BAGA uso kwa uso na NAGWA ona majibu ya BAGA kuhusu NAGWA kujiita Rais wa masela

  Рет қаралды 43,963

NYUNDO TV

NYUNDO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 136
@VictorMsodoki
@VictorMsodoki 5 күн бұрын
Ila mchiz baga umefanna mno na harmonize. Anae amini ilo gonga like apa twende saw 24:54
@WilliamNathan-hm7nk
@WilliamNathan-hm7nk 5 күн бұрын
Duu nlizani ni mm pekeangu nnae mfananisha na konde
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 күн бұрын
Urongo huo
@japhetleonard
@japhetleonard Күн бұрын
Nicee sana Baga ukoo vizurii mhnii smart na akiliii piaa
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 5 күн бұрын
Nakukubari sana BAGA
@SaleheKsozy
@SaleheKsozy 4 күн бұрын
Baga ni msela wama sela..nagwa ni msela wa kina mama
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e 5 күн бұрын
Baga anaheshima sana kazi anafanya bzuri sana ila anajua kabla ya yeye kuna mkubwa ambae nikitale hivyo baga hatakama anafanya vizuri kuliko nagwa ila bado anaheshima hivyo heshima kwako mzee baga achana nao wanao ongea ongea sana we fanya kazi mzee tupate kula Kaka
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 күн бұрын
Huyo kitale wako kapita mikono ya baga labda uwe mtoto wa buku 2 ndio utakuwa hauelewi
@jemimabakari
@jemimabakari 4 күн бұрын
Baga yupo kabla ya Kitale
@abrahamnyangwa3298
@abrahamnyangwa3298 3 күн бұрын
Baga ni noma
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 күн бұрын
Baga msulimoto
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 2 күн бұрын
@@jkifutu7936 Toka enzi za Jumba la Dhahabu watoto wadodo hawawezi kuelewa hiyo
@HamadMwagoani
@HamadMwagoani 5 күн бұрын
Rahisi wa iyo sector n kitale pekeyake
@salummbarouk4011
@salummbarouk4011 4 күн бұрын
Hakika waambie
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Күн бұрын
Saana kiatale pekeakee
@Kevworx
@Kevworx 4 күн бұрын
Mwanangu sana Baga nakubali achana na mchumba mmoja huyo bado hata mitaa haimjui analazimisha
@GodloveKilasi-yv3jl
@GodloveKilasi-yv3jl 5 күн бұрын
Naombeni like jaman kwa baga🙏🤲
@OthumankibabiKocho
@OthumankibabiKocho 4 күн бұрын
Baga kwenyegem kitambo sana ❤❤❤
@BeatriceMtuy-w3d
@BeatriceMtuy-w3d Күн бұрын
Nakukubali san kwenye mv ya chado master👍
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 5 күн бұрын
Baga Mteme anaweza bana
@CresensiaEnock
@CresensiaEnock 5 күн бұрын
Hahahaha raisi ni mama tu dadek 😂😂
@balistaKivike-ne4jh
@balistaKivike-ne4jh 4 күн бұрын
Oyah we baga asifananishwe na vitu vya hivyo baga mwamba😂💪
@BonifaceMzurikwao
@BonifaceMzurikwao 4 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅 wali kula ww makoko tuachie meipenda hyo baga
@shivodon7388
@shivodon7388 4 күн бұрын
Bagaaa mwambaaa
@WingoAsake
@WingoAsake 5 күн бұрын
Tunao mkubali BAGA 👍👍
@MshanJoshua
@MshanJoshua 5 күн бұрын
Itikeli kali salute nagwa 💯
@RahimuMsabah
@RahimuMsabah 5 күн бұрын
Good bro pamoja sana
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 күн бұрын
Kweri mzee baga maana Umeongea ukwel kinoma Utasikia ooh 26 number mala Oh sijui nn ni ujinga tupu
@HairuIssa-f9y
@HairuIssa-f9y 5 күн бұрын
Hhhhh baga no 1
@thctorleonguday8942
@thctorleonguday8942 3 күн бұрын
Msela baga maneno kdg vitendo ving
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 4 күн бұрын
Mi binafsi naona nagwa hailimishi anafundisha huni tu kwa jamii mtu utakuta hanatumia nguvu nyingi mpaka povu ninamtoka ndo nini sasa
@WingoAsake
@WingoAsake 5 күн бұрын
Tunae muona baga kufanana na harmonize like
@EllyjTengeneza
@EllyjTengeneza 5 күн бұрын
Nimekupa bure like yangu kweli kbs sema kasoro kiingereza
@Nurdinimwakisale
@Nurdinimwakisale 3 күн бұрын
❤❤❤
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Күн бұрын
Saana anafanana na harmonizer
@khamadizoseif4029
@khamadizoseif4029 3 күн бұрын
Izooooo manzese apa show love Kaka nagwa mchumba tu msela naturel awezi kukata viuno no forever my blood
@alabizoshazb5678
@alabizoshazb5678 5 күн бұрын
nangwa unazengua umesahau kina kitale wamekutangulia kucheza usela?banga yuko vizuri kwenye gam pia wazamani#baga🔥
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 5 күн бұрын
Nagwa kwa sasa Tanzania haijalishi nani kaanza nagwa ni best kwa kuekt uhuni
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 күн бұрын
Anaekti uchizi yule sio uhuni
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 4 күн бұрын
@@Rolemodel_wa_taifa vyote vyote vile bt kwa ss nagwa the best
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 4 күн бұрын
@@dullahbatuf9223 Kwa machizi wenzake sio kwa Tz yote
@mttz4155
@mttz4155 2 күн бұрын
Muandishi hii ndo uso kwa uso kuma la mama ako
@FranceThomas-ug2ed
@FranceThomas-ug2ed 16 сағат бұрын
😅
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 5 күн бұрын
Baga mtaalam nakubali sana
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e 5 күн бұрын
Madini kutoka kwa Baga oa mzee umetema madini sana kama nagwa anashindwa kujifunza hapa badi hatapata mwalim tena wakumfundisha
@EdsonManga
@EdsonManga 3 күн бұрын
Nakubali sana mzee baga
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Күн бұрын
Nmekukubali sana kwa kusema ukweli wa life yako ongera sana
@RamaAbdhallah
@RamaAbdhallah 4 күн бұрын
Nakubali Baga saloot Raisi ni mama 2
@AhmedMohamed-mw3ev
@AhmedMohamed-mw3ev 5 күн бұрын
Baga ww mkali bwana mrejeshe mwanao lukey jama noma yulee nagwa chalii tuu lukey tuu hamuwezi
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 6 сағат бұрын
Manzese midizini umenikumbusha nyumbani nakufatilia baga nikiwa dubai Al rashidiyya Street upo sahihi mtu wangu hata mmi mtu wa uswahilini nakukubali sanaa
@HamisNjaidi
@HamisNjaidi 4 күн бұрын
Baga yupo juu
@FATMARAHMA12
@FATMARAHMA12 5 күн бұрын
Baga kwenye mission impossible duu unatisha😂😂😂😂😂
@Ester-vg2ev
@Ester-vg2ev 5 күн бұрын
Mi ninachojua baga anaumwa kisukari hapendi chumvi😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
😂😂😂
@zaidabdallah3757
@zaidabdallah3757 Күн бұрын
Mission imposble😂
@JumaYasini-g2t
@JumaYasini-g2t 10 сағат бұрын
Baga kitambo kwenye game nagwa anapaswa kumuheshimu sana tunamjuwah baga toka kwenye movie yake ya escape 2013 au 2014 kam sijakosea
@StephenLukangu-sc8km
@StephenLukangu-sc8km 4 күн бұрын
Kenya tunajua rais wa masela ni kitale
@E_mwafrica-dc2zm
@E_mwafrica-dc2zm 5 күн бұрын
Usela co lazma uwe sura ngum km nagwa wakuu kuna babe face kbao lkn wahun knoma yan
@KhalistMkonya
@KhalistMkonya 3 күн бұрын
Ambaye anaangalia mov huwez xema nagwa anaweza kuigza kama baga hiyo maxhine
@RashidAlly-r4x
@RashidAlly-r4x Күн бұрын
Namkubali huyoo jama baga
@Kitufemiwashofilm
@Kitufemiwashofilm 5 күн бұрын
Eti amjuwi nagwa 🤣🤣🤣👋
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Күн бұрын
Baga namkubali sana
@sisimizitv2020
@sisimizitv2020 3 күн бұрын
Kweli muuni sio mchafu
@CHIEF_WA_BUJONDE
@CHIEF_WA_BUJONDE 5 күн бұрын
napenda sana iwe Kiki wasilogane tu
@NemesMasawe
@NemesMasawe 4 күн бұрын
Ilaaa bagga
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 күн бұрын
Kwan nyinyi jaman watu Mulie soma hapa dar es salaam Munasema muliogopa umande Kwan hapa town dsm kuna manyasi Njia zake munipe majibu au Umande amuujui hee!
