Duh!! Watanzania kwa vituko ni Number moja kila jomba mbaya Lipo Tz Lkn tuombe dua Allah atuongoze Insha'Allah
@rashidkalimbo24514 жыл бұрын
MashaAllah Sheikh Othman Michael, kwa kweli tunajifunza maembo mengi sana, Mwenyezi Mungu Akujazie kila kheri In Shaa Allah.
@ndabadugitsefuraha33424 жыл бұрын
Shukran shekhe twajifunza kwakweli umenipa ujasiri sana namshukur mwenyezimungu alhamndulilah kwakutuletea shekhe othamani nakumpa hekima nzuri na sima nzuri ya allah twakushukur ya rabiii
@hamadimwanzuga14764 жыл бұрын
Mashalwa shekh unatufunza mengi kupitia hichi kipindi, allah akuzidishie hekima na maarifa zaidi
@azzaalmaamry58174 жыл бұрын
Maashaallah Allah akupe afya Na umri mrefu sijaona kipind Muda tunajifunza mengi jazakallah kheri
Maashaallah tabarakallah, shukran sheikh Othman kw nasaha zako wallah nanufaika kw na mengi wallah...mungu akuajalie umri mrefu uzidi kutupa nasaha zayd...
@lkshmykomar54724 жыл бұрын
Mashallahu pole sana shehe wetu nahis km leyo huko sawa mungu atakuponya ishalla mashallahu musamahat lukarmu kimerejeya tulikimis sana mungu mlinde shehe wetu
@salimmwandale8537 Жыл бұрын
Pole sana shekh wetu Allah akujalie shifaa ya haraka
@sophianyangalio37964 жыл бұрын
Sheikh pole sn Allah akupe shufaaa 🤲 tulikumiss wallah Allah akusimamie ktk kila ufanyalo
@bintkijangwa43054 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu na pole kwa mafua Allah akupe shifaa ya haraka
@rehemaaithumani30764 жыл бұрын
Mashaallah shekhe Othuman Michael tulikumis napia tuna pata mafunzo mazuri luxuriant kwako Allah akupe umri mrefu na Afya njema 🙏🙏
@MahfodhAmeyr Жыл бұрын
جزاك اللهُ خيرا یا شيخ عثمان.
@KhadijaMohammed-z8c Жыл бұрын
Mungu anijaalie nizae mtoto wakike apate Mume mwenye kuijua dini Kama shekh wetu othuman napenda anaijua dini pia na watoto wangu wakiume wawe Kama othuman
@mkmwayama4534 Жыл бұрын
MashAllah shk. Allah akupe umri uendelee kuwajuza waja.May Allah bless you
@AbdulAbdul-vp2np4 жыл бұрын
Alhamdulillah kipindi ninachojifunza mambo mengi kutoka kwacho kimerudi online Allah akujalie afya na Umri mrefu sheikh wetu.
@kizamaulidi60044 жыл бұрын
Mashaallah tulikua tumemiss al.mussamah al. Kareem allah akuzidishie kheri katika maisha yako
@fatmamussa11614 жыл бұрын
Ninachokupendea husikilizi maneno yawatu wala hukati tamaa kwayaliyokukuta shukran sana
@salmanassir78864 жыл бұрын
Waalekum msalam warahamatuwallah wabarakat.... Mashallah Sheikh wellcome back.... Nlimis hiki kipindi
@RemedanwendeRemedan11 ай бұрын
Masalh..ustaz..alh..yiecmerl
@aishaaboud44064 жыл бұрын
Subhanallah Inna lillah wainailayhi rajion Allah urusamehe yarabbi 😢😢😢😢 Allah Akubarik na elmu yako sheikh Osman 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusufuheri65249 ай бұрын
Inauma asikwambie mtu
@madinaomar6794 жыл бұрын
Nlijua kipindi hakipo tena, naona bakwata walikuja juu, tunajifunza mengi asante Sana, mungu akujaze barks telee. Amiin.
