Рет қаралды 11,451
Baada ya Tetesi kuibuka kuwa kuna njama ya kumng'atua naibu Rais Rigathi gachagua inayodaiwa kupangwa na baadhi ya wabunge kutoka mlimani, Gachagua amerejea nyumbani nyeri kwenye halfa ya maziko ambako anatarajiwa kutoa mwanga kuhusu suala hilo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya