#OMBA

  Рет қаралды 19,036

PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)

PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)

Күн бұрын

Пікірлер: 131
@saulbichwa4782
@saulbichwa4782 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana PRINCE BOCKSON. Tuletee nyimbo ya JB MPIANA ya GERMANDO
@SALEHEABDULATIFU-eu4td
@SALEHEABDULATIFU-eu4td 8 ай бұрын
Mimi naitwa nzagwa,,,naomba utafasili wimbo wa JB mpiana papitombala❤❤❤❤
@selemansalim2775
@selemansalim2775 3 жыл бұрын
Bien sana ni moja ya nyimbo ninazopenda, ahsante sana
@makangaletv4168
@makangaletv4168 2 жыл бұрын
Ngoma naipenda Sana hii Aisee,nmeisikiliza kipindi chote cha Maisha Yangu bila kuichoka
@JOACHIMERASS
@JOACHIMERASS Жыл бұрын
Prince nakuapia kama kuna mwanamuziki anajua kwenda na story za maisha ya wa afrika ni JB NAOMA SANS 50 YA ALBUM BALLE DE MATCH PESA MUNU MBONGO SIKUPATAMU KITU
@hamadrashid1125
@hamadrashid1125 2 жыл бұрын
Bockson kazi safi,tupatie tafsiri ya Abisina ya Nyboma
@joetheone3354
@joetheone3354 Жыл бұрын
Umetisha sana Prince Bouckson, ila jingle yako inaumiza sana masikio
@NormanEric
@NormanEric 3 жыл бұрын
From Dar es salaam Tanzania. Kazi nzuri
@husseinmohamed6171
@husseinmohamed6171 3 жыл бұрын
King HUSSEIN muheza TANGA nakupata vizuri ushauri wangu kwako ukishaitafsiri kama hivyo ingekua poa ukaichia sasa mwanzo mwisho tupate burudani zaidi ahsante
@thomashamba681
@thomashamba681 2 жыл бұрын
Thomas Hamba nipo. Nyamongo talime safi. sana tupe laha
@brunofidelis7895
@brunofidelis7895 2 жыл бұрын
Naitwa bruno natoka tanzania 🇹🇿 . Nimeipenda sana
@edinaally1274
@edinaally1274 3 жыл бұрын
Safi kabisa mtaalam, naomba kwa mara nyingine tena champion kapangala AU toure eiffer by wenge bcbg, nisaidie vibao hivyo by Goodluck Ndimbo dom Songea
@mimiwewe5655
@mimiwewe5655 Жыл бұрын
Safi sana mkuu. Naomba tafsiri ya rtc riva ya Madilu
@khatibually706
@khatibually706 2 жыл бұрын
Prince mambo vipi.unafanya kazi nzuri sana ya kututafsiria lingala kwa kiswahili maana mimi binafsi napenda sana congo music.ninaomba sana unitafsirie LISTE ROUGE ya aurlus Mabele.asante sana. Khatibu ally kutoka mbezi beach dar es salaam.
@IbrahimuLujuo
@IbrahimuLujuo 2 ай бұрын
prince boxoni tunakupata vzr sana huku chemba dodoma kiukwel binafsi ni shabiki mkubwa wa jb mpiana by ibrahimu lujuo nakati ya chemba
@tomodera
@tomodera 3 жыл бұрын
Ndugu Prince Bockson, Asante sana kwa tafsiri hii. Sasa nimefurahi sana umenifanyia tafsiri hii. Mimi ni yule yule Tom Odera kutoka Kenya. Omba Lumumba ni nyimbo tamu sana Prince Bockson!
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
basi tuzidi ku share na wandugu kwenye FB, IG, Na kwenye ma group za wtsp kaka.
@tomodera
@tomodera 3 жыл бұрын
@@princebockson5299 Sawa kabisa ndugu yangu
@tomodera
@tomodera 2 жыл бұрын
@@princebockson5299 Mimi nimeshare na kuambia watu wengi mabo ya Omba Lumumba!!
