The preachings in these songs are a blessing that we dont get from our "modern" gospel... yaani ni himizo baada ya himizo ya kwamba kila mmoja wetu aweze kupata wokovu wa BWANA wetu YESU KRISTO. MUNGU na Awabariki Wana-Ark generation kwa nyimbo hizi, na pia kila mmoja asikizae, MUNGU aweze kuwabariki sana na awatimizie kila haja ya mioyo yenu. AMEN.
@arkgeneration8 ай бұрын
Asante Sana kwa himizo na kwa kusikiliza. Mungu wa Amani akubariki.