenethNcube 10 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kazi ni ngumu kweli kweli na hekima kubwa sana kama Mfalme Selemani
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 10 ай бұрын
Duu this is Tanzania, Mungu atujalie sisi
@adamumyala-js9fh
@adamumyala-js9fh 10 ай бұрын
Makonda fanya kazi watanzania tuko pamoja endelea kumusaidia mama
@zamoyonikamazi2918
@zamoyonikamazi2918 10 ай бұрын
makonda saiv nampenda sasa kiukwel kaka angu fanya kazi
@komboomar8275
@komboomar8275 10 ай бұрын
Jamaa anajielewa
@josephsisa8139
@josephsisa8139 10 ай бұрын
Nikweli kabisa wezi saana hao ata mimi nilisha wahi kuzurumiwa
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 10 ай бұрын
Matatizo ni mengi sana
@sebastianmsilikale4683
@sebastianmsilikale4683 10 ай бұрын
Makonda big up. Ila mwambie mama aachane na akina nape na makamaba! Si wazalendo
@leonardkinanda3284
@leonardkinanda3284 10 ай бұрын
Mr.Paul Makonda ulindwe sana na Mungu! Mimi nakuona mbali sana! Nitaheshimu kila ukifanyacho! Haijalishi watu wanasemaje!
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 10 ай бұрын
UYU JAMAA YUKO SMART SANA
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 10 ай бұрын
Angekuwepo magufuli wangetumbuliwa faster
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 10 ай бұрын
Maovu nimengi sana tena.
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 10 ай бұрын
Muongeaji nakupa big up naomba namba yako ili tushee ujasiri
@daslamonline4665
@daslamonline4665 10 ай бұрын
Wafutwe kazi chap
@SalminMkwachu
@SalminMkwachu 10 ай бұрын
yaani hawa ni wale wenye moyo wa kusimama mbele ya watu na kusema. sasa fikiria watu wasio na uwezo huo na hawana pa kustakia. hi nchii hiii.
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 10 ай бұрын
Napata raha sana namkumbuka na magufuri au ndio wewe unatuficha
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 ай бұрын
Watu wanapoteza pesa ya serikali sanaa Tu na wakizurumiana wanatafuta vitu vya ovyo ovyo tu
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 10 ай бұрын
Mimi naaona mgihe nihuyo bibi kajibadilisha kua bibi mbona ana achama sanaa huyo bibi wamchunguze atakua nihuyo bibi😂😂😂😂😂😂
@amosdaniel1327
@amosdaniel1327 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr 10 ай бұрын
Nasema Tena, makonda wamempa mtego mkubwa, sidha Kama ishu Kama hiz kuzitatua yeye, nakubali kabxa nimchapa kazi, nimzalendo kwa Taifa lake, lakini bila sauti ya mama hakuna lolote, ndo maana inafika sehemu yeye mwenyewe anakosa la kusema na kutoa maamuzi sahihi
@justinemagige1439
@justinemagige1439 10 ай бұрын
Hapo hana hayo mamlaka je akiwanayo? Unajua kuna mawaziri au wabunge hawawezi kabisa kutatua changamoto za wananchi? Kutatua changamoto ni lazima ujitoe na usiwe mbinafsi.