@sabitrajab2355
@sabitrajab2355 2 жыл бұрын
Uko juu mon frere
@ibrahimmtenya7896
@ibrahimmtenya7896 3 жыл бұрын
Ibrahim Mohamed wa Tanzania, Huwa unanifurahisha sana kwakweli
@jmbaringo4495
@jmbaringo4495 3 жыл бұрын
Kazi nzuri na ushauri pia .... Tutumike kazi tupate tutunze jamii zetu
@phillucas9673
@phillucas9673 2 жыл бұрын
Kitoko 🔥 makasi molakisi. Merci mingi. Mimi Phil Approved 💯
@coolleo9149
@coolleo9149 9 ай бұрын
Mimi naitwa Odera kutoka Kenya. Wimbo wa nguvu huu
@shalalishalali3101
@shalalishalali3101 3 жыл бұрын
Shalali Daudi from kahama,unatisha sn kamanda
@evelynefuraha4053
@evelynefuraha4053 Жыл бұрын
Niko Burundi 🇧🇮 naitwa Eve
@alainndabaneze7370
@alainndabaneze7370 3 жыл бұрын
Nataka recto verso
@MatesomedisulamiteMeddy
@MatesomedisulamiteMeddy 9 ай бұрын
Mimi ni meitwa kwa jina ya Medy silamite kutoka ngazi Burundi.naomba utatafusiriye nyimbo ya jb 50 ans
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 3 жыл бұрын
Emanuel toka Mwanza Tanzania. Nafarijika sana kusikia tafasiri hizi ukizingatia tuko na msiba wa kumpoteza raisi. Tuko pamoja mkuu kama samaki na maji
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
ya poleni sana ndugu zangu wa Tanzania kumpoteza baba yetu JPM, tuzidi kumuomba Mungu ampe nafasi pema Peponi.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 ай бұрын
​@princebockson5299 kalay Boeing wenge musical please
@alexmwainyekule376
@alexmwainyekule376 2 жыл бұрын
Omba ya ukweli sana sanaaa kutoka Dar es salaam papa mwainyekule
@shaibutegei8737
@shaibutegei8737 2 жыл бұрын
Nazal dar Tanzania naling koyoka JB mpiana 😃😄
@machanomati7931
@machanomati7931 Жыл бұрын
Izinyimboza lingala zotufundisha maneno mingi yalughahii miache kutusomesha lughahii mimi nipo ZANZIBAR Tanzania
@humphreygeorge2275
@humphreygeorge2275 2 жыл бұрын
JB much respect to you brother
@FocusPongwe
@FocusPongwe 8 ай бұрын
2:58
@MerlinahJohnjohnson
@MerlinahJohnjohnson 8 ай бұрын
Kigoma Moja naitwa papa mtombo ya mkum naomba tafasili ya nyimbo mayi ya sika
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
Oh sawa nime sikia nikiwa Tanzania
@digitalhumancapitalassocia6431
@digitalhumancapitalassocia6431 3 жыл бұрын
Prince hii program yako muzuri sana
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 жыл бұрын
Zembo kitoko ya mwana anyese lusambo
@BettyMirali
@BettyMirali 8 ай бұрын
Safi sana
@j.ckaswahilimtupoa2142
@j.ckaswahilimtupoa2142 2 жыл бұрын
Nipo Yoma Somanda Bariadi Tanzania, Niko pamoja sn na wewe Prince Bockson kwenye tafsiri ya nyimbo za kikongo
@mwalukokwanga5194
@mwalukokwanga5194 2 жыл бұрын
Naomba canne fally
@abedhamza4653
@abedhamza4653 2 жыл бұрын
NAOMBA TAFSIRI YA CHAMPION KAPANGALA YA JB MPIANA
@humphreygeorge2275
@humphreygeorge2275 3 жыл бұрын
Alafu we jamaaa unampenda sana Jb eeee & Jb anajua kuimba anajua kupanga mashairi ki ukweli mimi ni mpenzi sana wa B C B G & JB moto pamba
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
hahaaaa, nimeona jb mpiana njo anaombwa sana na wapenzi wa kipindi kaka
@ashuraathumani5340
@ashuraathumani5340 3 жыл бұрын
Safi sana naomba nyimbo ya No Commenti shengen ya shibempiana Suvere mpremyee
@jeanmbeck1996
@jeanmbeck1996 3 жыл бұрын
Safi sana niko pamoja na wewe mkuu.
