This is the simba we once knew 😍huyu wa sasa ni kituko kitupu🤦♀️
@hamzarashid97055 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mrmea19355 жыл бұрын
Umeona mbali
@ezechielndikuriyo12604 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Nadhani #hujakosea
@ahmedmwenye95644 жыл бұрын
Acha ujinga weweee..hata we we sio yule uliyekuwa na bikra
@maryanneakinyi4 жыл бұрын
@@ahmedmwenye9564 na nyanyako siye yule alokuwa na meno cheefuu
@hanningtonedagwa86364 жыл бұрын
Yule diamond wa kitaaambo alienda wapi? ? ? ? ? Wa siku hizi ni fisi tuu 😉😉😉😉😉😉😉😉
@maryngamema72055 жыл бұрын
duh nimekumbuka mbali mpaka leo 2019 nimekutafuta 😘😘😘
@chrizomgaya65633 жыл бұрын
Siunajua wenye chuki na hiyana wametukamia sana, sala usiku na mchana wakiomba kuachana❤️❤️❤️
@NicholausBatista3 ай бұрын
2024 October 20th iyo bado inabamba
@ednaakoth39063 жыл бұрын
The way he says 'Kaila'😌😌😌 I miss 'This' Diamond 😥
@radicalljinari38633 жыл бұрын
I miss you too am the Githurai diamond
@kerrykerubo16983 жыл бұрын
@@radicalljinari3863 😂😂😂😂😂
@kerrykerubo16983 жыл бұрын
Sure me too
@radicalljinari38633 жыл бұрын
@@kerrykerubo1698 ❤💕
@cheruiyotbenjuniour9412 Жыл бұрын
When Diamond sings this part ,,siuunajua kwenye chuki na iyaana ..... I get goosebumps mahn
@terrywatahi120310 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤my favourite
@joeyseclipse3117 Жыл бұрын
Hey Shetta WTF did this nigga go??! It's Sept' 2023 na bado twawakilisha kitaa🫡
@princessjc27103 жыл бұрын
2015 and it sounds one month older 2021,,,come on shetta,,,,,back to back music ♥️♥️
@The_Cold.6 жыл бұрын
Bydha voice ya Diamond kila akisema 'Kaila' wah! Generally this music is woa
@maslahabdi38202 жыл бұрын
This song I watched my first time 2015 while I was living in South Africa 🇿🇦 and tonight 05-04-2022 I am watching while I am living in istanbul Turkey 🇹🇷 much love from Somali🇸🇴 Guy
@duncanbrian40912 жыл бұрын
My friend deleted this song from his PC because I used to put it on repeat daily 😂😂..2015 vibes
@chusseboywcb28085 жыл бұрын
Kama unamini hii korabo ulitesa sanaaa mtaaani piga like 👇👇👇👇🙏🇹🇿🔥🔥🔥🔥👇👇👇
@almasially65095 жыл бұрын
Bongofleva Inahiitaji Sana Hii Combo. Mazee squashini hizo beef tuupeleke mbali mziki wetu
@muhammadmonroe3 жыл бұрын
Diamond shines with others talent.shetta is pure talent
@jeffmuema85963 жыл бұрын
The song is awesome,reminds of Nakuru top fry Rugby sevens,big up Nas vegas fans 💪💪💪
@djkeis31252 жыл бұрын
The last banger 🔥of Platinumz collabo before akoroge sewage
@JoshuaNyagaka-uu2oq Жыл бұрын
This is now my real diamond platnamz sio enzi za sahii eti shùu hata simuelewi
@mohamedjumbe93093 жыл бұрын
Diamond platnumz ni balaaaaaaaa
@JoyQueenofhousehunting4 жыл бұрын
Chaiiii😭 reminds me of my life 5 years ago in Mombasa maze
@official_mikebreezzy Жыл бұрын
June 2023😊❤️still in love with this masterpiece...wapi likes za 254🇰🇪🔥💜
@rubbymwas70869 ай бұрын
Old diamond was special listened to him non stop,he was unmarched great hits ❤
@reginanaliaka2255 жыл бұрын
I really love thez song platinum and Shetta we need another Collabo......Sherra...platinum.......waaaasafi....
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Shetta is my favourite artist in Tanzania ..love from Kenya 🇰🇪
@bitishombe2 жыл бұрын
Masterpiece am still listening in 2022 bigup diamond all the way from south africa.
