Jioni moja tulivu Noah alikuwa akipata vinywaji na Bwana Ferdinand ambaye ni moja ya watu waliokuwa wanapenda mchezo wa boxing kwa muda mrefu, wakiwa wanaendelea kupata vinywaji mazungumzo pia yaliendelea.
Пікірлер: 131
@ankojay_9 күн бұрын
PART 01 HII HAPA ISIKILIZE kzbin.info/www/bejne/l5_bfpWop5d2fa8si=Jg6B9p97DlIQTLg6
@AminaHussein-vy4gx8 күн бұрын
Anko mapesa tuletee emmy❤❤❤❤
@NsimireMurumbi3 күн бұрын
Ankojey uko wapi jamani mbona mimiesipate simulizi hizi siku sijuwe kama sim yangu mbovo je, One Mistakes sehemu ya 3 Bado hata sehemu ya 6 ya Mr Love bado
@RoseMbuya-cn5dg9 күн бұрын
Asante Sanaa ankojay kwa simulizi mzuri wadau mpoo na anko jay naomba Leo like zenu
@zenaathumani81449 күн бұрын
Tupo mdau ❤❤❤🎉🎉😂😂
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
🎉🎉🌹💯
@Lucy-vp8pm8 күн бұрын
Tupo ❤❤🎉
@TeklaNdekeja8 күн бұрын
@@Lucy-vp8pm hak hapa masingo nikama ote hamjalala🤣🤣
@ZaiZainabu-o4p9 күн бұрын
Asante ancojey kwasimulizi yenye mafonzo namuongozo katika maisha🧚♀️🙏
@MwajumaToh8 күн бұрын
Asante sana anko tuko pamoja kazi mzuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sulemanbama93338 күн бұрын
❤
@Khijratkhijrat-eq1px9 күн бұрын
Wa kumi jmn ❤❤❤❤❤
@TeklaNdekeja8 күн бұрын
Mama victa jaman mbona hupemdi furaha yamwanao unacheza karata gani hy toka mwanzo hupendi aowe, unampa moyo knafki. inauma kua mzazi km wewe, jacline wampa maumivu jaman Mungu msaidie Victa apone🙏🙏
@RitaannyManegabe9 күн бұрын
Wow ❤❤❤❤❤❤❤
@HappyBeltod9 күн бұрын
31 hapo nipo like zije nyingi naomba. Anko tunakupenda❤
@zenaathumani81449 күн бұрын
Asante sana ankojy kwa kutuletea simulizi hii tamu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️🎉 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily wa ankojy
@zenaathumani81449 күн бұрын
Patamu hapo ❤❤❤😂😂
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
🔥🔥👏
@zenaathumani81449 күн бұрын
@@TeklaNdekeja ❤️❤️🎉
@zenaathumani81449 күн бұрын
Kusema ukweli tu jamani ugojwa wa kansa kwa sasa imetapaka Duniani kote inatesa sana watu daaah 😶😶😶😶
@zenaathumani81449 күн бұрын
Aivan penye nia pana jia mungu atakusaidia tu 🙏🙏🙏
@Ntihebuwayotaty-t1s9 күн бұрын
Kwamara ya kwanza nakuwa watano bora namboni like hata2 wapenzi from burundi
@RizikiNyaboke9 күн бұрын
Tunaingoja
@puritykananu99209 күн бұрын
Kwa kingereza tupo sawa ankoy 🇰🇪
@sabrinakassimu9 күн бұрын
jamni Mimi Nina vi poro vingi😢
@aumuelly29099 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤❤😂😂😂
@Shadia5449 күн бұрын
Kumbee teyari haya tunasikiliza hili tujuwe hiyo ONE MISTAKE ILI TUJUANE MWISHO WA JACKILENE❤
@MagegeSwaumu9 күн бұрын
Anko unatuchanganya😂😂😂😂kubadiriaha marina jaman
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
😂😂❤
@LyidiaSilayo9 күн бұрын
Asante anko Kwa kutuelewesha❤❤❤
@aminaosman3739 күн бұрын
❤️❤️❣️
@CeciliaChuwa-q2k8 күн бұрын
Nimuone Jacline na mkasa wake❤
@LuwonekoLupaya9 күн бұрын
Asante sana anko tunakupenda sana
@Salma-id4yl8 күн бұрын
Woowwwww🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@samsungoman56268 күн бұрын
Pole vinta utakuwa sawa
@JoyceJulius-r6g5 күн бұрын
Hii simulizi mwanzo Hadi mwisho wa part two sijaelewa Yani hata kimoja jaman sasa sijui ni Mimi tu sijaelewa simulizi hii
@HarunaNzabara9 күн бұрын
Mbona siku sikiyi kwenye IFM
@MarimGodifrey8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@IreneFuraha-y6z9 күн бұрын
Asante sana kka anko
@ElizaBett-qc3zz8 күн бұрын
❤❤❤❤
