Mrith wake kajitahid nimtoto mdogo tuu Allah Kampa maajabu maana sauti ya shekh kishkiileile mungu ajaalie mafanikio zaid yule kijana kahifadhi mengi Mashaallah .
@lolooman91704 жыл бұрын
Shekh othman maali Shekh yussuff Abdi kama kweli Shekh Nurdin kishki kapitia makosa kwenye mihadhara yake basi mfateni uyo shekh wa kenya waombane misamaha .
@lolooman91704 жыл бұрын
Maana yale mawaidha kila mtu yalimliza mmoja mimi na mahazi pia yanahudhunisha.
@ahmehomar79154 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir shekh wetu kwa ukumbusho
@lolooman91704 жыл бұрын
Yeye kamsomesha shekh kishk nayeye atoke mwengine amsomeshe yeye penyekosa kwake tujue maana kila mtu na mwalimu wake na tafsir yake
@lolooman91704 жыл бұрын
Kwani nichuki sasa baina ya waisllam wakenya na wa Tanzania aaa ninchi zotesasa mtafaraq sababu shekh kishki lete matamu kama ya shekh Othman maalim mkono kwa mkono mpaka peponi ishaallah.
@lolooman91704 жыл бұрын
Nilimuomba shekh nurdin kishki atuletee mawaidha yale aliolia sanaa pamoja na shekh Yussuf Abdillah Mada nimeisahau mimi naomba nikumbushwe .
Makosa hujitokeza mingi sana duniani hukuna alieumbika hata uyo shekh nayeye nibinaadam kayapitoa makosa mengi nayeye yuko tayar achujwe hadhara nnassu.