@MtuSafi
@MtuSafi 2 күн бұрын
😂😂😂
@ayubuzayumba
@ayubuzayumba 4 күн бұрын
Baga atabaki kuwa baga tu
@hamiduOmar-o8r
@hamiduOmar-o8r 5 күн бұрын
Me nishabiki wako mkubwa sn baaga upo true ww dogo msela
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 14 сағат бұрын
Weee baga laic wa masela ni kitare tu
@Nasbu-tb6cs
@Nasbu-tb6cs 2 сағат бұрын
🔥🔥
@RukiaJeu
@RukiaJeu 3 күн бұрын
Baga anajua mpaka anakera
@saliieking7279
@saliieking7279 13 сағат бұрын
Baga nyota yake ni kali sana
@Nurdinimwakisale
@Nurdinimwakisale 3 күн бұрын
Baga yup pow sana
@SayeedMussa
@SayeedMussa 2 күн бұрын
Ao wote wa juz tu mwenyew seki wa mambo ayo
@MustafaBaraka-nt1ec
@MustafaBaraka-nt1ec 7 сағат бұрын
Rais wa Masela kitale pekeake sio nagwa
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 6 сағат бұрын
Nagwa mshamba tu
@arimtekerdivalwamadush7517
@arimtekerdivalwamadush7517 5 күн бұрын
Nawakubali wote sana kwanza baga
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 Күн бұрын
Nagwa hawezi
@hagaingailo8100
@hagaingailo8100 5 күн бұрын
yaan kichwa cha habar eti uso kwa uso hivi waandishi mnatuchukuliaje nyie eti mbna baga ata msingeandika ivo watu tunampenda tunaview tu jamn kwan kuandika ukweli wa baga ingeharibu nn mnazingua mjue🤧🤧🤧
@CatheOmaly
@CatheOmaly 4 күн бұрын
Acheni kufanani sha kitare navitu nvakijing kitare noma sana uyomwingi anazinguwa sana ajuwi
@MikidadJohn-br3cr
@MikidadJohn-br3cr Күн бұрын
Bombo claaaaa
@majimotostudio123
@majimotostudio123 3 күн бұрын
Rais wa masela nan?
@sniperboy131
@sniperboy131 3 күн бұрын
Namkubali sana uyu mwamba tangu kitambo
@MaroezyMusic
@MaroezyMusic Күн бұрын
Wakwanza kitare anafata baga mnteme
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 күн бұрын
weka sawa maneno tatizo gubu Au na nguvu za kiume Auna 😂😂😂
@ibrahimmeckson8451
@ibrahimmeckson8451 9 сағат бұрын
Baba mtoto wa mama muzna chapati kinondoni hapa mwanetu mgundin chama
@KhalistMkonya
@KhalistMkonya 3 күн бұрын
Baga anajua
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 5 күн бұрын
Bhaga muuni unaejielewa
@RichardMutinda-zx5zn
@RichardMutinda-zx5zn 2 күн бұрын
Timu nagwa
@DanielJoseph-nx6yp
@DanielJoseph-nx6yp 5 күн бұрын
Uyo ni bingwa akuna anaemfikia akivaa uhusika wa usela / huuni yeye ndio namba moja basi kama sio moja atakuwa mbili moja namuweka kaka kitale ... Anavyosema kuwa yeye kitambo akosei hukitaka kuhamini maneno yangu katizame movie moja inaitwa XXL umo ndani unyama mtupu alafu story inaeleweka .... Mteme uyo 😮😮😮😮🙌🙌👊💪🔥
@AlifaHamis
@AlifaHamis 5 күн бұрын
Waandishi wengine bwana eti uso kwa uso
@joealoize-q4g
@joealoize-q4g 5 күн бұрын
Baga n mwamba
@GetrudaMbilinyi
@GetrudaMbilinyi 3 күн бұрын
Apo kutowa utata iandaliwe move ambayo watachexa wote baga kitale,nagwa,apo mzee baba chado masta alf tuone nani zaid,apa mtabisha tu ila kazi ndoinaongea
@SamsoniDaud-q9x
@SamsoniDaud-q9x 2 күн бұрын
