OMMY DIMPOZ AMUOMBA MAMA DIAMOND MSAMAHA/HAIKUWA SAWA KABISA/WAKATI ANAWAZO LA WASAFI NILIKUWEPO

  Рет қаралды 158,945

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 264
@michiali9814
@michiali9814 3 жыл бұрын
We ommy wewe ulinifanya nikawa naishi na roho juu kisa nikuwa unaumwa Allah akufunguwe zaidi uache muzik uwe ustad inshallah 🙏
@tatuomary6745
@tatuomary6745 3 жыл бұрын
In shaa ALLAH
@Special4uTV
@Special4uTV 3 жыл бұрын
HUO NDIYO UBINADAM.... LOVE TO DIMPOZ
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 3 жыл бұрын
Mola akutakalie dua zako na swala zako palipo nauzito mola akufanyie wepes
@gabrielsujah2275
@gabrielsujah2275 3 жыл бұрын
Its a kind of relief when you forgive and forget , life has to continue , you are a true man , may you live long . Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@elidarweyemamu5144
@elidarweyemamu5144 3 жыл бұрын
Hongera sana ommy samahani ni neno dogo sana lakini linawashinda wengi kama umeomba msamaha kwa kumaanisha basi ata Mungu amekusamehe.
@shadiantakiyica6647
@shadiantakiyica6647 3 жыл бұрын
⁰⁰⁰00
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 жыл бұрын
Wee Shukran ya kwanza ulitoa wimbo wa kumshukuru allah kwa wimbo, ila allah akupokelee dua zako na akusamehe makosa yako na akukinge na kila baya akuongoze katika njia ilionyooka
@shekhamohammed416
@shekhamohammed416 3 жыл бұрын
Never judge
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 жыл бұрын
@@shekhamohammed416 kwani nimem judge?
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
Ukikuta mtu anaisifu familia ya diamond Soma comments Utaona watu wanavyosifu. ila ingekuwa kawaponda daaah matusi yangekuwa ya hatari.....By the way Omari umefanya jambo zuri kuomba msamaha ur blessed Bro!!!.
@zaitonakondo4617
@zaitonakondo4617 3 жыл бұрын
😂
@Donrugi
@Donrugi 3 жыл бұрын
Itakuwa ushikaji na Ali unaanza kuzima. Nakumbuka hata wakati ushikaji wake na Diamond unakaribia kuzima alikuwa anamuongelea vizuri tu lakini mwisho wa siku Badae ikajulikana. Ila kama ni kweli basi itakuwa poa sana na sana. Iwe hivo awe vizuri na watu wote maisha yaendelee 💪🏽💪🏽
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 жыл бұрын
Kaomba Msamaha kwa kuwa na hofu ya Mungu
@iambelnus
@iambelnus 3 жыл бұрын
Daaah yaan ommy unanyenyekea mpk Mungu atakusamehe
@chiefmilembi
@chiefmilembi Жыл бұрын
Ongera sana! brother Ommy, unajua samahn ni nineno dogo sana; tena lenye herufi chache sana. Lakini huwa ni zito, au naweza sema ni gumu kiasi cha kwamba kulitamka kwake lazima uweke dhamila moyoni ya kufanya kweli, after that ndipo unaweza fanya hivyo; binafsi nimefurahi sana kuona tena urafiki au udugu wenu umerejea. Tena hiyo ndiyo furaha yetu pia, kwa sababu kuna wakati tunapaswa kujifunza kutoka kwenu kaka zetu; sasa ikiwa kama before haipendezi but now amani & upendo vitawale. Also naomba muandae colabo kati yako wewe na brother 🦁🦁 NAJIVUNIA SANA 💪💪
@kitindaa2547
@kitindaa2547 3 жыл бұрын
True definition of a musician #kioochajamii. Omy you are a big bro
@yousufswaleh354
@yousufswaleh354 3 жыл бұрын
Thanks brother Ommy kuanzia leo mm shabiki wako....napenda Sanaa ulivyofanya.kizazi Sanaa
@chibudangote0126
@chibudangote0126 3 жыл бұрын
SAFI SANA...SASA TUNASUBIRI COLLABO DIAMOND X OMMY DIMPOZ=🔥🔥🔥
@hassanihanzel
@hassanihanzel 3 жыл бұрын
Pia ya Mondi na Ali
@chibudangote0126
@chibudangote0126 3 жыл бұрын
@@hassanihanzel daaah hapo naona tutangoja sana bro
@hassanihanzel
@hassanihanzel 3 жыл бұрын
@@chibudangote0126 😂😂Simba mwenye kasema Kiba asizinguliwe kwa hiyo yeye yupo ready labda kwa kiba sasa
@ernesafary1244
@ernesafary1244 3 жыл бұрын
I really like that positive energy
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Uko sawa ommy lakini mtafute mama umuombe radhi na mungu pia atazidi kukubariki mwanadamu hukosea.
