Senator Orengo, colleagues hilariously struggle debating in Kiswahili

  Рет қаралды 63,393

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@jwaitathu
@jwaitathu 5 жыл бұрын
Am Hustling while others are paid for nonsense..God Help Kenya.
@andrewmakau9221
@andrewmakau9221 5 жыл бұрын
This is impunity
@brianwattanga1814
@brianwattanga1814 5 жыл бұрын
Swahili needs to be promoted. It celebrates our heritage.
@ibrahimwario3177
@ibrahimwario3177 5 жыл бұрын
Viongozi ya waafrika wanapigania Kiswahili iwe lugha ya kiafrika tuachane na lugha ya wakolini (kimombo) lkni sijui mbona sisi wakenya tunataka kutumia kimombo km lugha yetu ya kitaifa naona bdo tuko chini ya ukoloni
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 2 жыл бұрын
@@ibrahimwario3177 kweli kabisa.
@mkd640
@mkd640 5 жыл бұрын
Am really annoyed...they have wasted my bundles and worst of all my tax money goes to their pockets for this nonsense!!!
@fredrickryoba2452
@fredrickryoba2452 5 жыл бұрын
This people can speak fluent Swahili Hongera sana
@arushamix6036
@arushamix6036 5 жыл бұрын
And they are paid for that? I too want that job.
@robertkazungu1817
@robertkazungu1817 5 жыл бұрын
Ninyi viongozi wakati mwataka Kura mwajua kiswahili lkn mkiwa bungeni nikizungu Mjuacho ili mama Mboga asijuekitu Asante mama zani endelea kiswahili ikue kenya
@Mdp-ek8ye
@Mdp-ek8ye 5 жыл бұрын
Huu utumwa wa kizungu mtaucha lini, Hongera mama kwa kutetea utamaduni wetu wa kiafrika, achana na wakoloni hao wanaojifanya wazungu weusi. bila hata aibu eti wanakutoa kwenye kikao. Neno mzungumzishi lina shida gani hata kama haliko kwenye kamusi ya kiswahili ???? Niwashauri hao wanaojiita ma "Senetor " wajue wakati pia umefika wa kutafuta maneno mazuri ya kiswahili kwa jina hilo. Uzungu hauna nafasi tena , huu ni utumwa fungueni macho ndugu zetu.
@nivicaspect3597
@nivicaspect3597 3 жыл бұрын
Inashangaza sana kwamba watu wanaona ufahari kwa kutojua Kiswahili ambacho ndicho walichotumia kuombea kura. Utumwa huu utawagharimu sana Wakenya.
@yovinampale4873
@yovinampale4873 3 жыл бұрын
Hilo neno kwa English linaandikwa SPEAKER, lakini kwa kiswahili linaandikwa (SPIKA) mean Speaker of the Parliament. Na kazi yake ni kuwaruhusu wabunge kuongea pale wanapotaka kutoa hoja au kuchangia mawazo kwa ajili ya naendelea ya nchi. Kwa hiyo hiyo anaye muita SPIKA ni Mzungumzishi, yuko sawa, kwa sababu huwezi kusimama bungeni na kuongea unachotska bila kuruhisiwa na SPIKA.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
😂😂😂😂 mzungumzaji na sio mzumgumzishi 😂😂😂 my kenyan people yall gonna kill me 😂
@robertodanga
@robertodanga 5 жыл бұрын
Mzungumzishi - speaker Mzungumuzishi - chatter The difference is with a letter U before the Zishi
@wanelly
@wanelly 5 жыл бұрын
Bob Odanga: mzungu mzishi. Hiyo mzungu ni mzishi.
@qerysir4410
@qerysir4410 2 жыл бұрын
@@wanelly mzungu mzushi
@mbajawagome4878
@mbajawagome4878 5 жыл бұрын
Mheshimiwa, hongera. Unafahamu lugha na uko sahihi
@carringtonmoses4835
@carringtonmoses4835 5 жыл бұрын
Mzungumzishi ....sportpesa vipi...sisi wabetishishi tunaumia.
