yes ❤ yes This very awesome ❤wow beautiful 💖💖 aaaah OBBY🕺🕺 Alpha❤ this Iagree aaaah ❤ hasanté Bwana ❤Alpha💖🕺
@MjoliOfficialАй бұрын
Yes ohh write
@JescaMensaАй бұрын
Kama una amini ni mungu ana kuweka mjin gonga like apa tuki zidi kubarikiwa na wimbo huu wa Obby Alpha 🎉🎉🎉
@AbbysandiAbbysandi10 күн бұрын
I love your songs bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu aendelee kukuinuwa❤❤❤❤❤,🙏🙏🥞
@faithkathambi-hc5hpАй бұрын
Hii comment ukifika 100 likes,mniamshe😊
@RAIVONMWAKALANJE29 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤
@AnjellaWilliamАй бұрын
Son of God unaimba vizuri sana ila nakushauri achana na watu wanakushauri usilitaje jina la Yesu kwenye nyimbo ,mimi nlikuwa naimba ila hao wanaojiita wasimamizi waliponambia niseme tu Mungu ila si Yesu nliamua bora niimbie popote hata nisipojulikana ila jina la Yesu lazima liwe namba 1.
@ObbyAlphaАй бұрын
Nalitaja mara nyingi sana.Nikushauri kabla haujacomment fanya kwanza utafiti na usisikilize maneno ya watu. 1.Nikumbuke 2.Niokoe 3.Jina lake Yesu tamu 4.Ni tabibu 5.Kaa nami na nyingine nyingi sana.Usisikilize watu wanasema nini.Nakupenda🙏🏼.
@AnjellaWilliamАй бұрын
@@ObbyAlpha mie shabiki yako tangu unaupload I think like a 3rd song na nyimbo zako zilizoko uploaded nazijua sana mtumishi na nlishasikia unalitaja sana jina la Yesu ,nilkuwa tu concerned ni hizi famous songs ila kama it's not the case then am sorry,love you too mwana wa Mungu
@SophiaSteven-nc1liАй бұрын
@@ObbyAlpha saw mwanangu hongera na usiache kumsifu MUNGU wala kutaja jina la yesu ni mim mama efeli
@jacksonenock5231Ай бұрын
Tatizo mnaanza vizuri mwisho mnakuja kuimba mipashi mpaka mnasahau mko upande gani kwa wimbo huu umezingua.
@VumiliaMsigwa-f5pАй бұрын
Kwan umeelewa ujumbe wake ,, hata Paul alisema enendeni kwake mkimtukuza yeye na furahini kwamaana yeye awatia nguvu😍. Sijaona baya hapo maana licha ya yote kasema haogopi mtu maana anaye baba anaye muweka mjini🙏
@BettyadhiamboAlaraАй бұрын
Asanti brother kwakusema ukweli ukiwa Rohoni uta elewa,hata Mimi sija upenda mwanzo wanapo Anza hizi Dance za kidunia kwenye gospel, MUNGU wetu ni Mtakatifu sana..... Amen 🇰🇪
@princejaymohАй бұрын
Who is here from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@RAIVONMWAKALANJE29 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@jacobnyosole1774Ай бұрын
Inatakiwa kusema Yesu , Mungu yupi anatafuta nyimbo ipendwe na watu wote ,
niliomba ushushe. wimbo wangu youtube Sina habari nao ft Japhet Zabron but hujashusha,umeokoka kweli? endelea kusubiri
@stewartmwakasegeАй бұрын
🎉🎉UNAWAKILISHA VYEMA UFALME WA KRISTO Mungu Akubariki Mdogo Wangu 🎉🎉
@GraceMario-kg2imАй бұрын
ni watu majasiri tu ndowanatakiwa kuimba hivi,waoga mtupishe tunaogopa laana alishasema alaaniwe anaeyemtegemea mwanadamu
@MATIKO9640Ай бұрын
Jumbe za namna hii hazina afya kabisa, imbeni na nyimbo za toba watu wamrudie MUNGU wala sio kujisifusifu
@luckymsomba4818Ай бұрын
kwan amekosea nn hapo. paulo anasema furahini katk Bwana tena nasema furahin!
