wimbo wenye ujumbe mzito huu touching my soul be blessed my brother 🎉
@michaelayubu94562 ай бұрын
Mtumishi katika wimbo huu umeongelea maisha halisi kabisa ya watu tinavyoishi..baraka zikufate aisee BIG IDER,,HIT SONG..🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RoseManyama-j5u2 ай бұрын
Wimbo mzuri san nimejifunza kitu nimeupenda sana❤❤
@ingozescopion2 ай бұрын
Huu wimbo umeniimbia mimii kabisa mana kwa Hali nayopitia Mungu tu anisadie
@theptouch78842 ай бұрын
kaka Obby kweli uparikiwe sana mimi huwa nyimbo zako zinanijengaga sana yaani kutoka ulipoanza mpaka hujawai kuimba kimwili bali unakuwaga kiroho siku zote Mungu akuzidishe zaidi
@Lashymreal962 ай бұрын
Be blessed Alpha nyimbo zako hunipa nguvu ya kusali
@MagiSky-uw3ls2 ай бұрын
Mungu akuwezeshe katika kazi yako kaka. Aweze kuku Linda akuepushe na mambo mabaya. Malaika wake waweze Kuku Linda. Roho mtakatifu akae ndani yako Amen 🙏
@GraceJoseph-l1c2 ай бұрын
Balikiwa kaka kwa nyimbo nzuri Mungu akulinde maishani mwako
@Drey_tz2 ай бұрын
Asante sana🎉 kwa kutuletea hii nyimbo imenigusa sanaaaa kaka nzuri kwa ufupi
@GraceMario-kg2im2 ай бұрын
we sikia tu kwa jirani yakikuta utanielewa🤐🤐Maombi yangu Mungu awainue wote wanaopitia kukataliwa na usaliti kwenye ndoa zao Mungu awapiganie mvuke salama.Asante obby kutukumbusha hili
@ElvisGare2 ай бұрын
Mungu ni mwema sana alfha
@Ann-Strong2 ай бұрын
Wakwanza kuview, kusikiza, Mungu azidi kukupa vipaji kaka Obby
@humphreykagwi50962 ай бұрын
Wimbo mzuri, tumeupokea vyema hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stewartmwakasege2 ай бұрын
🎉🎉🎉Mtumishi Ujumbe Mkubwa sana Huu Barikiwa sanaaaa
@levelvivo66402 ай бұрын
❤ ubarikiwe namiminaitaji musanda wako ni mm naimba Gospel❤
@HellenMulimba2 ай бұрын
Uwepo wa Mungu,kila jambo linawezekana🙏🙏🙏
@younglico76112 ай бұрын
Mungu akubariki San mtumishi pia mim msanii wa gospel song
@nkugwasimon23012 ай бұрын
Kazi nzuri Kaka keep going
@yopasiamselabuye74562 ай бұрын
Mungu akubariki ndugu Obby Alfa!. Mungu anaongea na watu wake kupitia kinywa chako!
@Triumph_voice_Africa2 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa ujumbe wako
@IsackDevidi2 ай бұрын
UJUWE UKIWA JUU USIZALAU ALIE CHINI MAANA HATA ObyJUU MUNGU AMEKUFIKISHA NDUGU APAA UMEIMBA #HONGELA BABA
@johnndengoofficial2 ай бұрын
Hii kaka nikwamba unajua ninichopenda au. Yan unaupiga mwingi sanaa
@ManavuOfficial2 ай бұрын
Akika wimboo uuhuu umenigusaa sana 😢 mungu aweze kuku jazaa mi baraka juaa yako 🙏🙏
@mondoboy77892 ай бұрын
Kweli weka akiba ya maneno Yako utanikumbuka badea good song
@KasimiriMichaeliАй бұрын
Congrats bro keep it up
@princevickyke2 ай бұрын
Amen, Wimbo mtamu tusiombeane mabaya🙏🙏🎶
@MargrethMloka2 ай бұрын
Hongera sana kaka good song
@KasimiriMichaeliАй бұрын
Congrats bro keep it t
@Mtatiro-ui7ds2 ай бұрын
Hongera sana kwa muziki mzuri
@samora3242 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@hancemasihi72 ай бұрын
My bro 🙌🏻🙌🏻
@SembogoBwanga2 ай бұрын
Nyimbo mnzur msanii wangu pendwa
@KasimiriMichaeliАй бұрын
Congrats bro keep it up ❤❤
@thewittyman452 ай бұрын
Si ujumbe tu ila melody pia ni za hadhi ya juu. Ubarikiwe Obby
@afroboy772 ай бұрын
Ahsantee kwa nyimbo zuri ❤
@gellshamsimon33472 ай бұрын
#VIBAYA hiyoooo bridge imeenda kaka🙌
@Beny_Daniel2 ай бұрын
Ahsante sana kaka, ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe mzuri sana! 🙏
@MDVevelo2572 ай бұрын
Umenifunza vingi obby kiukweli Mungu akupe nguvu nyingi
@jacksonvalence73652 ай бұрын
Barikiwa sana kaka kwa ujumbe huu muhimu kutumumbusha utu
@NansiaKishenyi2 ай бұрын
Kuna wao hafu kuna Wewe Ur blessed broo ❤❤🎉
@hopeshinemusicofficial2542 ай бұрын
Sikia Kwa jirani yakikupata utanielewa🎉🎉🎉❤❤❤
@olivazaituni24402 ай бұрын
Peter Msechu mpe shavu remix🔥🔥🔥
@harrisonrashid75062 ай бұрын
yeye ndio muweza wa kilakitu tusisemann vibaya wandugu
@kassebo2 ай бұрын
Kweli kaka
@DenisChrizestom2 ай бұрын
Hii nyimbo ikiachiwa video itakuwa trending namba moja
@clevergofficial28922 ай бұрын
Me wakwanza hapa nipeni like zangu jamani ❣️❣️❣️❣️
@Migapogospel6782 ай бұрын
Sema tu unataka likew😂😂
@euniceobonyo87362 ай бұрын
Good song bro may God give you more grace
@danielmsongoleofficial2 ай бұрын
Kaka Hongera Saan kazi nzuli 🎉
@HerbertFrancis-tr8gh2 ай бұрын
🎉🎉🎉❤ ujumbe mzuri
@aishafrancis77142 ай бұрын
Ubarikiwe sana ujumbe mzuri🙏
@jukaelyelisha63112 ай бұрын
Zidi kuinuliwa kijana wa Yesu
@Shimbamedia2 ай бұрын
Mtumishi kwenye nyimbo zako huwa natamini kusikia neno YESU ila huwa sikutani nalo
@ObbyAlpha2 ай бұрын
Hauangalii zote.
