Sing mmmhh eeeehh Let sing, comeon eeh Sioni aibu, kwa kila linalonifika Mana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguuki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa aaeh Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo He Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu
@judyroth8928 Жыл бұрын
Zuchu you deserve kuringa mpwedwa mahali hulipo anzia hadi sasa . Wakenya oje like za kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊🏽👊🏽kudoz eastafrika❣❣
@Ben-gj6is11 ай бұрын
Me mwanaume, nakazaga sana kwenye kusikiliza nyimbo za kidada sana, lakini ki roho safii, hii zuchu, umenifanya nifikirie Maishal ki Mungu zaidi, na nimekupenda kwa sababu hii. Labda umenisaidia kutoka kwenye mawazo mengi na kuamini Mungu wetu sote.. looove this, unconditionally. You're truly blessed
@Swahili1411 ай бұрын
😂😂😂 Zuchu's blessed indeed I cry listening to her soulful voice 😢❤
@BujiririSalomon9 күн бұрын
Jameni nawashukuru sana kwani kila nikitafuta wimbo ya kumupingiya rafikiya wangu naipatanga nahuyo Rafiki ana furaiya sana piya nikiceki yaadui wangu nayo naipatanga ndo n'a nashukuru sana waibaji wetu
@Baba_Ben.11 ай бұрын
Ukweli mchungu ni kwamba toka Zuchu uingie kwenye game umewakimbiza vibaya sana wote ulowakuta. I love tis song overall your songs baby girl
@poliefrica Жыл бұрын
Kumamakeeee oyaaa huyu zuchu afai back to back honey na zaiv naringa inabid wabongo tupepee vipaji vyetu watu wanapambana kutupeleka nchi za ahadi zaiv zuchu awez kukompewa na female artist yoyoteee yule kwa africa
@Patrick-rf6ro Жыл бұрын
Karibu Kigoma Zuchu tunakupenda Sana, tunatamani kuparty nawe.... keep going gorgeous musician female artist of this Digital Age
@martinlema41927 ай бұрын
Tulioona kwenye video Zaburi 40:1-3 Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu. Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha salama juu ya mwamba, na kuziimarisha hatua zangu. Alinifundisha wimbo mpya, wimbo wa sifa kwa Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa, na kumtumainia Mwenyezi-Mungu.
@rehemaarmani8 ай бұрын
mwenye nacho wanataka chukua hata kidogo ulicho nacho asee kweli mungu halaliiii
@Djshalom5846 Жыл бұрын
Wow wimbo mzuri sana nasikiliza adi machozi inanitoka😭😭😭😭😭😭😭zuchu dada yangu mungu azidi kukulinda is me dj shalom from kenya mungu akupe miaka mingi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@komvicthub45258 ай бұрын
walai hapo umesema
@sabalucianamarcos47027 ай бұрын
❤😊
@ElfridaMsagha-cb6jv6 ай бұрын
Ya it's good 👍🥺💯
@ElfridaMsagha-cb6jv6 ай бұрын
Pple may think you are Stoopid😀😀😀
@felistusmbetemwanza3224Ай бұрын
😢😢😢😢
@MichaelMwakibolwa Жыл бұрын
ZUCHU 🎉🎉🎉🎉 MALKIA WA BONGO FLEVA!!! Unahaki ya kuringa Mungu akiwa upande wako hakuna Wa kuwa kinyume nawe! Naamini Katika Mungu Pia. GONGA LIKES KWA ZUCHU!!!❤❤❤
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
Nadhani mpaka Sasa huu ndio wimbo Bora kutoka kwa Zuchu ambao nimewahi kusikiliza🎉🎉
@muttae2 Жыл бұрын
Naungana na wewe kabisa. 🎉
@AhmedAhmed-x4t1o4 ай бұрын
❤❤🎉
@walidamour8674 ай бұрын
Nakubaliana na wewe
@JosephKimaro-u7d3 ай бұрын
Ndugu kwelii
@jameskiguru4801 Жыл бұрын
Mimi na watoto wangu twakupenda sana, kila ukitoa ngoma nafanya hima kuwachezea
@josephkyusondambuki Жыл бұрын
Am Kenyan sikatai bt napenda nyimbo za huyu shujaa wenu... Tanzania nipeni likes...