Nangwa
@omanhh2875
@omanhh2875 5 күн бұрын
Nakuaminia kamanda baga we kama mimi tabia yko
@AllyMuhammadMatumla
@AllyMuhammadMatumla 3 күн бұрын
Oya bag unajua
@JordanJohnson-ni7iw
@JordanJohnson-ni7iw 5 күн бұрын
Nagwa yuko juu
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 5 күн бұрын
Wadanganye kwa Baga Bado sana
@XhalkihKhamis
@XhalkihKhamis 5 күн бұрын
Chado Master ndo Rais wa Masela
@rayhaule4211
@rayhaule4211 3 күн бұрын
Huyo kigoli unaemtaja me naon anapiga kelele tuu hakuna anachofanya kikaeleweka hadi B KAUYE anamshinda
@csportmedia2176
@csportmedia2176 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Ramasmoker45
@Ramasmoker45 3 күн бұрын
Baga unavyoongea kama unamuogopa nagwa
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 5 күн бұрын
Asaivi hakuna waandishi wengi wao wanakutupuka
@jkifutu7936
@jkifutu7936 2 күн бұрын
Baga msulimoto
@عمرانالحجري
@عمرانالحجري 5 күн бұрын
Nagwa anajua bhana. Nyie wasanii mbona mnamambo mengi
@AdamPonera-fe5kc
@AdamPonera-fe5kc 4 күн бұрын
Anajua nin kumzid baga kwanza ata chado amfikii
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 5 күн бұрын
Msela sio mchafu msela msaka not
@scotawizzymrplanb
@scotawizzymrplanb 5 күн бұрын
Amini muhuni sio mchafu✍️🏿
@LinusJoseph-un3kg
@LinusJoseph-un3kg 5 күн бұрын
muhuni kasuka msuko wakilion machoz wajuz ww
@AbdulHassan-ns9ww
@AbdulHassan-ns9ww 5 күн бұрын
Baga fundi
@AliNgao-r3j
@AliNgao-r3j 4 күн бұрын
Chado master
@EddyOmary
@EddyOmary 5 күн бұрын
Utani wa ngumi huo😂
@SMLS995
@SMLS995 4 күн бұрын
Baga ni mutu poa sana.
@D.a4really6
@D.a4really6 4 күн бұрын
mwMba ni CHADO master tyuu
@SaidMkome
@SaidMkome 3 күн бұрын
Ndyo nan
@D.a4really6
@D.a4really6 3 күн бұрын
@@SaidMkome mtafte utamjuaaa
@Santana8-o7z
@Santana8-o7z 4 күн бұрын
Raisi wamasela kitale shosho akuna baga wala nangwa wote wachumba tu
@ShabanMalenga-nc5ir
@ShabanMalenga-nc5ir 5 күн бұрын
Alikuwepo kongowe Inn uko unacheza
@YuyuMp-d8y
@YuyuMp-d8y 5 күн бұрын
Kwakweli abadilike
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 5 күн бұрын
Nagwa yule yuko ka,a senge tu
@LevithaOlmosio
@LevithaOlmosio 5 күн бұрын
Rais wao ni kitale
@MarymAharl-n7u
@MarymAharl-n7u 5 күн бұрын
Namkubali sana Baga
@EmmymlawaMebbol
@EmmymlawaMebbol 4 күн бұрын
Tili tala
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 52 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,9 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 37 МЛН
SNAKE BOY | ep 37 | SEASON TWO
25:01
CLAM VEVO
Рет қаралды 376 М.
JUX na MPENZI wake PRISCY walivyotua Usiku Mnene Tanzania
8:49
Rick Media
Рет қаралды 75 М.
SENGA NA PEMBE KWENYE CHEKA TU
12:19
Cheka tu
Рет қаралды 1,2 МЛН
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 169 М.
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 135 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 17 МЛН