Sometimes the the way Obinna is speaking to him, 😢😢 Have mercy kidogo, already he knows his situation is not good. We left home to change home
@JaneGesareNyakwebaКүн бұрын
You leave home without mpangilio?
@Bonami_zikiКүн бұрын
Alikubali kuambiwa ukweli
@amoskirui218819 сағат бұрын
😢
@EveYogo13 сағат бұрын
😭
@Kate_Janet_OgaloКүн бұрын
I pray that after this interview ..May this God that brought us all in Nairobi remember this man😢😢..He has a good number on tiktok ,he can even sell mitumba clothes on his platfoam haki..bora ajue tu ni nini atauza za both men and women....all he needs is a good phone,ringlight and tripod..na capital ya biz jameni..we all came to nairobi with nothing !! But God is coming through for some of us
@HibiscusfamilyKE2 күн бұрын
As fans, it is so easy making comments about how Obinna was right to tell him the truth. But let me ask you, if you were in a position where you badly needed help (forget about this guy for a moment, he is silly) and you got into contact with someone you thought would help, would you rather they invite you and embarrass you before a multitude, or would you rather they tell you the truth during the very phone call you made to them or in a later private call? Ama akuite akuambie hio ukweli face to face when it's just the two of you na urudi home bila usaidizi ama akupee fare tu. Obinna didn’t need to bring him on the show if his mind was already made up. He could have told him all this in private, and the guy would have taken the first bus back to Bungoma the next morning. I’m all for people being told the truth, even when it hurts-but how it’s done matters. Don’t do it in a way that leaves someone feeling like their dignity has been stripped away. You embarrass him like this on a big platform in the city, then the people from his village where we want him to go back to get to watch this video as well. Huyu mtu ataweka kichwa wapi?
@AntonellahCherutoSamton2 күн бұрын
I agree with u💯
@stellahmuhonja20232 күн бұрын
It was my take too obina did it very whong and people are just clapping for him I felt it
@LinetAkinyiMaloba-uo5zs2 күн бұрын
@@HibiscusfamilyKE hii show ingekuwa yenyu mngeweza, like kila mtu anataka umsaidie na hujasimama kura, hana papers hana talent, hivyo Obinna akauliza hata sisi tutoe maoni, si mlishindwa, si ilikuwa hata fans mtoe maoni na watu 2k walikuwa live, si mlishindwa. Na hata hivyo alipeana number, kuna hata yule Andrew alisema atatuma kitu. Mnajuaje from this Show anaweza pata kazi au mtu amsaidie??? Na amekuwa hapa Nairobi kwa miezi 3, akiwa kwa mkono ya watu wengi, mbona hamlaumu wao kumsaidia??? Obinna kama si maombi ya mzazi wake , hawezi penya, hii kazi ni ngumu
@sesquihidempakenya94102 күн бұрын
Very wise ❤
@evebossmama18542 күн бұрын
Mngesema alinyimwa platform as well so he had to do it here
@EdgarKaptum-q1w2 күн бұрын
When I grow up, I want to learn how to speak the truth. He might hate you but you've helped him big deal.
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
i hope you nevr need help and if you do i hope they dont help you because of the way you agree with truth. i hope you have a one man army and dont need help. and if you do i hope you dont find help and that enables you to stand alone
@Blessedservant713 сағат бұрын
Obinna that's wisdom.....you have told him the Truth......ukimpa samaki atakula arudie ingine.....angeitisha net ya kuvua samaki....... otherwise his height is not a talent.. period
@usinileteeКүн бұрын
Obina you started somewhere. There was no point in embarrassing this young man. He already said his parents could not take him to school, which is why he dropped out in. standard 4. I did not see the need to bring him on the show and demean him that way. Maybe ajengewe tingatinga ya kusiaga unga. He is too tall to ride a motorcycle. I hope he will succeed
@zippynangila6325Күн бұрын
Arudi nyumbani he has a home and family
@brightonokoth37542 күн бұрын
Wueh, we better work hard watoto wetu wasikuwe humiliated hivi in the name of seeking help. 😢
@stellahmuhonja20232 күн бұрын
Kumbe uliona
@giftie6842 күн бұрын
very hurting 😔😔😔 it's hard to help you 😭😭😭 hit me hard
@YRN_OG2 күн бұрын
Im so embarrassed naa si Mimi 😢😢@@giftie684
@linetkhavugwi2092 күн бұрын
As a mum of boy shauld ilinihit vi different 😢
@GLADYSNYAMBURAКүн бұрын
@@brightonokoth3754 I agrew
@jayparties51945 сағат бұрын
May the Lord God who brought us out of our homes locate this guy,ata sisi atukua na talent but God made it easier for us,obinna sometimes be nice Mungu ndo mpaji
@Acacia01Күн бұрын
Can he get sponsored to learn a skill in painting? It’s a quick simple course and from there he can hustle to get jobs from developers and real estate companies as well as individuals. With his height he can paint homes with high ceilings. Just a thought
@Kate_Janet_OgaloКүн бұрын
A very good thought..he can be helped imagine,
@penninahmutungwa2446Күн бұрын
Well thought
@DanToo-pt1hvКүн бұрын
Good idea mkuu, hope he can see this one
@rutholudhe5956Күн бұрын
He can play basketball too
@lynnkesh25414 сағат бұрын
Na ladder 🪜 ni za?
