OTHMAN MASOUD : HANA DHAMIRA NJEMA WALA SIO MKWELI TUTAPAMBANA NAE

  Рет қаралды 8,635

Marhaba TV

Marhaba TV

Күн бұрын

SUBSCRIBE

Пікірлер: 121
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 Күн бұрын
Hasante sana kipenzi cha wa Zanzibar next president in Shaa Allah...
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 Күн бұрын
ahhh wapi
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm Күн бұрын
Wanaosema mwinyi 5 tena sio tatizo ila iwe kwa halali sio kwa zulma
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg Күн бұрын
Safi kabisa kiongoz wakumbushe wazanzibar wajibu wao
@AllyHamran
@AllyHamran Күн бұрын
Tutauliwa tena kama tukivouliwa 2020.Chaguzi ndogo zote 5 alizfanya kwenye utawala wake zikihaaa zulma na uovu.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Күн бұрын
Maneno ya OMO yana ukweli na uchaguzi wa siku mbili ni wizi mtupu.Hakuna sababu hata moja ya watu wasiozidi NUSU MILIONI WAPIGE KURA SIKU MBILI. Muhimu zaidi uwe uchaguzi wa uwazi na wa haki bila vitisho,vipigo na Unyanyasaji.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Күн бұрын
Kazi yake ANAPITA MISIKITINI AOMBEWE DUA wakati hata madrasa hakupita!
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 2 күн бұрын
Mujui viongozi munamajukumu mkubwa na wala hamuyatekelezi mpaka mbele ya Mungu
@amamossi4203
@amamossi4203 22 сағат бұрын
Ivi ukisemacho hakiishi usieashitikishe kuuliwa kwa sababu ya siasa zako.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 сағат бұрын
ww kwani unaogopa Nini sasa uchaguzi wa siku mbili na watu wa ACT si watakupigia?
@suleimanseif3290
@suleimanseif3290 2 күн бұрын
Sawa kabisa
@MuhammadAme-k8k
@MuhammadAme-k8k Күн бұрын
Kwan nn wanahofia
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 күн бұрын
Hahahha et hawakubal😅😅😅
@MussaOmar-no4jo
@MussaOmar-no4jo Күн бұрын
Cha muhimu ni msimamo
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 23 сағат бұрын
Mnafiq mwinyi alafu anajichekesha kipumbavu pumbavu huyo yaliyo ya maana hayafanyi
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 2 күн бұрын
Hao wandishi wqnashindwa kuliza viongozi kwanin hawaulizi
@AliAhmed-ry5pq
@AliAhmed-ry5pq Күн бұрын
Kwani wanaogopa nn?
@ramzsule7678
@ramzsule7678 2 күн бұрын
Hujakosea
@MzeeNdege
@MzeeNdege 2 күн бұрын
fact
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 2 күн бұрын
Na ndio maana mm ikawa sishuhulikii siasa maana miaka 5 tupo salama ikifikia siku ya kupiga kura wanauliwa wananchi, mnasema tu kazi kusababishia mauwaji tu mutakwenda jibu kitu gani mbele Mungu?
@HasnuuMakame
@HasnuuMakame Күн бұрын
Dada yangu hili hao hawalioni na wameshapigwa chapa ya kua wao wanayajali zaid ya duniani kuliko ya akhera yao.. Mbele ya Allah, hakuna mfumo wa maisha ya siasa za kimagharibi kua ndio mfumo wa maisha Allah aliouridhia. Hayo ni maisha ya kikafiri tu..
@ZANAMBER
@ZANAMBER 2 күн бұрын
Haji na rajabu tambueni kwamba wakati wa kutangaza sera bado haujafika. Sera zlpo suriani wakati wake ufike
@taleboychannel9448
@taleboychannel9448 2 күн бұрын
Sefu alishindwa mpka kafukiwa hakuweza kulizuia hilo uje uweze wewe mburumatari, kakojowe ukalale uko😂
@abdallahmohd3777
@abdallahmohd3777 2 күн бұрын
@@taleboychannel9448 badilisha maneno yako,maalim sefu alizikwa.aliyefukiwa ni Julius nyerere na magufuli na hata wewe nafikiri utafukiwa nawanao fukiwa tofauti ya na mbwa nindogo sana
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 2 күн бұрын
kwaiyo na ww unachokifurahia ni nn apo
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 2 күн бұрын
Acha ujinga ww mbwa, Kwan maalim alikua mungu? Kama alivyoondoka firauni bas na CCM itaondoka, makafiri wakubwa ninyi CCM, mayahudi ninyi