@kuruthumuferooz96503 жыл бұрын
Allah akuhifadhii sheikh uzidi kutupa elim
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Na tunamuomba Allah akuhifadhi sheik wetu🤲
@nushabdile36109 ай бұрын
Nakupenda sana baby acha kulia na sitaki mwengine isipokuwa ww liwe liwalo honey mashaalah alaah akulinde na maadui inshaalah 🌹❤❤❤🌼💯wa bilahi taufig nakupenda sana kwa ajili ya kutupa ilmi ya dini,.
@mariamchonde93644 жыл бұрын
Nakupenda Kaka San Kaka othuman mungu azidi kukulinda inshallah
@sharinv88644 жыл бұрын
Nacomend hata kabla sijaiwatch kwakweli sheikh umepotea sanaa mpaka nikawa na wasiwasi nani mwengine jamani wakenya wangu mpoo?
@mrjagenmuuz57044 жыл бұрын
Kabla kumuhukumu mwezıo jıangalıe wewe upo sawa ?hujapotea kısha ndoumwambıe mwenzıo
@ShSh-my8cw4 жыл бұрын
Tupo my
@aishaally27304 жыл бұрын
Usimuhukumu mwenzio unakosea wewe nani kwani unayetoa hukumu kwa wenzio kabla hujamnyoshea mwenzio jiangalie na wewe
@khadijaangore44084 жыл бұрын
@@mrjagenmuuz5704 kabisa
@susanchebet32984 жыл бұрын
Wenzangu kama hujeelewa maoni ya mwenzio rudia kusoma tena, hajahukumu ila amemiss kumuona Sheikh jamani
@fettyharoun13334 жыл бұрын
Mashallah Allah akulipe my brother mimi nimejifunza mengi hapo inshallah Allah atufanyie wepesi ma binti ambo bado hatuja kulupuka
@guycalifat44264 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh mungu anikutanishe nawe peponi y firdausi Ameen
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin
@rehemaabed53gmailabed154 жыл бұрын
Manshaallh mungu akupe hitaji moyo wako shekhe wetu
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Musamaha L Kareem Allah akijaalie kipindi chetu pendwa kizidi kuendelea
Mashaallah bora umerudi sheikh othman Binafsi nilikimiss Sana hiki kipindi, Maana huwa nakifunza mengi mno. Allah akuponye sheikh wetu Naona km hauko sawa.
@naimamukhtar34893 жыл бұрын
Aslm sheikh wetu pendwa pole na mafua
@mwamvuajuma87234 жыл бұрын
Mashaalllah tulimisi sana kipindi chako
@sadaally90134 жыл бұрын
Ahamdulilah kurudi kipindi hiki kizuri.jazaakah llah lhayr shekh
@afric014 жыл бұрын
Aslm alkm wtw....kwanza pole Sheikh Othman kwa mafua, Allah akupe shifaa ya haraka. Tumepata faida kubwa katika video zako na tunakushkuru kwa hilo. Allah akujazi kheir. Allah azidi kukuinua kila kona ya dunia. Uzidi kufahamika na kujulikana kote ulimwenguni. Allah akuwekee pepo firdaus Sheikh wetu kipenzi chetu. Dua zako Allah azijaalie ziwe maqbul. Kila la kheir.
