Safi, Sana rahisi Nyerere, nimependa speech yako, Sawa, Sawa na wimbo wa afande sele, wimbo unaitwa DINI ZILIVANYA KUJA, hongera sana
@hancepopessau25272 жыл бұрын
This man was absolute genius,he was the greatest man ever in Tanzania and Africa in general
@mohamedalinureini4724 Жыл бұрын
Mwalimu could see and had vision to follow the road to the future is to Serve the common MAN, that is the chosen leader with stronge ability towards success.
@clintonowira7278 Жыл бұрын
Don't just quote because you've data bundles at your disposal
@agnesdarch31875 жыл бұрын
It is always a good tonic to revisit these speeches by our great and true African leaders. It gives ME hope. ALL is not lost in our mother continent. God bless 😇 Africa 🙏. Nkosi Sikelele Africa ✊👊💪
@anthonygikuri Жыл бұрын
Tanzania tulibahatika kupata kiongozi. Hakuwa mkamilifu 100%, lakini tukikosa shukrani, 😢
@watsonnyaisa567 Жыл бұрын
Father of nation hakuna kama wewe mwenyezi mungu akusamehe dhambi zako raha ya milele akupe eeeh bwana na mwanga wa milelele umwangalizie apumzike kwa amani mwl julius kambarage nyerere
@ngongahbilly9434 Жыл бұрын
In the whole of Africa, it was only Mwalimu JKN who could give lengthy philosophical, factual, and political speeches and lectures that made sense. The rest were, and still are capable of only slogans, epithets, and obscenities.
@michaelkasoa-w2b Жыл бұрын
well said
@JasporBash27 күн бұрын
This was one hell of a teacher.......the more I Listen to this video,the i get addicted
@traveledra20155 жыл бұрын
MWALIMU JULIUS NYERERE WAS A LEGEND IN OUR HOUSE.I GREW UP LISTENING TO HIM. TANZANIA IS BLESSED
@fredylutina73868 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akulinde milele na milele huko uliko Amina
@benjaminmishashi36428 жыл бұрын
Hii ilikuwa ni neema ambayo mwenyezi Mungu alitutunuku. RIP our father of a nation.
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Kabisa 👊
@hashimashuku2312 жыл бұрын
He was a God sent maker of a great nation, a true Pan-African statesman in deed. May you rest in eternal peace Mwalimu🙏.
@treestem90812 жыл бұрын
Nyerere Mwalimu wetu mpendwa was Afrika. In mhenga wetu was kutufunza uzalendo wa uafrika. Ahsante Sana kwa Mwalimu wetu anayeishi milele.
@afrakanaswahilitv55202 жыл бұрын
Mwalimu nakuhusudu na kukuhamu sana. Kweli baba ulikuwa mwadilifu na mwenye maadili. Mungu akurehemu na kuweka roho yako mahali pema peponi, Amina.
Baba hakika ulisema na maneno yako yameishi na yanadumu mpaka hapa ninaposikiliza, ila ungekuwepo TZ tena ungechukizwa mno. Amina
@RB35658 жыл бұрын
Much respect Mwalimu Kabarage. Love from Kenya RIP
@jacoblaiser76344 жыл бұрын
Nakupenda Kiongozi wangu na hakika mawazo yako yataendelea kuishi Tanzania, africa na dunia nzima. Pumzika ''Mwamba'' kwa AMANI, AMEN !!!
@aslamjiwani7759 Жыл бұрын
Great warrior of Africa....if they wud follow his legacy the whole Africa wud be one Africa as a nation one language
@laurentmnana33859 жыл бұрын
Mungu ailaze pema peponi roho ya m wl. Nyerere. Amakweli alitabili nani mwingne,? Leo hatuna viongoz wengi wao n..
@andrewassey5108 Жыл бұрын
You deserve to be called saint. God be with you. Mtumishi wa Mungu Mwl JKNyerere.
