sema ndugu yangu mkojani cha msingi tafuta watendaji wazuli na wasimamizi wazuli wa kazi zako utafika mbali sana kitu kingine usitoe mala kwa mala movie jitaidi kuchukua mda kidogo kama wenzetu ulaya ili kazi inapotoka inakua kazi nzuli na imetulia sema big up tumepata mlisi wa king majuto mungu azidi kukupa uwezo wa kuigiza na afya njema
@zaby-n-mamashasha66714 жыл бұрын
Wakwe wengin ni shida mama eeeeeeeh mkojani mkali kama pilipili😂😂😂😂😂
@hawahawa69154 жыл бұрын
Yani mkorofi balaa 😂😂😂😂
@assiakwinnj49104 жыл бұрын
Da mmewapoteza bongomuv hongeren👏👏
@is-hakayussuf99814 жыл бұрын
Aloo nyie wakali kwel mungu awape umri mrefu ili muzidi kutuburudisha mafance wenu
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Thanx for your support
@is-hakayussuf99814 жыл бұрын
Thanks
@Shayy974 жыл бұрын
Mke Mkeo Mbuzi wa bwana kheri, Kaiba katika shamba la Bwana kheri, Kila kitu ni kheri🤣🤣🤣🤣
@Shayy974 жыл бұрын
Koo hizi mbili ukaziita wizi ,thief, Chori hahahahahaaaaaaah 🤣🤣🤣
@Shayy974 жыл бұрын
Nimesimama upande wa umamani, Ladies First.
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hawahawa69154 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 balaaa sasa koa mbili zimekutana duh
@saumrashid80863 жыл бұрын
kabisa kheri 😂😂😂
@hassanichijumba72224 жыл бұрын
Hii movie mzuri sana.. Big up kwa washiriki woote wa movie hii.. Mungu awabariki sana.. Inshaallah
@yotammwalim33624 жыл бұрын
Wakwe bw
@justinerespicius7554 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Mkojan kaulzwa unanyumba alvo nywea Kama sio yeye,🤣🤣🤣 alafu anajitetea eti nayeye angekua anakunywa pombe mke wake angeficha akamjengea nyumba
Hahahahahahahah mkojan na Tin akili zenu mnazijua wenyewe
@moshiomarymnyeda89074 жыл бұрын
Hahahahaaaaa kooo zote mbili ni chori 😂😂😂😂tin white mkojani hatari sana aisee
@salimalqartubi30384 жыл бұрын
Kumbee ng'ombe hunijuwiii hahahahaha mkojani
@sharifuhamisi19694 жыл бұрын
Mmh maajabulaa !eti uliingilia na afu 50 jera halikuwa walimsaula ko ulikoficha leo ndo ulikokaficha iyo siku
@Xavierdecristo4 жыл бұрын
Mkojani yani wewe akilizako unajuwa mwenyewe
@ibrahimabdallah79544 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@TALLUBOY4 жыл бұрын
Munajua sana sana
@ibrahimbyaese91484 жыл бұрын
Kalisanaaaaaaaaa
@asayubeejr11994 жыл бұрын
Mkojani toa kofia ya kisharobaroo huoni tini alivo tokelezea ki uhalisiaa naomba mlifanyie kazi hilo
@ummyjuniour82604 жыл бұрын
@lionel nibitanga mbona kuna wazee wanavaa hizo kofia
@ummyjuniour82604 жыл бұрын
@lionel nibitanga kweli nimeona katoa
@allymor96114 жыл бұрын
Msiwe mnatuchereweshea jmn tin mkojan nagwaa kilangaso barut nomaaa
@leonardally21114 жыл бұрын
Mwaka huu litakufa jitu , mahana sio kwa speed iyo big up pongezi kwenu. Mnafanya vizuri sana
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Thanx for your compliment
@judiehance17364 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijamaliza ata kuangalia nishaanza kuvunjika mbavu,,wallah mkojan mkorofi
@nassorosuleiman62544 жыл бұрын