@nuhajumakikamba3136
@nuhajumakikamba3136 3 жыл бұрын
asante sanaa umenipa raha sanaa papa...
@nuhajumakikamba3136
@nuhajumakikamba3136 3 жыл бұрын
naomba prince mombika kwenye arubam bora ya titanic
@juliusmawinda6586
@juliusmawinda6586 3 жыл бұрын
Naomba wimbo wa cometes de l'an 2000 " Ravis" wa Wenge Bcgb ulikuwa kwa Album ya Pentagon... waweza nitumia Inbox
@JOACHIMERASS
@JOACHIMERASS Жыл бұрын
Joachim Erass niko Dar
@PlasdiucSeveriol
@PlasdiucSeveriol 2 ай бұрын
Tz hapa ❤❤❤
@aloycemwajaja2862
@aloycemwajaja2862 2 жыл бұрын
Naitwa Aloyce Mwajaja wa Tanzania napenda tafsiri yako
@swaleheyusuph1991
@swaleheyusuph1991 2 жыл бұрын
Prince naomba ututafasirie dede ya zaiko langa langa
@tomodera
@tomodera 2 жыл бұрын
Papa Prince Bokson, mda mrefu hatujaongea tena. Niliona Ulienda Dubai kutembea. Felicitations!! Sasa naomba unifanyie tafsiri ya wimbo wa Bozi Boziana, yenye titre, Papa Noel ilicheza sana 1998
@princebockson5299
@princebockson5299 2 жыл бұрын
Yeees ndugu, week ijayo tunarudi nakazi kali
@TheMkulima
@TheMkulima Жыл бұрын
Naitwa Joshua Mchomvu toka Mkuranga, Pwani - Tanzania
@alexmiheso5397
@alexmiheso5397 3 жыл бұрын
Swaafi kabisaaa toka kenya
@zikankubasijali1251
@zikankubasijali1251 2 жыл бұрын
Safi
@hassanlusewa9008
@hassanlusewa9008 2 жыл бұрын
Bonge moja la wimbo huwa naupenda sana
@princetevee8663
@princetevee8663 2 жыл бұрын
Asante Sana toka Tanzania
@twalibushemsanga46
@twalibushemsanga46 2 жыл бұрын
Du high jamaa noma
@zahozamshuza8356
@zahozamshuza8356 3 жыл бұрын
Namba tafsri ya wimbo maze was tabulei
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
iyo tayari tumesha fanya, ipate apo kwa Chanel yetu
@gibsonferouz6040
@gibsonferouz6040 3 жыл бұрын
Naitwa gibson ferouz nipo Arusha, naomba utafsiri wimbo wa Werason BLANDINE,
@HenryOuko-rg8nd
@HenryOuko-rg8nd Жыл бұрын
Henry from Kenya
@ChachalaMtawila
@ChachalaMtawila 9 ай бұрын
Chachala wa Tanzania morogoro
@beaufjeanvieux8977
@beaufjeanvieux8977 3 жыл бұрын
Tuko sambamba hapa Bukavu kaka
@cobwebtheorem7538
@cobwebtheorem7538 Жыл бұрын
Melesi mingi. Namoni yo na Nairobi. Nayekola Lingala.