@asyaasya37664 жыл бұрын
Sheikh hayo ya kusema eti mtu asiolewi na mtu asie mtambua undani wake, hata umjuwe undani ni yale yale mi niliolewa na binam yangu tumekuwa ote, ila hatukuishi. Ndoa ni Mungu tu wala hakuna kigezo chochote bhana mnaweza kuwa mlitowana kwenye mitandao hamjuwani na mkadumu kweny ndoa
@YaseenAdam-q3r7 ай бұрын
Allah akulinde n husda amin❤
@rahmasalum21304 жыл бұрын
Subhanallah kichwa cha habar tu naskia tumb0 linauma Allah atufanyie wepes inshaallah
@zaitunyjawa3464 жыл бұрын
MaashaaAllah nilikisubiri kwa hamu hiki kipindi cha msamaha karim nasikiliza nikiwa Basra iraq
@arafahassan52574 жыл бұрын
Pole sana sheghe.wetu ALLAH.akujaalie shifaa na akukinge na husda inshaa aallah
@jumamohammed53782 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllaha
@shumbanahafidh43044 жыл бұрын
Assalam alaykum pole sheikh Alhamdulilah almusamaha kareem imerudi tena الله يبارك فيك
@ZuwenaSinde-hj9qg Жыл бұрын
Mashall maneno kuntu kabisa hii inahusu hata ambao hawajaposwa
@razatrazat68334 жыл бұрын
Mashaa ALLAH shekhe ungemezwa na waTz ALLAH azidi kukuhifadhi
@halmahalish10404 жыл бұрын
MashaAllah..... Alhamdulillah nlikuwa nangojea Al musamaha Karim kila siku..... wallahi sheikh wangu napenda sanaaa nasaha yko.....Mungu akupe imani ya nafsi,. Allah akupe kila lenye kheyr na ww pamoja na sisi Amiiiin thuma Amiiiin 🤲🤲🤲🤲 wallahi nmekupenda kwa ajil ya ALLAH ( SW)👆
@zytuniemaulidy15084 жыл бұрын
Mm mwenyw nlikua nasbiria sana
@rumeysamohammed39374 жыл бұрын
اللهم آمين
@saumuseif91894 жыл бұрын
Tulikua tunasubilia ustadhi shukran
@yasodishonest97924 жыл бұрын
😭😭😭mtiani wallah. Allah atuongoze Inshaallah .uma umeoza🤲🤲🤲🤲
@halimahassan30313 жыл бұрын
Jazzakallah kheir
@ameenaameena49074 жыл бұрын
Nakweli ndoa za siku izi ni mwendo kas hata mm nimekuelewa sana shekh bora nifanye kaz zangu kwanza
@uktyaminahsadalah60744 жыл бұрын
Tulikimic sn hk kipindi mungu akuepuje na maneno ya waja mashaallah tunaelewa sana kipindi hiki na tunajifunza sana
@MohammedAli-rh5si4 жыл бұрын
Jazzaka llahu kher shukraan shekhe
@salwasuleiman35254 жыл бұрын
Maa shaa Allah shehe wetu Allah akulinde na husda
@amidanafula34944 жыл бұрын
Allah akujalie umuri murefu inshallah
@MohammedAli-rh5si4 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu na hekma zaid uzidi kutuelimisha
@maamuu79774 жыл бұрын
Maasha'Allah Tabarak'Allah Sheikh Othman Allah akuhifadhi akizidi kkupa hekma na busara kwani tunaelimika sana jamani kupitia hi channel yako
@zohrazohra10514 жыл бұрын
Mashaallah shekh
@MA-kh2lr4 жыл бұрын
I missed these kinds of episodes.. Musaamahal kareem 😭 May Allah bless u and your whole team abundantly Sheikh.
