Rais Samia Alivyomtangaza Wasira kuwa Mshindi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM leo Dodoma

  Рет қаралды 11,682

Ophoro Tube

Ophoro Tube

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@ShakilaOma
@ShakilaOma 2 сағат бұрын
Hongera sana babu wasira mungu akutangulie ❤
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 3 сағат бұрын
Nashauri mgechagia mwaslamu ccmhoi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Сағат бұрын
Bola hata mie tu hakiyamungu wangenipa,mama nipe nafasi yoyote ile ili mladi nifanye kazi nawewe jamani,nimekuomba mala nyingi mama hebu nihurumie hata ukatibu wa uwt au wazazi,au vijana au chama tu nipo tayari
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 17 минут бұрын
Ahaaa Mamaafrica tulia
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 сағат бұрын
Sasa huyu Wassira amemshinda nani ?!? Huku ni kuteua na kupitisha. Uchaguzi ni kuchagua kati ya wagombea..!!
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 сағат бұрын
Hilo zee lipo km fisi
@Zahra1-wf4kj
@Zahra1-wf4kj 2 сағат бұрын
🤔🤔
@MOREDI2024
@MOREDI2024 4 сағат бұрын
Nimeipenda hiyo north korea
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Сағат бұрын
Mh! Jamani Jamani muwe na huruma na makundi mengine , Huyu Mzee alikuwepo toka awamu ya kwanza akiwa Waziri hadi awamu hii ya sita , Makongoro kasema toka Nyerere Wasira yupo mpaka leo kwa awamu ya Samia yupo tu. Mimi nafikiri km sio uzee na kifo vijana wa Tanzania watabaki na safari ndeefu.
@ibrahimmbilinyi-sp4gi
@ibrahimmbilinyi-sp4gi Сағат бұрын
Nchi yetu spika wa bunge letu anatoka chama tawala😂
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 2 сағат бұрын
Chama chetu wapeni na vijana nafasi jamani
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi Сағат бұрын
@@Aida-qh3jq vijana malimbukeni hawawezi kazi
@MwantumRashidi
@MwantumRashidi 5 сағат бұрын
Jaman huku ni mie tuu ndo sielew?au hamnaga vijana?mbona wazee sanaaaa.sikatai mzee ni tunu ila wangewapisha kidogo vijana bwana wachape kaz aisee
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x Сағат бұрын
Sasa Babu kimbiza kimbiza hawezi. Wapewe vijana nafasi. Angepewa Lengai ole sabaya.
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 4 сағат бұрын
Kwanini linapitia mgongoni
@EudiaMpanda-c1l
@EudiaMpanda-c1l 5 сағат бұрын
Angepewa cheo hiki angalau umri wa kati Wasira amezeeka jamani yuko kundi la wastaafu kama kinana. Anaondoka mzee anakuja mzee zaidi Jamani tunakwama wapi?
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 сағат бұрын
Kumbe wanapeana ...
@oMo_12344
@oMo_12344 7 сағат бұрын
Tunamtaka Bashilu
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 6 сағат бұрын
Mfuate
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x Сағат бұрын
Hivi Hawa wazee waliochoka kiumri ndio wanapewa nafasi za juu za chama Ina maana hakuna vijana wanaoweza kuchukua nafasi hiyo? Hawa wazee wanatakia wang'atuke kwasababu walishastaafu kisheria Sasa iweje warudi kimtindo? CCM inataka vijana wenye msimamo na uwezo mkubwa mfano Lengai ole sabaya hii nafasi inamfaa Sana kwasababu ana uwezo.
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 40 минут бұрын
Tatizo vijana hamgombei mnaongelea pembeni acha wazee wafanye yao
@KennedyMtalemwa
@KennedyMtalemwa 4 сағат бұрын
Nampongeza
@swamybuda-bg7vq
@swamybuda-bg7vq 7 сағат бұрын
Yupo
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
JANUARY MAKAMBA ATEMA CHECHE KUHUSU KUGOMBEA URAIS
3:36
DAY 2 NEWS
Рет қаралды 16 М.
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13