@johnkirambata90032 ай бұрын
Asante kwa. Kunibariki asubuhi ya leo
@AndrewAndwaks2 ай бұрын
Watching lyrics from Kenya.🇰🇪. The song is 🔥🔥🔥🔥
@enessJeremia-hi9fh2 ай бұрын
Mungu akubariki
@ChristinaWillison-x8g2 ай бұрын
More blessing man of GOD♥️♥️
@SteraSamwel2 ай бұрын
Ame obby mungu azidi kukupa fikla zaidi na zaidi na uweze kupata vitu vizuri tena na tena ili uendelee kutufumbua zaidi♥♥♥
@HappyVicent-w2n2 ай бұрын
Nashukuru Mtumishi wa Mungu nimejifunnza vingi kupitia wimbi wako🙏
@ufalumenitv-d4f2 ай бұрын
Kama unamkibali kijana like hapa
@TabitaMwakanika2 ай бұрын
Be blessed jaman
@Min_ROYALTY2 ай бұрын
My love for OBBY ,MORE GRACE BROTHER.🎉🎉
@georgedavid83582 ай бұрын
Aaaah kumbe ni obby❤❤
@VailethBaraka2 ай бұрын
Ubalikiwe
@MalindiControlroom2 ай бұрын
I love your voice and songs.
@Miraclegospel2 ай бұрын
Amen kaka
@P.LITTLEDRUMMER2 ай бұрын
Good job brother 🔥 See by P.LITTLE DRUMMER 🥁🎤🎸💪
@FreshiaRapando-w5x2 ай бұрын
I like the song bro ❤
@euniahbosire76622 ай бұрын
Niko hapa poa ukiona vyema weka like
@danielWaswa-f1s2 ай бұрын
Jina la yesu lisifiwe
@yohnangailo2 ай бұрын
More blessings upon you.
@mondoboy77892 ай бұрын
Ngoma aichoshi kusikiliza hii
@raher-w4x2 ай бұрын
❤❤❤❤❤ i like that song
@NuruHami2 ай бұрын
Kaka nyimbo nzr
@AbaleMarko2 ай бұрын
Yes Good song 🙏🙏🙏
@andrewzephania83012 ай бұрын
God bless you 🙏🙏
@Beny_Daniel2 ай бұрын
Amen amen 🙏❤
@bafamefaustine2 ай бұрын
😓😓😓 sikia kwa mwingine tu
@RiyamaAbibu889Ай бұрын
❤❤
@mchinaherry42312 ай бұрын
Nice song kaka
@gwandumijonas13182 ай бұрын
Ningekuwa wakwanza kuview 😂😂😂😂
@CandyOsano2 ай бұрын
On repeat!!!❤
@paulinanduku27482 ай бұрын
Nice song❤
@Mmms1w1Yyy1h1y12 ай бұрын
Love ❤❤❤❤
@CharlesNdeni-m8b2 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉
@olivazaituni24402 ай бұрын
🔥Hii ikija Video lazima niweke in Flash baada ya Bora nashukuru Pigana na mungu Nimesamehe Niokoe😃
@raher-w4x2 ай бұрын
Bless you Alpha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jasirimjasirimedia79402 ай бұрын
Amazing 😍😍😍
@IAMMOSEH2 ай бұрын
Alpha just the best✌️🙏🙏
@fanuelsanga2 ай бұрын
Fireeeeeeeee💯💯💯💯💯💯💯
@MpokiMwasuka2 ай бұрын
Amen bro
@PHILIPDANIEL-w9x2 ай бұрын
AMEN ❤❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialimidiNathanael2 ай бұрын
Thanks
@TrianyPanana-t1z2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@m.biangwamalenso32912 ай бұрын
Back to back to back it’s a flex having GOD’s favour 😊😊😊
@ReinfridaJoas2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@DaudLazaro-n2c2 ай бұрын
Baraka ziwe Kwa ote mulio view mapema
@Clivanny2 ай бұрын
Tusisemane🎉
@OnesmoRichard-n5r2 ай бұрын
🔥 🔥 🔥
@highlightboy2552 ай бұрын
#VIBAYA OUTING NOW LINK ON OBBYALPHA BIO LETS GO🔥🔥🔥🔥🔥🚥🎶