@nasenyanyanya4924
@nasenyanyanya4924 5 жыл бұрын
Moses Kung'u 😂😂😂😂 tunaumizishi zaidi
@carringtonmoses4835
@carringtonmoses4835 5 жыл бұрын
@@nasenyanyanya4924 waturudishizi starege yetu.
@kayadams903
@kayadams903 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@benardwabungoma1050
@benardwabungoma1050 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅
@taniahsasha7826
@taniahsasha7826 5 жыл бұрын
tumekwama hapo kwa mzunguzimishi😂😂😂😂
@franciskigondu2375
@franciskigondu2375 5 жыл бұрын
This is why senate should be abolished... total jokers... And these guys should be promoting Kiswahili... what the hell are they doing??...Am not a fan of Zani... but on this she is right!!
@PstMosesThiari
@PstMosesThiari 5 жыл бұрын
Mimi ni mcomentishi
@romofas
@romofas 5 жыл бұрын
😂😂😂😂...na mimi ni mu-replyaji😋
@maureeningosi158
@maureeningosi158 5 жыл бұрын
Hahaha don't circulumukut haaa kenyaaaa haiwezi isha vituko mara mzungumshizi mara circulumukut then end month wanapa mihela na huku we go sleepless just struggling to put a meal on the table God hv mercy on us
@yussufmohamed2037
@yussufmohamed2037 4 жыл бұрын
She is absolutely right
@ptgproductions4173
@ptgproductions4173 5 жыл бұрын
Nani hajasikia Orengo akisema Bana 😂😂😂😂😂
@nasenyanyanya4924
@nasenyanyanya4924 5 жыл бұрын
Wazunguwazishi tuko hapa 😂😂😂
@amosoluoch9770
@amosoluoch9770 3 жыл бұрын
This Senate should be disbanded and every body should go home.
@robertkazungu1817
@robertkazungu1817 5 жыл бұрын
Hongera maadam zani Rudisha hata mzungumzishi shule ajue kiswahili
@7thestate777
@7thestate777 5 жыл бұрын
Kenya is simply soo fuunny... mzungumzishi🤣🤣🤣🤣🤣
@vincentmiruka664
@vincentmiruka664 5 жыл бұрын
I wish we could celebrate our indigenous native language but instead we use standing orders to percecute, execute and then finally strangle the most popular language in Africa, Swahili. Daktari Agnes my former neighbour(Shanzu) ka ngumu usitingike hata nukta moja. Some Senators cannot express themselves in swahili language as per the proceedings as observed but they had the audacity to correct swahili language using English language, extreme incompatibility. For example the modus operandi used by Senator of Kericho is misplaced, it's like driving a tractor on a staircase and it also confirms how some of our leaders are not swahili savvy and yet they are quick to critique by using standing orders, since when did our constitution become a Kamusi or a dictionary? Please give Senator Agnes Zani a break when she expounds words in Kiswahili for you which will eventually enrich your Kiswahili vocabulary. Just like english they are words which are interchangeable in usage but have the same meaning, so is Kiswahili also, but the absence of such word like the one question in our constitution does not mean it is a forbidden word which has lost its meaning in its usage by ethnic speakers or amounts to gross misconduct in parliament. To be mute sometimes helps especially if the subject matter is alien at least you have the opportunity to learn something by listening, which is a very important skill by the way. In Europe(Belgium)/North America (Canada) respective parliaments transact business in their own national languages, it's here in Kenya where we don't approve of such practise instead we make our national language, swahili sound very ugly and very unparliamentary, big shame. Senator Agnes Zani, your Dad is very proud of you for the stand you demonstrated in ensuring swahili has a special place in our midst by preserving and advancing its usage and understanding. Swahili language is an integral part of our national identity and which should be ranked highly by indigenous speakers. (Go to France and speak English you will come back home with a change mindset) Mwacha mila ni mtumwa. (Quote swahili saying)
@abdulahiabdi5896
@abdulahiabdi5896 5 жыл бұрын
Arabic is the widely spoken and most popular language in Africa and Swahili has borrowed heavily from Arabic.