@VivianVugutsa-o4eАй бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@ChereSpairs5 ай бұрын
Huu wimbo ni mazuri sana naeza shinda Niki irudia mara kumi nampenda sana from Kenya
@camejowayne5455 Жыл бұрын
Roho Mbaya hajapewa nyungungu Wala MTU mwenye maarifa. That is epic# Zuchu is the best, The Queen of velvet vocals , the tanzanian Kareena Kapoor
@kizzydaniel4388 Жыл бұрын
nyimbo ina maudhui ya maisha ya harisia tunayo pitia people zote
@elizabethchabluma-zw5qz Жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu
@DeeWeche9 ай бұрын
Wow! Can't believe this awesome song almost passed me yaaani! Ah wacha turinge!
@ramadhankitsao5019 Жыл бұрын
Ile maisha napitia ndio imezungumziwa kwa wimbo huu. Thanks alot for the inspiring lyrics dada Zuchu.
@Sharifuhabiby10 ай бұрын
Nyimbo yangu ya maisha I love you zuchu ... Wimbo huuu ... Kwa siku nasikiliza zaidi ya 10
@amour0072 Жыл бұрын
13 years now since I changed my nationality from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 to 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 thanks to DIAMOND PLATNUMZ and his artists 🙏🙏🙏 Ah Zuchu nzembo kitoko makasiiii nasepeli entout cas . Yani Sina lakusemaaaaaaaa
@shadiwaigwa9230 Жыл бұрын
Mwende kwa simulizi na sauti mpate fafanuzi ya hii music, heko kwako zuchu
@SofiaMwero Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ❤❤
@ZakaboyMusa8 ай бұрын
Ngoma noma sana.
@obsidian_Ke Жыл бұрын
Napenda huu muziki wake Zuchu. Ndio maisha wanoishi wengi humu duniani. Very relatable, entertaining, well-crafted... Top-tier production.👌🥳
@jessy-muthoni-artz724 Жыл бұрын
WA KENYAA HAMUMWEZI HUYU ZUCHU WETU..ATI MNALMLINGANISHA SSARU NA HUYU GWIJI WETU
@chillypips-yq6vh Жыл бұрын
who is ssaru
@DeeWeche6 ай бұрын
Sasa Ssaru ni Nani? We don’t want hatred here. We Kenyans love Zuchu
@vdjvosti Жыл бұрын
Zuchu feel loved siku zote from Nairobi Kenya
@georgeolieng3950 Жыл бұрын
Mie mkenya naomba like ya Wana bongo Napenda kazi yake Binti wenyu Zuchu🙏🙏🙏
@margaretkamau92208 ай бұрын
thank you dear
@fidelisfrancis8397 ай бұрын
Binti yetu not yenyu😂
@raybak85526 ай бұрын
@@fidelisfrancis839achana na waluhya 😂
@SandraMugisha-xs3lz18 күн бұрын
Nimeupenda saana,dada nakupongeza nausikiliza mala 10 kwa Siku👌
@larryroshan Жыл бұрын
Mimi n mkenya na sikua nnampenda huyu zuchu but huu wimbo umenigusa sana yaani hadi siezi eleza the way na feel🎉🎉🎉 zuchu you have my rank now
@rukiahkasyoki3875 Жыл бұрын
Naringa, naringa..nalindwa na Mungu 💃💃💃
@jexray Жыл бұрын
, Sasa
@judithatieno1095 Жыл бұрын
Wow wow wow very powerful 🎵 with a very strong messege 😇mungu wangu alali anaulinzi mkali 16:06🙏🏾⭐️❤️🕊
@philemonalex8089 Жыл бұрын
My first day nimekubalii kazi ya zuhura 🎉🎉🎉naomi jamani like zuchu anajua🎉🎉
@wcbvotefance Жыл бұрын
Ukisikia wimbo bora kwangu wa siku zote ni huu hapa #Naringa
@jkzcr7z3 ай бұрын
Hata my dear ❤❤❤❤
@mafuru2810 ай бұрын
Zuchu mdogo wangu huu mwimbo sijui niongee nini but 🎉
@_anwyllmercy Жыл бұрын
Kali sana❤❤much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
@Jackiecatesam Жыл бұрын
Zuchu ❤❤❤Mungu wangu halali nalindwa na Mungu na Nina ringa
@paulmalebo64 Жыл бұрын
Huyu mtoto ni Shigdaaa ingine mjini anajua anajua anajua sna Keep it up Zuhura
@edwardshagi64445 ай бұрын
Huu wimbo Una jumbe wa kweli,hongera dada...from Kenya.