@petermawa221710 жыл бұрын
Truly there shall never be a leader like you....... We shall live in Ur memories RIP
@amanimgoba41392 жыл бұрын
Ķ
@fbensony10 жыл бұрын
inahitaji kuwa na akili sana kuweza kujua what he was talking about R.I.P Mwalimu Nyerere The Founder of Inspiration
@botlomeoevodi96383 жыл бұрын
Mungu mwema sana kazi ariimaliza na mwendo kaumariza kiricho baki kumuenzi kwa matendo sikwamaneno
@benarwa49058 жыл бұрын
Hakika TANZANIA bado hakuwa wa kulinganishwa na Mwalimu J. K. NYERERE,, May God hundle & store your Saul in the everlasting kingdom.
@josephatpatroba41888 жыл бұрын
God bless mwl nyerere for being very inteligent in tz and in the world
@gilbertdonald76346 жыл бұрын
intelligent person ever no one will be like you dear sir. Nyerere💪🙏 our national will remember you great indeed
@romwaldkisima53642 жыл бұрын
Great father. You did a lot to us.Holloist,charismatic leader.you were. Amen.
@mrmanyonyilucas14829 жыл бұрын
Mwl nyerere ulitupenda sana!Tutatumia hotuba zako kupiga vita rushwa!Kipindi hiki muhimu sana kwetu.Tunahitaji kiongozi anayekemea rushwa bila haya!
@patrickb.dignity49672 жыл бұрын
Mwalimu's words deserve to be recognized by all people, "wakandamizaji" na "wakandamizwaji"
@unclemyco879 жыл бұрын
tuunhane kwapamoja kumuombea na kumeweka chini ya ulinzi mwenyez mungu baba yute mwl julius kambarage nyerere
@DamasKMpepo2 жыл бұрын
Absolutely, it is a teaching speech, a political guideline to all the citizens in any nation in the world. Be blessed Mwalimu Nyerere.
@cherrydabosslady10 жыл бұрын
waliosema bora ukose mali upate akili hawakukosea. Watu wanabisha vi2 na ndo vinavyotokea sa hiv!! jaman 2fikirie sana...!! #Nyerere #TheTrueLegendy always #MyHero !!!
@alimdoe83073 жыл бұрын
Tanzania ni moja tu! Obrigado Tanzaniano. TUSIDANGANYWE NA WENYE NJAA NA KUOMBAOMBA! Kama Lisu na umbwa zake. Nchi siyo mtu mjinga. ADUI AKIKUPENDA ,Geuka kidogo,mtazame. UTANZANIA,HAUNUNULIWI.
@fhhcjf68242 жыл бұрын
It is pleasure to see the whole people from East Africa they appreciate his speech and drope their comments here
@jamesmuriungi16104 жыл бұрын
Wish Kenya had one nyerere for two terms as president. This speech should be played for all Kenya's.for this is the real state in Kenya today.he really for saw this coming. R.I.P mwalimu nyerere
@otienoagiro2 жыл бұрын
Africa has never had a leader like Mw.Nyerere. Extremely intelligent, unassuming and a gifted orator. Writing from Kenya.. I never tire listening to his speeches...
@otienoagiro2 жыл бұрын
Jambo Juba. Habari ya Kigali? Muko salama salmini?
@RenePietersen-q9e Жыл бұрын
I Like speech father country bring long time
@leonardmeshack26618 жыл бұрын
Hotuba ya mwalimu ikitafsiriwa neno baada ya neno ni katiba nzima kwa asilimia 88 watanzania tunabahati kuliko nchi yoyote africa na huenda na baadhi ya mabara mengine, tusifikiri sana juu ya umaskini wetu lakini fikiria pia nchi maskini au tajiri lenye vita kila wakati. mungu ambariki rais Magufuli awaongoze watanzania kuondokana na umaskini i hope nchi hii itakuwa kivutio cha utalii katika ngazi ya 'perfect nation'
@mussabwereko51108 жыл бұрын
Baba wataifa aliondoka mapema sana mno leo hali mbaya, sana Burundi.
@nestor3842 жыл бұрын
Two gift God has ever gave us Mwl. Nyerere and Dr. John Magufuli.
@edmundphilemon3054 Жыл бұрын
Exactly
@okinyifrancis5315 ай бұрын
And myself
@Christinasigara Жыл бұрын
Mweee Takukuru fanyeni kazi yenu kukomesha RUSHWA.
