ONA TUNDAMAN AIMBA NYIMBO ZA SIMBA MBELE YA UONGOZI WA YANGA (HERSI SAID)

  Рет қаралды 106,156

S500 TV

S500 TV

20 күн бұрын

Пікірлер: 132
@lydiajulius9348
@lydiajulius9348 13 күн бұрын
Walio angalia zaid ya marambili kama mimi like
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 17 күн бұрын
Ushirikiano mzuri sana,mpira sio uadui🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lazaroaloyce6649
@lazaroaloyce6649 15 күн бұрын
Uzuri wa tunda ni Simba damu so wa kuhama hama Big up kwake ❤ Simba nguvu moja
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 15 күн бұрын
akiwekewa mkataba wa kikazi na mipesa yuleee anaenda
@lazaroaloyce6649
@lazaroaloyce6649 15 күн бұрын
@@ashurahatibu5069 sidhani kwa tunda hata wanaompa kibunda hawatamuamini,yule mnyama kweli..
@user-cl1ut6oq1v
@user-cl1ut6oq1v 18 күн бұрын
Kweli Hawa niwatani wa jadi ambae haamini atashangaaaa2🎉🎉❤❤
@paulwalker4383
@paulwalker4383 17 күн бұрын
Nimependa vagi la tunda man
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 17 күн бұрын
Bibi harusi ni simba huyo 😂😂😂😂
@PillyKassembo
@PillyKassembo 16 күн бұрын
🔥🔥Tunda Man🔥🔥❤❤❤❤❤simba 💪💪1😘
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 9 күн бұрын
nimeipenda vibe la tunda mpira siyo uwadui bhna 🎉🎉❤❤❤
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 18 күн бұрын
Sio utani wa kutupigia shetani wetu makolo mkue mnajua nn maana ya utani wa jadi ndo uo asante vanillah na tundaman
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 17 күн бұрын
Yule alizidi...alikuwa anaapa mno 😂😂😂😂
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 17 күн бұрын
@@shangwefisima3993 Yanga hatunaga ushabiki wa kishamba kuongea mipasho na chuki za kichawi tumewaachia makolo kitambo😃😃😃😃😃
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 17 күн бұрын
@@mamboshepea8888 basi huyo shetani wenu ndo mshamba! Ndo maana kikamramba kitu.... alipata kinachomfaa!!! Wenzake huwa hawajimalizi vile na kuapa vile! Nahisi ni utopolo chipukizi yule
@user-gx4pk2zg1g
@user-gx4pk2zg1g 14 күн бұрын
Eee hata nyieee hamjui utani toka
@user-ew7zb3jx7t
@user-ew7zb3jx7t 16 күн бұрын
Simba ooooyooo Toka Oman
@errydeo8865
@errydeo8865 14 күн бұрын
we fala nini🤣🤣🤣kwani hiyo rugha gani?
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 13 күн бұрын
​@@errydeo8865tofautisha l na r acha kujifanya mjuaji😂😂😂😂
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 18 күн бұрын
2ndaman katish🤗
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 17 күн бұрын
Dah bibi harusi Simba dam sio wa kuunga kabsaaa Simba watu wa vibe hatar utazan sherehe Yao Simba
@ArafatyShabani
@ArafatyShabani 13 күн бұрын
Kaka nimekubali simba tubaki pamoja ❤❤❤❤❤ simba nguvu moja
@mohamedbabu533
@mohamedbabu533 15 күн бұрын
Bibi harusi saluteeeee
@ceankiiza9945
@ceankiiza9945 15 күн бұрын
Mm kama mwanachama na mshabikiki wa YANGA .HII nimeipendahaswa inaonesha kua mpila sio uadui sisi ni Familia ❤
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 16 күн бұрын
😊ND inavotakiwa safi sana
@user-wh5zz5dk2g
@user-wh5zz5dk2g 16 күн бұрын
Aliyeona bi harus kachangamka😂😂😂
@user-tn3qw9nt4y
@user-tn3qw9nt4y 14 күн бұрын
Kaka tunda nakupenda miaka yoteeeee❤❤❤❤❤❤ simba oyeeeeeee
@user-ng8tb1gn4h
@user-ng8tb1gn4h 16 күн бұрын
Mnyama tunda Nouma ❤
@errydeo8865
@errydeo8865 14 күн бұрын
this was sooo beautifull; kolo hawakuli yanga wanye this
@ramadhanidhahabu9509
@ramadhanidhahabu9509 17 күн бұрын
Na tunda ndio kaondoka na kijiji sasaaa
@user-yz2uw1vr4j
@user-yz2uw1vr4j 15 күн бұрын
umetisha tundra hao makolo2
@user-tq5op2rp1e
@user-tq5op2rp1e 18 күн бұрын
Aisee hingera sana
@omaryonga-hv3lk
@omaryonga-hv3lk 14 күн бұрын
Weeeee Tundamani weeeeee hatari sana kiukweli wanasimba tumefarijika...