@mercykaranja592513 сағат бұрын
Hii Obinna yuko very much right kumwambia ukweli, sometimes we need someone to challenge us for us to start thinking..Jitume wewe wacha kulialia hapo.
@rgblessings5 сағат бұрын
True,maisha ni ngumu sana 😢aki ,hata anunue nduthi apee watu wamuuendeshe
@hannahrhodah20182 күн бұрын
Ukiona Obinna ametoa miwani ndio aongeleshe mtu just know its about to go down 😂😂😂, he means every single word he says
@joshdaphine88502 күн бұрын
That's true
@bellaolum97682 күн бұрын
😂😂😂
@waribukelvin238Күн бұрын
Wewe😂
@DamarisWanza-j4yКүн бұрын
Ata wewe mtu anaulizwa what else can you do anasema anaeza chukua kitu ikiwa juu utamsaidiaje😂
@hannahrhodah2018Күн бұрын
@DamarisWanza-j4y 🤣🤣🤣 this is a closed case
@23livelovemanifestКүн бұрын
Obinna is truthful❤ Height or weight is not talent. Be specific. Don't expect special treatment because you are tall
@anniekamau1537Күн бұрын
But he could have told him all this over phone call! Not calling him to humiliate and embarrass him with his comical inhumane utterances!
@DamarisWanza-j4yКүн бұрын
@anniekamau1537 but remember he's the one alitafutq obinna for so long time and finally akakubali akuje so sioni shida kuambiwa ukweli the fact is the guy Is poor even in talking imgn mwanaume mzima kulizwa swali anaaza kuumauma midomo and you need help how
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
@@anniekamau1537yeye ndiye alitafuta obinna ndio akampea platform
@mutietish19952 күн бұрын
Sijapenda vile unamu humiliate...God will do the judgement....but kama unafeel uezi saidia usimake fun kupitia udhaifu wske
@giftie6842 күн бұрын
hata serikali haiwezi kuwa confused like obbina,a very stupid mind today 😅😅kumbaff zake
@charitybetty7737Күн бұрын
We kwenda unaleta mafeelings huku Rudi penye umetoka
@phinehaswanjohi458618 сағат бұрын
You may understand it how you want but ukweli ndio huo
@KambaONE16 сағат бұрын
This is why I keep my problems for future use,, no way I will let someone embarrass me
@jacklinetotomutemi15352 күн бұрын
Kawira ako kazi😂😂😂😂😂 jamaa harudi bungoma akaendelee na maisha yake awachane na entitlement
@KaimuriJerushaКүн бұрын
Alikuja Nairobi after kuskia yule mwingine ametrend
@Blessedservant713 сағат бұрын
Kawira...ungemsaidia....unapelekea watu wasaidie wengine...you are a broker..... he's hardworking....aendelee kuwa hardworking..it's good for him....
