Hongera kafulila , hongera rais wetu haya ndo maendeleo tunayoyahitaji yasicheleweshwe
@mussamapesa88639 ай бұрын
Safi sana kafulila leteni haraka huo mradi watu wanufaike na maendeleo yakue kwa haraka me naamini na ninaona Tanzania ya neema inakuja
@zobakazizi76379 ай бұрын
Tangu mmeanza kuongea sasa ni miaka 2....maneno mengi.
@kikalarashid90039 ай бұрын
Maneno meeeengi, kuweka taa Tu barabara ya kimara-kibaha mmeshindwa!
@ilynpayne74919 ай бұрын
Nchi ina maongezi mengi matendo hakuna 😂
@AstonyMathayo9 ай бұрын
Akunakitu kinacho niudhi kama ilo neno upembuzi ubunifu# nilikuwa namkubali Magufuli tu, alikua sio mtu waporojo nyingi nimtu wavitendo tu# uchembuzi uyakinifu ndilo neno linalo chelewesha tanzania kuwa kama Dubai, Tanzania ni Nchi ambayo ingekuwa imejengwa sana lakini viongozi tulionao niporojo nyingi sana Magufuli aliijenga nakuibadili tanzania kwamiaka michache sana
@SaidKasomo9 ай бұрын
Unadhani Dubai ilifanya moradi yake bila kufanya huo upembuzi yakinifu?
@mwitajoseph83159 ай бұрын
Mimi mnipe kilometer 2 tu tuishi wote humo humi otherwise bigup mheshimiwa kafulila MUNGU Aibariki serikali yetu ifanikiwe kwa mema haya
@barrynzeyimana62709 ай бұрын
Mwanahabari kua na mawani ya Jua ndani sio ishara nzuri
@BarikiJohn-p8n9 ай бұрын
😂
@EdisonAndrea-c5o6 ай бұрын
duu kwer bongo maishamagumu
@katemachanda70359 ай бұрын
Story nyingi sanaaa... Mfano wetu kwa hayo mambo ilikua Serikali iliyopita tuu... Kwa sasa maneno mingimingi mnoo....
@Kabwela7769 ай бұрын
Ni uongo Samia miradi yake ni madarasa na vyoo
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
@@Kabwela776hakuna anachutimiza ni blabla za kudanganya wananchi ili wawape kura wakishapata imetoka hiyo mpaka muda wa kura ufike tena wakuamka aamke na wakuendelea kulala alale
@Kabwela7769 ай бұрын
@@MiriamAbdallah mbona hilo Mimi najua Samia huyo kibibi hamna kitu miradi yake ni madarasa na hospitali za millioni 500, ni waongeaji sana ila hamna kitu
@HamisiHemedi-u8k9 ай бұрын
Yani Tanzania mpaka tuige wakenya ndio tufanye hiyo kenya tayari imeshajengwa japo sio ndefu sana
@johnmlay47599 ай бұрын
Nchi nyingi duniani inafanya hii miradi so fanya utafiti upate kujua undani wake
@muniraomary45779 ай бұрын
Nchi yetu tumejaaliwa mdomo vitendo sifuri
@amanijampion30459 ай бұрын
Muwe mnafikiria vizuri central corridor iko saturated muwe mnatawanya miundombinu na sehemu zingine hasa kusini na nyanda za juu kusini. Ila sio mbaya tupate kujiengua maana serikali haijali kusini
@markbashende85226 ай бұрын
Mnaletewa SGR toka bandari ya Mtwara mpaka Mbamba bay. Itakuwa na tawi linaloenda Mchuchuma na Liganga.
@othumanomari15899 ай бұрын
Mapema ndio best mambo nimengi masaa nimachache
@jkaaya36399 ай бұрын
Kumbe Nmwana siasa tena tuta subr sna hizo nisiasatu dhaefu 225
@Acana-j3t9 ай бұрын
Kama wananchi watalipia kutumia bararara (road toll) Basi Serikali iwe tayari kuondoa malipo yote ya road toll ikiwemo kwenywe mafuta.