@Nanata1995 Жыл бұрын
ok bro all over the world
@ansibartsixbert17313 жыл бұрын
Nan yupo huku kama mimi
@zainabtanz838 Жыл бұрын
Naipenda san hi nyimbo2023❤❤❤❤
@michaelpaulo6266 жыл бұрын
Nakumbuka Sana namkumbuka mpenzi wangu ashula pande za maswa simiyu nampenda mpaka saivi kelewa kelewa 2018🙏💓
@miketez21602 жыл бұрын
Can't get enough of this.....2022🇰🇪🇰🇪
@SaudaOmary-c9zАй бұрын
Diamondi nakubali sana kaka 2:11
@dorinaboge98542 жыл бұрын
Mama Kayla 🤗🤗🎆
@BarakaMakacha-l9l3 ай бұрын
Daah😢 huyu mwamba angekuwepo mpaka leo diamond mwenyewe angekuwa anasubilia mungu akulaze pema sharo
@othmanmalik6468 Жыл бұрын
I came here to watch this song after that so-called Qaylah the daughter of Shetta to be elected as national chairman of CHIPUKIZI one of branches in ruling party CCM in Tanzania 🙏
@ntombikayisemahlangu47744 ай бұрын
2024 here I love this song tho i cant hear a thing Much love from Mozambique 🇲🇿
@khadijajuma71426 жыл бұрын
Ilikuaje hapa haijagonga million,ngoma kali
@danieldann23795 жыл бұрын
huyu mnyama dimond,achana naye kabisaaaa
@memesmemesketv46503 жыл бұрын
Aki walahi i love shetta niambieni alienda wapi
@kimdbm3morning8675 жыл бұрын
Oh my God! Diamond platnumz voice is just out of this world
@swamweliteobady44963 жыл бұрын
Yani shetta. Kama angeendelea kua na Diamond kalibu mpaka hv naimani shetta hv sasa angekua mbali sana kimusic
@FabiDthree-ro1ms20 күн бұрын
Mond si kamtombea mke wake shetta ndo ugomvi ulianzia hapo 😂😂
@Joshua-ql7no10 ай бұрын
Usiniumize basi utanipa wasiwasi
@JamalatDaniel5 ай бұрын
🎉Aisee mmetisha sana guys ngoma hiyo bado mbichi sana utadhani imetoka leo❤
@johndavidwemabmjv.42594 жыл бұрын
Modi akifanya na mtu kazi lazima kiwake Mungu peke yake ndiye anajuwa malipo yako.
@deniskuda407511 ай бұрын
Mimi ndiye Baba kayla
@jaysontyger3105 Жыл бұрын
Who can ever get bored with this kinda music 🎶
@ledizosaid22392 жыл бұрын
2022 still Vibing .. 2050 this Simba guy was a Beast
@josephwanjirukb68875 ай бұрын
Siko hapa juu ya back days nko juu ya leo i love you my queen 😘😘😘
@kevinmogire13062 жыл бұрын
Very fond memories evoked here reminds me my partying lifestyle in Eldoret,while on attachment Avery nice town
@johnmwape Жыл бұрын
2023 it's still my favorite song from shetta where's this guy?
@chrisbreezy83865 жыл бұрын
Shettaaah mbona ulikosana na Diamond sai ungekua mbali sanaaaa bro rudi tu broooooh hiii song ni kali sana
@saddyamiry30993 жыл бұрын
This combination was ⚡⚡🔥🔥🔥 wish irudiweee irudiweee
@STEVOH_K3 жыл бұрын
Waaaah am back to this again💫💫💫shetta for life😎😎😎😎😎😎
@brain_stuff2874 Жыл бұрын
Weee aki shetta was on another level !!! Combination yake na Simba ilikuwa tu tamuuuu #Baba Kaila
@idebilihassanebiaque34552 жыл бұрын
Siwezi kwamini, watanzania wametoka Bongo 🇹🇿 kwenda Souzi Africa kushoot video,
@JerrysonNjoroge9 ай бұрын
Thursday 28 march 1999 6:00 am is Papa shirandula (Charles bukeko)(ni WA luhya) Jackie awilo nyaminde shirandula wilbroda (ni luo) wilbroda ni luo wilbroda
@JerrysonNjoroge7 ай бұрын
Ti Dola the explola
@papaesco51985 жыл бұрын
Aaaahhhh simba toka kitambo katika verse zako lazima unoge#we watch it untill now 2019
@amirboni28393 жыл бұрын
