Shibeni pesa kabsaa mungu ndio mtetezi wa wakenya😢wezi wakubwa
@KibiruWanjiru2 күн бұрын
umenena na n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa please
@mahmoodmohammed16792 күн бұрын
Alisema anatamani angekua minister of interior,angenyorosha watu....hii Ng'ombe inatuambia nin
@alfredk80152 күн бұрын
Release Billy mwangi
@Lucky-JJ232 күн бұрын
Too Late Mr. Sudi, Kibet ,and all others. God will fight for Kenya😮 Enjoy now,Steal as much as you want, but there's an end😢
@SheriffbinAmir2 күн бұрын
Ombeni Mungu msamaha, mmetuzoea sana nyinyi politicians
@LewisWachira-f1q2 күн бұрын
Power is temporary soon wataeda exile
@PurityVuyanzi-sd8iq2 күн бұрын
Si tuliwa achia Mungu😊
@KibiruWanjiru2 күн бұрын
n vizuli kuadka jina ya MUNGU na jina kubwa please
@mathekarichard13822 күн бұрын
😂😂 kaombe Mungu amsamehe we are done with them kitambo sana
@AbrahamKiplagatCheplaiti2 күн бұрын
I will never forgive this incompetent government
@GorgeousijКүн бұрын
First muwachilie hawa watoto wa wenyewe
@Daguudickson0262 күн бұрын
Viongozi ni wa kidini pekee hzo ng'ombe za parliament 😏 sio leaders
@TroonOginga2 күн бұрын
Maombi sio mabaya mbele ya madhabau lakini tusisahau,hata shetani aliomba msamaha na shetani mwenyewe ujiunga na wachristo kanisani yote haya Mungu huona na Mungu mwenyewe ndiye anayejua kila mtu
@felixnyamache56772 күн бұрын
Sudi has been lying to the parents of the people he arrested that he will release them.why take long😭😭
@lkt2712 күн бұрын
Sudi awache kujifanya mang'aa sana.Him and Murkomen are reasons why Ruto might serve one term
@Dan.......212-d2 күн бұрын
We can never be one family with the current political class.
@graceamadi10962 күн бұрын
Kwanza samehea gen zs wote mulio teka nyara kwa kuwawachilia
@ViceAdmiralVasilyArkhipov2 күн бұрын
Si basi mrelease hao watu banaaa
@ViceAdmiralVasilyArkhipov2 күн бұрын
Sudi ni kama ndio anasemanga kitu na inafanyika more powerful than Farouk Kibet
@Halega1012 күн бұрын
Kenyan Gen Zote keepp the Pressure coming in 2025. No surrender. Class Pressure Keeps Increasing
@davidmuli8962 күн бұрын
The pressure is creasing
@royphaskazungu14492 күн бұрын
Which presure...loosing ...
@davidmuli8962 күн бұрын
@@royphaskazungu1449 hiyo saasa tu .......2025 akuna mchezo
@vincentgitiva88492 күн бұрын
Let him tell Farouk Kibet and Ruto return the missing people. His constituency will elect him sadly for 70% of Kenyans have rejected him.
@mohamedgure21742 күн бұрын
Fulfill the pledge & promise during oarth but forgiveness from GOD timiza ahadi uliapa lakini msamaha ni kutoka mola
@kagamedimaria47872 күн бұрын
Mnatuona matercore yenu
@janelangweni-c9y2 күн бұрын
He has swallowed his pride
@iduabsura49592 күн бұрын
Msamaha uwe kwa roho na kweli kwa matendo, happy new year to everyone
@gidrafwara30902 күн бұрын
This is exactly what is wrong with Kenya, leaders loot from overtaxed Kenyans and live in opulence then tell mwananchi to pray and be patriotic
@abdurahimabdulkadir39262 күн бұрын
Sio msamaha waliotekwa nyara waletwe mwanzo
@mauriceshilabula45742 күн бұрын
Sasa venye walifukuza mishra… si wapeane kazi, ngombe na pikipiki kwa watu yao venye mishra alikua anafanya. Msamaha haisaidii na bado tabia ni ile ile
@JospineObondi2 күн бұрын
Kwanza wale watoto wa wenyewe wameabduct waachiliwe hajui vyenye wazazi wao wanasikia
@jamesgathaiya64502 күн бұрын
Kwani mawe ilikua wapi
@salimsumba74982 күн бұрын
Kenya can never heal with this Government 😢😢😢😢
@annahwambuiwaithaka75472 күн бұрын
Mfufue watoto wetu na mrundishe pesa ya uma.ombeni msamaha kwa mungu na kanisa
@luckydubebello11312 күн бұрын
Ng'ombe tuu mungu atapigania wakenya soon,first ba kalonzo msamaha saitan umeishi kumtusi bure siku zenu zitafika mungu halali
@annahwambuiwaithaka75472 күн бұрын
Mkienda home mtasamehewa nyinyi waoooovu
@alihoka_0012 күн бұрын
Puppets
@ianjoseph53252 күн бұрын
Apology zingine is due to public pressure sio conviction or heart
@MichaelMirugi2 күн бұрын
Why kill young innocent kenyans?
@NeliasKiprono2 күн бұрын
Let kina Kibet free. Those are our talented creative brothers. They shouldn't be abducted for God given talent. Why would anyone worry eti amechorwa? Or it is the sin exposure? Then what will he do with the judges who scored him as the second corrupt man in the world? 😂
@4241phme2 күн бұрын
This is just but a show from Oscar Sudi. Not genuine. Before the abducted are freed does not work for me. N.B. He has been so very arrogant. How can you believe in such a person?