@andrew29468 Жыл бұрын
Mtu mwema aliyewapenda sana Watanzania Nina tuna kuheshimu sana,hukuwahi kuwa na hisia za ubaguzi Kiongozi bora kabisa aliyewahi kutokea sio tu Tz bali Africa nzima
@girbertcharumba16816 жыл бұрын
namshukuru nyerere kwakutuachia nchi sarama mungu akutangulie. amee
@mariamnimbo83942 жыл бұрын
RIP JKN!!!! Hekima zako na busara zako laiti wangefuata na kutekeleza tungekuwa mbali mno mno, nchi iko ukingoni kama inatumbukia mtoni, wafujaji na wezi wa mali za umna wamekithiri, wanaona nchi kama yao, Mwenyezi Mungu uturehemu na utusaidie.
Oh mungu ni wazi kuwa hakuna mkamilifu duniani chini ya jua. Ila mwalimu nyerere muweke mahali pema peponi, kiongozi aliacha tanzania na uzuni mkubwa. Rais wa dunia. Baba wa taifa rest in peace ila nyuma Amini na uhuru umeanza kutoweka. Daima tutakukumbuka sana, sanaaaaa.
@princemichael68158 жыл бұрын
JK I am behind your step ,proudly to have you in Tanzania.
@makumbele10 жыл бұрын
Ni kweli. Dhambi za ubaguzi hazishi... ukibagua kubali kubaguliwa. Usilalamike.
@wadeelegbogun30154 ай бұрын
Tutaendelea kukumbuka daima mzee wetu NYERERE
@raismalingumutz8473 Жыл бұрын
Hamufati Seria baba wa taifa wa katiba , tusichangue Tena chama tawala tubadilishe chama wananchi tunateseka Sana hatujali vitu vimepanda vyakula juu maisha magumu , tusiwape kura Tena , watanzania amkani
@charleskaflela57474 жыл бұрын
Akili zako zikasimame kwa Taifa la Tanzania, Mungu ailaze roho yako mahara pema peponi.
@richardboaz-mashagospel23464 жыл бұрын
Yaani huyu mzee katulea vizuri sana....maneno yake ya kuunganisha watu wengi hivi si ya kitoto...kama tu kwenye familia zetu wazee wanashindwa....huyu mzee alikua na maono Makubwa. Baba wa Taifa langu nampenda sana. Viva Mwalimu viva Tanzania, Viva Magufuli Viva Tanzania
@TheOne-fi6cs6 жыл бұрын
Uko sawa sana Mzee wetu, Mungu ailaze Roho yako mahala pema.....
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Loh,kifo hakuna huruma kweli! Tunamshukuru Mungu alimtumia kutufanya Watanzania tuwe ndugu na marfiki wema sisi kwa sisi.
@tobiasmollel1982 жыл бұрын
Huyu mzee bwana noma sana lazima ujifunze kitu wema hawadumu
@mweyoms55483 жыл бұрын
Nikikikumbuka hiki kichwa,nikikikumbuka kichwa kingine mahiri kutoka kule Ghana kiitwacho Kwame Nkrumah,hakika mchozi yananitoka.Hawa waliiona hatari ya Afrika 'kumezwa' na mabeberu kwa ukoloni mpya.Na kweli imekua.Watawala mazuzu/mazezeta barani Afrika,hakika 'wameliuza' bara la Afrika kwa nyang'au wale wale waliobadilisha sura.Inauma sana.
@bishopwalwenda85553 жыл бұрын
He was a rare specimen of leadership in Africa. Rest in peace Mwalimu
@jacquelinelouis8115 Жыл бұрын
Kabisa
@honestyfirst21658 жыл бұрын
Hongera Mwalimu, Ulikuwa kiongozi wa kweli, if East Africa had united, he would have been the best to lead this part of the world. Alas, my Kenya, we were not endowed with such honest, patriotic and servant leadership. The consequences are now clear- tribalism, nepotism, corruption etc
@mlewakidai55232 жыл бұрын
Baba,walau kizazi ambacho hakikuweza kukuona wasikie baba ujumbe wako,RIP
@shaz6512 жыл бұрын
Mwalimu… we truly miss you!! The wisdom, the sense of humor. What a man! Keep resting in power!✊🏾
@masarendwata15562 жыл бұрын
5th.