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Alimfanyeje
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 nashangaa, wakati alikuwa mwanamke wake
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Interview nzuri kwanza mashallah omyy dipoz
@omarmzee758
@omarmzee758 3 жыл бұрын
Asante sana wajina ommy kama ommy uko vizur sana broo big up 2 you
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Umefanya jambo zuli kumuomba msamaha mama dangote mtumzima akosei mashaallah 😘
@browniefondo2858
@browniefondo2858 3 жыл бұрын
The type of artists to support...big up Ommy.
@saidmnene2987
@saidmnene2987 3 жыл бұрын
Omy mungu atakubariki kulingana na ulichokizungumza👏👏👏
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
Jambo njema sana Ommy Dimpoz, Allah akuepushe na mabaya yote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lindakibanga996
@lindakibanga996 3 жыл бұрын
Hongera Ommy...umeonyesha tofauti kubwa...be blessed bro.
@mutungimsuya668
@mutungimsuya668 3 жыл бұрын
Hiyo ndo tulikua tunasubiri kwa hamu safi sanaaaaaa
@jovinakika9891
@jovinakika9891 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Akufanyie Wepesi Kaka 🙏
@hopeobeth9806
@hopeobeth9806 3 жыл бұрын
Wow my brother umetuwa mzigo mzito sana hongera Sana .
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 3 жыл бұрын
Sh Hongera
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 3 жыл бұрын
MashAllah Allah amfanyie wepesi
@yunusabeid74
@yunusabeid74 3 жыл бұрын
Mashaa Allah tunakuombea kila lakheri ndugu yetu Omar Faraji Nyembo.
@hagaielia9704
@hagaielia9704 3 жыл бұрын
UBARIKIWE omy we nimwanadam
@mkutamajuto1549
@mkutamajuto1549 3 жыл бұрын
Much respect @dimpoz
@mamzmamz8523
@mamzmamz8523 3 жыл бұрын
MashaAllah..umefanya jambo la kusema samahan mungu akutangulie mambo yako yote..
@imma_billy
@imma_billy 3 жыл бұрын
Amezungumza kwa hekima sana. Mungu ampe maisha marefu.
@saidmoha7284
@saidmoha7284 3 жыл бұрын
Diamond alishamsamehe zamani tu, mama aliiamsha upya bongo fleva hio tu ina mchango mkubwa Kwa Omi mama ni mama safi sana omi angalieni tena leka dutigite.
@Fgldesigns
@Fgldesigns 3 жыл бұрын
Mbona unamsemea Diamond! Au wewe ndo moyo wake
@abokrarshamsan7963
@abokrarshamsan7963 3 жыл бұрын
Mungu akulinde n akupe wepesi palipo n ugumu inshallah.
@franktebeka2123
@franktebeka2123 3 жыл бұрын
Ongera sana ommy umeongea vizuri sana bro
@chukuchuma4025
@chukuchuma4025 3 жыл бұрын
He is god living testimony Omar I love u
@jailaninkya8978
@jailaninkya8978 3 жыл бұрын
Nyie wasafi ni washamba sana kila kukicha mnasifia familia tuu
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Maashaallaah mungu akuzidishie ue mtu wa ibada kila siku inshaallah
@hassanalbasry8706
@hassanalbasry8706 3 жыл бұрын
Ma sha Allah sasa ww umekua mtu mzima Ommy hongera yako collabo yako na Nasibu ije lakini iwe ni qaswida mana we siumetoka umrah habib 🤣🤣🤗
@hawwahawwa8533
@hawwahawwa8533 3 жыл бұрын
😂😂🤗🤗🤗🏃🏃
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 3 жыл бұрын
Aliyekwambia qaswida yafaa ni nan??!! Zote hizo hazifaii
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 жыл бұрын
Umefanya nicheke km fala
@felisterchimtunga9386
@felisterchimtunga9386 3 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti kichizi
@omzahara5985
@omzahara5985 3 жыл бұрын
🤣🤣
@levisonpondamaly3941
@levisonpondamaly3941 3 жыл бұрын
Brother inatoshaaa one love
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Tupendane kwa ajil ya Allah 😢
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
Hongera sana na kujijua ulimkosea mama dangote na kuomba msamaha
@asaviews2030
@asaviews2030 3 жыл бұрын
Re fresh entertainment live show makes sense alafu ikifuatiwa na gossip, fashion, lifestyle, trends na zingine...........