@gracekahelo9 күн бұрын
Jaman
@nyamvulafatuma53838 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@ElizaSada8 күн бұрын
Amen amen 🎉🎉🎉🎉
@NadzuwaGofwa7 күн бұрын
Waooo 🌹 🥀 🌹 🥀
@GogoO-mb5fq8 күн бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🤜🤛
@HawaMalk9 күн бұрын
🥰🥰
@SurprisedCakeSlice-go1ii7 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@DorcasIminza-rq3mk9 күн бұрын
💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@OmarNzohabonayo9 күн бұрын
Kutoka Burundi sijacerewa sana 🇧🇮
@priscillahsirya65448 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@HarunaNzabara9 күн бұрын
Mbona siku sikiyi kwenye IFM
@medinahsamita39819 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@RahmaNiyonkuru9 күн бұрын
Wow leo nime kuwa wa kwanza asant sana kwa simulizi nzuri 🥰🥰na mimi leo nataka Like zetu 🎉Nawapenda sana
@Tracepeter07239 күн бұрын
Leo htr aisee anko unatuweza
@sephrinewarenga27459 күн бұрын
Leo nmewahi Sana,kazi nzuri kaka,🎉🎉🎉.
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r9 күн бұрын
mr Love please 😢
@Zeina-y9i9 күн бұрын
Tangu nianze kusikiza anko jay sijawai pata36 nashukuru sana anko God bless you 😂😂🎉🎉🎉❤
@Lucy-vp8pm8 күн бұрын
Leo nmechelewa😢😢ila nmefika hongera akoj hatuboeki kwa kweli hata stress za mwarabu hatuzioni ❤❤❤❤kwako kipenzi chetu wale wanakubaliana na mm stress kwa mwarabu hakuna juu ya simulizi za akoj wp like zenu
@RakaPk9 күн бұрын
Wooh Asante Sana Anko wetu kwa kutupa kitu roho inapenda ila jina lilinichanganya nikajuwa simulizi mpya kumbe 😱 aya twende nayo sasa barikiwa sana anko ❤❤🎉🎉
@prettyjenny-b2j9 күн бұрын
Mbona Leo maajabu Mimi ndo wa kuwa wa nne
@DorcasMuomba-gd3sw9 күн бұрын
Kwakweli Leo umetufurahisha tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo ❤❤❤leo ni full furaha
@rebeccazagabe9 күн бұрын
leo ni mwendo waku enjoy tu
@dsoka42928 күн бұрын
❤❤❤ Thanks Anko kwa simulizi tamu sana 🎉🎉🎉 daah hakika unajua sana pia nikikosa kusikiliza simulizi zako naumwa kabisa❤❤❤
@Kellyperry9478 күн бұрын
Haya maisha bana
@DamariJohn8 күн бұрын
Jamani Jackline pole yako
@OmanOmz-qg5lj9 күн бұрын
Kwakila anae sikiliza simulizi za ankojay MUNGU awape maisha marefu wazazi wetu na kwa ale WASIO na wazazi MUNGU azidi kuwapa kauli sabili uku wapo MUNGU walinda wazazi wetu
@mussamasesa21189 күн бұрын
Mbona part 2 part one tayari ee
@zenaathumani81449 күн бұрын
Ndio part 1 ilitoka juzi tarehe 17 mpendwa wangu ❤❤❤😂😂
@Tracepeter07239 күн бұрын
Kwan hii ndo kosa lng anko mbn sielewi
@ankojay_9 күн бұрын
Ndio
@Evelynmoreen36558 күн бұрын
Anko katuamilia kutuchanganya na kizungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DianeKaneza-u7o9 күн бұрын
Asante sana anko,tuhakikishe tunafikisha comments 1000 kwa mwamba wetu❤
@OmarSaab-m6g8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
❤❤ Nimewahi Tumupe ankojy likes nyingi basi ote tunao ipenda kazi yake, Ankojy asante, kwa mistake simulizi tam Sana. imetulia mafundisho mazuli🙏❤🪑🎧🏃
@HafidhMudy8 күн бұрын
Mmmmmmh hiiiii noma na nusu
@ZenabZ-e4w9 күн бұрын
Yanis wewe baba wangine hatukisom 😢
@هايلينل8 күн бұрын
Nitakupeleka shule y kumbaro 😅😅 na utajua kuna kosa mmoja humu ndani
@Evelynmoreen36558 күн бұрын
Ila kusema ukweli sijaelewa hii simulizi hadi sasa maana kama ni one mistake japo kuwa mwanzo ilikuwa inaitwa Kosa Langu,je inahusu Ivan au victor atamuacha Jacqueline akisha pona au Esther atapatwa na jambo huko alipo erekea hatari na nusu.