@masarendwata15562 жыл бұрын
He is human toerror not iflable
@masarendwata15562 жыл бұрын
Anachaguliwa kutetea katiba vipi atumie Qoraan kuapa? Na si katiba hiuohiyo? Je ana ongoza kwa mujibu wa shatiya?
@isaacayienda49419 жыл бұрын
Shall i find a president of this kind in Africa,it will be a new page to write in African history.kudos Nyerere kwa utu wema ulioonyesha watanzania na Africa kwa jumla.
@fadhilikigora1327 жыл бұрын
Haiji tokea raisi mwenye akili ya kufikili la kesho Kama Nyerere God bless you ulikolala akulinde tunakuombea ufufuke usaidie wanyonge Dunian hap
@norbertkatiechi96078 жыл бұрын
Nyerere was indeed a true statesman, how i wish other African leaders to emulate his ideals and those of Mandela.
@zittotv99725 жыл бұрын
Yani huyu Mzee mzanaki wa butiana alikuwa anajua hadi anaboa daaaah..RIP baba yetu nyerere
@careyorege686910 ай бұрын
Tanzanians, you got something priceless from Mwalimu which has eluded all other African leaders past and present ….elimination of tribalism. A great leader indeed. RIP
@alphoncewambua78782 жыл бұрын
A true panafricanist.We miss his wisdom and guidance.Let his soul R I P Amen
@frankmbugi73667 жыл бұрын
Naamin kwamba lait mwalimu hadi leo angekuwa mzima kwaya ambayo angeya shudia yanayotokea leo sijuuui. ee mungu mlaze mahali pema amen
@kiswahilikitukuzwe25476 жыл бұрын
This is the greatest political speech ever in my opinion. As a pan Africanist, it should be recommended to be taught in all African schools and universities!
@michaelmacha65923 жыл бұрын
That’s right
@bensonmuriithi17813 жыл бұрын
agreed
@vicentgeorge56792 жыл бұрын
@@bensonmuriithi1781 ff
@mayanikusongwa66382 жыл бұрын
Ulikuwa unatosha mungu akulinde mwl
@moregainer9 жыл бұрын
I've watched the whole time. It's informative, exciting
@johnsamanga90237 жыл бұрын
Nyerere was a true African statesman with the people at heart.Many today have failed to emulate him.
@heraldloshi18642 жыл бұрын
May his soul continue to rest in peace.Baba hakua tuu Mwalimu, ila alikuwa na kipawa cha unabii wa siasa, na maendeleo ya watu.
@Mussa-t1qАй бұрын
Ujumbe mzito sana. Kila mtu achukie ubaguzi.
@robertkisusi15467 жыл бұрын
UONGOZI NI KARAMA SIO kazi ya kukimbilia...
@patrickb.dignity49672 жыл бұрын
"For rich man to reach to heaven it will depend the miracle of Mungu/ God/Allah - Jk Nyerere Maximum Respect!
@martinezthomas0302 жыл бұрын
Watu walikuwa wanaenjoy hotuba mwanzo mwisho wanacheka aisee mwl nyerere alikuwa anaupeo wa hali juu sana🙏
@afrakanaswahilitv55202 жыл бұрын
Msamiati halisi wa "wanaenjoy" ni wanajivinjari au wanaburudika.
@jonymassawe42458 жыл бұрын
thanks GOD for you're gift that you brought to us,, an intelligent one mwal nyerere
@isaacayienda832 жыл бұрын
NYERERE daima Mungu ailinde roho yake peponi
@StephenOAwidhiKotiang2 жыл бұрын
Great Speech by Mwalimu!
@wilhelmsabas88352 жыл бұрын
Hongera Samia rais wetu wakati Nyerere anahutubia 1995 ulikuwepo,
@harounbuzohera47973 жыл бұрын
Kwa kweli hii ndiyo dira ya siasa yetu. Mungu ibariki TANZANIA YETU.
@josephgomalo412 жыл бұрын
Mawazo na matazamo kama huu umekuwa ni kosa la jinai kwa wahuni ktk Tanzania leo hii..! Ukitetea taifa unaonekana mbaya.. na wahuni walioko CCM na serikalini watasema unyamaze. Leo hii wangekuambia unyamaze Mwalimu. Wamemnyamazisha Uncle Magu kwa manufaa yao binafsi. Wamemnyamazisha Uncle Magu, aliyefuata mfano na juhudi zako.. RIP UNcle Magu. RIP Mwalimu.