@nzalambijoto Жыл бұрын
0 lol 0p0😊😊 lol the morning and see how I'm 9p on a roll love 😊 ppl on
@kaafisocadeey74804 жыл бұрын
Masha Allah naukiwa nashida yoyote nijulisha Kwa watsaap insha Allah nitakusaidia Kwa uwezo wa Allah
@islander31914 жыл бұрын
binadamu wanapenda umbea na huyu sheikh pekeyake kaweka kichwa cha habari ili watu waangali na yeye afanye entertainment ili auze au ajipatie jina mitandaoni, waislamu wacheni kupenda umbeya kwa mambo yasokua na maana maisha mafupi sana msifanye mzaha na wewe sheikh utakuja kusimamishwa mbele ya Allah wadanganye hao wasojua Allah humdanganyi shauri yako, na nyinyi mnofanya majanga ndio nini kutafuta mashekhe? mtafuteni Allah, surah baqarah aya 186 na waja wangu watakao kuuliza khabari zangu, "ewe muhammad saw" wambie kuwa mimi nipo karibu, naitikia maombi ya muombaji anapo niomba, basi na waniitike mimi, na waniamini mimi, ili wapate kuongoka. kwa hivo ficheni siri na aibu zenu ili iwe wepesi kusamehewa, ili mkisimamishwa kwa Allah asiwepo wa kufichua siri zenu ktk viumbe, akamlalamikia ALLAH na huyu mbona amefanya hivi mimi nimemuona au mimi amenambia, rudini kwa Allah wacheni ku expose siri zenu kwa binadam yeye huyo shekhe ana mabaya yake anakwenda kwa nani? si yeye na mola wake. wacheni ujahiliya.
@mwanahamis54874 жыл бұрын
Kisa cha Siku nyigi kweli alisimulia sheikh sogoro Subhanallah dalili za kiyama hizi
@maisaalawy45123 жыл бұрын
Subhana Allah.
@ummuhumayratnikuchilo16834 жыл бұрын
mashaallah shukran shekh
@maryambintukhadija16044 жыл бұрын
Umepotea sana shekh wangu
@mrjagenmuuz57044 жыл бұрын
Kapotea wapı? Acha ujınga wewe muongoze bası atoke kwenye kupotea
@agaowajouniar4 жыл бұрын
@@mrjagenmuuz5704 Kaka Kupotea sio Kama amepotea hawez kuongoz hapan ila siku hiz hajaonekan ktk kipindi
@sharifakhamis24614 жыл бұрын
Jaman hilo neno kupotea siyo maana mbaya faham hilo
@agaowajouniar4 жыл бұрын
@@sharifakhamis2461 Huyu Mr Jageni muuzi nadhan hajaelewa maan ya Kupotea hii Ni comment ya pili anawajibu watu ktk komment zao neno Kupotea c Kama anaongea kwa nia mbay la Hasha isipokua ajao ekan ktk kipindi hik cha mawaidha muda kudog
@sharifakhamis24614 жыл бұрын
@@agaowajouniar ndo na mm nimeona sms zake mbli siyo nzur na hajafaham anatowa tu maneno ambayo siyo mazur
@furahandabadugitse26593 жыл бұрын
Asalam aleikum duuh miss y shekhe ila mawidha nakufwatili wa islam wamzangu napenda kua mbia shekhe tusadie BURUNDI serekali wamesema hawataki kuskia adhana 😭😭😭😭jana kuna shekhe alitowa adham nakupinga serekali ivi alikamatwa na burundi jamanii hawana mchezo swala laakuuwa kawa ida tuna tegemea Tanzanian ila msada mkubwa ni ALLAH NJO MUWEZA ILA TUNAOMBA SHEKHE MLI AFIKI HILII ATA RAISI SAMIA ATUSAIDEE WA ISLAM BURUNDI TUKO KWENYE HATATRI SHUKRAN.
@zahormohammed44767 ай бұрын
Kuoana wazinifu au washirikina imeharamishwa kwa waumini
@hamidaabdallah81464 жыл бұрын
Pole shekhe kwa mafuwa
@saidamur57474 жыл бұрын
Asalam.aleykumshekhe.pole.na.mafua.shisha.vikxi
@hanifatanzania72584 жыл бұрын
Jazakallah hailla
@kijitamfyomi55984 жыл бұрын
Sheikh Michael naona unamafua mafua hivi Allah akupe shifaa ila kipindi hichi jitahidi unapokutana na watu uchukue tahadhari hashwa hili gonjwa lililoenea hapa nyumbani.