@fridahmwangi00116 күн бұрын
Read your bible braza. This is bible verse turned into a song
@aliciamweni4828Ай бұрын
Obby napenda kazi yako lakini naomba urudi ule mtindo wa kwanza na pia hapo Mungu atakuinua tu.God bless you
@rajasungtv394Ай бұрын
Kaka Archana na nyimbo za kujisifu kabsa uanenda kupotea inaonkana unatuchamba.imba nyimbo za kutia moyo pamoja na kumsifia mungu kama mwanzo.tatazo ninyi wasainii mkitoka tu wanakuja wwatu wanawapa ushauri mwingi Hao wanakuja kutengeneza kwako unawaza kuwaza pesa kuliko kumtumikia mungu.sasa mijini unamtambia Nani kama watoto wwadogo wanaambizana baba yangu n tajr tunakula Wali Kila siku Archana na hayo mambo wimbo umeisha hakuna ujumbe weweto
@davidkomba9781Ай бұрын
Jaman kwan hapa ane sifiwa ni nani, Mungu ndio kamuweka mjini anajuakatokea wapi Alafu tuache kuwawekea mipaka watu et anatakiwa kuimba nyimbo za aina fulani
@Lovenessngwiranangogo-b8vАй бұрын
Lakin ww aujapata ufunuo wowote kuusu uu wimbo, can't you note the message from just the beginning? Message is he doesn't care about people but what he cares is Jesus
@Lovenessngwiranangogo-b8vАй бұрын
@@davidkomba9781yani mungu atusaidie sana kwakuwa wimbo wote ni kwajili ya mungu
@michaeljola9903Ай бұрын
Hiyo ni roho yakichawi, hutaki asifu mungu, sikiza wimbo Joel lwaga hapa ni wapi una ujumbe kama huu,
@wacirairene7307Ай бұрын
It's God that is keeping us not human.... it's written amelaaniwa ategemeaebinadamu.... He's very very right na hajisifu..
@KibongeWaYesuАй бұрын
unyama ni mwingi sana humu
@paschalkiniofficial12319 күн бұрын
Nawaza kwa sauti bila msaada wa MUNGU hapa mjini palikuwa pagumu sana lakini sasa si shikiki asante sana MUNGU wetu ulie hai
@michaelayubu9456Ай бұрын
Niko Igunga Tabora naisubiri @ hamu sana❤❤❤
@RAIVONMWAKALANJE29 күн бұрын
🎉🎉🎉 ubalikwe sana pasta good my friend uzidi kupata kibali kila mara
@Lovenessngwiranangogo-b8vАй бұрын
Thanks obby may the almighty God continue being the first option in your life because when is the first option, you have no any other options because he can never fail you
@MiriamSamuelkeАй бұрын
Mwaka Mzima mungu ametuweka mjini wueh hata Mimi sishikiki
@BigBakhresaАй бұрын
Mungu asante nime maliza mwaka Salama nawe kwaakoo nisalama basii Weka liké hapo 🇨🇩
@RAIVONMWAKALANJE29 күн бұрын
❤❤❤❤
@Dee_Staar_TzАй бұрын
Nyimbo nimzur Sana namimi naisubili jmn nione nisikilize
@naisyeliasi4 күн бұрын
jaman naomba saport yako mm nakipaji chakuimba nyimbo zainjili napatikana katav naomben mnisaidie mm mungu kanituma nimtangaze naomba saport yako kakaangu
@EliaZakariaАй бұрын
Si Shikiki mm Mungu ndo ananiweka mjini Siyo mtu
@Kenny_muzikiАй бұрын
From Kenya...Nakuru ❤🎉
@naisyeliasi2 күн бұрын
❤❤❤❤ nikipaj changu mungu kanipa😊
@JamesJeffrey00119 күн бұрын
For sure ni mungu anayeniweka mjini, can't have enough of this grace😊God bless you and annoint you more obby 🙏
@yonachitemaАй бұрын
Pameanza kuchangamka
@GODSON-g5hАй бұрын
Put God First 👈 simply...Obby Alpha 👈 have said it ALL ✅🎄
@frankgerard715Ай бұрын
MATAJIRI MZIKI HAUNA KIPENGELE MATAJIRI BEAT SAFI,,,,VIDEO ANDROID NI VIEWERS MILION 12 NA LAKI 8 UTAPATA TAJIRI 💞💞
@MonicaNjai28 күн бұрын
Nikweli ni mungu bro Baki hapo Monica kutoka kenya
@dennisisrael2187Ай бұрын
Siku hizi mwimba injili akivuma anajisahau anajiona nae BongoFleva Super Star. Waimba injili simamieni msimamo wenu jina la Mungu mliimbe vizuri kwa heshima msijisahau , Bora alichagua bongo fleva mapema kuliko kigeugeu
@caleh-keАй бұрын