@RebeccaPyuzza8 ай бұрын
Jamani Zuchu unatuacha hoi........hivi ungekua unaimba hata kwaya nahis watu wengi wangeokoka sanaaa.....hongera sanaaa✨✨✨
@erickmahona5357 Жыл бұрын
Jamani nimekuwa wa kwanza naombeni like zenu ili twende sawa.
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
@samielvutsipa52 Жыл бұрын
Vile vile
@Manumbu1 Жыл бұрын
@@samielvutsipa52 Huyu Zuchu ni Mkenya siyo Mtanzania
@mzeemselem1657 Жыл бұрын
Sasa likes utazifanyia Nini😅😂😅
@eliyasanga6374 Жыл бұрын
@@mzeemselem1657😅😅😅aulizwe
@ikizakubuntukelvin5839 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana ❤❤❤❤ zuchu chukuwa maua yako🌹⚘️😊
@ErnestAluce-eo4mn Жыл бұрын
You have really proved to be the best 🎉 this is the pride of Africa getting you live from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@thekiller7315 Жыл бұрын
Walai nairingia next level yangu .voice tu inatosha gonga likes zako apa as kenyan love
@mokiaolenaputu764810 ай бұрын
Wangapi wanamuona zuchu atakuja kuwa mtumishi wa Mungu na mhubiri wa injili
@hawababy120 Жыл бұрын
Yes nikweli tunalindwa na Mungu❤Watu wa burundi gonga like hapa tujuane🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥
@oman1oman179 Жыл бұрын
Tupo hapa
@veeJesus Жыл бұрын
Iv burundi mnajua kiswahili??
@samuelnsengiyumva-vx3vy Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Hashdough Жыл бұрын
THIS IS HER BEST WORK TO DATE...........DAMN! THIS ALWAYS HIT DIFFERENT ...THE VISUALS BROUGHT MORE MEANING TO IT
@defaralegends2359 Жыл бұрын
Kenyan like, turinge na mamaa
@danielmacharia960314 күн бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kaarisylvia10 ай бұрын
Lyrics Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu, kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana Naringa, naringa, naringa, naringa, naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba, navimba, navimba, navimba Nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu nyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa ah, eh Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, heh Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa, hey Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana Naringa, naringa, (ooh) naringa, naringa, (mimi) naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba (ooh) Navimba, navimba, (aaiya, eh) navimba (aiya, aiya) Nalindwa na mungu (aah, wee)
@Cyriirie Жыл бұрын
I love how resillient you are Zuchu..You inspire me and to the great challenges you overcome...🎉🎉🎉Kweli unalindwa na Mungu.