@fahadfahmy
@fahadfahmy 3 жыл бұрын
Omari umefanya jambo lakheri sana,ila sasa jitahidi uwache mziki
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 жыл бұрын
Ommy D wafanana sana na Diamond nasibu iko kama ni wa baba moja Abdoul ama nyange
@druumarley2159
@druumarley2159 3 жыл бұрын
Yakikubwa sanaaaa iyoooo mzeee
@mwanakherkione597
@mwanakherkione597 3 жыл бұрын
Usiangalie waja wanasema nin omy kilamtu anamagumu yake waja tunalopokwa sana usijal viumbe wazito
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 3 жыл бұрын
Allah ni mwingi wa rehema amekusamehe Ishaallah
@florencekaewa2100
@florencekaewa2100 3 жыл бұрын
Ameen
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 3 жыл бұрын
Sawa sawa msamaha jambo la muhimu mno🔥🔥🔥🔥☑️☑️
@habumugishaegide1079
@habumugishaegide1079 3 жыл бұрын
Hongera ommy
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 жыл бұрын
Kina baki mama diamond amsamehe mwanae kakiri kosa.anastahili kusamehewa
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Inshallah atamsamehe kwa uwezo wamwenyezimungu
@habbydaimu5313
@habbydaimu5313 3 жыл бұрын
Yule mama hana shida atamalizana nae
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 3 жыл бұрын
kwan alimfanya nn jaman
@baresatv6724
@baresatv6724 3 жыл бұрын
Dah kweli Ommy umekuwa mkuu
@Chicoamantez
@Chicoamantez 3 жыл бұрын
Appreciate
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Alaf baada ya hapo utasikia wapmbav wanakwambia wasafi n ya kusaga😂😂kuna people zinateseka hapa Tz kwa mafanikio ya mwana wa Dangote 😂😂
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Muislamu unatusihii kusameheana Alhamdulilah
@joycelenny7485
@joycelenny7485 3 жыл бұрын
Dimpoz nakupenda tu sana
@levelstar9954
@levelstar9954 3 жыл бұрын
Hongera sana maisha tunapita2 bifu jau
@whoyzambicioso2713
@whoyzambicioso2713 3 жыл бұрын
Real man
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 3 жыл бұрын
Mama Dongote dkk ya 9
@hassanigustavo3856
@hassanigustavo3856 3 жыл бұрын
Hongera kwa kujitsmbua
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
We love you ommy, good saying 👌🏿❤🇨🇭🇹🇿
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 жыл бұрын
iv ommy na diamond kwan mlipishana wap mpka mkavunja ukaribu wenu...mana nakumbuka mlikua wana sana ata kipindi kile unachukua ile tuzo ya kili music award mond alikuja pale stage kukusindikiza men sa cjui badae ikawaje tena mabifu na vitu kama ivo daaah
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Mondi alimwambia dimples kuwa ni msenge,na dimples alimwambia mondi mamako ni girlfriend wangu, mondi akakasirika
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
@@ShSh-my8cw mbavu zangu mm . Ila mungu kasha msameh omy nimecheka .
@chekoplus
@chekoplus 3 жыл бұрын
This is nice kwa kweli.