@janemusumba820Күн бұрын
Wee hii nayo obinna ume anguka aki😢😢😢 wacha nifanye kazi watoto wangu wa sipate aibu na matajiri yarabii tunusuru na mwisho mwema
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
Sasa mlitaka obinna amuajili ama amuadopt
@WilyMburu19 сағат бұрын
Nimewatch yote na sioni makosa ya obinna honestly
@stevenokello749916 сағат бұрын
True
@shikohmuriithi5216Күн бұрын
Kawira alikuja prepared mpaka akasongwa nywele na akanunua jacket mpya thinking she will be the star of the show🤣🤣🤣🤣🤣
@marymaina381Күн бұрын
Hater
@shikohmuriithi5216Күн бұрын
@marymaina381 ukimaliza kubweka ulale
@elainenakeva2195Күн бұрын
Ukweli kabisa
@rutholudhe5956Күн бұрын
Ulikua unataka aje show uchii?
@lamincinacathens972319 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@bonifacemaena5412Күн бұрын
I Remember Jalango now the MP Advising Vincent Mboya! Saai ni Oga Anaambia Goliath wa Pungoma!!! Kwani Watu ya Western hakuna mtu anaeza shikilia huyu Jamaa? He can so something Ajikimu kimaisha!!!!❤❤❤
@PeterKiprotich-m1dКүн бұрын
Yu started so well obbina buh the grandiose bloat of bully you ve become will soon dawn on you ....umeanza kuwa mpumbavu Sana was it a must usomee huyo kijana hivyo
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
Kwani alitoka ushago akuje kutrend Nairobi bila mpangilio watu wanarudi ushago juu hakuna kazi na yeye anakuja kusumbua watu Hana kwa kuishi
@LydiaKevoi21 сағат бұрын
Don't compare yourself to other people aty umeona mwingine amefaulu juu ya advisement pia wewe unataka, Obinna thanks kwa kusema ukweli ❤❤❤ tupitiaane tugrow pamoja guys
@DanToo-pt1hvКүн бұрын
√Huyu atafutiwe security or bouncer √Ama delivery agent by use of motorbike √Ama painting team,,apige Rangi manyumba √pia loading and offloading cargo Kazi ni mingi mingi
@Joyce-u2nКүн бұрын
According to my understanding this was not an interview bt an advice which could have been out of camera,my opinion though
@anniekamau1537Күн бұрын
Exactly! No need to humiliate one.
@AbrahamMokua15 сағат бұрын
Yes
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
Si yeye ndio alisema aitwe kwa obinna show
@tsavoband254113 сағат бұрын
Actually you have said it,,,👍👍
@victorkipchumba771510 сағат бұрын
Very true
@martinsamburu31332 күн бұрын
I like how Obinna is hard on this guy.
@hannahrhodah20182 күн бұрын
Ukiona Obinna ametoa miwani ndio aongeleshe mtu just know it's very serious 😂😂😂
@ericmuli340Күн бұрын
After watching this,my mind is clear now
@FakemuКүн бұрын
Obinna is telling him the truth
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
yess hopefully pia wewe usiwai hitaji help ama wako pia wasihitaji. na wakihitaji kumbuka truth ya obi.obina helps luos or people already established and have grown wewe na wages yako ndogo unapenda truth.mungu atakuonesha kitu siu mojja huyu na yule mwengine watasaidika kaaa hapo na give flowers guy.i pray you never need help juu ukii itaji hutapata juu ya hii story kenyans would rather support criminals than innocent kenyans
@lyndahlynne46172 күн бұрын
I honestly love Obinna's personality, very straightforward man😂😂😂😂
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
yeah he is hopefully one day you never need help dear and if you do may you find the same reply no matter how hard it is hata kama unakaribia kifo please remember straightfowardness na upigie obina kipenzi
@cherryfoods-fx3nh5 сағат бұрын
@RushdenEuphrasia24kwani huyo Goliath ni bro wako😀😀😀😀
@0590Күн бұрын
The spirits that are fighting this man, ni kali sana but all will be well, christians have a duty to help the needy.