@kantai737 Жыл бұрын
For sure she is such an inspiration, 💯
@aselaabeli853 Жыл бұрын
Wimbo una ujumbe mzuri Sana huuu ❤❤❤
@BashiryFadhily5 ай бұрын
mamb vp
@aselaabeli8535 ай бұрын
@@BashiryFadhily pw vp
@MorinAisha Жыл бұрын
This song has a strong message,may Allah protect me from every evil plan
@berlinaachieng Жыл бұрын
Amen
@HadijaSikira10 ай бұрын
Stop mentioning Allah's name in music
@Winleizerabdy10 ай бұрын
I think you must be a devil why not mentioning our protecter ushindwe😂😂@@HadijaSikira
@therezamasayi7 ай бұрын
Zuchu I like the verses of your song very nice big up congratulations.,, MUNGU ndie kila kitu.,, siangukii Mimi nimechagulia ninae mtegemea hachokii hajawi kupitiwaa that's almighty God 🌺💕🌺
@Life-tk6or11 ай бұрын
Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu, kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana Naringa, naringa, naringa, naringa, naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba, navimba, navimba, navimba Nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu nyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa ah, eh Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng'o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, heh Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa, hey Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana Naringa, naringa, (ooh) naringa, naringa, (mimi) naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba, navimba (ooh) Navimba, navimba, (aaiya, eh) navimba (aiya, aiya) Nalindwa na mungu (aah, wee) Call me Slizer
@nahsraally1210 Жыл бұрын
Wallah kuna wasanii lkn bint zuhura muacheni abaki kua yeye❤
@HadijjahBae Жыл бұрын
This is my East African female artist zuuu love u from Uganda 🇺🇬
@JanipherOduor Жыл бұрын
Walai TENA zuchu amerudi form like that salute 🎉👍👍
@AaBb-q2l10 ай бұрын
Ninyimbo tamu wengi tunaishi hivi kabisa kwacuki wanatuchukiya ila Mungu yuko nasi❤❤❤
@henryasap24434 ай бұрын
Woooooʻw. Zuhura happa alicheza kama yeye. True life vybez
@em_vee_josh Жыл бұрын
If there's anything that makes me really proud is how God just defends me whether I pray or not. His graces always guide me . There's no way I'll ever be ashamed cause he just makes me walk my head up
@AlfredDavis-xq9vh Жыл бұрын
If there's anything that makes me really proud is how God just defends me whether I pray or not.His grace always guides me.there is no way i will ever be ashamed coz he just makes me walk my head up💯
@em_vee_josh Жыл бұрын
@@AlfredDavis-xq9vh sure ❤️
@Royspark_Reiz Жыл бұрын
God bless African Music,One Love my African people let's gather here 🌎❤
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
@E.J_VIHIGAN_LION Жыл бұрын
Yeah, great music there she makes amapiano sound deferent... next ngoma yangu naimba amapiano man 😀
@Abduldell Жыл бұрын
We been asking __here we go again lame
@Mobigo2airtel-u7o10 ай бұрын
Nakuona
@nahlaalbahry157511 ай бұрын
Hi mziki nzuri napenda Allah atakupenda sana😊
@Hyceskullbwoy Жыл бұрын
Hii wimbo ni mtamu zaidi,zuchu pongezi na izidi kiwa relevant una taranta,wanavyo tuma vituu uwe ndo vina tujenga amen❤❤🙏🙏
@عبداللهالغرير-ك3س Жыл бұрын
😢kilaa nikikuwona nachanganyikiwa nakupenda nakuchukiya yani 😭😭 i am truly like 'coz i like yo songs so mach my ALLAH PROTECT yaarabi
@yusuphally1314 ай бұрын
This song deserves billions of views Such an inspirational song that anyone would love to hear Thanks zuchu for this masterpiece. "Raise the glass cheers to the lord"
@sambrian-u2r4 ай бұрын
We don't have a billion Swahili speakers..even if, we did we don't have 1 billion Swahili speakers on KZbin..Wacha mambo we mzeee
@FelicienLukuba-kt2hk Жыл бұрын
Wasafi mwaka huu wasiyo ipenda kazi wanayo, wataipiga Kofi chongo ya kisu 😊😊😊 nipe likes zangu plz 🙏🙏
@IcimpayeAslam5 ай бұрын
Kwel kbs
@mrsammyofficiel9246 Жыл бұрын
Wimbo wamwaka kabisa wariyo upenda kama mim munip like abarundi tumenyane
@susanndevena3288 ай бұрын
Huu wimbo huzungumzia nafsi yangu nimepitia mengi mikononi mwa walio nitengemea kuwa marafiki na ndugu ile huu wimbo hunipa nguvu nikijua mungu ananilipa
@yusufnjuguna5024 Жыл бұрын
*Intro* Sing mmmmhh eeeehhh, Lets sing, come on eeehh, *First Verse* Sioni aibu, Kwa kila linalonifika Mana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika *Na sianguuki,* *Mimi nimechaguliwa* *Nnae mtegemea hachooki* *Hajawahi kupitiwa* *Bridge* Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkalii *Chorus* _Na ndio maana naringa, naringa naringa_ _naringa naringa naringa_ _Nalindwa na mungu_ _Msinione navimba navimba navimba_ _navimba navimba navimba_ _Nalindwa na mungu_ (Raise your glass Cheers to the Lord) *Second Verse* Roho mbaya ubinafsi Hajaumbiwa nyungunyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa aaaeeehh Unaniona napambana, Kwa taabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu Visinifike ng'o Utadhani wao hawana umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo *Na sianguuki* *Mimi nimechaguliwa* *Aaah* *Nnae mtegemea hachooki* *Hajawahi kupitiwa* *Bridge* Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwake kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkalii *Chorus* _Na ndio maana naringa, naringa naringa_ _naringa naringa naringa_ _Nalindwa na mungu_ _Msinione navimba navimba navimba_ _navimba navimba navimba_ _Nalindwa na mungu_
@itsafrikanah769 Жыл бұрын
Watching live from Kumamoto in Zambia, Zuchu your songs have been turned to be our national anthem in our country 💎💎💎
@UrbanCraftTv Жыл бұрын
kuma what?