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 17 күн бұрын
Huu ndio utani mzr ss🥳🥳
@errydeo8865
@errydeo8865 18 күн бұрын
THIS IS SOOOOOO SWEET; NJE YA UWANJA NI NGUGU
@allymtunge5530
@allymtunge5530 15 күн бұрын
Sherehe yao tunatamba sis
@user-zp8si1xm8g
@user-zp8si1xm8g 8 күн бұрын
Tunda baba huna bay❤
@UmmyHassani-fq4vb
@UmmyHassani-fq4vb 12 күн бұрын
Bi harusi simba dam vibe lake meliona lakini🤣🤣🤣😍😍🥰🥰🥰🥰
@aminasoud7797
@aminasoud7797 17 күн бұрын
Aaah wapi mmechelewa
@honesthenry901
@honesthenry901 16 күн бұрын
Nakubali
@hawamhanga2951
@hawamhanga2951 17 күн бұрын
😂😂😂😂woooyooo simba nguvu kweli🎉🎉🎉🎉🎉 bi harusi kapagawa
@stevemayala2739
@stevemayala2739 15 күн бұрын
Hii imependeza sana
@OddoShawa
@OddoShawa 17 күн бұрын
Simbaaaaaa weeeeee❤❤❤❤❤
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 16 күн бұрын
Keshahamia yanga kamfuata honey wake upo😂😂😂😂karibu home💚💛
@AshaShegao
@AshaShegao 5 күн бұрын
hawez kuhama simba jaman
@karimumohamedi5421
@karimumohamedi5421 11 күн бұрын
Simba ngumu moja
@fifo262
@fifo262 12 күн бұрын
Mpira si uadui nmependa nyimbo ya simba kuimbwa ndani ya yanga hadi biarusi kacheza da
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 17 күн бұрын
❤❤❤simba❤❤
@abouamazing3406
@abouamazing3406 14 күн бұрын
🔥🔥🔥unyama mwing tunda
@Amirimwashembe
@Amirimwashembe 15 күн бұрын
Oya hii co pw hdi harus kachangamka aisee hadi raha😂
@karimumohamedi5421
@karimumohamedi5421 11 күн бұрын
Hatar sana
@Namtumbo
@Namtumbo 17 күн бұрын
Simbaaaaaa❤❤❤❤❤
@josephlawrence1145
@josephlawrence1145 15 күн бұрын
Tunda hajawaita watu waje mbele, walikuja wenyewe kwa vibe 😂. Naona dogo Kamwe anahangaika kuwaita watu wasogee mbele
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 15 күн бұрын
Ila cmba mmetisha....ingawa uwanjani Anna maajabu kwa sass
@user-yz2uw1vr4j
@user-yz2uw1vr4j 15 күн бұрын
Simba kwanza❤❤❤❤
@user-tr8kz6wc1j
@user-tr8kz6wc1j 16 күн бұрын
Simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-qw7xs9vt5l
@user-qw7xs9vt5l 6 күн бұрын
Mwanaume kashangaa kabix mke wake alivochngamka
@user-qd8bk1pq7d
@user-qd8bk1pq7d 16 күн бұрын
Wew dogo mgeni kwenye utani
@OmaryFadhir-ie9ub
@OmaryFadhir-ie9ub 18 күн бұрын
Simba na yanga ndo darb iz zngine ni mtanange
@AfsaAbdul
@AfsaAbdul 17 күн бұрын
😂😂bi harusi the way alivyo changamka kisa simba 😂😂😂😂
@PaulKilongozi-qk2eg
@PaulKilongozi-qk2eg 17 күн бұрын
Kwani sindio raha Ali kamwe anaitaka my wetu sindio huyo
@emanuelmlenge5044
@emanuelmlenge5044 17 күн бұрын
Tundaman Katiadoa 😅😂
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 15 күн бұрын
Am yanga fun,,,ila simba mmetisha....
@swaumuiddi
@swaumuiddi 14 күн бұрын
Nimependa😂😂😂😂
@YoungBrazu-xl2uz
@YoungBrazu-xl2uz 15 күн бұрын
Simba damuuuuuuu
@user-lf5mo3tp9k
@user-lf5mo3tp9k 17 күн бұрын
Me yanga ila nimependa tu wanavotaniana
@user-lw8zv8jp3p
@user-lw8zv8jp3p 6 күн бұрын
Huu sasa n ubabe
@CatherineAmos-zw8dx
@CatherineAmos-zw8dx 15 күн бұрын
Simba na Bubi harusi Oyeeeeeeeeeeeee
@mwanatumukombo4497
@mwanatumukombo4497 14 күн бұрын
Bi harusi kanuna au ndio sura yk
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 15 күн бұрын
Simba nguvu mojaa😂😂
@Bmsecret
@Bmsecret 15 күн бұрын
HAMNA NDOA HAPO
@swabialli8542
@swabialli8542 9 күн бұрын
Harusi ya nani kwani
@MarianaDonarld
@MarianaDonarld 17 күн бұрын
Harudi ya nani?