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 2 күн бұрын
Hao cndo watanganyika mbwa, rudi kwenu ukalime korosho
@AllyaminiAlly
@AllyaminiAlly Күн бұрын
Maalim alishindwa nin labda ikiwa unamuogopa mungu na kuogopa dhambi ya msema uwongo
@OmarOmar-bh1iu
@OmarOmar-bh1iu 2 күн бұрын
Mada yako si mzuri unaonekana umbaguzi.
@soudnassor2956
@soudnassor2956 Күн бұрын
Ubakuguzi gani alioongelea hapo unajua haki zanzibar au ndio nyie mnaofuata upepo tu
@alliyharith3457
@alliyharith3457 Күн бұрын
Si mada hiyo, anajibu maswali ya waandishi
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
Mbona wananchi hatuwasikii wakisema ilo tunakuskieni nyinyi wana siasa musiweke rehani maisha ya watu kwa kutaka ufalme wa nchi mujuwe uongozi anampa mungu mtu ampendae
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 2 күн бұрын
Wahojini kama unataka kulisikia. Na hio pia sio katiba. Hapo wala hapataki tochi. Wizi tu unaotakiwa kufanywa hapo. Wakati na wewe kwenye nafsi yako unajua vizuri. Kijana kua mkweli hii dunia tunapita tu. Sasa au halafu nitaondoka mimi au wewe. Kisha unapaswa kujibu kwa uliyoyatenda.
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
@@IddiKhamis-u6c kwani uyo omo yee aliwahoji nani ata akapata takwimu za kuisemea zanzibar matakwa yao yee kwenye serikali ya zanzibar tumempa jukumu moja tu nalo linamshinda ataweza nchi,ye kazi yake asimamie mazingira tu sasa hebu nambie wewe unaonaje mazingira ya zanzibar yapo vizuri ?
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l Күн бұрын
@@RashidHaroun-c2j kwaiyo uyo mwinyi uo ufalme alipewa na mungu? acha kutetea maovu
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Күн бұрын
@MohdJuma-w6l mwinyi hajapewa ufalme amepewa urais na sisi wazanzibar ila uelewe kila unachopewa juwa mungu kakukadiria kama wewe ni mja wa imani utaelewa ilo na sitegemei maswali tena
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l Күн бұрын
@RashidHaroun-c2j uraisi waumwagaji damu ndio unaosifia?
@FatmaKombo-y8e
@FatmaKombo-y8e 2 күн бұрын
Unamchukia lkn naona pesa unaichukuwa vipi apo, maalim seif alikuwa akizigawa alipokufa account imekutwa Haina kitu jee ww unazifanya nn
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 күн бұрын
Sema ukipata uraisi utafanya jamba gani na kama hujafanya ujiuzulu.weka ahadi sio kila siku maneno ya kuumizana tu hiyo sio siasa duniani kote tupe ahadi ya ukweli
@ramazanzibar8264
@ramazanzibar8264 2 күн бұрын
Ahadi subr kampeni saiv ni mwendo wa kumnyoosha alieifanya Zanzibar ni mlango ya duka
@SwahiliMafu
@SwahiliMafu 2 күн бұрын
@@ramazanzibar8264 mnamyoosha kwa maneno mwezenu anafanya kwa vitendo wapi nawapi
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 күн бұрын
wewe mzee unachotaka ni kuulisha watu tu huna jengine ila Allah ataliepusha na litapita salama
@issayurry7022
@issayurry7022 2 күн бұрын
Kwani hao watu wameanza kuliwa leo wakati tangu 1995 munauwa mpaka leo semeni tu munaendelea kuuwa
@Allybinamour
@Allybinamour 2 күн бұрын
Na hilo ndo tatizo leno mkiambiwa ukweli mnageuza mada, huyu kasema hakuna sababu zanzibar kufanya uchaguz siku mbili mana hiyo ndo sababu ya dhulma, kwanini usiwambie upande wa pili wajilazimishe kutenda haki.
@Allybinamour
@Allybinamour 2 күн бұрын
Na hilo ndo tatizo leno mkiambiwa ukweli mnageuza mada, huyu kasema hakuna sababu zanzibar kufanya uchaguz siku mbili mana hiyo ndo sababu ya dhulma, kwanini usiwambie upande wa pili wajilazimishe kutenda haki.
@Newchange25
@Newchange25 2 күн бұрын
"UNDERSTANDING" ni wachache walioneemeshwa hii ne'ema
@ZANAMBER
@ZANAMBER 2 күн бұрын
Allah atatuepusha wakati viongozi wako hawataki kuacha zuluma kwanza ongea na viongozi wako wachekuiona kwamba zanzibar ni mali yao peke yao