@StephanoGumbo-ti8ig
@StephanoGumbo-ti8ig Жыл бұрын
Nakupata nikiwa Tanzania Tanga Handeni
@kellymuinde6780
@kellymuinde6780 2 жыл бұрын
ASANTE SANA MKENYA KABISA
@stanleymashambo9509
@stanleymashambo9509 2 ай бұрын
Much respect JB
@petermangama330
@petermangama330 2 жыл бұрын
BANA Takule toka Sumbawanga
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 3 жыл бұрын
Nipo tz dodoma nakupata bokson mtoto wa mfalme
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 2 жыл бұрын
Tres fort💪💪💪
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 жыл бұрын
Suleiman,naomba tafsiri ya La rose verte (souverain premiere)🇹🇿
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
karibu sana kaka, ombi lako lina fika, tuna weka kwenye orodha
@williamerixavior1912
@williamerixavior1912 3 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya nyimbo vita imana remix
@hamzaahmed69
@hamzaahmed69 Ай бұрын
Kombo ngai Hamza naza dar
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 жыл бұрын
Hahaha tres fort💪💪🇹🇿
@bakarop4312
@bakarop4312 2 жыл бұрын
Nitafsirie nyimbo ya fally lpupa aflame bakari alagwa pwani
@muhidinigumbizi5458
@muhidinigumbizi5458 3 жыл бұрын
Melesi papaa🙏🙏🙏👌👌
@pascalnyanda1289
@pascalnyanda1289 3 жыл бұрын
Toka DAR pamoja na msiba wa taifa tuzidi kufarijiana
@mussamsonzwa5753
@mussamsonzwa5753 3 жыл бұрын
Nakupata vilivyo kutoka DARESALAAM Tanzania
@samwelpaul7334
@samwelpaul7334 3 жыл бұрын
Nahitaji kupata tafsiri ya nyimbo ya JB Mpiana "Jannette"
@allymasukunya3468
@allymasukunya3468 3 жыл бұрын
safi sana mkuu uko vizuri sana, pia naomba tafsiri ya wimbo wa jb mpiana education, masukunya hapa tz dar,
@bundegehassan5313
@bundegehassan5313 3 жыл бұрын
Kutoka dodoma naomba wimbo wa koffi olomide papa bonne
@kennethaaronoloya1523
@kennethaaronoloya1523 2 жыл бұрын
Naiomba tafsiri ya Mon cas by madilu system
@kellymuinde6780
@kellymuinde6780 2 жыл бұрын
TAFSIRI MICKO YA KOFFI OLOMINDE
@evansmarandu7325
@evansmarandu7325 Жыл бұрын
Launceston Tasmania Australia papaa Mapasa
@EnockKessy
@EnockKessy 11 ай бұрын
Naomba tafsiri "Serge Plami" JB Mpiana
@samuelsulambi9233
@samuelsulambi9233 2 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@digitalhumancapitalassocia6431
@digitalhumancapitalassocia6431 3 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya Likala Moto wa Wenge
@nasibuchikankata9178
@nasibuchikankata9178 2 жыл бұрын
Naitwa nasibu nipo mbeya tz naomba wimbo wa mbuta likasu
@selemanimfinanga1271
@selemanimfinanga1271 3 жыл бұрын
Naomba tafsiri wimbo wa fally ipupa sopeka
@humphreygeorge2275
@humphreygeorge2275 2 жыл бұрын
Asante sana Prince
@husseinmohamed6171
@husseinmohamed6171 3 жыл бұрын
King HUSSEIN muheza TANGA nakupata vizuri naomba tafsiri ya wimbo champion kapangala na titanic
@beatusgodfrey9220
@beatusgodfrey9220 3 жыл бұрын
Iringa mufindi tupo pamoja
@princebockson5299
@princebockson5299 3 жыл бұрын
kariibu sana, tuzidi ku share ili jamaa iwe kubwa zaidi
@jthewords
@jthewords 2 жыл бұрын
naweza pata namba yako ya whatsapp,kuna wimbo wa ferre Gola nataka unipe jina łąkę,asante
@princebockson5299
@princebockson5299 2 жыл бұрын
+250791433142
@arnoldbagambisa7545
@arnoldbagambisa7545 2 жыл бұрын
Thank you 🙏
@brolynehawkan4868
@brolynehawkan4868 3 жыл бұрын
Brolyne toka Houston nafurahia sauti ya souverain premiere
@brolynehawkan4868
@brolynehawkan4868 3 жыл бұрын
Mobali ya propre mobali ya solo
@clarachatingumbu3341
@clarachatingumbu3341 Жыл бұрын
Prince Bockson naomba wimbo wa Promise Bouboule wa Wenge Musical BCBG utunzi wake Alain Mpela chini ya uongozi wa Mukulu JB Mpiana
@mohamedmokiwa4158
@mohamedmokiwa4158 Ай бұрын
Respect
@beatusgodfrey9220
@beatusgodfrey9220 3 жыл бұрын
Tuko pamoja kiongoz naomba madilu sensa ya papear for Swahili
@mimiwewe5655
@mimiwewe5655 Жыл бұрын
Weka no yako ya simu hapa papaa Boksoonhapa
@fredysanga7513
@fredysanga7513 3 жыл бұрын
Prince, nini maana ya sikoyo?
