NONDO ZA MBUNGE KITILA MKUMBO BUNGENI LEO

  Рет қаралды 9,754

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@mchomvuelias64
@mchomvuelias64 2 жыл бұрын
Yani Prof Kitila unaitendea haki Elimu yako. Daah! When he speaks you see professorial feelings in each word he utters! Ametoa mchango mzur mnoooo. God bless
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 2 жыл бұрын
Hungera Mh Mbunge wetu. Tunakujua uko makini. Ila mgao wa maji usiokua rasmi wala ratiba na taarifa wakati vioski vya kuuza maji kwa mfano hicho hapo Mbezi mwisho karibu na Tanesco vina maji kila siku na majumbani hakuna vitakuweka kwenye wakati mgumu huko baadae. Nakutakia kila la kheri
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 жыл бұрын
Congrats Prof. Kitila u are real genious
@eliteproacademytz
@eliteproacademytz 2 жыл бұрын
Wise man speaks with evidence 💥💥💥🎉👊👊👊
@marymgimwa9461
@marymgimwa9461 2 жыл бұрын
kwa walimu hapo mhhhh yaani ni shida.... afu kama Kuna vyuo mngechota huko kuliko watu wanashinda kwa mtandao masaa yote mtandao wenyewe haufunguki ...ni shida wakuuuu ktk kuomba kwa mfumo tusaidieni hata nyie mlioko huko mngeomba kwa mfumo msingefauru wabunge wangu
@norbertmbena7268
@norbertmbena7268 2 жыл бұрын
Hongera Mkumbo unajitambua siku zote
@ivankivinge2987
@ivankivinge2987 2 жыл бұрын
Huyu kweli ni professor
@fransisigulu9761
@fransisigulu9761 2 жыл бұрын
Mhhh kweli nchi ya ajabu kweli,,,maprofessor Kama Hawa walitakiwa wawe ngazi za juu serikalini lakn 🤷
@mchomvuelias64
@mchomvuelias64 2 жыл бұрын
Kigezo Cha Elimu kiwe kinaangaliwa pia kwa wabunge. Dunia hii ya Sasa kigezo Cha AJUE KUSOMA NA KUANDIKA kitaturudsha nyuma mnoo. Kigezo hiko kizikwe Sasa rasmi kwe makaburi ya pale Temeke. Atleast awe graduate , hatuna shortage ya graduates saiv Kama taifa
@williamloserian5999
@williamloserian5999 2 жыл бұрын
###proffesor kweli duuuu###
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Prof Mkumbo
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Kuanzia Leo Umekuwa Rafk Yangu Mh.Kutila Mkumbo
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Professor Kitila Mkumbo
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kichwa na anajiamini
@tranchescoanthony2509
@tranchescoanthony2509 2 жыл бұрын
Yaaa this is professor
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Ukiwa na kipaji kikubwa cha kufikiria ni zaidi ya bilionea.
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 2 жыл бұрын
The real professor
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Unakua na hamu yakumsikiliza
@oscarjeckonia-9757
@oscarjeckonia-9757 2 жыл бұрын
Huyu kateuliwa na 👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/qmq5f4SdoMeVrq8
NAPE AIBUKA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA AMBANA WAZIRI MKUU
4:32
Millard Ayo
Рет қаралды 3,8 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 14 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 31 OKTOBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18