@trice_yanga
@trice_yanga 17 күн бұрын
bi harusi kachangamka kwenye simba hapo😂😂😂
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 13 күн бұрын
Kumbe na wewe umeona eee maana alikua amepoa tunda kamchangamsha na vibe la simba
@Amirimwashembe
@Amirimwashembe 15 күн бұрын
Bi harus alikua kapoa mpka kachangamka kwa viba la mwamba
@user-qd8bk1pq7d
@user-qd8bk1pq7d 16 күн бұрын
Ally wew kila wakt upo kwenye ujinga tu , hizi timu sio maadui hizi timu ni watani wa jadi , ulizia Kwa baba ako
@EzekielMhapa-nf5sl
@EzekielMhapa-nf5sl 12 күн бұрын
Sasa Ally kafanyaje hapo😂😂😂
@emanhokilinda326
@emanhokilinda326 16 күн бұрын
Utani c uhasama kama alikua anaufanya manara👊👊👊
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 17 күн бұрын
Mbona bi harusi kanuna utafikili kalazimishwa
@Nuru9568
@Nuru9568 17 күн бұрын
Mwenzangu kakamaa uyo kama kamwagiwa Asidi😂😂
@LuciaSamwel-bo7cu
@LuciaSamwel-bo7cu 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂hajazoea hayo mambo anataka kaswida 😅
@stn4873
@stn4873 16 күн бұрын
Nimeshangaa, au ndio zile za huyu anataka akuoe alfu shwaaa
@naimamagwala1368
@naimamagwala1368 13 күн бұрын
Tumewaoa hata kwenye maisha halisi 😀😀😀 wanashukuru wamepata ndoa
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 15 күн бұрын
Pamoja na mpira ila mahusiano mengine yaendelee
@user-ok4jk7tk3d
@user-ok4jk7tk3d 13 күн бұрын
Ww tunda ww czani kama watakualika tena shughul xao ila umetisha kaka nimependa umewakela cmba ni yetu ss
@user-tn3qw9nt4y
@user-tn3qw9nt4y 14 күн бұрын
Bwa alusi utajua ww kusuka au kunyoa bibi alusi ndo wetuuuuuu
@bakarimahenge
@bakarimahenge 18 күн бұрын
hongera hiyondiyomaana yautani wajani
@errydeo8865
@errydeo8865 18 күн бұрын
KABISAAA;;TS FUN
@HamiduFuad
@HamiduFuad 18 күн бұрын
Very good mtani
@OS-pf6op
@OS-pf6op 17 күн бұрын
Huyo kiroba mmemtoa wapi?
@rosesilio9008
@rosesilio9008 15 күн бұрын
Mshxxxxx tunda man umeniboa
@ZAMZUNZAMIRU
@ZAMZUNZAMIRU 15 күн бұрын
Haaaaaataaaaaaari nunuusu
@SaidiSalum-ut8en
@SaidiSalum-ut8en 16 күн бұрын
Hapa utan ndan ya shereh za nyuma mwiko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Japhari-fu5oj
@Japhari-fu5oj 17 күн бұрын
kikund cha wahun 😂😂❤
@user-pt4ts3ho3g
@user-pt4ts3ho3g 17 күн бұрын
Huyu mwanamke amepoa sana
@user-kf8yl1lc4m
@user-kf8yl1lc4m 16 күн бұрын
Nimefurai hadi nalia😊
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 13 күн бұрын
😄 🤣 😂 😆 unalia nini sasa
@user-kf8yl1lc4m
@user-kf8yl1lc4m 13 күн бұрын
@@MacrinaLameck-yv2mu yn vile tunda ameimba vzr alafu hy furaha y watu wasimba bs mie kilio😁😁
@MacrinaLameck-yv2mu
@MacrinaLameck-yv2mu 13 күн бұрын
@@user-kf8yl1lc4m 😄 🤣 😂 duu mii icho kipande nimekirudia mara 5 vibe la simba limenifurahisha
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 17 күн бұрын
Leo Man united tunashind dhidi ya Arsenal. Viva viva Manchester
@celifpower4993
@celifpower4993 17 күн бұрын
Kiko wapi 😂😂 kiko wapi chaku ifunga arsenal
@user-pr7kk7zq1m
@user-pr7kk7zq1m 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂et wameshinda 5 lakin hawajiamini
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
😂😂😂nimefurahi sana WATANZANIA safi sanaa
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 17 күн бұрын
Hongera Sana Kwa Tunda Man Kumpa Bi.Harus Furaha
@salmoomorefeelingproductio1744
@salmoomorefeelingproductio1744 18 күн бұрын
Kweli hii ndo maana ya utani,hongera