@Acana-j3t7 ай бұрын
Kafulila atueleze Ana maslahi gani kwenye hizo barabara. Waulize SA. Hizo barabara za kulipia zimekuwa issue ya uchaguzi. Pili Bandari ya Dar inapata mzigo mwingi pamoja na magari kuoitia bandari ya Dar kwasababu wasafirishaji wanaokoa pesa kwa kutokulipia Road toll. Kuna nchi ambazo road toll inapanda kila kukicha kwasababu ya ulafi wa sekta binafsi. Tatizo ringing la road toll ni kuwa barabara ambazo hazina magari mengi zitaathirika kwa kukosa uwekezaji, ni bora Tanzania iendelee na mfumo wa kukusanya road toll kwenye mafuta, kwani kila Mtanzania anachangiia tofauti na toll kwenye barabara chache. Pesa inayokusanywa nayo no nyingi zaidi. Pia serikali inakuwa na wigo wa kugawa hizo pesa hata kwa miradi ya vijijini isiyokuwa na mshiko kwa wekezaji.
@richardbegga66799 ай бұрын
Ukiingia CCM cha Kuanza ni Kukabidhi Akili kwa Mwenyewe kinachofuata ni Unafiki na Kusifia Viongozi 😂😂😂
@htx18739 ай бұрын
Nikuacha corruption ata maisingizie uwekezaji, theft is the African issue , njaaaa itatuua.
@BagramenshZuma5 ай бұрын
Miaka yote ni upembuzi yakinifu na miaka inapita
@edsonjoseph53839 ай бұрын
Mbona jiji la mwanza km limesahauika Bara bara ya kuingia na kutoka n bara bara 1 tu kwa hiyo felon Jaman na hizo express way na mwanza ziwekwe maana naona imeguswa dar na dodoma tu express way
@ototek80379 ай бұрын
Huu ndo wakati wa maneno, wakati wa vitendo uliisha na magufuli
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@BagramenshZuma5 ай бұрын
Maneno matupu tumechoka kujenga jangwani tu pamewashinda
@bakarikayugwa32959 ай бұрын
Ni viongozi wache wenye akili kama yangu ila wengi wanawaza matumbo Yao tu
@BarakaPeter-r4x9 ай бұрын
Acheni siasa fanyeni kaz
@kellyngogo33199 ай бұрын
Nairobi tumeshazoea zipo nyingi
@KibwayaMsouth9 ай бұрын
Daraja lajangwani linawashinda hilo lahapo feli mtaweza wapi acha uongo porojo tu
@kiliantereba65029 ай бұрын
Kila kitu kiko kwenye upembuzi yakinifu. Hicho kitengo Kafulula usipoachana nacho kitakuharibia heshima uliyokuwa nayo miaka yote. Magufuli alikuwa anajenga miundombinu mikubwa na bado alitoa Elimu bule. PPP ni mbinu ya serikali kukwepa wajibu wake kwa wananchi
@bongo399 ай бұрын
Maneno yawe madogo vitendo viwe vikubwa wenzetu duniani hizo barabara ni kawaida kila unapokwenda
@Kabwela7769 ай бұрын
Msahau ni Magufuli tu alikuwa akisema anatenda huyo Bibi ni bogus wa kutupwa hasara tu rais mzigo
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
@@Kabwela776rimot inafanya kazi
@enockmlyuka64759 ай бұрын
Wazo la Kujenga barabara hizo ni zuri, lkn vipaumbele vya Taifa (National Priorities) ni nini? Mradi wa SGR na miradi mingine mikubwa iliyoanza imekamilika kabla ya kufikiria kuanza mradi mwingine mkubwa km huo?
@issakwisamwasanjobe5419 ай бұрын
Nchi kuendelezwa kwa kutumia mitaji ya mabeberu hii ni shida nikutokana viongozi wetu upeo kufikiri WA kuona mbele nahisi ni mdogo au akili zao tegemezi.lini tz itakwenda Jenga barabara ya kulipia ugaibuni?,kama uwezekano haupo kwanini hayo uite ni maendeleo kuja kujenga wao kwetu, tusiwekama tumelogwa
@Kabwela7769 ай бұрын
Ni siasa tu hamna kitu ingekuwa enzi za Magufuli ningeamini, Samia ni muongeaji tu ameongea mengi alivyotoka Ufaransa alisema wafaransa wangejenga train ya trams dar Na Dodoma ikawa hadithi , sport arena dar Na Dodoma hadithi nazo , viwanja vya mpira kwa ajili ya Afcon hadithi sgr Inasua sua wameomba wasweden wamsaidie fedha Na wapoland yaani Samia ata haeleweki serikali yake !