@vincentmiruka664
@vincentmiruka664 5 жыл бұрын
There is no language that is homogeneous in its anatomy, every language has some sort of carry over from somewhere which Arabic is not an except considering that they are several Arabic dialects. The religion factor is the impetus which resulted the popularity of Arabic language and in the same vein one can infer that the popularity of English language in the world is a function of colonization otherwise the two language would have been confined within the habitat of ethnic speakers whose population are not that great relatively that warrants its popularity.
@gilbert1982alando
@gilbert1982alando 5 жыл бұрын
Disrespecting the speaker and the house because of a language is rather foolish, she's a let down to her county - wasting tax payers money
@maxwellougo2251
@maxwellougo2251 4 жыл бұрын
Sincerely speaking. Do this guys go to the parliament to attend swahili classes or discuss matters concerning citizenship. Surely I now understand the reason as why my country is lagging behind.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
😂😂😂😂 so wakenya wanamwambia kakosea kiswahili lakini anasomewa judgement kwa kizungu 😂😂😂 sasa si bora mngeacha tuu muendelee maana nyie wote hamjui kiswahili na wala hamjui kufanya debate kwa kiswahili 😂😂
@maxwellougo2251
@maxwellougo2251 4 жыл бұрын
Have this guys ever though of the millions of Kenyans lacking medical facilities, poor roads, poor schools, lack of water, poor housing. Guys do something constructive that will bring sense to people who voted you into the office. I'm really regretful having voted such a leader. You totally forgot your sense of being into the office.
@mutulehephsiba5961
@mutulehephsiba5961 5 жыл бұрын
Men manipulated society, so silly,I admire Zani's defiance in defense of what she believes is so right. ..Kiswahili kitukuzwe
@bioprimeinsuranceagency5937
@bioprimeinsuranceagency5937 3 жыл бұрын
This is not a house of what you believe in. This is NOT a court, I this house you respect and obey the house rules. It has nothing to do with pussy or dick. You could see NO woman senator stood with her. She is WRONG
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Mzungumzishi!!!😳😳😳😳
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu 2 жыл бұрын
Nisinge kubali kuomba radhi piano. Kiswahili oyeeee
@jamlickmaina6831
@jamlickmaina6831 5 жыл бұрын
The honorable senator has a right to stand on her ground. The senators should not pin her down using a language that probably some got an E back in school.
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
Wakenya mmejifunza lugha ya mzungu na kusahau lugha yenu 😂😂😂now mko bungeni kama watoto wa darasa la pili 😂😂😂😂 mzumgumzishi 😂😂😂 mzumgumzaji Spika wa bunge ni mhemishiwa spika wa bunge
@IAMTHEVIOICE
@IAMTHEVIOICE 5 жыл бұрын
Wasting time men of our Kenya.
@ojhamilton7644
@ojhamilton7644 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Orengo Ajimi
@brianwattanga1814
@brianwattanga1814 5 жыл бұрын
These people are just getting sitting allowances for talking small talk. Comedy period!!!
@dominicnyabuto6703
@dominicnyabuto6703 5 жыл бұрын
These people are just petty.
@solomongithiu6318
@solomongithiu6318 5 жыл бұрын
senat should be scrapped such a waste
@WinDIYCrafts
@WinDIYCrafts 5 жыл бұрын
It's understandable.. Kiswahili si mdomo chetu
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
Kwa hivyo kizungu ndiyo mdomo yetu?
@dripemoji3315
@dripemoji3315 4 жыл бұрын
@Win DIY Crafts soo true
@nairobinyeusi5811
@nairobinyeusi5811 3 жыл бұрын
@@dripemoji3315 zoea Kiswahili colonial hangover😏
@little1920
@little1920 5 жыл бұрын
Mzungu-mzishi 🤣🤣🤣 Huo msamiati ni mkali.
@marymutavi5446
@marymutavi5446 5 жыл бұрын
Kizungumkuti weeee..
@cavinsmajiwa1953
@cavinsmajiwa1953 5 жыл бұрын
This is what you're earning your money for??? You should just be reduced in numbers...!!!