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
ahh kwani ulionea kwa chungu ya kwenyu hebu tuambe mchawi wetu kunaendaje
@jacintamwongeli31362 күн бұрын
This Goliath is very slooow. Ata kumsaidia ni ngumuu yohh ata kuongea inamshinda arudi tu ushago
@DamarisWanza-j4yКүн бұрын
I wonder why pple are blaming obinna na ata kuongea inamshinda sasa ata io kuadvertise anataka ataweza kweli😂
@darajambiliКүн бұрын
Aki shule ni mzuri unaeza bebwa ufala msaidieni tu na God hatawa bless
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
yet there graduates with no job whats your point you can go to school and be primitive to facts of life. rpovide jobs to thos who went to school ama unatapika tu
@paulinanduku27482 күн бұрын
I like how Obinna is telling him the truth
@chebetkapsir82722 күн бұрын
Me too men but people don't like the truth
@GladysNyaboke-mk7fv2 күн бұрын
Goliath na ww ulichanganyakiwa ungesema unataka kazi kama ya security ama kufanya kazi hata supa kubeba mizigo unaweka kwa gari iyo n kazi pia 😢😢
@nakedtruthtv_ke2 күн бұрын
Very true ekiababa 😊😊😊
@trizahmaore-i9hКүн бұрын
Ni wale watu shy hajui kujiexpress🤔
@DamarisWanza-j4yКүн бұрын
@@trizahmaore-i9hplus he was soft life it's like kulingana na maoni yangu na vile anaongea hataki kazi anachokq
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
True yeye anaexpect tu apate kazi ya mamillioni ya pesa
@MaryWambui-te1ee2 күн бұрын
May God help him to know what he want ju Nairobi sio mchezo😂😂
@lizburton98332 күн бұрын
He is good as a security guy according to his body
@LinetAkinyiMaloba-uo5zs2 күн бұрын
He is very slow,
@jackymelodia3283Күн бұрын
Munes yuko
@GLADYSNYAMBURA2 күн бұрын
I can totally relate to this guy's fear of "kurudi ushago" especially after exposure to urban life and opportunities. With proper mentorship, this young man can create content (whatever niche) since he already has a tribe. I felt the humiliation💯💯. Maybe he's not a good communicator, thus, the misunderstanding to help him out.
@stellahmuhonja20232 күн бұрын
I was to say this nikaogopa hata vile alikuwa handled ni vibaya
@GLADYSNYAMBURAКүн бұрын
@@stellahmuhonja2023 It was tough to watch. You could see the frustration in his eyes. This is just a man trying to ask for help from someone he has confidence in cause we've seen similar cases before. It's the double standards for me though!
@jatesoКүн бұрын
No matter what, jitegemee. Wenye wako na uwezo wa kusaidia hawana hima.
@Janemuthoni2892 күн бұрын
😢😢😢yaani hii show Obina ameifanya kimadharau kweli ,content na masomo vitu mbili different, hadi huyu jamaa hana raha vile umejaza madharau kwake maybe he thought atapata usaidizi,au ni vile ulimuona na Manzi wa kibera??hadi umuombee kazi ya kulinda boma juu amesema alikuwa anachungia watu ng'ombe 😢😢😢😢May he get a destiny connetor today
@hannahrhodah20182 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Obinna shually, ati alienda kufaintia kwa Church ya Kanyari 🤣🤣🤣🤣
@YRN_OG2 күн бұрын
So sad 😢
@shirleyachieng2 күн бұрын
The problem with Goliath wa Bungoma n anataka kuwa kama Bradley,, Obinna is just telling him the truth,,life sahizi n ngumu
@FAITHE-oe5jt2 күн бұрын
Is Bradley not same as Goliath wa Bungoma? Someone help me understand
@shirleyachieng2 күн бұрын
@FAITHE-oe5jt Bradley en Goliath wa bungoma are different
@sophiashakaba93482 күн бұрын
I like how obinna huambia mtu ukweli ikuume I comment kwa live flani tiktok someone say that obinna should help this guy nikaukiza obi is is also a human being hatuwezi expect asaidie kila mtu alisema kama huyu hatasaidika hapa that means hii shw niya likes tu NIKIBLOKIWA IMMEDIATEL
@Marsricardo22 күн бұрын
Kawira take him to bypass kwa kanisa la JCM hapo kuna investors mob anaeza saidika
@ruthmaks871814 сағат бұрын
Goliath nenda kwa Lyn Ngugi utasaidik. Uku kwa Obinna we are here for comedy and laughter na encouragement
@KevinRastaman-j4yКүн бұрын
Nairobi sio kwa mama ya mtu🫣lafu wekesa buana don't force issues 🤭
@RushdenEuphrasia24Күн бұрын
its true i hope you never need help and if you you do i hope you dont get help ut stand alone juu nai sio ya mama ya mtu
@flani_91Күн бұрын
Even Gachagua was thruthful man! Sometime be quite if u have nothing positive to say..let nature unfold, no why kill whats already down?
