I’m watching news of 4yrs ago😅😅😅😅😅😅😅 it’s new for me now😅
@siznic21565 жыл бұрын
Before kws waingilie huyo amebeba mtoto afanyiwe uchunguzi wa akili😂😂😂haiwezekani usikie Kuna hatari Kisha ubebe mtoto uende naye kwenye hatari,ikitokea ule chatu imewakuta kighafla utakimbia aje na mtoi 😂😂😂 Kenya inabidi tusaidiwe maombo toka tz,
@lucynjoroge92335 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@siznic21565 жыл бұрын
@@lucynjoroge9233 hahahaha not funny at all plz😂😂
@nancymwangi48865 жыл бұрын
Not fun for sure 🤣🤣🤣🤣🤣
@roseirungo19505 жыл бұрын
Inawezekana amehofia kumuacha mtoto kwa nyumba alfu chatu ajifiche nakumpata chumbani Peke yake😂😂😂😂😂
@siznic21565 жыл бұрын
@@roseirungo1950 akili zake anazijua mwenyewe 😂😂😂Yani nimerudia kuangalia sijaamini mm😂😂😂
@kellydread1745 жыл бұрын
Kiswahili ya the reporter imechanganyikiwa just like the said snake😂😂😂
@Elektra_Anthony5 жыл бұрын
Ni mkalee,what do you expect
@siznic21565 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@munyualeah47225 жыл бұрын
Mnajuanga kutoa MTU makosa Sana no one is perfect
@kellydread1745 жыл бұрын
munyua leah wewe uko confused as fvck
@munyualeah47225 жыл бұрын
Kelly Dread eee nimebarikiwa Sana na mungu Hadi nimekuwa confused si kupenda kwangu
@YussufYadab-ex9yf Жыл бұрын
Right my son Rashid,Yusuf Daud Yadab wa Mazeras.
@Nelly_Kifano..20144 жыл бұрын
Lakini Rashid you've come from for God bless your work You're skills are amazing
@rhozeymunyali23875 жыл бұрын
Nkwambia bahati mbaya ianguke kutoka hpo juu. mbio znye zinaweza kuwa hpo.weee tunaweza pata wtu w kuenda marathon.hizo majani kutapatikana n barabara y haraka sana
@kiptanuirono6654 жыл бұрын
HAHAHHAHA
@hanneyhakobyan79425 жыл бұрын
Huyu reporter ati wakenya wamejaa ngori😂😂😂😂
@johnongolla60425 жыл бұрын
Sheng town
@hanneyhakobyan79425 жыл бұрын
@@johnongolla6042 walai alikuwa anatranslate sheng to kiswahili😂😂😂😂
@eddiejoshua38184 жыл бұрын
Amechomaaaa
@ishmailnganga44256 ай бұрын
Alikuwa anatafuta jina "Mori" 😅😅
@agnettahmusauagnettahmutin17955 жыл бұрын
Aty Sheria mkononi,,,rudisha mtoto kwa nyumba kabla
@lashymreal65555 жыл бұрын
Climb up na mtoto huyu jamaa boya sana 🤣🤣🤣
@youngmistak49294 жыл бұрын
Waaaaa mkale na kiswahili safi big up
@kijanahodari20805 жыл бұрын
Rashid hao watu watakutoa swaum yko ikiwa utapangiwa kazi na mtu aliye uchi .. SubhanaAllah
@Letstravel_742 жыл бұрын
😀😃😄😁😆iko na haki ya kuishi hapa
@aggycherry94005 жыл бұрын
Wakaazi wamejaa ngori...Fada Lord
@hanneyhakobyan79425 жыл бұрын
Hahaaaa
@kenyanboy7627 Жыл бұрын
"ngori" is a Swahili word
@faizabaishe51725 жыл бұрын
Mungu awalinde wote waliofika hapo Jericho,pole Kwa hofu
@agnesmacharia25415 жыл бұрын
Here in filipins small boys are the ones know how to deal with them they just play with them. After that they make very nice food with those big chatus i mean Asian countries.
@fatmafatma30335 жыл бұрын
🤣🤣🤣OMG point taken
@wimsywizzy27745 жыл бұрын
WTF!!!! where the hell is filipins is it even a country.....it's called Philippines not filipins😠
@nevilokuthe3984 жыл бұрын
There is nothing as painful as watching the news then you realize its 1year ago!! wa wa wa! anyway news is new.
@ahmedrashiid43573 жыл бұрын
Sasa pain inatoka wapi ndugu?
@vigilancemkoo30662 жыл бұрын
😂😂😂this has made me relook, it's actually a year ago. New is news 😂😂
@phanicemoraa93842 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@0R3WO2 жыл бұрын
you just made me look....its 3 years ago😱😂😂😂😂💔
@joanwanjala80792 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tatawasusan72015 жыл бұрын
We can climb up there tutoe hio kitu😂😂😂😂.. mgekuwa mmetoa kwanza peleka mtoto home
@chelseamuthoni92005 жыл бұрын
Hahaha huyu ni Fala ako na akili fupi . Apeleke mtoto home..