@SturehCharles
@SturehCharles 5 жыл бұрын
Hahaha, Swahili manenos
@Purrolito
@Purrolito 3 жыл бұрын
Did she said kwa nafasi hilo! And yet she claim to be a swahili teacher!
@alumanjr.4747
@alumanjr.4747 5 жыл бұрын
Mzungumzishi ni Speaker wacheni kupiga piga domo na kutamka maneno memngi yasio weza kutulisha.
@kemuntopury6619
@kemuntopury6619 5 жыл бұрын
Skuli🤣🤣🤣
@marymisachi2919
@marymisachi2919 5 жыл бұрын
😂😂badala ya shule!
@keeneds
@keeneds 5 жыл бұрын
Nafasi hino
@wambui4590
@wambui4590 5 жыл бұрын
omg, aki we are so backward
@alvinomondi4427
@alvinomondi4427 5 жыл бұрын
What is funny is that the speaker actually grants them latitude to proceed with this nonesense.Marende ako wapi?
@oslominiconcerts3538
@oslominiconcerts3538 5 жыл бұрын
And these people get paid for this???????
@annuzamo1586
@annuzamo1586 5 жыл бұрын
Hii ndio kazi wanafanya bungeni 😐 i'm dissapointed.
@bongoPM
@bongoPM 5 жыл бұрын
Hivi kweli neno spika ni kiswahili au
@obedogega6612
@obedogega6612 5 жыл бұрын
Cheruiot can't even speak a little Swahili but behaves like wallah bin wallah
@shamimaoko
@shamimaoko 3 жыл бұрын
Wallah bin wallah 😂 😂
@Kosmo4tanga
@Kosmo4tanga 5 жыл бұрын
NOOOO, MZUNGUMZISHI ?(SPEECH THERAPIST) hapana afadhali tubaki na "SPIKA" Mzungumzishi labda atakuwa ni mtu anaesaidia wale wenye matatizo ya kusema (mute)au "speech therapist"
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 4 жыл бұрын
Upo sahihi Dkt. Nakuunga mkono. Hakuna lugha isiyokuwa Duniani na kiswahili nacho kinakuwa na kukua kwa lugha ni kuzaliwa kwa maneno mapya
@mugambimunene6936
@mugambimunene6936 5 жыл бұрын
The lady is already angry and her attitude is up there and has gone on to disregard the orders and procedures of the house. She should be punished for that. Huo ugumu wa kichwa unafaa ubakie nyumbani.
@davidrussells2006
@davidrussells2006 3 жыл бұрын
Malala akili yalala
@markgeorge7426
@markgeorge7426 5 жыл бұрын
Do they ever talk about something important?
@marigu5804
@marigu5804 5 жыл бұрын
This people are paid to waste time in those houses 😤
@EmmanuelSalanoMode
@EmmanuelSalanoMode 5 жыл бұрын
Its stupid just attacking the woman because of a simple word that can be ignored and move on.Of all the good things she has said the only one that they focus on is the simple negative one,this is total bushit and idiotic
@somalidiihore2801
@somalidiihore2801 5 жыл бұрын
Duale na junet wako wapi wakati huu😂
@peterkariuki9736
@peterkariuki9736 5 жыл бұрын
Go back to senators instead of discussing primary school discussions the whole day
@marykamau9043
@marykamau9043 5 жыл бұрын
What is all this about?
@mcharia5766
@mcharia5766 5 жыл бұрын
What does this help Kenyans who are struggling to earn a living. These guys are waste of space. Mavi kabisa.
@jacobmalova4891
@jacobmalova4891 5 жыл бұрын
surely how many minutes has been wasted discussing a none issue?!!!!!
@gamalsankara1388
@gamalsankara1388 5 жыл бұрын
SHENZI!! SHENZI!! SHENZI!! 😂😂😂
@mimi-channel
@mimi-channel 5 жыл бұрын
Today i approve senators have no wisdom
@isaqlid4289
@isaqlid4289 5 жыл бұрын
Kwendeni huko!
@ngigepaul1569
@ngigepaul1569 5 жыл бұрын
I just cant imgn this is what they do with our tax payers money
@alumanjr.4747
@alumanjr.4747 5 жыл бұрын
Mzungumzishi?
