Nyimbo zenye nguvu na utukufu za Bwana Yesu mbali sana na izi zingine za warisayo🎉🎉🎉
@rhitapaulsalima867 Жыл бұрын
Ubarikiwe saana kaka
@josuemaya933 Жыл бұрын
Nyimbo zenye upako n'a nguvu za roho mtakatifu, ubarikiwe sana frère.
@nangongolukundula93672 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa nyimbo za tenzi zinaburudisha mioyo ila wamama wasiweke nywelebandia navipodozi tunatazamavyote ilikupata bubujiko la rohoni
@BahatiKazibake6 ай бұрын
Asante kwa bidii unayo ya kufanya ya Yehovah
@nehemiahdieumerci5626 Жыл бұрын
Everytime and every generation izi nyimbo ziko number one because zipo na nguvu ya Roho mtakatifu na Mungu anafanya miujiza mengi kupitiya izi nyimbo. Mungu akubariki kwa kupanga ma sauti sawa.
@sudiadiane Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@ramsfils95 Жыл бұрын
Mungu aku zidishie fr
@cizazambali6866 Жыл бұрын
Mwokozi wetu anatupa furaha duniani🙏 Atuongoza kwa neema na anatushibisha❤ Furaha yetu itabakia ikiwa vyote vimetoweka👌
@YvesKalala Жыл бұрын
Asante sana kwa iyi selections mtumishi!
@anneorina3241 Жыл бұрын
I really love this song. Barikiwa sana sana
@Christ_Talk-316 Жыл бұрын
May God be praised ❤❤❤❤i love this songs ❤
@chantalmwanza54362 жыл бұрын
Mungu apewe sifa sanaaa✌️✌️👌
@HonoreMwaka11 ай бұрын
Very Nice
@kandado4053 жыл бұрын
Nice selection of songs. Am really blessed. Unaimba vizuri sana. Unatupa utamu wa nyimbo zetu. Ubarikiwe sana mtumushi Saido the worshiper
@FrJerkiss Жыл бұрын
Amen
@drmozartwilondjamuswatuna78382 жыл бұрын
Powerful hymns ! Baraka tele huko !
@mujingambuyi1859 Жыл бұрын
Amen
@malipowasebele2632 жыл бұрын
Ubarikiwe âmen
@HonoreMwaka11 ай бұрын
Merci infiniment seigneur
@jacksonbalili60412 жыл бұрын
Thanks you so much my brother and my sister
@pongalubula42752 жыл бұрын
Hallelujah
@kavirakaragho86522 жыл бұрын
Merci frere
@obedimunguachiza84342 жыл бұрын
Hallelujah praise God mubarikiwe kwa kuamusha mioyo yetu tena .
@jacksonbalili60412 жыл бұрын
God bless you my friend
@olivierlukena83112 жыл бұрын
Une bonne interprétation mon frère que Dieu te comble encore de sa grâce