@RoyalKwesy Жыл бұрын
😂😂😂, nigga ur stubborn
@saidifundi8023 Жыл бұрын
Taratibu na moto wako bro 😂😂😂😂
@liliantweve957 Жыл бұрын
😂
@itsafrikanah769 Жыл бұрын
@@liliantweve957 sasa mrembo, nipe number yako ata tujuane
@blackpanther4825 Жыл бұрын
Watanzania tunakuelewa Zuchu keep the good music alive. Wewe unajua sanaaaaaa
@robben8736 Жыл бұрын
This is what we call "next levels"
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
@Manumbu1 Жыл бұрын
Huyu Zuchu Kweli ni Mtanzania Kweli? Watanzania wengi kama wakina Nandy huwa wanatoa nyimbo kwa muda mrefu, Zuchu ni Mkenya, Baba yake ni Onyango
@Tevin-q4k Жыл бұрын
❤❤❤
@chillypips-yq6vh Жыл бұрын
@@Manumbu1 sawa mchukue mpeleke kenya
@muhammadomar17876 ай бұрын
Zuchu weeeee❤❤❤❤❤ Nyimbo tamu mpaka kuleee.maneno mufti yakutia moyo,video kali sana,mziki mzuri usioisha hamu
@HusseinBundara3 ай бұрын
Nakupenda doqo popote hulipo munqu haweke nizidi kupata faraja na nyimbo zako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bayomabenjamin6479 Жыл бұрын
Jamani ni kweli tunalindwa na mungu🙏🙏asante mungu ❤❤🇰🇪
@martincasmir4099 Жыл бұрын
sauti ujumbe upendo kipaji hivyo vyote ndivyo fanya uzuri wako waonekana Upendo Moyoni mwako hauto saulika,ni vyema kuendelea hivyo hivyo maana ni adui walio wengi wasiopenda maaendeleo na wapo kwaajili tuu ya kuchafua kipaji na heshima ya mtu ,Hongera sana Z kwa ujumbe wenye maudhui ya kweli👊🏽🤝💪🏼
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Huu ujumbe uwafikie wote wasio mtakia mema Zuchu. Watakufa kwa wivu na roho zao mbaya.. mtoto anazidi kung'aa wenye wivu wajinyonge
@sudiiddm8252 Жыл бұрын
ukitoa ile collabo ya Rayvan - I miss you,sijawahi kumuelewa Zuchu until this song!Mara ya kwanza nausikia sikujua kama ni Zuchu!!Hatoke kule kwenye kelele akitaka kufika mbali...THIS IS THE SONG
@cpafondo550123 күн бұрын
My daughter, 5yrs old (kenyan) loves this song so much. She's sings along everyday ❤❤
@Ancestor.4170 Жыл бұрын
Nikiwai kutana na zuchu nitampa zawadi🎉🎉🎉❤she is my crashi
@Alice-Gyunda Жыл бұрын
Zuchu huu wimbo ni mkubwa sanaaaa yaaani schoki kusikiliza
@LeaKitsama4 ай бұрын
Ok
@LeaKitsama4 ай бұрын
Congratulations zuchu.❤❤❤❤
@vanessastafford5120 Жыл бұрын
Alisababisha huu wimbo ukatungwa pole yake sana, Yani ukiwa na roho mbaya pambana nayo Mungu aiondowe. Sisi huku tunaringa tu hapa.