@romofas
@romofas 5 жыл бұрын
The Honourable Lady Senator may be right, and of course has the right to introduce the new "msamiati". BUT for heaven's sake why do it with such ?!? ARROGANCE?!?... to the point of invoking her father's name? "Eti mimi mwana wa Zakaria...blah blah blah..." It seems anajiona vile yeye ni PhD ni msomi saaana kiasi kwamba hawezi kubali kukosolewa na hao waheshimiwa wenzake. Hiyo attitude ya kupuuza hata maagizo ya Bwana "Mzungimzishi" inachukiza sana na haifai. Jameni let's learn to be humble. In my view, the Hon Lady senator squandered her golden chance to introduce a fresh term into the Senate vocabulary because of her lack of tact and her undue sense of self-importance. Hata kesho akileta uthibitisho kuwa hilo neno ni sahihi hao waheshimiwa wenzake hawatapenda kulitumia. Atabaki kulitumia yeye mwenyewe...
@clubblvq
@clubblvq 5 жыл бұрын
The arrogance is on 1000% 🤔😒
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 5 жыл бұрын
Hii ilikua churchill
@antonyreyes5105
@antonyreyes5105 5 жыл бұрын
Nonsense 🤣
@morasimba290
@morasimba290 5 жыл бұрын
Ongeeni lugha yenu ya kiswahili sio kizungu mingi ya ujinga namkiomba kura mwaomba na kiswahili
@timjosephtz5631
@timjosephtz5631 5 жыл бұрын
Madam unazingua mzungumzishi ndo nini aliekufundisha nani! !!!!!?
@linatlinat1700
@linatlinat1700 5 жыл бұрын
hapo ni ukwli kibasi
@jeremiahlaurence2262
@jeremiahlaurence2262 5 жыл бұрын
Kiongozi wa Mazungumzo anaweza kuitwa mzungumzishi. Kuwa wabunge hawajui sikusema haliko. Mbunge la Seneti halitungi lugha. Watu huendelea kuboresha lugha yao. Na muunga mkono Dr. Zani.
@mmlove9127
@mmlove9127 5 жыл бұрын
Kiswahili Oyeeeeee....wafundishe hao....
@mwalimujerrymathew9403
@mwalimujerrymathew9403 5 жыл бұрын
kujua kiswahili, nendeni darasani jameni....
@cullenndungu
@cullenndungu 5 жыл бұрын
this looks like a class 5 .debate session
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Жыл бұрын
😂😂😂
@davidshuma
@davidshuma 5 жыл бұрын
msemaji wa bunge naye ndie nani ?
@austineogola9668
@austineogola9668 5 жыл бұрын
Msemeshaji😁
@alvinomondi4427
@alvinomondi4427 5 жыл бұрын
Raila would have done better
@jesseshadrack9326
@jesseshadrack9326 5 жыл бұрын
Do away with Senate. Bure tu
@davisoluoch9368
@davisoluoch9368 5 жыл бұрын
Hey give senators latitude, they also need to relax aki.
@NursingMath
@NursingMath 5 жыл бұрын
Stupid taking hours discussing "swahili name" come guys move on to the agenda of the day!
@aineahobed200
@aineahobed200 5 жыл бұрын
Nonsense
@hitimanajoachim.thierry6936
@hitimanajoachim.thierry6936 3 жыл бұрын
Hakika Africa tunashida saana tunapoteza mda saana....iyo neno sio zuli ayilete heshima kwa kiongozi Mku wa Bunge
@aggreyjaguga2323
@aggreyjaguga2323 5 жыл бұрын
,mzungumazishi
@joenderitu8531
@joenderitu8531 5 жыл бұрын
Wastage of our precious time
@matwide1387
@matwide1387 5 жыл бұрын
Why?
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 5 жыл бұрын
Wewe ni mbunge?
@jeremiahlaurence2262
@jeremiahlaurence2262 5 жыл бұрын
Huo si udictator kwa kutoelimika kwenu masenata wasiojua lugha yao
@kanyaugatiejagwo
@kanyaugatiejagwo 5 жыл бұрын
With all the challenges Kenya is facing...these clowns find time to roast the speaker on tax payer shillings.
