Ogaobina shocks his Fans after going back to Dem wa Facebook home kitale after break up

  Рет қаралды 27,203

Udaku 254

Udaku 254

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@florencesumba3939
@florencesumba3939 2 ай бұрын
Nani ameskia kwa akina bebii hapo chini❤❤❤❤. Mimi kichwa imetulia
@audrienesmith7300
@audrienesmith7300 2 ай бұрын
More love and respect to you sir obinna i will cry no more ❤❤❤❤❤❤❤ from Jamaica 🇯🇲
@Lucy-n8c
@Lucy-n8c 2 ай бұрын
😂😂😂itabidi watu wajue ku mind there own business mambo ya kufuatilia maisha ya mtu saana na yako yamekushida tutaacha😂😂 munch love oooh❤
@levinerdewano1597
@levinerdewano1597 2 ай бұрын
Bora amesema kwa kina bebi ni hapa chini...hizo zingine staki kujuwa, now am at peace 😊 mob 🥰😘Obii
@jamillamustapha9976
@jamillamustapha9976 2 ай бұрын
Mimi piya
@roseliku531
@roseliku531 2 ай бұрын
​@@jamillamustapha9976Leo chakula kinapita jamani sijala wiki nzima😂😂😂😂
@kalungirugoye2607
@kalungirugoye2607 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 yaani haki mnanifurahosja haswa
@levinerdewano1597
@levinerdewano1597 2 ай бұрын
@@roseliku531 🤣🤣haki stress is real...ebu jaribu ukule ata kama ni kidogo
@joycewambui6659
@joycewambui6659 2 ай бұрын
Yeah kabisaa..but wako pamoja .Wacha wa rest hii month na next month...then Jan watu surprise
@annahsimiyu1401
@annahsimiyu1401 2 ай бұрын
Watu wa kitale wenye tuko gulf weka likes za obina obina na bebii ❤️ tukisonga , wishing to see them together soon ❤❤❤❤❤❤
@mariamsulubu
@mariamsulubu 2 ай бұрын
Very soon indeed
@jacintapeters2831
@jacintapeters2831 2 ай бұрын
All what I want is to see Babii na Babi wa Babii na moyo wangu utatulia ❤all the from 🇺🇸
@lenaatieno508
@lenaatieno508 2 ай бұрын
Seriously me too my mind is not at peace I just want to see this people together
@روز-ق6ل
@روز-ق6ل 2 ай бұрын
Aki mimi nilikuwa nkufa n pressure guys bt daah n mambo y mungu km unakubaliana nami npee likes
@LilianFwambe
@LilianFwambe 2 ай бұрын
😂😂😂😂 obbina Mbona mtupee ugojwa wa roho na kumbe mambo ni vulaivulai ak 😂😂😂
@KarungiDinah-uy5mr
@KarungiDinah-uy5mr 2 ай бұрын
At least now l can eat, please obiina we want weekly show back,the best show in Kenya,and you can imagine lm a ugandan but love your show so much
@ImellaAnnet
@ImellaAnnet 2 ай бұрын
Your not alone. Many ugandan's love obinna and dwfb.
@AngelaNdanu-kb3ld
@AngelaNdanu-kb3ld 2 ай бұрын
We love them atleast Nitalala pia
@carolinenyawade4453
@carolinenyawade4453 2 ай бұрын
Eti now u can eat😅
@ashawafula3102
@ashawafula3102 2 ай бұрын
Bora ameita bebii ajasema dem wa fb case closed❤😂😂😂😂😂
@LinerJesica
@LinerJesica 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@hellenoponyo2415
@hellenoponyo2415 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@IceChampakaWolf888
@IceChampakaWolf888 2 ай бұрын
Exactly 💯😂😂😂😂. Sahii roho yangu imetulia
@hellenoponyo2415
@hellenoponyo2415 2 ай бұрын
@@ashawafula3102 Obi alitaka Bebii apumzike na wanaongea msisikize haters na ma bloggers
@ronyalkh
@ronyalkh 2 ай бұрын
Team bebii Bado tunatambulishwa tusiwe na stress mambo Iko sawa tuwachane na story za jabar
@BelindaAbeka7
@BelindaAbeka7 2 ай бұрын
Nimekuwa na stress mpaka watu wananiuliza job shida iko wapi I never wanted to tell anybody cz naeza vunjwa moto na colegues more. Thank you God good things are coming
@agathamachuka
@agathamachuka 2 ай бұрын
Obinna I was waiting u to call dem wa fb bebi sahii roho yangu imetulia bana
@AnnahWanjiku-h1n
@AnnahWanjiku-h1n 2 ай бұрын
Thought i was the only one disappointed in my 50s of years and loving them like my own
@ruthee1895
@ruthee1895 2 ай бұрын
I'm also in my 50s and these two have made me renew my youth
@janekeru4678
@janekeru4678 2 ай бұрын
Jane keru mother inlaw Niko ndani MUNGU Asante sana GOD is good all the time Mambo ya MUNGU
@LydiaNamukhosi
@LydiaNamukhosi 2 ай бұрын
Weeeeeeee,wako khwesa resort kiminini 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@gladyssolomon5981
@gladyssolomon5981 2 ай бұрын
Waaah naweza lala sasa nimekuwa na depression mbaya Sana ,
@winfredmueni2710
@winfredmueni2710 2 ай бұрын
Same 😁 a think babii dam wanted to have a break and then obinna maybe took the faniture of house himself,he said he buy sofa set for parents of babi.
