Mbarikiwe sana watoto wa Mungu kwa huduma hii ya uimbaji
@SofiaOngaobe-mn8yy5 ай бұрын
Mbarikiwe kabisa watumishi wabwana
@amanichalale5529 Жыл бұрын
Glory mungu awabariki sana, mtiini mungu mtafika mbali sana, solo wenu yuko vizuri sana, mkitaka ushauri ni mhimu sana, ili muimalike kihuduma lakini pia kiroho. Nimewaelewa vizuri sana. Mungu awabariki sanaaa.
@kibukilasongolo23586 ай бұрын
Vizuri sana band yetu tuko pamoja.
@stevenrichard42322 жыл бұрын
Amen bwana
@directorrobieonefilmz2 жыл бұрын
Asante Sana mtu wa Mungu...Endelea kusapoti kazi zetu....na kusambaza na kwa watu wengine ...ubarikiwe Sana mtu wa Mungu