@Footballmoments-p8rАй бұрын
2025 gang
@shadracktoo29784 жыл бұрын
Wanume wa kericho huo ni mama kuita wandishi wa habari eneo lenu eti nyoka... mwanaume kamili angepanda Kule juu na kutoa yule nyoka na kujinja na hiyo stori ipate kila mtu kama kaa breaking news🤣
@JANEILHAIRCOLLECTION5 жыл бұрын
kericho mmmh kiswahili nacho thumps up
@samuelmunene66222 жыл бұрын
Aki.mungu.akumbuke.kenya
@chepngenomaureen91202 жыл бұрын
I can't imagine am watching it Dec 2022
@hanifajuma3425 жыл бұрын
Watu.wamesahau wakale na mbio wako sawa, kwa hivyo Yule jamaa amebeba mtoto anajua chochote kitakacho tokea atafyatuka na mtoto wake.
@janerurugu71723 жыл бұрын
ZzzzzzzzzzzZVzzTMZzMzzz zzz zztzdzZZzzzzzzzzZTzz manz.ZZzzzzzzzh zzzzZ zzzz XZ ZTZZZZZZZ ZZZZZzzzz zzzz zzzz zZzzZZzZzzzzZZzh a ta zXZZzzzzzzztzzZrz zz fzzzzzZZZZZZZZZZZ,
@JessicaAfricaOfficialke5 жыл бұрын
Hata sijaiona vizuri
@AlfredMusa-e9z5 ай бұрын
Watching news ya 5yrs ago waaaah😂
@josephmbugua54075 жыл бұрын
Tannku chuma pili 1:48
@leonardkiriinya33655 жыл бұрын
The only way to deal with it Ni muangushe hiyo miti yote akose pa kulala arudi kwao. Niko hapa njooni mnipige
@sparksmunga4955 жыл бұрын
Hahaa
@Pixels_poa5 жыл бұрын
😂😂😂ausio
@khadijaomar32995 жыл бұрын
Huyu chatu akianguka hapo hakuna atakae baki mguu niponye😂😂
@billaanyango82085 жыл бұрын
Vry true
@baburoses74575 жыл бұрын
Haha
@kiruinelson51265 жыл бұрын
Watu wa kericho mkuje kwetu mjionee Joka kubwa,kama ingekuwa Python c mgeita Recce Squad waoga nyinyi
@cheruiyotchumba73034 жыл бұрын
Stupid
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Duuuh ukweli ni kwamba wote wana silaha,But chatu akatoke utaona watu watakavyo fyatua mbio.
@siznic21565 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
@@siznic2156 😂😂😂😂😂 Watatimua na Mapanga yao.
@frankkotte1175 жыл бұрын
Wewe Mwanahalima una mbio
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
@@frankkotte117 🤣🤣🤣🤣 Sana, Natimua utaona Vimbi 2 mi mwenyewe hutaniona.
@frankkotte1175 жыл бұрын
Natamani shindana na wewe basi😂
@ayaga96674 жыл бұрын
hyo witness wa KWF tulisoma naye narok high school class of 2014, bright student
@beera.g53024 жыл бұрын
Acha umbeaa nanikakuulizaa🙄🙄😳😳😂😂
@trizza33813 жыл бұрын
Nice
@rachaelmoses84545 жыл бұрын
If these people think A panga/matchete or clubs of any kind will harm that python then they will be suprised coz its skin and body will be like rubber. u can't cut its body .so to save life of the people and that of the snake let them call snake catcher or kws who will catch it using bare hands.
@Ncanal-wv6lc10 ай бұрын
❤❤❤
@brianrotich42595 ай бұрын
Wait, I just watched this video today!!!!
@leahgithua67284 жыл бұрын
Hadi wa mama na mapanga 😂🤣
@hezronpeter53645 жыл бұрын
Acheni vituko... Ati chatu.... Hapo wako wengi kwanza usiku mtajua.... Naskia hao ni wanaume.....
@simplequickrecipes25 жыл бұрын
Ebu wacha kuniogopesha 😂😂
@billaanyango82085 жыл бұрын
Huduma namba ndio imemtoa pangoni
@simplequickrecipes25 жыл бұрын
Billa Anyango 😂😂😂
@debbyharris54005 жыл бұрын
@@billaanyango8208 🤣🤣🤣
@Swahili37 Жыл бұрын
Asiyejuwa ngeli hajui kiswahili.
@24untold5 жыл бұрын
i heard ngori
@eunicemusembi1953 жыл бұрын
waache Ku cheat wa Kenya tusimame imara kwa maombi
@patrickmwangu26464 жыл бұрын
Hatari xana
@robertkiriago38715 жыл бұрын
Mumekosa kazi yakufanya
@princessdiane05 жыл бұрын
Me nataka kuona huyo chatu. Mpiga picha fanya kazi yako vizuri.