Listening to this 2021 omg. Gone are the days
@emmadababy4378 Жыл бұрын
Shetta uko wp mbn ulikuwa moto San🔥🔥🔥🔥🤗🤗🤗
@chiefkaitaba.m.94665 жыл бұрын
jamaa aliyumba sana kukorofishana kwa Diamond angekuwa mbali sana
@musamgulila5774 жыл бұрын
Ushaona na walikuwa na chemistry nzur
@musamgulila5774 жыл бұрын
Ni sawa na harmonize nae alikuwa na chemistry nzur wakiwa na diamond ktk wimbo mmoja ....ila sasa hiv ni ngumu kwa harmonize kuja na hit song ya kutisha kama ambazo alishafanya diamond
@chiefkaitaba.m.94664 жыл бұрын
@@musamgulila577 tena huyo atakufa kifo Cha mende mapemaaa
@mwakinhosantos63074 жыл бұрын
@@musamgulila577 hawezi Kuja na nguvu ya kumzidi Tena hata kumkaribia Mond.... platinum ni brand inayouzika sana all over the world aiseee
@pasckalemmanuel55826 жыл бұрын
Wazee Hii ngoma kali mbona Hina like
@mziwanda_empire40334 жыл бұрын
Tatizo shetta Hana nyota
@kedmondkepha77075 жыл бұрын
Enzi hizo diamond alikua anaimba vizuri siku hizi ushuz mtupu
@chataboetz26005 жыл бұрын
kedmond kepha770 naungana na wew
@conahgwesso50995 жыл бұрын
We n mav t
@samuelndume51365 жыл бұрын
Ndio unasema ukwel
@habeebahassan5855 жыл бұрын
kedmond kepha770 kabisaaa
@assiaamiri56455 жыл бұрын
Kaimbe na kuma we mond is fire
@martinkamau45562 жыл бұрын
Mama Kyla mi ndo bake Kyla..kerewa kerewa 2023 still listening
@anthonymwakale51802 жыл бұрын
Hii ndio ilikua miziki, sikuhizi twaimbiwa sijui lugha gani, wamepoteza uhalisia wa tamaduni bongo Flava
@SalumuLeonard-tl8hb5 ай бұрын
Maisha yanaend kasi sana sema shino ulikuaga mbaya sana umeachag kamsemo mtaani unalia ki PNC
@alphoncekitema9126 Жыл бұрын
Simba was really a giant rock which no one could break easily,,,2080s message❤❤
@JoshuaLeonard-lo3cs4 ай бұрын
Shetta we nmnyama ukiga rapp kama hiv unaua kinouma noumaaa
@ntombikayisemahlangu47742 жыл бұрын
All time favorite..much love from Mozambique
@silaskengere168610 ай бұрын
She's finally married mpenzi wangu wa miaka 6
@halimasalim78912 жыл бұрын
Am still in love with this song shetta dd an amazing job on this truck
@ramazaniamisinanjira999210 күн бұрын
Quand Simba était encore le vrai Simba de la Tanzanie. 2025 je suis present ici.
@themuundasckmenforum24042 жыл бұрын
woowee shetta sema kuflow...
@kipronoemma75943 жыл бұрын
Like your collaboration men😍
@cynthiaawinoowinoowino85445 жыл бұрын
One of the most underrated songs
@UrbanCraftTv2 жыл бұрын
So what happened to Shetta? Can't they collabo again and make him great? This world!!!
@nvnyeri71313 жыл бұрын
Hii Ngoma unikumbusha boiz anaitwa Bruce...this was our jam before tukateremshe ma-keg pale TAITA TAVETA
@Manon-ns6xc Жыл бұрын
2023..shetta alipotelea wapi
@abdikadirabdullahi7148 Жыл бұрын
Still listening 👂 on top 2023 from Somalia 🇸🇴 🇨🇦
@oscarokumu1186 Жыл бұрын
Hii song inanikumbusha mbali nikiwa Na mpenzi wangu Wa Moyo steal love this song❤❤
@anthonykamaukuria4 жыл бұрын
Yoo baba Kayla
@tarnaboy2 жыл бұрын
Kma we ni shabiki wa sheta like akuone
@mayangemusa11459 ай бұрын
Upo sisi tupo 2024 Mimi nipo Denver Colorado
@MoseOmar-f5s5 ай бұрын
Baba kaila bado nakuskia 2024 ...
@storyboymusic5572 Жыл бұрын
Ni mimi pekee yangu bado naitazama hii ngoma 2023 ama kuna wenzangu🎉