@HafidhMudy8 күн бұрын
Mmmmmh mi sikomment chochote kwakuwa tayar kuna mistak ngoja nisikilize nitakomment badae anko eeh pamoja go
@مريمكينيا-ش8ح8 күн бұрын
Asante anko j mungu abarik kz yako
@binthassan91919 күн бұрын
Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri, nimelala sana kumbe 😂😂😂😂
@BawiliGRACE8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@mumbikibathi70368 күн бұрын
Haya Niko locked, Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes
@Alya-np7gm8 күн бұрын
Ankojey asee hongeraaa saaana saaana unaweza baba
@ankojay_8 күн бұрын
Ahsante sana 🙏
@FatumaJumanne-p4d17 сағат бұрын
❤❤❤
@IreneDamas-wj3io9 күн бұрын
Mimi sijawahi kuwa hata 80 ila Leo mm wa 16 ashukuliwe anko jay let me listening
@FaithPeter-j4w9 күн бұрын
❤❤❤❤
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
Nakuona ulishafka upo st zambele rafik yangu 🌹🌹🌹
@FaithPeter-j4w9 күн бұрын
@@TeklaNdekeja wah kazi ifanya nichugulie kila saa
@FaithPeter-j4w9 күн бұрын
@@TeklaNdekeja 🌹🌹🌹
@TeklaNdekeja9 күн бұрын
@@FaithPeter-j4w kweli ankojy🔥💯🙏
@StellaMalando5 күн бұрын
❤❤❤
@fatumahaji-ei5hk9 күн бұрын
Wakwanza mimi nimestuka nikajua leo umekoswa ngoja ninyamaze usiitoe bule
@victoriaedfonss7278 күн бұрын
😂😂 acha nijicheke t maana nilisha pagawa
@maryhassan21477 күн бұрын
❤❤❤❤
@susansamira81378 күн бұрын
Shukran kaka Ankojay ❤❤❤
@mleciWakati8 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@rizikibakari35988 күн бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@nurafedrick3787 күн бұрын
Estr kama namuona vile anavyojiachia kula bata kwamrijaaa nawala hajiulixi kwann huyu don sazote anapokea simu injee mara wazaxi wanaishi injee ya inchii 😂😂kumbe uongootuuuu huyu jamaa naona ni mwixi
@HarunaNzabara9 күн бұрын
mbana sikusikiyi kwenye IFM ume hama
@sulemanbama93338 күн бұрын
❤
@judikadzo87129 күн бұрын
Thanks ankojay mapesa 🥰🥰
@hdhjdh7758 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@elizabethkatoko88679 күн бұрын
wow niliingoja sana hata kama nmechelewa Borake nmefka uku kwa jay thanks
@usterbae9 күн бұрын
Wanne good job ankojay may God bless you🙏😘
@fatmamzee63039 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@OlivaMlewa8 күн бұрын
Unaistoa Lina ankojay hiyo ep ya tatu jaman usiache tusahau