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 16 күн бұрын
huyo tunda njaa inamsumbua toka lini kwa yanga, mnafiki km yeye na huyo mobeto wake matunguli hebu watoke hatuwahitaji wanafiki kwenye timu yetu
@user-zg9zq6so4r
@user-zg9zq6so4r 16 күн бұрын
Hio haruc hakuna Tim hapo Malaya wakiindi ww
@user-rk6sx2bw3e
@user-rk6sx2bw3e 15 күн бұрын
Watani bhana Acha hizo
@GabrielSkyMtanzania
@GabrielSkyMtanzania 14 күн бұрын
Hawa Tena wametoka.wapi😂😂😂 msafara wa mamba Hawa ndio kenge wenyewe ila nimependa Sana . Utani sio.uadui😅😅
@omariaman7818
@omariaman7818 13 күн бұрын
Yan simba ndo timu inawashabiki wanapenda timu yao nakwambia
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t 18 күн бұрын
❤❤❤❤🦁
@MollyAlphonce-gq6zs
@MollyAlphonce-gq6zs 18 күн бұрын
Hata hela hawatoi hawa makolo😅😅
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 17 күн бұрын
Mbona wametoa
@ZuhuraMwalimuShabani
@ZuhuraMwalimuShabani 17 күн бұрын
Lakini ndio wenye furaha na wamechangansha ukumbi😊😊😅😅😅
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 14 күн бұрын
Kweli hii nchi ukizaliwa ama wewe Yanga au simba
@RamadhaniWililo-zw1sx
@RamadhaniWililo-zw1sx 17 күн бұрын
Ila mwana mke mhu mbona yupo siliaz sana au amelazimishwa
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 15 күн бұрын
Amelazimishwa yanga
@MwanaidiAlly-jr8uq
@MwanaidiAlly-jr8uq 16 күн бұрын
Huyu tunda walimuita wanini hapo mbele kaja kuhalibu hali ya hewa tu😂😂😂
@ramamohamed492
@ramamohamed492 14 күн бұрын
Kima. Nyamaza uyu mtani wetu hatuna budi kumchukia mpira sio uadui
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 14 күн бұрын
Mobeto SIMBA na tunda man simba wote ni wanyama. SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️
@aivenhanny9101
@aivenhanny9101 17 күн бұрын
Kenge hawakosi kwenye msafara wa mamaba
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 18 күн бұрын
Utani kwenye sherehe za ndoa huyu mikhadaraty apunguze
@user-by6ld5wj6h
@user-by6ld5wj6h 18 күн бұрын
Ndo jadi yetu utan sio kweny harus 2, hata misibani utani wa simba na yangu upo
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 18 күн бұрын
Mnavutaga wote
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 18 күн бұрын
Halafu mke wa alwatan mbona ni kama Simba?
@errydeo8865
@errydeo8865 18 күн бұрын
@@israelkisaila8401 SHE IS
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad 18 күн бұрын
@@israelkisaila8401 ndyo Simba spots
@stoniceagxy
@stoniceagxy 13 күн бұрын
NIngekuwa karibu ningempiga bomu
@user-he3me7co9y
@user-he3me7co9y 15 күн бұрын
Bi harusi kachangamka baada ya kuona cmba wenzake😂😂😂
@rosesilio9008
@rosesilio9008 15 күн бұрын
Mshxxxxx tunda man umeniboa
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 15 күн бұрын
Kwan n vita
it takes two to tango 💃🏻🕺🏻
00:18
Zach King
Рет қаралды 27 МЛН
Тяжелые будни жены
00:46
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
ELE QUEBROU A TAÇA DE FUTEBOL
00:45
Matheus Kriwat
Рет қаралды 14 МЛН
GB64 AMKATAA MATOLA|ANATUFELISHA KWANINI HAJAFUKUZWA MPAKA LEO
17:15
ROASTING LEONARDO, NALIMI(YANGA) VS NDARO,SAID (SIMBA)
19:13
Cheka tu
Рет қаралды 718 М.
1000 iq guy 😱 @fash
0:11
Tie
Рет қаралды 19 МЛН
狼来了的故事你们听过吗?#天使 #小丑 #超人不会飞
0:42
超人不会飞
Рет қаралды 44 МЛН
Когда вышел гулять с детьми и она пишет «как там дети?» @super.brodyagi
0:17
Супер Бродяги - Семейство бродяг
Рет қаралды 3,5 МЛН
СҰЛТАН СҮЛЕЙМАНДАР | bayGUYS
24:46
bayGUYS
Рет қаралды 691 М.