Рет қаралды 1,400,765
Operesheni ya polisi ya kusaka bunduki zilizoibwa hivi majuzi huko Mumias imewaacha wakaazi wa Shibale na majeraha na jinamizi. tupate ugaidi ulioshuhudiwa katika operesheni hiyo ya saa sabini na mbili.
Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter and like our page on Facebook: NTV Kenya.