Kwani lazma mtu aimbe akilia ndo akue anamuimbia mungu😂😂😂😂
@Blackhandsome255Ай бұрын
Sebene la yesuu 🔥🔥 mungu ndo ananiweka mjini sas niogope nini #sishikiki
@SophiaSteven-nc1liАй бұрын
Soma yeremia 17:5 utaelewa wew kwani hapo ni kujisifu au ana imba amekua hodari kupitia MUNGU sema watu mbaka muongee ndo mnajisikia sas kosa liko wapi apo
@Blackhandsome255Ай бұрын
Wanao comment negatively hakuna hata Anae jua namna ya kufungua biblia
@gellshamsimon3347Ай бұрын
MJINI PAMEANZA KUCHAMKA SASA🔥🔥🔥😅
@marionkassaila99Ай бұрын
Kaz nzuri
@miriamwanambukoАй бұрын
Ni Mungu ndio analinda na sio mwanadamu❤❤ praise God 🎉🥳🥳🥳🥳
@maelezoАй бұрын
😂😂😂😂😂 Sawa wewesio wa kwanza na hautokuwa wa kwanza jifunze kunyamaza
@TrestartzАй бұрын
Be blessed 🙏Our Gospel To The World🌍More likes if u really appreciate This Talent 🙏✅
@HappinessAnthony-uv2vzАй бұрын
Waooh! good music,Na bado hautashikika zaidi na zaidi waliokuacha, Waliokutenga, Waliokusaliti, Waliosema hautafika mbali watakuona unapepea2 na naodha wako mwamba YESU akiongoza safari yako siku zote ❤❤❤, Barikiwa sana Mr ♥️.
@OnesmoRichard-n5rАй бұрын
Sehemu uliyowekwa na Mungu hakuna awezae kukutoa Mungu wetu ananguvu Sana 🙌
@puritykarimi_28 күн бұрын
Aaaaaaaaaaaaaaiii Ebu ziidi kutuua na mavideo kali namna hii na ujumbe umefika mtumishi.from kenya 🎉❤
@RAIVONMWAKALANJE25 күн бұрын
Good my friend
@ChingaKenboy-fz8yrАй бұрын
We're waiting the big song broo🎉🎉
@gidionjozackАй бұрын
kaka naomba corabo na wew uni push kimziki
@naisyeliasi4 күн бұрын
kunawimbo nimeimba lakin sina ela ya kuumalzia nisaidien
@ShalomPicturesАй бұрын
Nyimbo mbovu kwani tulikubaliana ukijulikama uanze kuimba ivi jamn.
@Papah_PeterАй бұрын
Ameeeen❤❤❤❤❤ Tunafunga mwaka na hii sasa tukisema ni Mungu anatuweka mjini❤❤❤❤
@maelezoАй бұрын
Mungu ni jibu amekuweka na anaweza kukutowa amina watu tunakusapoti lakini umezinguwa
@RiyamaAbibu889Ай бұрын
Akuna mchambo kwenye mambo ya kimungu lzm useme yadunia yaliokukuta na ata yasasahivi ❤❤ robby alpha ❤tupo pmoj
@javandaudi5553Ай бұрын
Bongo freva 😅
@barakaedson860Ай бұрын
Pameanza kuchangamka. Barikiwa sana obby
@JacquelineAlindaКүн бұрын
Amina ubarikiwe obby alpha ❤❤❤❤
@EmilyIsayaJoseph-d3pАй бұрын
Amen ubariwe sana ni wimbo mzuri
@mayalayella9194Ай бұрын
Unakoelekea unapoteza mwelekeo hiii ni bongo fleva
@BeatriceHozzaАй бұрын
Yan shwaaah ikija tu naidakaa😂😂😂❤❤❤
@IMANSHEDRACKАй бұрын
Hahahahahaha kaka unatisha aise dur unanibariki aise mungu akuzishie🎉
@BlessedSongsGlobalАй бұрын
Namibia 🇳🇦 here
@MaxamuudCabdiqaadir-n1oАй бұрын
Kakaaaa unabalaaaa🎉🎉🎉 GOD BLESS YOU
@joanne3dfАй бұрын
Wenye tunapenda Obby Alpha gather here❤❤ He is a blessing
@TrestartzАй бұрын
Let God Be Praised Forever 🙏🙏🌍
@joelmaigАй бұрын
Ubarikiwee sana kaka wimbo mzurii kwakwelii nimebarikiwaa
@odettafuraha65863 күн бұрын
Amina 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@GivasMwananzumi-tx2ssАй бұрын
Hata wewe alpha umeanza kulewa sifa kama wenzako kina gozbert mbona ulikiwa unaimna vzr tu sasa hayo yanatoka wapi
@BénédicteBaraka-b3j6 күн бұрын
Kweli ile kakayetu😍😍
@highlightboy255Ай бұрын
PAMEANZA KUCHANGAMKA STAY TUNED #MJINI SOON 8:00AM THIS MORNING 🚀🔥🔥🔥🔥🔥🎶 Enjoy Good music From OBO🤴 #obbyalpha
@rajasungtv394Ай бұрын
Usifrahie views watu wanakupenda wa nataka kusikia umeimba nn kaka umezingu nyumbo za mungu mnaziharbu Goodluck alianza vyema alivyopenda pesa tu akaanza kuimba manyimbo ya kujisifu hakuna utukufu wa mungu.umechukua mpaka madansa wa nn sasa umesihuzunisha sana kka tubu mungu akurejesheee taranta yako ya mwanzo.