Kinonke tisha mbaya
@nurdiinmohammedy70864 жыл бұрын
Nakubali kazizenu
@damasmvakule96764 жыл бұрын
White nakubar jalibu kupiga korabo na brother k@
@sharifuhamisi19694 жыл бұрын
Eti umenikuta sijacharuka kati hapo kacharuka ngumi 21 duuh 😅😅😅
@ramadhanihatibu17144 жыл бұрын
Mkojan dah ww ni fire
@maryamoman13704 жыл бұрын
Mkojan na Tin white naomba kuuliza namnijibu pls ile move ya kubwa kuliko ilishatoka au bado nasubiri jibu
@rayanassor18574 жыл бұрын
Hamjawah kuniangusaha
@AhmedSalah-ri3es4 жыл бұрын
Hhahhahaha ww unanyumbaa tuli mute umetuliaa nyie bwana balaaa
@iddbest78624 жыл бұрын
Kama na ww ulikua unaisubilia kwa hamu wakwe gonga like yako
@youngdizo64014 жыл бұрын
K
@selempenju60194 жыл бұрын
Tupo p1 hahhhh
@naythardarling11154 жыл бұрын
Yaan nilikuwa naisubilia kwa hamu zote hapa naangalia ila nacheka balaa yaan tin na mkojan nyie watu hatar kwakweli 🤣🤣😂😂😂😂
@musasimba72134 жыл бұрын
Mbona kubwa kuliko hamuiachii tunaisubilia kwa hamu sana
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Juma pili ijayo
@allywilson41554 жыл бұрын
Yani hawa jamaa mnatutoa stress huku ugenini tulipo kwa classic and exclusive sensitive comedy can't call bongo movie coz akuna bongo movie anymore just drama's and so on....
@wj14214 жыл бұрын
kabisaa yaan ugenini jau asanten sana tunajikuta tupo home
@abdallahsalehe44224 жыл бұрын
Mkojani alikuwa alewi ndio mama Ana nyumba 😂😂😂😂😂
@kamaikangaiyoni19674 жыл бұрын
Nimekuona mkojani na kofia ya nagwa
@victorsimundwe25184 жыл бұрын
Mkojani😂😂😂😂
@ramaccr75254 жыл бұрын
Nawakubali sana
@jacobmohammed8684 жыл бұрын
Weraaa auuu part mbili(2)
@fatmahamisikipindura66403 жыл бұрын
Mkojani umeoa kweli maana nakupenda Sana km ujaowa njoo unioe nakupenda mnoo
Kelele ya kwanza kwa wakwee zakeee haaaa mnanifuraisha kweli penda sana nyiee watu
@othumanempire8724 жыл бұрын
Kwahyo mmeona mtuwekee wakwe kabla ya kubwa kuliko Sawa acha tuangalie japo kinyonge
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Juma pili ijayo kubwa kuliko
@salymking18924 жыл бұрын
Wangapi wamemiss #kubwakuliko
@sheykhahasnuu22393 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣mkojan unanifurahshaa unavopanic😂😂😂😂
@rachaeldhahabu50964 жыл бұрын
Kipupwe ati laxima nimpige hata kama babake Jay zyyy acha huyu muvivu🤣🤣🤣🤣
@maherzain6153 жыл бұрын
Hata kama mume wake sio babake.
@nassormohammed2464 жыл бұрын
Weeeweeeee twende sawa
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Unaielewa eheeeeeee hii
@Derevamkongwe68644 жыл бұрын
Mkojani achana na hiyo kofia inakutoa kwenye uhalisia
@asayubeejr11994 жыл бұрын
Kweli bro
@asayubeejr11994 жыл бұрын
Umesema kweli
@piusaugustino92704 жыл бұрын
Kbla sijamaliza kuangalia nagwa yupo
@hawahawa69154 жыл бұрын
😂😂😂
@sophiasaid94733 жыл бұрын
Kbisa yn
@salymking18924 жыл бұрын
Anaolewa leo leo hyu
@jakisonkibebesa3194 жыл бұрын
Jami tuekeeni kubwa kuliko jamani mbona mnatutesa😥😥😥
@mrbcomedy60524 жыл бұрын
Saf sana
@harunamkakaro1134 жыл бұрын
Ebanawe hii ngoma nikali hamjawai kosea wajomba.
@rahmasalumu44954 жыл бұрын
Nomaaa kweli
@ibrahimabdallah79544 жыл бұрын
Wakwe kama Wakwe😂😂😂😂😂😂
@hkfreeboy95334 жыл бұрын
Good one🙏
@allyhamic95553 жыл бұрын
iyo ndo mbayaaaa iyooooo
@aminafesali58174 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂yaani tin wewe
@ukhtyhumairah734 жыл бұрын
Hhhhh mpo vizur
@s.garcia31023 жыл бұрын
Huu mchezo mkali sana
@celestesanitoussene8234 жыл бұрын
Mkojani una nhumba 😂😂😂😂😂
@tanzaniamycountry93084 жыл бұрын
Ng'ombe nyieeeeeeee😁😁😁😁😁😁
@yusram51454 жыл бұрын
Wekaga muvi mara kwa mara ndo watu wako wanakua active unaona sasa kidogo pamepoa kwasabu washazoea kua hujaeka sikunyingi so hawaingii sana
@khajjmganga18314 жыл бұрын
Nikwel kabisa mb ni zetu lakini anakuwa slow inaboa sana hawako serious
@yusram51454 жыл бұрын
Na kumekua slow coz watu wamepotezea ilikua imechangamka akieka tu malikes na makoment lakin saivi angalia chanel iko slow watu wamepotezea wanajua hakuna kitu
@emmanueljoseph25764 жыл бұрын
Uko sawa kabisa wanakaa Sana mpaka tunasahau
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Tutalifanyia kazi ombi lako..thanx for ur support
@asayubeejr11994 жыл бұрын
@@khajjmganga1831 hhhhhhhhhhh
@Chida4 жыл бұрын
Well done wadau
@nasriahmad57154 жыл бұрын
Mko vizuri ila kubwa kuliko tunatka
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Juma pili ijayo
@phonesphone4014 жыл бұрын
Sauda ana akiri kama ya mkojani kununua kiwanja
@shiggidysamwel14833 жыл бұрын
Mkojani
@alhajjimuftyburma99124 жыл бұрын
Mashaallah
@agnessestoni56314 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nawapenda sana, tena sana💋💋
@wanawalawi37114 жыл бұрын
Nawakubalii sana
@joycerobart14634 жыл бұрын
Nawapenden san
@kelvinmchau88154 жыл бұрын
MKOJANI NOMA
@suleimanali90514 жыл бұрын
Km ww ni km mm unawachukiaga wale wazee wa dislike bc dondoxha like yako 2juane
@maikotrinity49394 жыл бұрын
Wanawake wanyenyekevu Kama huyu dada wapo kwel
@magrethnyululu65433 жыл бұрын
Mkojani nakupenda bureee
@hasheemdogo96824 жыл бұрын
😀😀😀
@kibasamohamedi80294 жыл бұрын
Duh mnanipaga rahaaaa
@makanyasaid15554 жыл бұрын
Nice
@jejetv97444 жыл бұрын
Uwa nawafatiliaaa sn kutokaaa🇺🇸🇺🇸🙏🙏
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Thanx for your support
@jejetv97444 жыл бұрын
Tunasubiri part2
@abdissalamisuley96434 жыл бұрын
nice
@halimamajaliwa54044 жыл бұрын
Mwendelezo jamani penda Sana nyiee
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Tayari
@dalrinmbonde28094 жыл бұрын
Ujasiri umeutoa wapi? Martin jaman mi hoi wakikutna na mkojani raha tupu
@asayubeejr11994 жыл бұрын
Mkojani hatuiitakii kofiaa hiyooooo
@nasraabdallah8504 жыл бұрын
Hi sio family yakuowa hii🤣🤣🤣🤣
@yohanapetro49374 жыл бұрын
Wewe Oso Online tv mbn mnasema ijumapili mtaweka kubwa kuliko lkn ijumapili zinapita nyingi2 Acheni kutudanganya
@OSOONLINETV4 жыл бұрын
Sorry tulitoa taarifa km haitatoka j2 hii lkn jumapili ijayo kaa mkao wa kula..sorry for that
@gres11824 жыл бұрын
Mkojani una nyumba 😂😂😂😂😂
@samiaarimkonekonko50963 жыл бұрын
Sauda umenifuraisha🙏🙏🙏😭😘😘
@hawahawa69154 жыл бұрын
hawa wakwe duh balaa 😂😂😂 wamekutana
@kabandilwafariala60934 жыл бұрын
Ladies first🤣🤣🤣🤣
@arafanakijwa57363 жыл бұрын
Mkojani kofia binafsi yng nimeichoka hebu jaribu kutubadilishia ladha
@sitiabubakar28924 жыл бұрын
DUH! Unajua kupokea pesa loh🤣🤣
@user-zx1rj4tt3i Жыл бұрын
Nilikua najiuliza master anko jan yuko wapi😅😅😅😅😅😅😅