@asaviews2030
@asaviews2030 3 жыл бұрын
Entatainment, live, show ongezea haya kwenye TV hizo kwenye back ground
@vuaimuhidin5250
@vuaimuhidin5250 3 жыл бұрын
Hongera kwa uamuzi sa kijitu uzima
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
SAFI SANA MUNGU akubariki Omar 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@samorajustofurahafuraha8904
@samorajustofurahafuraha8904 3 жыл бұрын
Mmmh jamani me napita tu
@alainsypamuhindo1450
@alainsypamuhindo1450 3 жыл бұрын
Safi sana bro
@monifato8121
@monifato8121 3 жыл бұрын
Mashaallah vizur kaka
@abezadamuor7358
@abezadamuor7358 3 жыл бұрын
Ommy dimpoz nakubari sana ubarikiwe .👏👏👏👏
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 3 жыл бұрын
Umeutua mzigo safi 👍👍
@asmahamis4658
@asmahamis4658 3 жыл бұрын
Mashaallah
@zebedeemirambi3113
@zebedeemirambi3113 3 жыл бұрын
Ommy ubarikiwe man, msamaa nilazima saaana, kingine nilifurahi gisi uliongelea king kiba
@gastondofra4549
@gastondofra4549 3 жыл бұрын
Msamaha ni jambo nzur kabisa mbele za Mungu na mbele za wanadam
@matatasaid733
@matatasaid733 3 жыл бұрын
Huenda umesamehewa ila ulifanya kosa kuuubw sana kumtusi mama wa mtu mtandaon ata kama yy mwenyewe miyeyusho hongera kwa kufanya ibada ya kuomba na kusamehe
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Yaapa upo sahihi kaka umeelezeya uzuri saana mashallah maboork
@juraybeeb
@juraybeeb 3 жыл бұрын
Ommy 👍👍👍👍👍👍👍👍
@willyjulius3304
@willyjulius3304 3 жыл бұрын
Good
@chikundayaula9684
@chikundayaula9684 3 жыл бұрын
Huyu ndo Omary ninaemjua,,,,,umefnya jmbo Jema inshallah mama kasikia na D pia
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 3 жыл бұрын
Kuomba msamaha ni ngumu kwa mwanaume lakini kama umeomba msamaha unafaa kusamehewa
@fatimarita3432
@fatimarita3432 3 жыл бұрын
Be blessed ommy
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 3 жыл бұрын
Maish ya dunia inatakiw kuwa kama ivo....hata sis 2waombe msamaha 2lio wakosea 2siwe na vinjongo....
@ahlamnasser5703
@ahlamnasser5703 3 жыл бұрын
Well done, safi sana Om my
@paschalcharles2326
@paschalcharles2326 3 жыл бұрын
Huyu dada huwa anaongea sana mpaka anaharibu ladha ya refresh khaaa kwa kifup anakera sana
@saidiabdul1635
@saidiabdul1635 3 жыл бұрын
Nikwel kabsa 💯
@rsyooh
@rsyooh 3 жыл бұрын
Ommy 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
@wilonderby
@wilonderby 3 жыл бұрын
Wasafi for life
@shaibuliyoka1896
@shaibuliyoka1896 3 жыл бұрын
Safi kaka umeonyesha ukomavu sana
@athumanfundisalimu5798
@athumanfundisalimu5798 3 жыл бұрын
Umetish safiii
@youngweezy3846
@youngweezy3846 3 жыл бұрын
Naamini Ommy na Nasseb kuna siku watakua tu sawa kama zaman
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Nice
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Ommy
@abudyshehiza5993
@abudyshehiza5993 3 жыл бұрын
Hongeta mkuu
@michaelmatemu3490
@michaelmatemu3490 3 жыл бұрын
"Nitakwambia ukwel" Ni neno alilorudia zaidi Sanaa hi ni wazi Kuna funzo kubwa ndani yake
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 3 жыл бұрын
Blessed aisee
@omaryswalehe2863
@omaryswalehe2863 3 жыл бұрын
Kizazi Sana.ommy
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 3 жыл бұрын
Hongera san Ommy
@wastaranachuli2999
@wastaranachuli2999 3 жыл бұрын
Nakupenda
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Ommy 👏👏👏
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Mashallah umefanya Jambo zuri ila ungeanza kuomba msamaha kwanza ndio ungeenda umra ila siyo mbaya
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 жыл бұрын
Mt anakupenda alf unasema dadaet we usntanie muoe bhn kwanz wte mnamadmpo😂😂😂😂
@sidetheboymakerchief2412
@sidetheboymakerchief2412 3 жыл бұрын
Tatizo ommy mnafiki anapenda kuchukuwa vitu huku na huku ndo maana mond alimu cancel hope ata alikiba naye kagunduwa hiyo jamaa mnafiki
@Fgldesigns
@Fgldesigns 3 жыл бұрын
Kwamba mondi alikuhadithia Omy alichokifanya? Au unamfahamu sana Omary
@mariamibrahim3162
@mariamibrahim3162 3 жыл бұрын
Ommy ni mwanaume kabisa ongera kbsa
@awadhijumaa939
@awadhijumaa939 3 жыл бұрын
Saf ommy🤝
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 3 жыл бұрын
ommy umekua kaka, umetua mzigo mzito ulokutesa muda mrefu kaka
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
RAIS WA BURUNDI AMESEMA KAGAME TUMUONDOE HARAKA ANAIHARIBU CONGO ATAKUJA BURUNDI
12:39
Ommy Dimpoz - Performance at East Africa Got Talent Show Finale
5:30