@SafariNyiro-k6m2 күн бұрын
Kwan miaka imepita mingapi achenu vihere here na upuzi endeleeni kuiba
@WashingtonWanjero2 күн бұрын
Achilieni watoto nyinyi watekaji
@stephenkiarie-e9z2 күн бұрын
Watoi watoto kwanza
@Ref-g-h9c2 күн бұрын
Uongo hadharani..they think we are that gullible, to believe their lies. Waendelee vile walivyo kua. They are using the church again to cover their greed and hoodwink us. May God punish them hard together with those religious supporters if they are lying, because he is the only one who sees the hearts and the motives.
@YusufETlANG2 күн бұрын
wewe sudi ni shoga sana
@miraculousgroupofworshping33282 күн бұрын
Maliza to mwende
@josephmuthami47102 күн бұрын
Msamaha ya nini ask Jesus firgiveness
@jav8562 күн бұрын
Well done out people God will lead our president Ruto
@YusufETlANG2 күн бұрын
hatutaki
@kennedybalozi36382 күн бұрын
Paid🎉🎉
@mwangi_mwangi2 күн бұрын
Wametusamehe?😑😑It will be another hard year, dear Kenyans
@shemmutuku19432 күн бұрын
Hmmm
@Marry-u8m2 күн бұрын
Hatutaki kwaza ina faa wamtumpe watoto wetu
@joycenyakundi36052 күн бұрын
KENYA KWISHA MAUMBWA, WAUAJI, WEZI, ABDUCTOR S. RELEASE OUR KIDS. SHETANI NYINYI
@SymonMwangi-w4i2 күн бұрын
Msamaha ya nini apeleke ruto
@Blacklemon0242 күн бұрын
Nkt
@georgegatuguta5376Күн бұрын
These jokers!!!! Chuma kii motoni. Only God knows.
@davidrandu36422 күн бұрын
Yaani msamaha na bado abduction iko juu jamani.
@Blacklemon0242 күн бұрын
Ng'ombe nyinyi
@mwalimub28202 күн бұрын
Huyu Jackson Kosgey anatuona wajinga sana hatuelewi. Yaani asking Kenyans if they believe this is their country??😂😂😂😂.
@stevekioi20442 күн бұрын
Sudi aliye som hadi akasahau kusema sentensi nusu
@Sulez-i2z2 күн бұрын
Prayers without talking about abduction of the young people is useless not even praying for them
@janeotiso5522 күн бұрын
Too late, wakwende huko, sudi, give us our abducted children , mumezoea kuuwa watoto wa watu. Kumbuka 2007 kiambaa
@jav8562 күн бұрын
@jane you seem to he killed take him to Court .there is which goes if your not taught by your parents the world will teach .that is what is happening
@rosemuriithi2002 күн бұрын
Oscar Sudi you seem to be a person in his sences and willing to live with your constituents in peace. Same as you are telling the world, can you please whisper to Ruto the same ideas you have concerning forgiving one another. Vinjana wenye wameshikwa warundi basi kwa wazazi wao. Anyway, God bless you and lead you to greater height of a peace maker. Be blessed.
@WamaithaNdichu2 күн бұрын
PR...... Empty....😢
@mohamedgure21742 күн бұрын
Fisi anomba msamaha
@LucyWairuri2 күн бұрын
Hatutaki msamaha malize muenda after kuteka watoto wa wenyewe nyara go away with you arrogant regime from bode la ufaa
@jav8562 күн бұрын
The regime is working upto 2032 mountain understand these .you think you are the only once who can be president in Kenya
@KIM-xl6zs2 күн бұрын
Enda uombe mamako na jamii yako kwanza kwa aibu umewaletea
@jav8562 күн бұрын
@kim which shame your name is the issue always absiving mother's
@norbertlimo12842 күн бұрын
Hypocrisy
@awakenwithissahm2 күн бұрын
Ruto lies? All the time, and all the time? Ruto lies
@kazungukakiyo2 күн бұрын
Huyu ni pastor mutaka vitu. Pesa
@mohamedmalikhussein62872 күн бұрын
Mjinga!unaomba msamaha na jana ulisema ungepewa CS interior ungetunyorosha!fool
@davidmuli8962 күн бұрын
Imgn ...two different things .......let the pressure continue to creasing
@ruizatrillo65032 күн бұрын
Si kila mtu, some few individuals who deserve
@stevekioi20442 күн бұрын
Munsemehewaje kama ruto ae abduct watoto wa wakenya
@Msemaukwelikweli2 күн бұрын
Nation useless media of all time
@phzorro2 күн бұрын
👎
@Suleiman-v7v2 күн бұрын
Msama ni kitu kizuri na ni utu wa binadamu, Viongozi bada ya kusamehewa ni vizuri wa kubadilika na kuleta mabadiliko kwa wakenya bila ya kubaguwa, Njia ya kuunganisha wakenya ni kupitia maendeleo, Tuweke tafauti zetu kando, One kenya, One president, One Africa, Tushirikiyane na mataifa mengine bila ya kubaguwa kidini na rangi, Ngozi ni moja rangi haifaidi chochote, Wenye kuunganisha wakenya ni viongozi wa dini, Tuhubiri amani na tusaidiyane kwa kuwa kitu moja, Dawa ya nchi yetu tukufu ya kenya ni viongozi wasalimu amri kwa wakenya ndio mapenzi itapatikana.
@Morals_EthicsКүн бұрын
Watu c wajinga
@georgesalano57712 күн бұрын
Conmen, fooling the gullible.
@NeliasKiprono2 күн бұрын
Sudi huharibiwa na Ruto. Altleast he can ask for forgiveness, Forgiven Sudi.