Jambo bro kabisa uyu music njo unafanya nianze kukufatiliya kwanziya leo bro vraiment courage mingi
@davidnondochano Жыл бұрын
Sikuagi nakukubali ila Naona uyu wimbo ndo imeondoa kukuchukia..... Mwanangu iyi Ngoma imekuvisha kofia ya KING BEMBE BOY .mimi nakuitaga ABAKO, MWENYE BAHATI YA KULENGA SHABA YANI BEBEROOOOOOOOOOOI
@CheedMk Жыл бұрын
Bro waache waseme t uwezi kupendwa na kila mtu ila pambana bro tupo nyuma yako mungu atakubariki usivunjike moyo kwenye mziki akukosi majungu wala fitna bro mungu akubariki beberoo kengee zidi kupambanaa
@NibarutaOdira-gj4kl Жыл бұрын
NIC from Tanzania 🇹🇿🔥🔥
@kingritagospal840 Жыл бұрын
NYAGO unaweza dogo congratulation unawez my young
@mtumzimasong9978 Жыл бұрын
Uyo ndo captain wakambi wangine wahimbe nyago man Bug up sana ✍️🙏🙏
@gloiresadiki Жыл бұрын
Iyo ss ndo ngoma you kill man big up sana ❤️
@scholasticatoyi Жыл бұрын
Dogo zuuh Wang huo 🥰🥰🥰🥰🥰
@AliKashindi8 ай бұрын
Atfudgos
@Jax_all_talents Жыл бұрын
Ningelikuwa Kwenye Kambi yenu uko aiseee Ninge kutafuta nikupe mkono big 😊✌️♥️🕊️
@Jax_all_talents Жыл бұрын
Kwani unapatikana Camp IPI big?
@waterfire3473 Жыл бұрын
@@Jax_all_talents nyarugusu camp Tanzania
@davidnondochano Жыл бұрын
Seen by mukulungwa moja famsinexoslegra baba meeeck yani Mokonyoooooo 👌👌👌👌👌👌👌👌
@ismailikakozi9549 Жыл бұрын
dhaa jamaa ana weza''''nyago man kama diamonde Na zuchu mziki nikujiongeza kweli
@themicbandforeveryone19997 Жыл бұрын
Dogo tangu usanze leo ume fika sasa moyoni dogo
@ablosrajabu2243 Жыл бұрын
Nc 👊🏼 BeMbE boy nime ikubali iyoo
@adelaungwa9232 Жыл бұрын
Wow ninzuri sana bebero amakweli unajuwa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@willypro4623 Жыл бұрын
Bembe boy ❤❤ ila Bando lanGu utalipa mahana nimeview mara 100❤
@davidnondochano Жыл бұрын
Big up bembe boy abako ..
@sofiamasumbuko3857 Жыл бұрын
Nyago man fire kabisa
@mukaplatinumz3045 Жыл бұрын
Tumesubiri sana Final kichupa kipo on air 🔥 bembe boy x queen zuu 🫡
@joliekashindi6093 Жыл бұрын
Ongereni , mumehimba vizuri, nimeupenda
@Elyboylapoto Жыл бұрын
bembe Boy 👑 Top 🔝 1 FROM CAMP
@guerschomgjuvomary993 Жыл бұрын
#Umekaa vema sana kwa kweli Bonge l' accoustic #NITAVUMILIA
@abestodepute2718 Жыл бұрын
Hii nakubaliiii sana nisiwe mnafkiii
@guerschomgjuvomary993 Жыл бұрын
Mwamba Fulani na Queen 👑 Fulani Dogo zuuh 🙌
@emmanuelwabamufumbe3104 Жыл бұрын
Huyu mbona anazidi wabembe wa marekani huyu.congratulations mzee.Mie ndo NYAGO MAAAAAAAN
@OfficialM.MORIYAkitokojuma1256 Жыл бұрын
Nyago achana na bifu za yule dogo kwasasa nimeamini nikiasi gani umekuwa kimziki kwaiyo usipo tizama ata kushusha uki fatana nabifu zake za kitoto
@mtumzimasong9978 Жыл бұрын
@Nyago man anaweza Sana Big up sana captain wakambi wangine wahimbe ✍️🙏🙏💪
@mtumzimasong9978 Жыл бұрын
Kweli Kama Alivyoongea Nyago ihii ngoma angepiga nashani watu wangeelewa tofauti
@amezingteam565 Жыл бұрын
Wewe unaweza tu mziki kwako umekubana vizuri sana 🎉🎉🎉
@tangachaapele1396 Жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa 🙌🙌🙌
@davidnondochano Жыл бұрын
Sikukua natarajia kama unaweza Kupiga accustic kama iyiiii...afu SPY MKOROFI kaituliza ngomaaaaaq yani Mokonyoooooo 👌👌👌👌👌 .tena mokonyoooooo 👌👌👌👌👌
@kashindiwanegredo8520 Жыл бұрын
Safi saana kweli ❤️❤️
@sadiolomwene5107 Жыл бұрын
Bembe boy & bembe girl niatar sn, mbona grand music 🎶🎶 ipo kimya sn Hadi mashabiki tunaumia daaa ila sio noma lkn tunataka jipya kutoka grand music 🎶🎶 BISOSHIIII
@nyagomangm Жыл бұрын
Be ready guys Soon Grand music
@sadiolomwene5107 Жыл бұрын
Hapo ndo tunasubir kwa hamu sn daaaa Raha tupu
@swedidavid3744 Жыл бұрын
Bembe boy ♥️💪
@AloboVibes Жыл бұрын
🔥Alobo Vibes !!!
@mmassadieudonnengomoya8607 Жыл бұрын
Toka uwanze kuimba huu ndo wimbo Bora kwa upande wangu ngoj nikadalodi 😁🙏🏾
@d0g0jey44 Жыл бұрын
Team nyago tujuwane bas 🔥🔥
@Kotelvo8273 Жыл бұрын
Nyago unajuwa sana ❤❤❤ Follow akasome kwanza
@Djhero20 Жыл бұрын
Daa ume uwaa sana nyago man mungu aku bless kwa k kazi nzurii bless 🙌 nyago man
@raymondsongolo6963 Жыл бұрын
NyaG ni kma maji wakikataa kuoga wata yanywa tu Umeuwa xna mwamba mnyabiii 🙌🙌🙌🙌
@babakoog1 Жыл бұрын
Bembe boy daaah unajua mpaka unakera bro big up sana ❤nice song
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
King wanaokukataa awajui mziki kabisaa uu ndo mziki mzuri kazi nzuri nyango man and dogo zuuu
@BrownD Жыл бұрын
Nyago auja wahi kuni Hangusha 💣💣🔥
@danielmusema2653 Жыл бұрын
Kuanzia ulivyoanza kuimba hapa ndoume imba sasa👏👏👏👏
@milungaapeshijerome Жыл бұрын
Seen by M FROM DUBAI OG nimependezwa na song yako bembe boy 💪❤️ kama na ww pia pitia na like hapo👇👇👇👇💪🙏👇👇👇👇👇👇👇🙏
@swedidavid3744 Жыл бұрын
#NITAVUMILIA ahiitaji Ahiitaji Hiphop ili iwe Bora kweli Hiphop inaongeza ladha kwenye mziki lkn kwenye wimbo huu RNB na Afropop vinatosha sana... NYAGO MAN na DUGU ZUUH Awaitaji Hip Hop ili NITAVUMILIA Ihonekane Bora...Hapa mmefanya Jambo la maana la kufaidisha industry yetu ya muziki hapa kambini 🙏🙏
@nyagomangm Жыл бұрын
Wow Thanks blazaaa nimehelewa comment yako sanaa Ahsante sana kaka
@vumiliamasoka4649 Жыл бұрын
Ni kitu cha kujivunia Kua na KIJANA KAMA WW NYAGO MAN BEMBE BOY
@tgofficial06 Жыл бұрын
Big Up bro bembe Boy kwa ngoma yako Bora
@bobgm1022 Жыл бұрын
Ebembe to the word 🌍🌎🌎 Naomba like ya spy please
@AliKashindi8 ай бұрын
Sgzu🌹❤️❤️❤️❤️
@mrlyricsstar7881 Жыл бұрын
Maros Production On This dope song Ngoma Ni Kali
@Dogokillerog Жыл бұрын
Bembe boy to the world 🌍🌍 baby
@kamaronaldo723 Жыл бұрын
Munyama uyo ❤big up bro 😎 focus 🧘♀️
@OfficialM.MORIYAkitokojuma1256 Жыл бұрын
Ukiwa kwenye interview wakuuliza kuusu yeye ata usiitaji kumuoneleya please 🙏 nakushauri dogo langu
@alengaakili961911 ай бұрын
nimeshaga sikia nyimbu 1000 kambini lakini iyi kitu nimeikubali sana my freidy nyaho man bembe boy mzee iyi kitu imejitaidi sana kaka naikubali sana kweli God aendeleage kukupaga nguvu upige ingine kama iyi