@selemaniselemani591
@selemaniselemani591 10 ай бұрын
Alafu utawasikia vijana mjiajiri daahhh noma sana
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 10 ай бұрын
Walengwa ni wengi sana waliokinywea kikombe bila sababu ,wacha tumngoje Bwana zamu yangu inakuja ya kuwaumbua watesi wangu🙏🙏🙏🙏🙏
@johnrambo9642
@johnrambo9642 10 ай бұрын
Jamaa anaeleza vzr kama mt wa sisteam
@361NEWS
@361NEWS 10 ай бұрын
Duh🙌🙌🙌
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 10 ай бұрын
Ccm imeoza haya mambo hayawezi isha,tatizo ni ccm mbovu
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 10 ай бұрын
Tatizo sio CCM tatizo ni sisi baashi yetu Watz tumeondoa utu kabisa na kuangalia maslahi binafsi sasa hata ulete Chama gani watu ni sisi sisi ndio tutakuwa wafanyakazi wa Serekali yoyote ya Chama Chochote
@huldamichael4445
@huldamichael4445 10 ай бұрын
Daaah jamaa anajieleza hadi raha😂
@osmansalim172
@osmansalim172 10 ай бұрын
Yaani huyu bro namkubali sana lakini tunamuomba kiongozi mwenezi wa chama Aje KITETO HAPA NDIO KUNA MAJANGA
@SurprisedAtom-vp5qe
@SurprisedAtom-vp5qe 10 ай бұрын
Mweezi tunakuomba uje KITETO yaan huku kuna kitu kinaitwa WMA hiyo ni chachu ya maisha ya wana kiteto uje utukomboe mkuu
@zuhurahaikosi9523
@zuhurahaikosi9523 9 ай бұрын
Makonda. Ulikuwa. Wapi WEWE,. Fanya. Kazii. Msaidie. Mama. . Nakupenda Sana. KWA. Kweli tupo pamoja. Babaaaa. CCM. Oyeeeeeeeeeeeeee
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 10 ай бұрын
Ziara ya Makonda inazidi kuiua ccm. Migogoro ni kila kona ya nchi na ambayo inasababishwa na watendaji kwa dhuluma na tamaa iliyopitiliza. Dawa ya yote haya, ni kuitupa ccm vichakani na kuleta utawala mpya wa majimbo. Katiba mpya na tume huru ni muhimu kuliko cho chote kwa umma. Makonda hawezi hii ngoma, hata akizunguka usiku na mchana. Kwa sasa anatuonesha ukubwa wa tatizo serkali ya ccm kudhulumu na kuonea w/nchi kila kona ya Tz. Ccm haifai tena, bora asitishe ziara hii, asiendelee kututia machungu kwa dhuluma hizi za kutengeneza tatizo, kisha kulitatua 0.000000005%.
@chire4574
@chire4574 10 ай бұрын
Makonda ana jizoelewa umaarufu mkubwa
@peterhelpeterluena9191
@peterhelpeterluena9191 10 ай бұрын
CCM imekwenda kutatua kero. Ninyi endeleeni kuandamana nchi nzima
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 ай бұрын
​@peterhe 0:00 lpeterluena9191 yaani we ndo unajielewa umaskini wako ni mkubwa sana,una umaskini wa fikra ufahamu na akili
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 10 ай бұрын
Acha wivu mazee
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 10 ай бұрын
Mama samia sisi tunashukulu kwa kutupa makonda na kutatua kero za wananch hii inatuonesha uharisia wa ccm kua n chama cha kutetea wanyonge na kunamajiz yanatakiwa kuchukuliwa hatua baba makonda naomba uskate tamaa na mngu akulinde wapinzan acha waisome namba
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 10 ай бұрын
Na hizo dhulma si huko tu ni Nchi nzima, hao maafisa adhabu ndogo kabisa ya kupewa ni kuachishwa kazi Mkuu.
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 10 ай бұрын
INATIA UCHINGU. INCHI IMEOZA INAHITAJI KIONGOZI MAHIIRI KUIRUDISHA KWENYE MSTARI.
@osmansalim172
@osmansalim172 10 ай бұрын
Hii serikali inaibiwa sana KIONGOZI TUSAIDIE , MAMA ANAKUAMINI SANA NJOO KITETO UWAONE WASABABISHA MATATIZO YA MIGOGORO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA
@EdsonOmbeni
@EdsonOmbeni 10 ай бұрын
Mm kwa maoni yangu naona hii nchi kila mtu ni mwinzi kwa nafasi yake wengi wao wanajilia wenyew
@RobertSamwely
@RobertSamwely 10 ай бұрын
Jembeeeee la kwely
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 10 ай бұрын
Hakuna takukuru hakuna nini.rushwa kwa kwenda mbele.
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 10 ай бұрын
Ihi nchi kuna maeneo ina watu wa ovyo ovyo wanaendekeza njaa wanazani utajiri watakufa watazikwa nao aisee!!kwanini mlizike na mnachopata aisee
@yordanyona1234
@yordanyona1234 10 ай бұрын
Huyu jamaa anafaa kuwa Kiongozi
@ishengomanelson
@ishengomanelson 10 ай бұрын
Tough questions for small boys.
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 10 ай бұрын
Takukuru na Watendaji ni Familya Moja Ukiambiwa Toa Wewe toa tu Ukileta za kuleta Uta Shung’ulikiwa kama unavyo shung’ulikiwa tu
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 10 ай бұрын
Watendaji wa jinsi hii ndo wanakiua chama.pigeni chini hao.serikali isiwafumbie macho.
@TwikaleDldm
@TwikaleDldm 10 ай бұрын
Kazi ipo....hapo ndo unanikumbuka magu kwa maelezo ya huyo jamaa sizani Kama wangebaki salama
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 10 ай бұрын
Mpe huyo bibi kidogo aongee
@valenakomba7686
@valenakomba7686 10 ай бұрын
WATANZANIA WANAZAMBI SANAAA KWA KWELI . YAANI KAZI KUNYANYASANA TUUU.
@ondaomari6255
@ondaomari6255 10 ай бұрын
Huyo huyo awe afisa wa takukuru.
@joeljames8420
@joeljames8420 10 ай бұрын
Takukuru imeoza
@MoJunior-n5o
@MoJunior-n5o 10 ай бұрын
Karibu Dsm kumeoza kiatu Cha marehemu wamekususia utapasuka kichwa siasa siyo kufunika hoja hizo njoo Dsm.
@abdulayoub8233
@abdulayoub8233 10 ай бұрын
Makonda nakubali sana
@psj1564
@psj1564 10 ай бұрын
CCM INA MADUDU MENGI AKUNA WAKUMUELEZA UKWELI
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 10 ай бұрын
Nchi hii walio soma ndio wanaoipiga wamejimilikisha inauma sana
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 10 ай бұрын
Makonda unakazi ngumu,unafukua makaburi ya wafu, pambana umetumwa na mama Samia,mwenyekiti taifa, watanzania wako nyuma yako, pambana iokoe hii nnchi
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 10 ай бұрын
hii nchi hii dah
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 10 ай бұрын
Hi Ziala Nzuri Sana Kama Wenye Kutoa Malalamiko Haki Zao Na Makosa Yao Yatakua Kwenye Msitali Vinginevo Ni Kukipunguzia Ubola CCM Kama Malalamiko Ayatafanyiwa Kazi Mana Kwenye Uchaguzi Wapinzani Wanaweza Kuwatumia Hao Hao Wenye Malalamiko Kuombea Kura
@josephsisa8139
@josephsisa8139 10 ай бұрын
Kuna mwingine yupo songea Dc mheshimiwa muenezi
@RobertSamwely
@RobertSamwely 10 ай бұрын
Saw
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 10 ай бұрын
Ivi, Huyu mama yetu Rais kama angekuwa ni magufuli nini kingetokea kwa hawa waliotajwa?. Yaan mama amsaidie makanda maana makonda anaelemewa sana na matatizo ambayo kimsingi mama ndie chanzo hatbui wala hajui vitu kama hivi kwamba vipo kwenye nchi anayo iongoza yeye.
@evaristmkumbo3549
@evaristmkumbo3549 10 ай бұрын
Kaka unafuga mbwa watakao wamudu hawa watu,ukisema ukweli ni kosa la jinai
@violethjoseph5535
@violethjoseph5535 10 ай бұрын
,,haki iko wap, hap,,
@LudovickMushi-y7y
@LudovickMushi-y7y 10 ай бұрын
Haya mambo ndio yalileta ile vita ya kibiti
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 10 ай бұрын
Siumetoa siri yailaji wao
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 10 ай бұрын
Wewe mwenyewe unamzidi makonda uwelewa sijui hapo sasa pia nikupe maua yako
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 10 ай бұрын
Wooooteh hao waliotajwa lao ni moja, ni kundi la ndege wanaofanana, huruka pamoja. Wanayapanga yote haya kwenye vikao vyao vya Siri namna ya kutoka. Hawawezi kuwasaidia wananchi.Wamewafanya wananchi kuwa mtaji wao.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 10 ай бұрын
Futa Takukuru wote hao ...ndio wanaomwamisha maendeleo ...Tunapoteza pesa nyingi kulipa Takukuru...bora watumike usalama wa Taifa waongezeke idadi ....
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 10 ай бұрын
Sisi Afrika ni shida sana,viongoz badala ya kusaidia wananch,wao wananyonga wananchi wao.Ukweli inatia hasira sana na inaumiza sana.
@josephsisa8139
@josephsisa8139 10 ай бұрын
Hao mheshimiwa makonda wanapanga kui hujumu ccm wakati wa uchaguzi naangalia saana hao maliasili
@simonsadala2386
@simonsadala2386 10 ай бұрын
Hii nchi hiiiiii daaaaaah atakumbukwa Magufuli milele hizi mambo zimerudi enzi za zamaniiiiiiii
@KaisiLukanga
@KaisiLukanga 10 ай бұрын
Niunganishwe
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 10 ай бұрын
Yaani mwananchi kajieleza muda mreeeefu mwishoni unamuuliza wewe ungekuwa mimi ungefanyaje kweli hujui cha kufanya umekuja hapa kufanya nini?
@obedmasaki3565
@obedmasaki3565 10 ай бұрын
Sio kila kitu anakoweza makonda, atawaachia tu moto ukiwala
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 10 ай бұрын
Takukuru hawana jipya, wanakula na maafisa
@mussakamando2678
@mussakamando2678 10 ай бұрын
Tabora kuna uonevu sana. Ni kwa kuwa wanaamini watu wengi hawana elimu na wanaogopa jela...
@josephsisa8139
@josephsisa8139 10 ай бұрын
Mheshimiwa makonda hao wana hujumu saana serikali nakuonea watu alafu wana jifanya wana Linda misitu hamna lolote misitu ina uungua tuu
@AlexMbembelaa
@AlexMbembelaa 9 ай бұрын
Muongeaji heshima kwako kaka umekuwa jasiri serikali muoneni huyu anafaa uongozi
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 10 ай бұрын
Unajua mimi ni nani imerudi kwa kasi
@yusuphsenkondo8030
@yusuphsenkondo8030 10 ай бұрын
Sanaaa😂
@MoJunior-n5o
@MoJunior-n5o 10 ай бұрын
Hatuna Amani
@FelixSinkwembe
@FelixSinkwembe 10 ай бұрын
Wewe ndo rais 2030
@josephsisa8139
@josephsisa8139 10 ай бұрын
Maliasili wanaongeza kuhujumu serikali sijui hawa kaguliwi?
@salcle9702
@salcle9702 10 ай бұрын
Hiyo ni misitu inaliwa hivyo bado hujaja kwa wanyama pori
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Ni balaa
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 10 ай бұрын
Nina usahaidi
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 10 ай бұрын
Nchi hii ngum
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 10 ай бұрын
Tanzania yasasa nishida hakuna uongozi vibaka namajazi wamejaa
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 10 ай бұрын
Panya rodi wamevalia suti wanaitwa
@weremaamos1742
@weremaamos1742 10 ай бұрын
Nchi ya kusadikika juu ya Uso wa Dunia
@KaisiLukanga
@KaisiLukanga 10 ай бұрын
Wezi was Hali
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 10 ай бұрын
Mnaotaka ccm iondoke madarakani wache chadema au chamakingine ni kujidanganya kwasababu watumishi wote waliajiriwa nanserikali ndio aoao watakao endelea na chadema wabunge na baadhi tu ya viongozi lkn asilimia 80 watabaki aoao suruali mopyaa mkanda wa zamani kinachofanyika ndio kitu sahihi ili ata ikija serikali nyingine isirithi huozo
@valenakomba7686
@valenakomba7686 10 ай бұрын
KWANZA HIYO TAKUKURU INAFANYA KAZI GANI ?. SI IFUTWE TUU MAANA HATA POLICE HIYO KAZI YAO WANAIWEZA.