@Edna-y3u
@Edna-y3u 2 ай бұрын
😂😂😂😂,they love each other
@mercyndirangu-gd2wn
@mercyndirangu-gd2wn 2 ай бұрын
Nje Mimi naskia tumbo ,kitcwa mbaka sitaki kuona bloggers wakisema nyefnyef
@FAIZAWESAAMANI
@FAIZAWESAAMANI 2 ай бұрын
Sasa at least naeza pumua 😂😂
@MilkahOnyinkwa
@MilkahOnyinkwa 2 ай бұрын
Nimetulia sasa nimexikia jina beb am so happy ❤❤❤❤
@EmilyThereborn
@EmilyThereborn 2 ай бұрын
Huko pekeako...I had to listen first
@puritymumbe-ps9vh
@puritymumbe-ps9vh 2 ай бұрын
Wah at least roho imetulia ...vle nmesikia bebii nmejua mambo yako wagwan ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rahmarooney4519
@rahmarooney4519 2 ай бұрын
Eti Kwa kina bebii❤😊 waiter leta sumu sasa mahater's wakunywe wakufe😂😂😂😂sasa fikisheni ngoma ya forever 1millions views
@Winny-cz3gm
@Winny-cz3gm 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂spare mie ribz
@kkkssiMJAnsnsnn
@kkkssiMJAnsnsnn 2 ай бұрын
Nakwabia Ile furaha nko nayo n mungu anajuwa ❤❤❤
@PriscahAtai
@PriscahAtai 2 ай бұрын
Aki tusukume
@martinkithinji-w2i
@martinkithinji-w2i 2 ай бұрын
God is good akh,saii naeza Kula Kwa Raha,singetaka hawa watu waachane akh mnanibamba saana
@IceChampakaWolf888
@IceChampakaWolf888 2 ай бұрын
Roho yangu imetulia vile obina ametaja bebi. Haki 😂😂😂😂😂. Thanks you God
@Amilo-yl9oc
@Amilo-yl9oc 2 ай бұрын
Wooiih😂😂😂😂
@gracewangai2725
@gracewangai2725 2 ай бұрын
Senkedu❤❤❤weeuh
@joycetalai1867
@joycetalai1867 2 ай бұрын
​@@gracewangai2725uko ni wapi jameni😂
@Soso-gn4tr
@Soso-gn4tr 2 ай бұрын
Kwa kina bebii ​@@joycetalai1867
@Fatuf4951
@Fatuf4951 2 ай бұрын
​@@joycetalai1867kitale
@sumeiyaaswani9559
@sumeiyaaswani9559 2 ай бұрын
Now am happy just saying kwa akina bebii is good enough love you guys
@annahsimiyu1401
@annahsimiyu1401 2 ай бұрын
Woooi haki Mimi mate yanidondoka 😢natesekea gulf kwa khubus laban , spaghetti na rice daily ,Mungu nirudishe tu kwetu Kenya haki 😢😢😢😢😢😢,maisha ya gulf Haina taste hata kidogo 🤔🤔🤔😋😋😋😋🙄🙄🙄😒😒😒
@JoanWandera-jj2ui
@JoanWandera-jj2ui 2 ай бұрын
Fahali wawili wakipigana nyasi ndio huumia. Haki bebi na bebii mmetuumiza since Monday hatujalala but everything is unfolding now😂😂😂
@DianaAyako-t7f
@DianaAyako-t7f 2 ай бұрын
Mm vny nimesikia Tu Kwa kina bebii, nimekuwa overwhelmed and I'm happy for Obinna❤
@kkkssiMJAnsnsnn
@kkkssiMJAnsnsnn 2 ай бұрын
Walai apa ss waiguru akinituma naeda bio gai nilikuwa nakufa n pressure guys thank mr Obinna 🙏
@privv.life.of.eva1
@privv.life.of.eva1 2 ай бұрын
Wacheni mungu aitwe mungu❤
@ingoyefwe
@ingoyefwe 2 ай бұрын
ata tulikua tumepunguza kuwatch wacha tuendelee sasa😂😂
@ElinaIan
@ElinaIan 2 ай бұрын
Ppl should learn it's holiday na sherehe ni mingi aki
@dondikunguemma2377
@dondikunguemma2377 2 ай бұрын
Hata bebi ametaja pale wakiwa na Mc Jessy anamdate mjaluo hamkuskia tu and Obina has always said that there is alot people think they know but they dont know. Serious dating betwn the two away from workplace has bn prioritized here pigeni mdomo tu nyie.
