NYOTA YENYE NURU BY SAXOPHONIST JOHN SIMBA from

  Рет қаралды 14,691

Saxophonist John Simba

Saxophonist John Simba

Күн бұрын

John simba ni mpigaji wa vyombo (gitaa na saxophone) na pia ni mwimbaji wa kwaya kuu ‪@KKKTKARIAKOO‬ ..
Nyota Yenye Nuru ni wimbo no.334 kwenye kitabu chetu TUMWABUDU MUNGU WETU(TMW).. ni Wimbo ambao unaimba pale unapotafuta nguzo ya kuegemea baada ya kupigiga kwa namna moja au nyingine.. NYOTA YENYE NURU, MWAMBA WA NGUVU , KIONGOZI WANGU..ni ni nani huyo? bila shaka ni YESU KRISTO.

Пікірлер: 43
@kkktmsasaniparish
@kkktmsasaniparish 8 күн бұрын
Hongera sana John. Kristo aendelee kukutunza na kukuimarisha katika huduma hii muhimu sana. Ikupendeze siku moja tukualike katika Usharika wa Msasani
@jovinkshumba5035
@jovinkshumba5035 10 ай бұрын
Mungu akubariki mno Asante Sana Kwa wimbo mzuri mno
@HancePeterson-f1n
@HancePeterson-f1n 7 ай бұрын
Aliyepiga kinanda ni fundi sana
@miriamchuma9096
@miriamchuma9096 Жыл бұрын
Hongera sana mtumishi.wimbo huu huwa unanibariki sana.naupenda
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Frère John vos mélodies m'inspire beaucoup
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Mon frère vous ramenez les âme s perdus au Seigneur 🎉❤
@justiceplumbingservice2879
@justiceplumbingservice2879 Жыл бұрын
Honestly I'm so surprised brother God bless you
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Frère vous avez reçu un don précieux
@roseslaa3363
@roseslaa3363 3 ай бұрын
asante sana mtumishi john simba mungu azidi kukutunza
@joramumamuya2562
@joramumamuya2562 Жыл бұрын
Congratulation my Uncle. Umeugusa sana moyo wangu. Napenda music
@elienezamsuya6677
@elienezamsuya6677 Жыл бұрын
Namba zako kaka,nahitaj mwalim wa sax
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Frère John vous êtes dans quel Pays
@editorsomabiblia7535
@editorsomabiblia7535 5 ай бұрын
beautiful song! Bless you man of God
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 Жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo
@nurugavile3227
@nurugavile3227 7 ай бұрын
Waooooo hongera sanaaa
@roseslaa3363
@roseslaa3363 3 ай бұрын
banange banange yese
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 Жыл бұрын
Very inspiring. Blessings.
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Mon frère John rien ne peux vous séparer de l' amour de Dieu
@cleverkifaluka4337
@cleverkifaluka4337 Жыл бұрын
Album yako naipataje mkuu..? Ungetuwekea kwenye flash ingependeza sana..
@leahnoah4206
@leahnoah4206 9 ай бұрын
Congratulations bro
@sekundaswai4757
@sekundaswai4757 Жыл бұрын
Congratulation Mr. Simba
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Merci Seigneur pour cette journée d'aujourd'hui
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Alulinde
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Mungu Asifiwe
@ashasalehe2803
@ashasalehe2803 Жыл бұрын
Congratulation Mr Simba 🥳
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Bonjour mon frère
@comforttime
@comforttime Жыл бұрын
This amazing song.
@DonickMwakatobe
@DonickMwakatobe Жыл бұрын
Congratulations bro...kazi nzuri
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
amina
@cls185
@cls185 Жыл бұрын
Beatiful, uplifting song Nyota Njema "Yesu". Who is in this world could dislike this song!! God is supreme. This is Great performance, congratulations Katibu wetu and the team.
@tumainijoshua5090
@tumainijoshua5090 Жыл бұрын
Very powerful hymns, Mtumishi wa Mungu,siku ingine tunaomba utupigie ule wa Bwana Mungu nashangaa kabisa,Yote namtolea Yesu
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Mapenzi ya Mungu
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Sifa kwa Mungu
@fokasmjema1846
@fokasmjema1846 Жыл бұрын
Hongera Sana Mr. Simba kwa wimbo mzuri Sana na madhari yake Safi Sana!! Kipaji kikubwa
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Merci Seigneur
@roseslaa3363
@roseslaa3363 3 ай бұрын
yesu mukamah
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Asubui Njema
@elizabethmrema8991
@elizabethmrema8991 Жыл бұрын
Waaaa Hongera sana mtumishi wa Mungu Kweli familia yetu imebarikiwa sana na nyimbo hizi, na hakika k8la atakayesikia atabarikiwa
@amonidafa9665
@amonidafa9665 Жыл бұрын
Wimbo mkubwa sana huu...Umenikumbusha siku ya mazishi ya br ulipoimbwa 😥
@evieasher.4295
@evieasher.4295 11 ай бұрын
🙏🙏🙌🏽🙌🏽
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 8 ай бұрын
Bonjour mon frère
@estherdevotamikongoti5720
@estherdevotamikongoti5720 Жыл бұрын
Hongera sana kaka Simba kwa kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji ,kumsifu na kumwabudu Mungu hakika Bwana Akuinue kwa viwango vya Juu kabisa
Msalaba ndio Asili ya mema (Sioni Haya kwa Bwana) by John Simba  ( Video Lyrics)
4:40
Chini ya Bawa lako (Official Video) by John Simba from @KKKTKARIAKOO
4:00
Saxophonist John Simba
Рет қаралды 16 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 52 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Hance Senya -Ninataka kuingia
4:48
Hance Senya
Рет қаралды 9 М.
Wimbo no.298 "KWA HURUMA NI KUBALI" By Ev.Nyange
3:35
Fellowship Tv
Рет қаралды 3,9 М.
Neno Moja by Reuben Kigame and Sifa Voices
6:55
REUBEN KIGAME TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Njooni Tuimbe Wimbo Huu (Official_Video lyrics) by John Simba
4:43
Saxophonist John Simba
Рет қаралды 13 М.
Bwana Vuta - KKKT Kwaya Kuu Ya Umoja Wa Muhimbili
8:21
Kwaya Kuu Ya Umoja Muhimbili
Рет қаралды 67 М.
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 13 МЛН
Mwamba wenye Imara - Godwin Ombeni
5:47
GODWIN OMBENI-ONLINE TV
Рет қаралды 5 МЛН
Nimekombolewa  na Yesu (Official video Lyrics)
4:11
Saxophonist John Simba
Рет қаралды 7 М.
UMNGOJEE BWANA   (Official Video Lyrics)  John Simba
5:14
Saxophonist John Simba
Рет қаралды 1,3 М.