@Kabwela7769 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani uongo uongo uongo mtupu nchi ya upembuzi yakinifu mara commuter train Iko kwenye uchambuzi yakinifu 😅😅😅 train Dodoma hadithi na kuendeleza stendi ya Dodoma hadithi 😅😅😅
@usamaahmed26246 ай бұрын
Ni maelezo yalioshiba kabisa... sasa achaneni na mambo ya uzazi wa mpango kama rasilimali watu ni utajiri mana tukiendekeza utamaduni wa watu na tukaacha wa kwetu tutakuja kupunguza nguvu kazi siku za usoni , na tutaanza kulazimishana kuzaa watoto kwa ajili ya kutafuta nguvu kazi, ishu kama ushoga, vidonge/ vijiti vya uzazi wa mpango na mengine mengi yanayofanana na hayo si utamaduni wetu, angalia makabila yenye nguvu Tanzania mfano, masai, chaga, sukuma, wakulia nk ni kabila zenye mafanikio makubwa sana toka enzi za ukoloni hadi sasa sababu ya rasilimali watu kwa kifupi familia zao ni kubwa na ziliweza kufanya kazi kwa bidii na kuleta manufaa katika tamaduni zao na kua imara kabisa katika kila nyanja.
@eltonmika27979 ай бұрын
Mpuuzi
@omarybakunda25549 ай бұрын
Kafulila nakuamini
@kelvincharles72638 ай бұрын
Hawa jamaa waongo sana wanaongea tu amna utekelezaji kabsa shit
@hassanmpwepwe38269 ай бұрын
Hamna lolote nyie wote wachumi tumbo 2
@shabanidaruweshi-jw5jy9 ай бұрын
Trafic watapanda ukouko juu
@modestwenceslaus99 ай бұрын
Kufuatilia maokoto huko siyo😂😂😂😂😂😂😂
@MiriamAbdallah9 ай бұрын
@@modestwenceslaus9itakuwa hivyo😅😅😅😅😅
@deohaule81619 ай бұрын
Mheshimiwa acha fikra rahisi, acheni kubinafsisha barabara ambazo watu wanyonge wanatumia. Mwekezaji ata taka faida kwa muda wa mkataba na ndio hapo tatizo linapo anza. Kujenga barabara na kumlipisha mtumiaji ita sababisha gharama za ufariki zita kua juu kwa mwanachi wa kipato cha chini pia bei ya bidhaa maeneo fulani zita ongezeka kwa kipindi cha miaka 30 - 35 kutokana na mwekezaji atahitaji fidia kwenye hicho kipindi cha miaka ya uwekezaji. Kwa mtu mwenye kipato kikubwa ataona sawa ila kwa mwanachi wa chini atakua ameonewa. Isitoshe asilimia 70 mpaka 80 ni wananchi wanao ishi maisha ya kima cha chini. Na lengo la barabara bora ni kukwamua maisha ya mwanachi wa hali ya nchi.
@utopolo5439 ай бұрын
Kwan hakuna Barabara ya Dar to Dodoma? Hii ni nyingine na itajengwa mahali pengine. Ukitaka kuwahi pita hii ukiona huna hela unatumia ya kawaida. Mbona simple tu.
@Em_alt9 ай бұрын
Naona kama wewe ndo una fikra rahisi, na kupenda kusingizia wanyonge. Hatuna wanyonge hii nchi. Kama tunataka maendeleo makubwa lazima tulipe.
@deohaule81619 ай бұрын
@@utopolo543 acha kua na fikra za ukoloni mambo leo. Taifa lenye misingi bora ni taifa ambalo miundo mbinu kama barabara ina kua chini ya serikali na sio kubinafsisha. Trillion mbili kujenga bara bara ni kutu rahisi sana kwa nchi ya Tanzania. Hela zipo ila hakuna viongozi makini katika kusimamia mapato ya nchi. Hapo wezi wako midomo wazi kutengenezwa makata ya ukoloni mambo leo matokeo yake mwanachi wa chini ndio ata teseka. Kama bwala la Mwalimu Nyerere serikali ime weza kujenga je kwanini hizo bara bara za express zisijengwe ili kuboresha maisha ya kila mtanzania?
@deohaule81619 ай бұрын
@@Em_alt hahahaa, you must have been having a daylight dream and not otherwise.
@mohamedihamisi2929 ай бұрын
Kwani lazima kupita hiyo njia broo Kama hauna pesa pita njia ya kawaida haujarizimishwa kupita kwenye hiyoo barabara Expressway hata Nairobi ipo
@AziCure9 ай бұрын
Hakun mtu mwembamba 😂😂😂
@Kabwela7769 ай бұрын
Uongo mtupu Bibi Samia miradi yake ni ya millioni 500 madarasa na vyoo