@ingabirenadine
@ingabirenadine 2 ай бұрын
Haiyaaaaa ati niko kwa kina bebiii ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@MetrineNekesa-mj4mh
@MetrineNekesa-mj4mh 2 ай бұрын
I feel my heart is in side me ❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂all the way from 🇯🇴 Jordan
@Memo-hl1zn
@Memo-hl1zn 2 ай бұрын
@@MetrineNekesa-mj4mh metty😂labda n ya kitambo akiii
@EmilyThereborn
@EmilyThereborn 2 ай бұрын
Tuko wengi tulikua na heart attack
@Memo-hl1zn
@Memo-hl1zn 2 ай бұрын
@EmilyThereborn nakuambia sikulala iyo de ghaiiii but anyway tutazoea tu saaa
@EmilyThereborn
@EmilyThereborn 2 ай бұрын
@@Memo-hl1zn n vile tulitake personal sana..I wish them well
@Memo-hl1zn
@Memo-hl1zn 2 ай бұрын
@EmilyThereborn yea sure ,,let's hope wako poa
@AngelaNdanu-kb3ld
@AngelaNdanu-kb3ld 2 ай бұрын
Atleast i can eat now ,,chumvi na sukari zilikuwa juu 😅😅😅
@SallySamoei-vf7gk
@SallySamoei-vf7gk 2 ай бұрын
wametuangaisha kweli for 3days atleast
@osidecaroline9883
@osidecaroline9883 2 ай бұрын
I respect you SIR Oga Obinna
@puritynanjala3874
@puritynanjala3874 2 ай бұрын
Atleast naeza endea breko nilikuwa nimeinama
@annmmbone7525
@annmmbone7525 2 ай бұрын
Am so happy aki mupendane tu agape love bebi na bebii wa bebii wish you well God bless
@EuniceWanjiku-h7h
@EuniceWanjiku-h7h 2 ай бұрын
I love you so much babe 😂😂😂
@Joselinemotondo
@Joselinemotondo 2 ай бұрын
nimetulia sasa 😂😂
@Jacyjacintah-j6n
@Jacyjacintah-j6n 2 ай бұрын
Bora nimeskia akitaja bebii naeza kula saa😂
@StellaAyasi
@StellaAyasi 2 ай бұрын
Watu wafunge midomo obinna hajakosana na bebii wake
@SarahMusimbi-ng7nc
@SarahMusimbi-ng7nc 2 ай бұрын
Atleast ametaja bebiii weweee❤❤❤
@KamammywasBusia
@KamammywasBusia 2 ай бұрын
Bebii and bebii wake hajawachana is justrumours
@florencekisemei2867
@florencekisemei2867 2 ай бұрын
Mimi hakuna kazi nafanyanga nikifuatilia nione vile Obina atasema neno la mwisho kwa Dem wa fb juu ma heartes wameleta maneno mingi kwa mitandao bt vile kwa hakina bebii ni pale chini wah nitakula na nikunywe
@cathysiriyamachozimuchiri3236
@cathysiriyamachozimuchiri3236 2 ай бұрын
Obina thanks for going back to Babiis place ❤
@JoyceWanjiru-wv6ib
@JoyceWanjiru-wv6ib 2 ай бұрын
Aki mm roho yangu haitilii
@ViolaKirui-r6h
@ViolaKirui-r6h 2 ай бұрын
Aki tulikua tumepata pressure obina wa sasa nikunywe maji❤🎉 weekly show ndiyo tunangojea sasa 😅❤ sana salamia mother inlaw
@Milkaomollo-f7s
@Milkaomollo-f7s 2 ай бұрын
Karibu na wakina bebii nimefurai but sahii naumwa sana
@eunicemghendi3456
@eunicemghendi3456 2 ай бұрын