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 10 ай бұрын
Takukuru ni jina tu! Halina maana yoyote zaidi ya msamiati mpya. Watendaji wake ndio walewale waliotoka kwenye mfumo uliowaunda na uliowatuma. Ni mfumo wa rushwa kujidai inazuia rushwa. Hili ni koti la kisiasa kutoka upinzani dhidi ya rushwa.Watakuambia tuko sirias(serious) tunapambana na rushwa.Ukweli ni kuwa hii ni mass hijack, takukuru hawafanyi lolote ambalo jina lake linaeleza.
@alimussa2655
@alimussa2655 10 ай бұрын
Ninacho jiuliza uyu raisi anachukua maamuzi gani dah inaumiza kwakweli
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 10 ай бұрын
Makonda mambo mengine sio saizi yako mwachie rais
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 10 ай бұрын
Huwa nakumbuka wimbo mmoja alioimba Harambe Stars wa Zambia wakati wa kifo Cha jpm machozi haya yatafutwa na nani
@wajinajecha5029
@wajinajecha5029 10 ай бұрын
Huyu ni msanii tu ndio maana watu wanataka katiba mpya kwa ujinga kama huu yaani nchi sasa kama vile hakuna makamo wa Rais waziri mkuu mawaziri wabunge na serikali kwa ujumla eti mwenezi wa chama ndio kawa serikali na mahakama halafu watu wanashangiria mtihani huu
@josephmajembe3090
@josephmajembe3090 10 ай бұрын
Inaudhi saaana!
@salcle9702
@salcle9702 10 ай бұрын
Takukuru ichunguzwe huko tabora
@PauloMiage-m1x
@PauloMiage-m1x 10 ай бұрын
Tanzania imeoza madudu gan haya???? Ni watanzania tu ndio wanaoweza kuvumilia nchi na serikali yenye uozo wa namna hiii mmmmmh
@MoJunior-n5o
@MoJunior-n5o 10 ай бұрын
Mh,Makonda kesi zipo nyingi zipo Hananasifu tumevunjiwa makazi yetu tumekaa vikao vyote ss ndio tutakuwa wanza kulipwa tunalala polini matokeo yake wanalipwa wenye nyumba sisi wametugeuka mbunge idiazan alitusaidia sana siyo Talimba ametugeuka kabisa.
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 10 ай бұрын
Apewe uongozi
@sofiaantonioantonio7265
@sofiaantonioantonio7265 10 ай бұрын
Huyu mwenhekiti mpeni ubunge
@amosimbota6717
@amosimbota6717 10 ай бұрын
Mwenezi wa CCM naomba namba yako ya simu nikueleze ninavyo nyanyaswa na askari kanali wa JWTZ
@ModestGiroy
@ModestGiroy 10 ай бұрын
sema yote
@barakampenja-to4sm
@barakampenja-to4sm 10 ай бұрын
Makonda piga kazi rais wa badaye
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 10 ай бұрын
Mpaka unamjibia maswali
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 59 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН
RUTO NI NG©MA😱MUTUMIA URIA ARATREND KWARIA NA RUO NA MARAKARA
49:59
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
Tragic Ending When Lion Hunts Alone! Warthogs Attack The Lion Mercilessly
13:39
Life of Wild Animals
Рет қаралды 17 МЛН
MAKONDA AMUITA MKUU WA MKOA NJOO HAPA HARAKA "KIMBIA''
6:56
Gilly Bonny Tv
Рет қаралды 110 М.
RPC acharuka mbele ya MAKONDA Kigoma, bila woga awachana makavu....
11:05
#LIVE: MAKONDA ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KASULU MJINI
1:42:17