Pongezi kubwa 🙏kwa ss wafanyikazi wa ndani🤝halafu inamafunzo mazuri
@abdalahchande-hx9yy Жыл бұрын
Co hyu dada kazdi
@davidmbilinyi3267 Жыл бұрын
Wakwanza nipeni like
@eastermbiku2763 Жыл бұрын
Funzo Zuri Hongereni Sahara❤️❤️❤️🤝
@alfredkasololo5242 Жыл бұрын
Swali nzuri muna cheza. Wafanyakazi wasichana wameteswa mara na mara na wa mama wao wa kazi. Pole sana !🙏🇨🇩
@kwzrvivanHamza Жыл бұрын
Unasema ukweli , shika tano 🤜 baba
@kwzrvivanHamza Жыл бұрын
Unasema ukweli , shika tano 🤜 baba
@khadijanjama8721 Жыл бұрын
Hajra shikamoo 🔥🔥🔥
@cacynjuguna4070 Жыл бұрын
Steve huwa unatufurahisha sana ♥️♥️🌹🌹🌹
@johnurio1900 Жыл бұрын
Kaka uko vizuri Sana kaza kamanda
@iddjuma2206 Жыл бұрын
Hapa hajira umefanya KAZI nzuri Stephen umshike vizuri Tuko Kenya anafanyamafuns Wangalie
@mohamedhamdan4956 Жыл бұрын
Respect kwa maids wanakazi kibao za kufanya
@lotykinoto5061 Жыл бұрын
Hajra mtt mzur haupendez kuigiza rohombaya
@adamdaudi6191 Жыл бұрын
Usiempenda kaja, nenda kwenye kuku😀😀😀😀
@saudahassan6667 Жыл бұрын
Dah kama kweli wakina mama wa tz mko ivi halaf mshahara wenyew elf 50 loh bora nijichimbie hukuhuku uarabun 😐😐
@aminaamina-xj6qs Жыл бұрын
Kabis ani Bora tubak uarabun
@alenialex6941 Жыл бұрын
#saudahassan6666 kazi za uko urabuni si zinajulikana
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Heeeeeee nyumba imeingiya moto hapakaliki jamani kidoti mkali
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti😂😂😂anamfundisha mfanya kazi akiolewa asilete AIBU wakati yeye yupo ktk ndoa yamemshinda😂🙏.
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Umeonaeee
@abdalahchande-hx9yy Жыл бұрын
Naxhangaa hahahaha 😂 😂
@joelkasasa3894 Жыл бұрын
Hajira umejuwa narohombaya jamani?
@user-bl6yq2hy1r11 ай бұрын
❤ nawapenda sana ❤❤ lovely watching from Kenya😂😂
@kman7465 Жыл бұрын
Naomba kuonana hajra tafadhali
@lawisebastien Жыл бұрын
Ongera zetu na hekima zenu zenye mnatupatiaga
@stevennyondo2215 Жыл бұрын
Love mzuri kama jina lake
@alimungamunga2277 Жыл бұрын
Hahaha noma Sana lol
@cellnet7265 Жыл бұрын
Lovely ni mchapa kax
@sifavumilia4487 Жыл бұрын
Wa kwanza jamani nipeni comment zangu
@saraliciatinah6702 Жыл бұрын
Wa pili 😊😊
@zuuhramadhani2638 Жыл бұрын
❤❤
@sarahnafulanafula5537 Жыл бұрын
Kaka ongera sana 🥰🥰🥰
@joengayakuh Жыл бұрын
kisirani kama Ana mimba..... 😅😅😅😅😅😅😅 nakubali mambo ya kike.....
@najmamgallah8154 Жыл бұрын
Kaka mbali n hilo uko sawa, mwanamke han ht mtoto house girl wanna, n pili usikute mkeo kwao tyuu kula Yao ni shida kaja, kwak kaona kafik, mwisho wa reli, hajui vby huyo
@princessamnemuhamad3755 Жыл бұрын
Lesson learned
@user-qk7lw1ef6f Жыл бұрын
Pogenzi sana kwenu munatuelimisha vizuri
@ibrahimu6522 Жыл бұрын
Nice
@abdallazakaria6953 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 usompenda kaja.....mbappe mzee wa kuupiga mwingi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ufugajiwetu7782 Жыл бұрын
Gubu, kisirani hahah hajra huyoo
@yasodishonest9792 Жыл бұрын
Hajra unauweza ushenzi kweli🤣🤣🤣🤣
@zulachama1067 Жыл бұрын
Hajra ni mzuri na tatizo la hajra ni wivu loveness alikua mzuri kama hajra ndio hakuweza kumvumilia kufanya kazi hapo.