Vindu vichenjanga, mbona mlitaka tukufe na pressure. Hata wambea wapewe maji wakunywe
@Luhyagal289
@Luhyagal289 2 ай бұрын
Aki bana wanataka tukufe na pressure 😢😢 but atleast sai naeza kula 😊😊
@ChristineAnyango-v9q
@ChristineAnyango-v9q 2 ай бұрын
Obi don't kill as b4 siku y etu haijafika
@nicholasmbembe7821
@nicholasmbembe7821 2 ай бұрын
I love obbi no matter whaat❤❤❤❤
@JaneKibo
@JaneKibo 2 ай бұрын
Thank my son we love you so much
@felistermatundura1115
@felistermatundura1115 2 ай бұрын
Huyu munez zi anakulanga sana akinyambanyamba😂😂😂😂😂😂
@AtshaAaaa-i2k
@AtshaAaaa-i2k 2 ай бұрын
Yani me nanavyo wapendwa mkiwa na bebii mpaka nawambia watu kuhusu nyinyi alafu muachane mtaniua kwa presha
@LynnCarrendy
@LynnCarrendy 2 ай бұрын
Obina ulikua unataka kutupa heart attack infact obina bibi ni kismart ya hata kama ni show
@sumeiyaaswani9559
@sumeiyaaswani9559 2 ай бұрын
Mi ni bebii wa bebii nice
@roseliku531
@roseliku531 2 ай бұрын
Mahanta niwaite kwa kiswahili chetu cha Bongo mahanta kazi mnayo😂😂😂😂😂😂
@Fatu25ste
@Fatu25ste 2 ай бұрын
Wow ❤
@SharonInganji-qy6bf
@SharonInganji-qy6bf 2 ай бұрын
😂, atleast aii mnatufanya tukae wagonjwa
@VioletOmweya
@VioletOmweya 2 ай бұрын
Kwani mlikula kuku hadi makucha yake
@Sobibotv
@Sobibotv 2 ай бұрын
Bora amesema Ako skendu kwakina Bebii 😂😂 haters mkojoe MLALE 😂
@MareMare-h5y
@MareMare-h5y 2 ай бұрын
Hapo SASA😂😂
@VallaryJellagat
@VallaryJellagat 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣waaah online
@SusanMburu-kv5mx
@SusanMburu-kv5mx 2 ай бұрын
Am happy to see this
@hellenoponyo2415
@hellenoponyo2415 2 ай бұрын
Wanatupanga
@Marthamutena-y5j
@Marthamutena-y5j 2 ай бұрын
Mungu si kamau God am good now
@MM-ly7be
@MM-ly7be 2 ай бұрын
huyu mtu wa dreadz ndio whom ...yuko na kamtu ???? weh 😜
@ZakinaMbaraka
@ZakinaMbaraka 2 ай бұрын
Obinnah Amanda evukhwe😅
@jacklen8249
@jacklen8249 2 ай бұрын
Weeeeh atleast naweza fanya kazi kwa amani
@PamellahNyanjom
@PamellahNyanjom 2 ай бұрын
It shall be well
@JacksonOmwamba-z7q
@JacksonOmwamba-z7q 2 ай бұрын
Roho imeaza kutulia vile amesema bebi
@noorlotfi3653
@noorlotfi3653 2 ай бұрын
Bora umeenda kwa akina bebii sina shida niko sawa sasa
@phenysamba2885
@phenysamba2885 2 ай бұрын
Hehehe hakuna uko kwa kina bebii ni ukooo chini huoni ni mbali😂😂😂
@noorlotfi3653
@noorlotfi3653 2 ай бұрын
​@@phenysamba2885ni hiyo area bado ni nyumbani
@mercyndirangu-gd2wn
@mercyndirangu-gd2wn 2 ай бұрын
Tararararaaaaa hivyo shasha kumbavu zetu njinga sisi
@catherinenganga7128
@catherinenganga7128 2 ай бұрын
Mashemeji kuna ka hope sasa.