@beckybeto37815 жыл бұрын
Hahaha pic mimi
@lilylilian87295 жыл бұрын
Wakate mti na powersaw waivamie
@josephnyakundi15655 жыл бұрын
aty can climb na uitoe😂😂😂😂
@willybett19065 жыл бұрын
😂😂😂😂 Achana na watu wangu
@summerrose84395 жыл бұрын
@@willybett1906 , Stop we are one, you don't expect them to climb the tree, do you?
@catherinejepkoechkiyeng79272 жыл бұрын
Poleni
@muasemuase88495 жыл бұрын
ITS DANGEROUS PLEASE THE ARMY CAN DO SOMETHING INSTEAD OF SLEEPING IN THEIR BARACKS : KWS DO SOMETHING IT MIGHT BE ONE OF THE ENDANGERED SPECIES but of Course human first
@petermaguli54665 жыл бұрын
You can't claim army are sleeping in the barracks I wish you knew !!!!!
@hellenjepkemboi30452 жыл бұрын
Very petty
@mejubaraza94155 жыл бұрын
Na uyo chatu akishuka au kuruka upende wenye muko na ww ukona mtt utaweza kujitetea kweli au uangushie chatu mtt
@lilylilian87295 жыл бұрын
Nilimuuliza mkaazi wa kericho kuhusu kama kuna nyoka katika majani chai Akanicheka eti hakuna nyoka kwa majani chai Wee mimi naogopa sasa
@ildajonson5264 жыл бұрын
Umetixha duhh
@eucadate25423 жыл бұрын
Watu wa kericho chatu mtuu kwani wewe mwanaume utaeza enda n mtoi place Kama hiyo swali n je nyoka alipanda aje juuu
@alicewawangui65145 жыл бұрын
Surely huyo ni mtoto wa kupelekwa place kama hiyo, what the snake ikivamia
@mombasaraha15025 жыл бұрын
kulipia zoo ni gharama ndio mtoto amepelekwa aone chatu haha
Uta enda je na mtoto kwenye sehemu ya hatari? Very poor parenting!!!!
@sabinandunge94565 жыл бұрын
Marotso abraham sumba exactly
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Nasipigwe risasi akufe juu sasa kama hao wanambiwa wataki kuajibika itambidi waiyuwe😢
@sierrakamau15105 жыл бұрын
If this was Tanzania, the office in charge could have been fired hapo hapo for ignoring the citizens whose lives are clearly imperilled by a huge dangerous snake!!!! So haphazard is Kenyan government!!! USELESS!!! By the way this is no joke so improve on your journalism!
@mcharia57663 жыл бұрын
Ni Mganga Raila ako juu ya miti. Kila pahali anaenda ana peleka uchawi.
@ephraimomudaki18165 жыл бұрын
Hatari
@damariskhavakali83363 жыл бұрын
2021 kujeni tuone Ka chatu aliuliwa
@fatmafatma30335 жыл бұрын
Mbona huyo chat haonekani sasa hebu huyo mwenye camera apande juu ya huo mti ili tutapate kumuona vizuri
@ummeythanneythanneymohamme83085 жыл бұрын
Hahahahah we kapande
@fatmafatma30335 жыл бұрын
@@ummeythanneythanneymohamme8308 😂😂😂waonekana ni waongo hao wanakijiji sasa ss watazamaji hatoni chatu sibora huyo mwenye camera atudhihirishie wazi kwamba amemuona hapo juu ya mti akiwa na camera yake 😂😂😂
@joycemashikolo90965 жыл бұрын
huyo ni mrinzi wa majani chai.🍃
@kamaungethe97395 жыл бұрын
Huyo mtoi ako na kofia ya red ni msoo sana hafai kubebwa
@lilianawuor32645 жыл бұрын
Hahaha
@MAXMILLAOMONDI8 ай бұрын
Hi citizen tv
@hezronabuga7372 жыл бұрын
Nyoka kubwa
@makumbikitana5 жыл бұрын
Eti sheria mkononi...hehehe kama ni hapa kwetu walai tungekua tumeua na kuchoma hatuhitaji ruhusa kuua nyoka...na wewe mtangazaji sio nyoka hii ni huyu
@ondiekistephen51335 жыл бұрын
Bishop Dr. Mark makumbi Kitana
@samuelnjoroge55513 жыл бұрын
Mapepo
@MaryShimuli-b4k Жыл бұрын
Huyo n koitalel arap Samoei ,hataki kuona ruto vile anatesa watu wake,,😢😢😢Msijaribu kumuua Koitalel Arap Samoei,he's touring in kericho😂😂😂😂
@MohammedKhan-qe9ro4 жыл бұрын
Les work
@MohammedKhan-qe9ro4 жыл бұрын
Kws must be called to save
@simbeiywetkipkoech55854 жыл бұрын
Let me educate my community.... Having handle snakes.. python is less dangerous and killing it does not make sense....I can share the room and sleep well without panic