@zikankubasijali1251
@zikankubasijali1251 2 жыл бұрын
Unajua kutafsiri unajua kuimba napata burdening ya ukweli
@jameshumphrey9647
@jameshumphrey9647 Жыл бұрын
Thanks
@samaboy2592
@samaboy2592 3 жыл бұрын
Kutoka Tanzania
@kakarasmuuzages7490
@kakarasmuuzages7490 Жыл бұрын
Tafrisi TH
@princetevee8663
@princetevee8663 Жыл бұрын
Tanzaniaàaaaaa
@silayogeorge4279
@silayogeorge4279 6 ай бұрын
Do Insulin By Ferre Gola
@barthakuzwe9816
@barthakuzwe9816 3 жыл бұрын
Barthe ku toka bukavu
@zabloncheji9624
@zabloncheji9624 2 жыл бұрын
Naitwa zabloni, niko tanzania naomba wimbo wa koff olomide loi
@RafikiJ.batiste
@RafikiJ.batiste 3 ай бұрын
Asante
@kenethkimaro7213
@kenethkimaro7213 2 жыл бұрын
Nakutazama kutoka Norway 🇳🇴
@ashuraathumani5340
@ashuraathumani5340 3 жыл бұрын
🇹🇿❤️❤️💪💪
#KISWAHILI Vs  LINGALA // EDUCATION JB MPIANA
18:47
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 18 М.
#LINGALA Vs KISWAHILI // BLANDINE WERRA SON, PRINCE BOCKSON
19:35
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 24 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
KIN E BOUGE-WENGE MUSICA ENGLISH TRANSLATION #SEBENE #RUMBA #SOUKOUS #CAVACHA #LINGALALESSONS #AFRO
25:18
Kin É Bougé
10:11
Wenge Musica Maison Mère - Topic
Рет қаралды 93 М.
Bolingo Time (Buhongwa Tv)
6:50
BUHONGWA TV.
Рет қаралды 661
#100 KILOS, FERRÉ GOLA/KISWAHILI,   (TAFSIRI)
12:15
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 30 М.
JB. MPIANA I LOVE YOU EJE, TAFSIRI KWA KISWAHILI
14:22
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 10 М.
BEN KINYAIYA with JB MPIANA, MAMALAND SHOW on CLOUDS TV  part 1
6:03
Kusalimia Watu Wengi/ Umati | Somo La 18 | Jifunze Lingala | Yekola Lingala na Pauline
12:22
JB MPIANA FEUX DE L'AMOUR KWA KISWAHILI By PRINCE BOCKSON
15:13
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 29 М.
#JB MPIANA RECTO-VERSO #KISWAHILI,   TAMU SAAAAAAANA
22:18
PRINCE BOCKSON (RUMBA KWA KISWAHILI)
Рет қаралды 10 М.