@nancyomwenga7633
@nancyomwenga7633 2 ай бұрын
Atleast nimepata nguvu ya kurudi kuwatch forever song again and again
@mirriamkiamba9733
@mirriamkiamba9733 2 ай бұрын
Ata mseme aje bibii wa bebii na bebii wanajuana this game hatuwezani pili atakua anaadamana na bebii kila mahali even me i dont follow my warthog kila mahali nimeeenda
@JedidahMumbi_1
@JedidahMumbi_1 2 ай бұрын
Kitale mambo ni vulai
@hendricamatasyo4367
@hendricamatasyo4367 2 ай бұрын
Eti kwa akina nani ni hapo chini? Haki wacheni kunipatia pressure
@Martha-pm3zr
@Martha-pm3zr 2 ай бұрын
I love this two I don't want to hear any negative things about them aki naedesha kwanzia juzi hadi waiguru hana shanga shida nn 😢
@deborahgitenya3456
@deborahgitenya3456 2 ай бұрын
Watu jua kumind ur own business 😂😂😂na bado
@lilianjerotich3815
@lilianjerotich3815 2 ай бұрын
Ile raha naskia after him mentioning bebii❤️❤️
@Leonard-c2x
@Leonard-c2x 2 ай бұрын
Atleast by now I can eat
@AGNETASHIGHADINYAMBU-j2w
@AGNETASHIGHADINYAMBU-j2w 2 ай бұрын
Alikuwa kitale juu on 30th November kuna finals pia kina jalas watakuwa huko
@Memo-hl1zn
@Memo-hl1zn 2 ай бұрын
Pia nmeskia iyo jina nmefurahi❤❤😂ghaiiiii likes basi tupitiane team bebi n bebi wa bebiii
@everlineeverline105
@everlineeverline105 2 ай бұрын
Hii ni ya show ya kitale.bloggers haki
@hellenoponyo2415
@hellenoponyo2415 2 ай бұрын
Y ​@@everlineeverline105my friend Obinna amekua Jana kitale na hii ni ya Jana
@paulinewanjiku8433
@paulinewanjiku8433 2 ай бұрын
​@@everlineeverline105Usikie hivyo mama alienda kitale jana bt vedio ni ya leo
@Memo-hl1zn
@Memo-hl1zn 2 ай бұрын
@everlineeverline105 uweeeeh serious 😂😂😂😂
@stellahmuhonja2023
@stellahmuhonja2023 2 ай бұрын
Ni ya jana​@@everlineeverline105
@WinneAinea
@WinneAinea 2 ай бұрын
At least I will sleep today
@CynthiaMutindi-v9f
@CynthiaMutindi-v9f 2 ай бұрын
Chini ya maji vitu siku hizi
@LydiahW_anja
@LydiahW_anja 2 ай бұрын
Bado tunalia na Ngoma ya otile brown guys
@berylleen
@berylleen 2 ай бұрын
Obina ata hajui venye mnaongea yeye ni raha
@MaryAyona
@MaryAyona 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Jacintanabwera
@Jacintanabwera 2 ай бұрын
😂😂 mnipitie tugrow wote please comment done ni kupitie 😊😊
@assa-tj3yy
@assa-tj3yy 2 ай бұрын
Mmmm lknow this plàce
@BridiesaxineShikati
@BridiesaxineShikati 2 ай бұрын
Haters halloooo nothing can separate Dem w Facebook except God nafeel kutag watu wa bad words ❤❤❤❤
@faithkarimi6072
@faithkarimi6072 2 ай бұрын
Labda Ni ya ngamia
@arusharuu2674
@arusharuu2674 2 ай бұрын
Hates hello
@billOudia
@billOudia 2 ай бұрын
Hii ni video ya kitambo homecoming ya bebii haea watu wamekosana
@Soso-gn4tr
@Soso-gn4tr 2 ай бұрын
Hapana jana
@Reggyfavour
@Reggyfavour 2 ай бұрын
Leo wako kitale still
@hemedihawa2748
@hemedihawa2748 2 ай бұрын
Wee leo
@paulinewanjiku8433
@paulinewanjiku8433 2 ай бұрын
Wewe ni mmja wao hater hii ni alienda kitale jana bt vedio ni ya leo
@roseliku531
@roseliku531 2 ай бұрын
Mchawi mkubwa wewe hiii ni ya leo😂😂😂
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
SEE  WHAT  OGA OBINA  SAID  ABOUT  DEM  WA FACEBOOK  TODAY 🙄
6:25
phyllis moraa
Рет қаралды 7 М.
DEM WA FACEBOOK EMOTIONAL  SPEECH AT HER EXPENSIVE BIRTHDAY PARTY
14:18
Vickie vickinah
Рет қаралды 61 М.
OBINNA SHOW LIVE: + OR - FOURTY -MC Jessy
1:21:25
Obinna TV Extra
Рет қаралды 254 М.