@maureeningosi158
@maureeningosi158 5 жыл бұрын
Bunge lakaa kudebet kuhusu mzungumshizi lina maendeleo gani kuhusu taifa hili letu jamani wacheni kutuenjoy hamkujakuliwa kuenjoy bali mlete maendeleo kwenye taifa
@bekatv1009
@bekatv1009 5 жыл бұрын
Hakuna kitu kama mzungumzishi...nonsense
@iddisaidimgallah1612
@iddisaidimgallah1612 5 жыл бұрын
Your comment is nonsense... if you are ignorant of something don't claim it doesn't exist...
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 5 жыл бұрын
Seneta Orengo hajuwi kiswahili mufti,, mzunguumzishi niyule mtu anaruhusu wengine wazungumze. Ila seneta zani anakosea pale anapomtaja speaker wasenate mzunguumzishi bila kunyambua; mzunguumzishi wa nini, Inafaa aseme mzunguumzishi wa seneta. Au mzunguumzishi wakikao hiki.
@birech003
@birech003 5 жыл бұрын
Kumbe ningekua ata MCA, mko na upuzi sana smh!!!
@petermbeda9214
@petermbeda9214 5 жыл бұрын
Birech Elijah 😂😂😂😂😂
@mbajawagome4878
@mbajawagome4878 5 жыл бұрын
Spika ni neno la kingereza jamaa , acheni uhuni
@gilbert1982alando
@gilbert1982alando 5 жыл бұрын
Speaker's ruling is not up for debate. Intense vocabularies can be barriers to communication, don't try to confuse listeners - the idea is to convey your message not teach language. She's very arrogant and voters should reconsider their decision, challenging the spika sets a bad precedence
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 5 жыл бұрын
Waswahili ambao wanatoka maeneo ya puani. Rip mp
@mwalimujerrymathew9403
@mwalimujerrymathew9403 5 жыл бұрын
seriously,, a kiswahili word is discussed all this time surely?
@wanelly
@wanelly 5 жыл бұрын
The slaves have to use the master’s language and would fight to preserve the master’s language. Here is a good example! I like her balls. She has a spine. Just coz they don’t know the word, they shouldn’t make her withdraw her word. Kiswahili imechanga hawa.
@isaacnyangau7508
@isaacnyangau7508 5 жыл бұрын
Just a nominated senator what if she gets elected by people
@abdialigure9628
@abdialigure9628 5 жыл бұрын
Mbona speaker ana wapa hio time yote ku ongea upuzi 🤔 hawa watu wana faa wote wa ende kwa Churchill show awalipe siku spend pesa za uma masikin nonsense ujinga mtupu wote wa ende 2022🙏 😬😬😬😬😬😬😬
@peetobenson6055
@peetobenson6055 3 жыл бұрын
Swahili for Tanzania bt not for Kenya... English to be used as normal.... you see that madam she doesn't know English ....
@nairobinyeusi5811
@nairobinyeusi5811 3 жыл бұрын
Kiswahili is our Language you Colonial hangover. Lazima tuongee Kiswahili Kenya.
@bioprimeinsuranceagency5937
@bioprimeinsuranceagency5937 3 жыл бұрын
This woman is so immature
@collinsmutiso3099
@collinsmutiso3099 5 жыл бұрын
really
@wambuamusyimi6876
@wambuamusyimi6876 5 жыл бұрын
ghai wabunge wetu anyway debate on something which makes sense
@achangomaitambae1229
@achangomaitambae1229 2 жыл бұрын
bwana kipanza sauti
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
I bought a Range Rover at 24 By Trading Forex
12:34
Ahikyirize Daniel
Рет қаралды 12 М.
Panic In Mt Kenya As MP Osoro Delivers Bad Message
4:43
MTN MEDIA
Рет қаралды 7 М.
DRAMA ERUPTS IN SENATE 🔥 HEATED EXCHANGE BETWEEN SIFUNA & KHALWALE
15:36
Kenya News Channel
Рет қаралды 150 М.
Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
10:27
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН