Nyerere kutangazwa Mtakatifu? Askofu Mkuu Ruwaichi Atoa ya Moyoni/Aeleza nini Kifanyike/Atuma Ujumbe

  Рет қаралды 7,577

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Katika Ibada ya Misa Takatifu ya Uwaka kuwategemeza Dada Wadongo Askofu Mkuu Ruwaich katika Homilia yake Alipata Nafasi ya Kugusia kuhusu Raisi wa Kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Kusisitiza yafuatayo.
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 10
@kastulideemay6721
@kastulideemay6721 2 жыл бұрын
Asante sana mhasham baba Askofu mkuu kutushirikisha nasi hayo ambayo umepata kuyafahamu, mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema, atuongoze kutambua mengi yaliyositirika katika nafsi ya mtumishi wa Mungu mwl Julius Kambarage Nyerere...! Amina, Amina, Amina
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 2 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana Askofu wetu Rwaich
@marandothomas6064
@marandothomas6064 2 жыл бұрын
R.I.P MTUMISHI WA MUNGU , MWL. JK NYERERE. Ingefaa na kama ikimpendeza Mwenyezi Mungu Mwingi wa Huruma na Rehema, ili siku moja kupitia Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume utangazwe mwenye heri, kisha mtakatifu kwa njia mchakato ( Canonization of the Saint ). Amina.
@robertmusyoki2462
@robertmusyoki2462 2 жыл бұрын
Kwa hakika, na iwe hivyo
@amanikiondo3992
@amanikiondo3992 Жыл бұрын
Nayaheshimu na kuyapenda homulia yako Mhashamu askofu mkuu Ruwaichi
@majumamasinde1953
@majumamasinde1953 2 жыл бұрын
AMEN man of God
@sebastianungimba4676
@sebastianungimba4676 2 жыл бұрын
Mtakatifu wenu nyie maaskofu sio kwa mungu,
@mosesmagehema3605
@mosesmagehema3605 2 жыл бұрын
Amina
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 2 жыл бұрын
We ni nan unaeweza kumpa binadamu mwenzako utakatifu?
@benjaminimlwatigood531
@benjaminimlwatigood531 Жыл бұрын
Sasa tunamuomba nyerere !!!!!! Kwakwel askofu uokoke tu mapema usijafa
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 19 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 2,9 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
SENTENCING OF ACTING INSPECTOR GENERAL OF POLICE GILBERT MASENGELI
19:01
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 41 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 17 МЛН