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 Күн бұрын
UMEME UMEPUNGUZWA GHARAMA ZANZIBAR MWINYI MITANO TENA
@SwahiliMafu
@SwahiliMafu 2 күн бұрын
Shida ya zanzibar siasa ni ubaguzi CCM wana wafuwasi wengi zanzibar lakini omo akiiongea anafanya kama zanzibar yote wana support yeye wana mtaka yeye sio kwel 😅😅
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 2 күн бұрын
Aaah!! Ah! Na we fumba kidomo chako icho yakwenu uko bara yamewashinda wacha shobo
@SwahiliMafu
@SwahiliMafu 2 күн бұрын
@MohdJuma-w6l endelea kujitoa ufahamu zanzibar ni ya wanamapinduzi
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
Nashangaa mukisema zanzibar haina mamlaka kamili mnataka mamlaka gani na zanzibar tushaamua tunapiga kura mara mbili tanganyika wao wache wapige mara moja inamaana kwenye kura munaitambuwa tanzania ni moja kwenye mengine zanzibar iwe peke yake,tumesha sema zanzibar tunapiga kura mara mbili ukitaka ipo ivo hukutaka ipo ivo huwezi kaa pembeni
@mwanangusana
@mwanangusana 2 күн бұрын
😂😂😂 kaka duuh ... Unapiga kwenye mbavu 🤣🤣
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 2 күн бұрын
Acha upumbavu wewe. Ukisikia mamlaka kamili ni nchi kujiamulia mambo wanayoyataka kufanya nje ya nchi.
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
@@IddiKhamis-u6c kama yepi ayo ya nje ya nchi tunayo amuliwa
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
@@IddiKhamis-u6c Acha ulimbukeni nawe kuwasikiliza wasaka tonge ukawaamin
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 2 күн бұрын
@RashidHaroun-c2j Una macho lakini huoni. Kama kweli ni nchi inayomamlaka kamili kwanini passport iandikwe Tanzania wakati wewe ni Mzanzibari.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 күн бұрын
Wewe si umo humo humo mpaka Leo hujasema nia yako ukiwa rais nini utaifanya Zanzibar mana kwa muungano si rahisi kuondoa.na hata ukipata utafata sheria ile ile ya Tanzania bara haya maneno Tu ya kutaka mapesa
@abdallahmohd3777
@abdallahmohd3777 2 күн бұрын
Huyu tayari ameshasema,kama wewe ni mzanzibar nafikiri unalijuwa hilo nazani unakumbuka jamaa zako walipokwenda kwenye bunge lakatiba,nakutaka kuipoteza zanzibar kwa donge nono,hivi hujuwi kitugani huyu kafanya,wazanzibar walio wengi hawawezi kumsahau
@Allybinamour
@Allybinamour 2 күн бұрын
Huyu jamaa ni katika wale wenye akili za samaki aliowasema Amani karume,kwani hapa alikua anatangaza sera au anajibu maswali aloulizwa? kabla hujatuma comment zingatia kinachozungumzwa my brother
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
Hana cha kusema kwa sababu hawana la kufanya zanzibar na kama wanadhamira nzuri ndo kashapewa umakamo wa kwanza wa serikali naajenge japo kibanda cha kuku kiwasaidie wazanzibar acheni kudanganywa halana jambo ao
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 күн бұрын
​@@abdallahmohd3777naatoke sasa ivi basi aachie madaraka maana serikali ndo ile ile iloipoteza zanzibar na serikali anayo ongoza na kupata chejio ndo ile ile ya udhalimu ya wauaji mbona hajakataa madaraka au ndo nyinyi kasa haramu lakini mchuzi wake unafaa?
TAZAMA HOTUBA YA TRUMP KWA KISWAHILI, ATANGAZA JINSIA MBILI TU MAREKANI
19:23
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Inauguration 2025: Former presidents, Biden and Trump introductions
31:09
FOX 29 Philadelphia
Рет қаралды 988 М.
HUTBA NZITO YA OTHMAN MASOUD BAADA YA SALA IJMAA  MAKNDUCHI
10:54
MANENO MAGUMU YA KINANA MBELE YA RAIS SAMIA
7:55
Mwananchi Digital
Рет қаралды 45 М.
SHEIKH DEDES AMLILIA MWINYI BARAKA |JAN 20/2025
16:54
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,2 М.
MKUTANO MKUU WA CHADEMA 2025
Chadema Media TV
Рет қаралды 585
MBETO WA CCM AFICHUA SIRI NZITO ZANZIBAR
12:34
Marhaba TV
Рет қаралды 789