@mtcibalamoravianmbeya549Ай бұрын
Bonge la kituu
@PazzahTz9090Ай бұрын
Ila watanzania kwa kujikuta wajuaaji hamjambo.. Kwan ambacho hujaelewa nn hapo ww... Hiii Ngoma inamsifu Mungu weweee... Hapa tunamshkuru kwa aliyotutendeaa.. acha kuropoka bila kufikiriaaa... BASI IMBA NA WEWE ILI UTUELEWESHE NYIMBO ZA UTUKUFU ZIPOJEE Mnakeraaaaaaaaa
@davidkomba9781Ай бұрын
Kwan Obby ni msanii wa kwanza kuwa na madansa mbona Rose Muhando alikuwa nao na hakuna kilicho alibika, mi nadhani kuliko wangeenda kucheza nyimbo zakidunia ni bora walivyo mchezea Mungu Na uhakika hii nyimbo itawavuta hata watu wa kawaida kujua Mungu ndio anafanya kila kitu May be this is not for you now.
@DenisChrizestomАй бұрын
We ndo inaonekana hujui maana ya nyimbo zenye utukuf n nn,
@andreamakoye4514Ай бұрын
Amezigua kweli, tumpe muda maana katika maisha kuna kujisahau pia atakaa atafakari kwa msaada wa Roho mtakatifu Naamini ataendelea kumtukuza Mungu kwa nyimbo za pure gospel. But kwangu huu wimbo ni secular 100%
@ClovisNdihokubwayo-hs3rpАй бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🧎🏼🧎🏼
@RupiaEliasАй бұрын
God bless u🙏🙏 by ruuh
@ElishaDickson-l8vАй бұрын
Bro sahv unazinguaaa😢
@sylviakissamunyole764Ай бұрын
PERFECT ONE! Merry Christmas 🎉🎉🎉🎉
@KenedMolel7 күн бұрын
❤❤ sikupingi tajiri🎉
@Danny254Ай бұрын
Bro mimi nishakata support yangu kwako...Umepotea sana kabsaa ulianza vizuri lakini umeanza kupinda injili nimeanza kushuku huyu mungu ni yupi...Umepotea kakangu na hakuna mahali unachukua watu na hizi nyimbo umeanza kuimba.
@GnicekeАй бұрын
brother
@matridamakange7286Ай бұрын
Hata mimi sishiki na hawatanishika kwa jina la Yesu kristo
@jonathan_loved7433Ай бұрын
Be blessed
@gospotvАй бұрын
Power ✝️
@CalvinworshiperАй бұрын
True sir we are blessed 🎉WE ARE HERE IN TOWN BECAUSE OF JESUS
@KikonzinakilonzoАй бұрын
Favourite artist
@Joelsm-j8rАй бұрын
Great job ma boy❤🤯
@TGUNTOZZYАй бұрын
Ayeeee
@joelmaigАй бұрын
Waiting kaka
@carltonsalanmusic1Ай бұрын
Obby alpha to the world
@ushindienock8148Ай бұрын
Umetshaaaaa sanaaaa brooooooo❤🎉
@RupiaEliasАй бұрын
ue 'r blessed ❤
@JudicaelleGataliАй бұрын
❤❤you're work Is Amazing!!! 🙏🙏🙏👌👌💯 aaaah yes my brother 💐💐 ahsanté Bwana ❤ mungu akubariki sana Always nakupenda again ❤beautiful💖💖 jinalabwa na yesu lisifiwe Amina❤ Amina 🌹🌹this ❤ this very ❤very Uok❤ yes yes ni munguu👂👂👂🤲🤲
@jibsonikapama19 күн бұрын
Kaka nakukubari sana
@JacquelineAlindaКүн бұрын
Good job obby alpha
@patrickndizeye2190Ай бұрын
Mungu❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤ ni mwamba Imara.Wala siogopi kitu
@dinah_wanjohiАй бұрын
My 2025 testimony as i relocate to US with my partner 🎉🎉