@SteveJuma-h6rКүн бұрын
Shida alitaka awe kama mwenzake which is not easy
@rgblessings5 сағат бұрын
True hata huyo mwingene bado anajituma sio rahisi
@beatricechege7897Күн бұрын
Bahati ya mwezio usilalie mlango wazi true
@joshuasakwa1548Күн бұрын
Bungoma mko very lucky, mko na Yesu, Jehovah, papa wa Roma, and now Goliath
@DamarisMburu-ho7su17 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😅😢
@lynnkesh25414 сағат бұрын
LMFAO Kenya watu wanapenda upuzi..I saw a documentary in some country some guy was claiming to be Jesus next he knew pple were chasing him to crucify with nails, hammers et all. Dude managed to escape but never seen again in his home town ..He left everything behind 😂😂😂
@Queenrenny2 күн бұрын
😢😢😢😢 anyway God is there for us all may He remember you...
@kevinmariita53272 күн бұрын
Pastor Ng'ang'a akuje show
@kagege23Күн бұрын
Obinna kongole umejaribu many people will criticise everything
@Claremideva-ib4od2 күн бұрын
Wah 💔😭 nimemfeelia aki
@duncanmikaye57815 сағат бұрын
love how humble he is
@piusmutuma9842Күн бұрын
Thankyou so much for hosting them. Its a great platform 🎉
@janissam518720 сағат бұрын
😂😂😂😂 obinna obinna obinna!!! Anyway Kila mtu ana riziki yake everything comes at the right time angendelea na boda Mwenyezi Mungu ata mfungulia njia
@theluyhaprinceke68072 күн бұрын
I know Isaac back from home coz ni mtu wa kwetu my friend tumefanya nae boda.... Isaac is just desperate looking for something to do...if oga obinna you can help ,,this is my suggestion kindly... Just look for a cheaper place for him, mpeleke driving school it's only 3 months license ikitoka haezi kosa kazi ya driving uku njee because of the body...kindly that is how I suggest I wish I was in the position to help my brother to shine....thanks also kwa kumsho reality.
@kenya1sdaughter437Күн бұрын
SI pia hufanye hivyo obbina will not be helping kila mtu already he has brought him here amesikika take it from there if need to help we can't just overbadden obbina kila kitu
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
Pia wewe mshikirie vile unasema coz ni kama mnataka obinna afanye Kila kitu Kama Hana kazi arudi tu nyumbani akabebe na hio piki piki juu Kuna mwenye anatamani hata hio piki piki abebe nayo apate unga,huyu anataka soft life
@silviangari32918 сағат бұрын
@@kenya1sdaughter437Huskii bado anasema aty driving is just 3 months it's as if ni free kusoma ...anaongea na alot of entitlement mehn
@fridahkaviti6976Күн бұрын
Alujua alitaka Msaada kabla amualike, mbona amualike kama hakuwa na Msaada? Angemuacha tu! I don't like when someone is that needy and he gets heartbroken. The height itself limits him to getting a good job. He also has a family. Probably he had. seen the other Goliath trending na alikuja Nairobi kujaribu bahati yake. Hii maisha sio mchezo.
@littlemosey0472 күн бұрын
AKI C LIFE IS UNFAIR 🥺🥺there is no glory in poverty.....aki tujitume tu ....Obina has just been true to him but wangefanya hii tu off Camera..very sure deep down the guy left feeling humiliated
@Junglefruit5458Күн бұрын
And the way Obinna always talks about men mental awarenes... angemuadvice tu off camera haki.
Unawezatokaje ushago bila mpangilio ati unakuja kanairo then uanze kusema huna kwa kukaa na hata job huna wakati watu wanatoka kanairo wakirudi ushago juu ya maisha kuwa ngumu
@AntonykaundaMutukuКүн бұрын
Wakenya wengi hatupendi kuambiwa ukweli
@tangilamillie2 күн бұрын
27:59 Goliath anakaa kupiga obina😂😂😂
@Melvo-Shiz2 күн бұрын
Wallai 😂😂
@sheey644Күн бұрын
Nimekuwa keen venye ulikuwa unataka😂😂😂I had to confirm 😂
@LATIFA.0012 күн бұрын
Maskini anatia uruma jamani😢😢😢😢😢😢
@johnsimiyu99512 күн бұрын
We all came to Nairobi to hustle, including you Obinna. Don’t patronize him that way.
@t.n.98682 күн бұрын
Making fun at him is so childish. Stupid program
@giftie6842 күн бұрын
@@t.n.9868hahaha 🤣🤣🤣 this interview isn't really Worthy our heart 😢😢😢
@KevinOndieki-g2gКүн бұрын
Obinna not good interview
@AbrahamMokua15 сағат бұрын
But obina wacha hivyo
@anniekamau1537Күн бұрын
Obina did an injustice to this dude! Calling him to diss him infront of cameras was uncalled for! Angemuita kaa jamaa tu for a man to man talk na wamalize na huko bila us knowing!
@neemamwaura8222Сағат бұрын
Thanks obinna tell him the truth anaacha motorbike akuje nrb , kuna watu wanatafut hio bike
@lazaruskariuki2326Күн бұрын
Iyo nduthi yake iongezwe ibebe watu sita😄😄
@nate5462 күн бұрын
All I'll say is if Goliath wa Gen Z did not receive the help he got from Trevor and others angekuwa in the same position. Trevor saw him and thought what he could be not what he is
@zippynangila6325Күн бұрын
This guy was home not 2 weeks na ama jirudisha Nairobi looking for favours
@Makaveli631Күн бұрын
Ati kazi gani...just look for him kazi yoyote ya mkono nguvu anayo...when a man is down if you cant help him leave him dont mock him..kama ni advise patia yeye advise in private
@sharonbarasa67105 сағат бұрын
Some people are really crazy, they are busy complaining that obinna didnt help this guy. But amempea platform. Mlikua mnataka amdanganye. Si mumpee kazi basi
I recommend angekaa tu ushago aendelee tu na kazi yake na wakati yake ingefika tu aitwe labda na campuni well organized ..he is acopetitor wothout dreams na aache uongo mingi
@LydiahOtiato2 күн бұрын
I like the way obinna u are talking to these guy just tell him the truth
@LydiahOtiato2 күн бұрын
Mpeleke zinco asaidie kufanya kazi uko
@trizahmaore-i9hКүн бұрын
Anataka kazi ya kufanya advisment😥😥
@rgblessings5 сағат бұрын
But it's true obinna is speaking the truth,he talking sense
@Sebah-ym7jp7 сағат бұрын
Even as Obinna asks this guy why he cannot go back and ride the motorbike is it really ignorant of the fact we sometimes in life take risks to venture into other hustles in Nairobi for more income. Obinna acts as though he approves those who are to shine and dim the light of those he opt to. Obinna, you have means and I am sure if he was a lady, he would have come up with an idea that could make her grow. He told him that he feels entitled but looking at how humbled he is you wonder how now. Lastly, when he asks him what he wants to do after a deep thought he says he wants to advertise, he doesn't end there with his humiliation, he accuses him of copying the other Goliath who is also trending. Ati bahati ya mwenzio usiulalie mlango wazi. Don't worry man let no one dim your shine.