@MohammedAwadh-gq9siАй бұрын
Wapo vile vile wajinga wajinga kina mbowe lissu( robot) na manyumbu wengine walioshangilia kifo cha jpm ,bado wanadai eti Sisi watanganyika ,wao wazanzibar! Laana iwe kwao na kwa watoto wao na wale waliowafuata!Amen
@mpendakiswahili30533 жыл бұрын
Na nyie watanzania mli barikiwa na viongozi wenye ustaarabu...
@nuuriyamaxmed86682 жыл бұрын
Asante baba kwa hotuba yako sahihi Mungu akubariki
@andreajohn44348 жыл бұрын
Rais makufuli mungu akusaidie hutende kama mungu atakavyo
@tariqmaduga80513 жыл бұрын
14-10-2021 kwa mara nyengne teena nairudia#RIP my legendary nyerere
@edwardedward25206 жыл бұрын
Hahahaaa! asionekane East Africa safi sana kiongozi anaejiamini nampenda sana....!
@aminamohamed94273 жыл бұрын
Allah Akupe lilo Jema huko ulipo baba
@fene-djnews95579 жыл бұрын
Kama kuna mtanzania anayemsikiliza Nyerere na amsikilize. Mungu alimteua na tulipata bahati.
@masigobenedict30595 жыл бұрын
Daaaah baba we miss you sana
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Hiki kichwa na Roho vilitoka wapi? Kweli ni zawadi kutoka kwa Mungu. Ukisikiliza haishi hamu. Hotuba zake hazichuji. Ni mamlaka daima. Tuombe Mungu atuletee wa hivyo .
@ericnimpojeje94322 жыл бұрын
Respect 🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️ watu wadhuli kama huyo hawana maisha malefu kwanini?
@kipyakizuri586710 жыл бұрын
"Makaburu wa Tanzania ni wale wanaejiita Wazawa" Mwalimu Nyerere.
@frankmgecha680111 жыл бұрын
kiukweli tutazame maneno kwa akili ya hekima na busara na kisha tuelewe maana halisi ya hotuba na tuifanyie kazi.Mwl Nyerere Mungu akubariki
@alexanderfreeman89272 жыл бұрын
In many African hearts, you dwell forever mwal. Nyerere
@orinamark76095 жыл бұрын
Mwalimu mwenye usemi ulio na hekima na maarifa yasiyo wa kulinganisha nao.
@johnmwangi409 жыл бұрын
Listening to Hayati Mwalimu, I must admit that Tanzania had a leader here. Mungu ailaze roho yake pema peponi.
@1cf34ja11 жыл бұрын
Mwalimu wetu mungu alikuchukuwa mapema. Baado tunakuhitaji saana. Afrika nzima tunalia , Bila ushawuri wako , tuko kwenye jangwa. RIP
@samuelnyaachi7094 Жыл бұрын
This man was blessed with deep in wisdom.
@yohanavicent266510 жыл бұрын
kwahali hii histor haiwez kuwa ngumu kwan tanapa bado inajali vizaz na vizaz nakutuonyexha maisha ya mwalimu nyerere na ho2ba zake.
@shauriernest79346 жыл бұрын
wananchi lazima tuelewe vyema historia ya bara la Africa unapotaka demokrasia ya Africa ifanane na ulaya bila kujua ulaya walifika vipi tunarudisha africa yuma hongera RAIS wetu JPM kwa kupiga vita RUSHWA NA UFISADI pamoja na dhurama nyingine kwa TAIFA LETU mungu akubariki
@arthurnamu64919 жыл бұрын
A great speech against parochial politics and tribalism.
@peteromugeko60856 жыл бұрын
mimi najua huyu mwalimu juriasi kambarage nyerere yupo hai hataviongozi tulio wapata kabulayake wanaongoza kwamawazo yake
@americanpatriot37593 жыл бұрын
Julius Nyerere (🇹🇿) -Muungano John Magufuli (🇹🇿) -kazi MASHUJAA WA TANZANIA 🇹🇿