@walidamour8674 ай бұрын
Nakupongeza kwa Wimbo huu big up sana 😊
@IddiHaridiMohamedi7 ай бұрын
Huu wimbo dah unapofeel uko down ukiusikiliza lazima utabasamu,Zuchu this kind of music suits you well. Kwa sauti yako na beats unazotumia. Ahsanye sana 👊👊👊🎉🎉🎉
@nixonwando Жыл бұрын
Best of all Zuchu songs I love this one ❤❤❤nice song let's be proud of our God 💪💪💪
@lifewithmeanna Жыл бұрын
I know my Tanzanian brothers wont understand this..😢❤ but we love ..ZUCHU..from KENYAN..
@mariajeila7250 Жыл бұрын
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chillypips-yq6vh Жыл бұрын
we don't have problems with kenyans but they attack us anyway...
@sarahhassan1323 Жыл бұрын
Kenyan people love everything about Tanzania 😅
@abuuissa1642 Жыл бұрын
Why ?
@RichardMulife-u3w Жыл бұрын
@@sarahhassan1323you mean even women are good like your music
@achimosaide3355 Жыл бұрын
Naomba like zangu mtu wa kwanzA apa kutoka Msumbiji 🇲🇿
@vanessalakisso9046 Жыл бұрын
Mimi hapa
@JumaWaziri-f2r Жыл бұрын
Katika nyimbo za zuchu hii moja ya nyimbo niliokubali mziki wake
@jayfourtv115 Жыл бұрын
Kiukweli zuchu umesema ukweli kuna watu wanazingua sana utazani wao wakamilifu hawakosei wakiyaona ya wenzao kazi kupanua mdomo kujifanya wajuaji wa dini wajuaji wa maisha nia kumchafua MTU kutaka MTU ashuke aonekane takataka wanasahau kuwa kipaji kilichowekezewa vizuri hakiwezi kufa kwa maneno mziki ushindani haukosekani ila tushindane kwa nyimbo Kali sio atumwe fulani ikiwa huyo fulani hajui kuimba wala kipaji hicho hana kama wanajiamini waingie studio watoe nyimbo kali kuzidi #Honey na #Naringa
@shabanihamisi8274 Жыл бұрын
Kiukweli ZUCHU kwa huu wimbo na kupa HESHIMA YAKO.
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
✍️Zuchu mwenye mazuchu yake,,naipenda Sana hii nyimbo🇹🇿🇳🇬🥰 nandio naringa naringa naringa nalindwa na mungu mmpo?
@enochstilletoh2247 Жыл бұрын
Tanzania to the highest levels Zuchu we love you Ur talented I tell u ...Ur the best 🎉
@AbdulmalikWarsama7 ай бұрын
Allh akufanyie wepesi utoke huko uweze kumkumbuka allh allh akufanyie wepes mdogo wangu
@fredyjoseph70511 ай бұрын
Mange Kimambi Mwenyewe Kalikubali Hili Goma Na Kwakuwa Hanaga Noma Atakupongeza Tuu
@luckyluchano1 Жыл бұрын
huyu ndie Whitney Spears wa East Afrika😊....much love to you Zuu from Kenya.❤🇰🇪🇰🇪
@Swahili14 Жыл бұрын
Are you trying to say Whitney Houston or Britney spears? 💀
@luckyluchano1 Жыл бұрын
What do you think?
@MasongoMkama Жыл бұрын
Kwa wimbo huuu zuchu ameimba ukwele kweye jamiii zetu watu wenye roho mbaya wapo🎉anapaswa kupewa maua yake❤🎉
@Abduldell Жыл бұрын
Bad already more like boring
@arnegromututokosby Жыл бұрын
Mwenye anajuwa ana lindwa na MUNGU anipe Like
@Abdullahi546 Жыл бұрын
Goodlooking i also listen
@Iamnanapeak10 ай бұрын
Ananilinda sana
@arnegromututokosby10 ай бұрын
asante
@AbdulmalikWarsama7 ай бұрын
Wewe mtoto umefunja rekodi ya dunia.zuchu.@@Abdullahi546
@EspoirMurabazi3 ай бұрын
🎉
@deepenmuthee37709 ай бұрын
Napenda kazi yako mrembo. Hit hii ni gospel tupu. I love you from Kenya