@alexkipchirchit39972 күн бұрын
Let's team up tuchangie huyu jamaa Capital afungue kishagi huko ushago
@dariusmutunga68422 күн бұрын
I support
@jackymelodia3283Күн бұрын
Haina market Sana nowadays
@lyslinejepchirchir7559Күн бұрын
Do you think he wants to go back to shags? Remember he came to Nairobi when the other tall guy was trending thinking that he would also trend. He has a lot of entitlement in himself, kusaidika ni ngumu
@carolynebuya6652Күн бұрын
Mungu anisamehe but huyu anakaa kulalia bahati ya mwenzake weeeh
@veekwamboka6723Күн бұрын
i am shocked that baba county is a chiropractor. that thing pays yawa..he should consider it as a main hustle
@rgblessings5 сағат бұрын
HAPA I STAND WITH OBINNA..😢😢 LET'S ALL BE REALISTIC..B4 FAME HE HAD SOMETHING TO DO 😢so obinaa akamuuliza , apart from being Tall, what can you do 😢??he said Advertisements... Geoffrey mosira asked him ,ulifika class ngapi ,he said class 6,ao rhey they all asking what can he do , Geoffrey akamtafutia kazi kama bouncer, remember OBINNA has kid's,ana fee's,he has to provide for his family, GEOFFREY MOSIRA,he has a family,maisha ya nairobi pia sio rahisi,SO MNATAKAJE WATU😢😢
@HellenAkinyi-v9c7 сағат бұрын
Obinna usisadie hyo aki n ujinga sana nimesema initokee
@djtashrastababy25922 күн бұрын
😂😂Kawira nayo ni ng'ombe ingine
@BettyMutuneКүн бұрын
But Obina for this he true....wacha hawa watu wa hustle vile kila mtu yeyote anafanya....ati juu uko famous kidogo tu unakuwa mziko yetu...ukijulikana jitume
@nancyngetich6582Күн бұрын
Truthful point
@nancyngetich6582Күн бұрын
Mambo inachemka huku...bitter truth 😅hope he gets what he wishes for himself 🙏🤞
@SusanMichael-rs8pi2 күн бұрын
Kawera hana nyota 😂😂😂😂kuna watu ukiwai shikana nao nyota yako inazima 😅😅😅😅😅
@djtashrastababy25922 күн бұрын
Imagine alianza na manzi wa kibera mwenye nyota ilikataa kabisa tena huyu😂😢😢
@Blessedservant713 сағат бұрын
😂😂😂.... she's an inexperienced broker.....ukora
@ruthjuma92382 күн бұрын
Mtu atoke Bungoma aje ateseke Nai, si alime huko kwao jamani ajisaidie
@ezrabasil25212 күн бұрын
Bana Nairobi nikama imemkataa
@Roxana-q5j14 сағат бұрын
Imagine saa hii watu wanatoka kanairo wakirudi ushago then yeye anaacha kazi ya piki anakuja kuomba usaidizi Nairobi
@kelvin-tx8jxКүн бұрын
Huu jamaa akiekwa pembe anakua ibilisi
@Icemanworldwide2 сағат бұрын
Wewe Obina I pray God to forgive you , hata wewe huna talent it's just God's fever
@KinyoroDominic9 сағат бұрын
Obina ako right because ako straight forward....
@neemamwaura8222Сағат бұрын
Huyu mrebo wanatafut dooh hyu jamaa alikuj kuhalibia Goliath kenya kunitum maisha not easy
@eldadojones52988 сағат бұрын
Obina..show zako huwa lagit but hii ya leo unachoma..uyo jamaa anataka usaidizi na unamuongelesha vibaya...si poa bro
@evalynekaguri42242 күн бұрын
Dakika ya 27:59 ameskia kupiga obinna kibare😂😂😂
@djtashrastababy25922 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂amempea macho ingine waah
@evemuhia22 күн бұрын
😂😂😂
@Melvo-Shiz2 күн бұрын
😂😂wallai
@nancyngetich6582Күн бұрын
😂😂😂😂😂eeeish
@patrickmaina6909Күн бұрын
I love this , truth is better served raw , obinna you did what most are not ready to tell this tall guy , being tall ain't a talent, which value is he bringing? People are paid for the value they bring , he should stop being a cry baby
@MargaretNjarui2 күн бұрын
Bring wakirumba... Babytop❤
@laurahmukami50975 сағат бұрын
Fully support this
@rosalineruguru28169 сағат бұрын
Guess it's called tough love...😮😮
@konteshowsКүн бұрын
ATI talent NI urefu😂😂
@jonafena46392 күн бұрын
Muache kubeba watu wengine ujinga . Ata kama Ni funny 😂😂😂 .
@hemaboera881517 сағат бұрын
Obinna be human enough 😢.Kama uezi saidia hiyo jamaa wachana Nate Aki.
@GENERALIOFFICIAL20 сағат бұрын
Obinna anaongea English golliath ana float😂
@QueenEstherEsther-gh4ofКүн бұрын
Ungeenda na mtu mwngne lkn si kawira huyo atakupotosha......msiniue n maoni tuu😂😂😂😂
@dralli361Күн бұрын
The "help" would have been taking this guy to an endocrinologist together with the other Gen Z Goliath. They both have gigantism and acromegaly which could be fatal as their internal organs are still growing. Talking from a doctor's POV 😊