@omansohar22454 жыл бұрын
Jazaka llah khery
@FSalim-ee5cf4 жыл бұрын
Pole Sheikh kwa mafua qqq
@khadijaangore44084 жыл бұрын
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah.
@rahmayusuphu88224 жыл бұрын
Mashaallah napenda nasahazako
@fatumamuiya60894 жыл бұрын
Masha Allah shekhe tuna saa 3:18 AM lakini nimekaa nasikiliza mawaidha yako
@SamSang-h4g10 ай бұрын
Shekh tunajifunz meng mno ila na mm ninalang jamb unaomb unisaidie
@salamaali47563 жыл бұрын
Sheikh asalaam alykum nilikusikia ukizungumzia kuusu dawa ya kufanya uwe na hafya nzuri Yani kama umwembamba kama iyo bakora Yako bc ziko Tina za kufanya uwe na mwili mzuri nilikuwa naomba maelezo zaidi au ni jinsi gani yakupata dawa iyo
@gitonga70544 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
MASHALLA nimemis sana hiki kipindi..
@ashasudi88024 жыл бұрын
Tumemiss sana al musamaha karim kwely,tulisubiri sana kwa hamu👍
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mash Allah kweli kabisa
@missrukia96614 жыл бұрын
Mashallhaaa
@ashurayusra7804 жыл бұрын
Shekhi nini shida leo mbona kam auko sawa kila niki kutazama una umwa au😪 pole sana allah atakupa afuwani kwa kila kinacho kusibu
@عليجبار-ن3ي4 жыл бұрын
Alhamdhulilah al..musamah..karim imerudi nai miss kweli,maana yanifaidi sana
@sulemohd48124 жыл бұрын
Oyeee mamboyetu tayari
@kaafisocadeey74804 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbi wewe kuapa kuwa hatakuzungumza namchu yoyote Allah anihukumu kwakukusudia kosalolote
@zaneali64794 жыл бұрын
Subuhanalah mungu tunusuru
@kaafisocadeey74804 жыл бұрын
Masha Allah wewe leo wanizulia Kwa watu mara hii ya pili kwahivo silitaki latatu linifikie basi mm niheri nifee
wengi wenu mloandika kujifunza kuhusu haya ya othman michael mitandaoni, nendeni kajifunzeni sehemu husika, jifunzeni quran, hadith, seerah za bwana mtume muhammad saw, nyinyi mnapenda intertanment tu kusikiliza mambo ambayo hayana maana hata kuyaleta ktk mitandao na sheikh wenu huyo anahitaji akajifunze na awache kutaka kuleta story zisokua na faida, maana na yeye ametokea ktk ukiristo Allah amemuhidi alhamdulillah Allah amuongoze lkn bado mambo yake vl vl ktk njia za manasara makanisani kuleta stori zisokua na maana, hii dini ya Allah haitaki mzaha kutaka kuinua jina lako kwa njia ya ki taghuti kijinga kumfuata sheitani, sheitani ana trick nyingi kama alivowazaini watu watu nuh kuwatengenezea masanam, nyinyi na sheikh wenu muogopeni Allah mnataka kujifunza nendeni madrasa tena madrasa pure ahlil sunna sio kusoma maulidi dhikiri na kasida mcheni Allah na wewe sheikh othman nenda kaongeze elimu yako bado kabisa mambo unayofanya ya ktk akida zisizofaa, msitake kijiko mitandaoni, atomnyanyua Allah hakuna wa kumuangusha, na anomuangusha hakuna wa kumnyanyua, nendeni mkatafute elimu, kutafuta elimu ni lzm msitafute elimu zisofaa mitandaoni, wengi wenu ktk comment mliokua waislam haya mambo hayatokufaeni nendeni mkasome mnapotea hamna elimu, hamjui hakki na batil nyie mnafuata tu, nakuombeni msamaha kama nimekuumizeni feeling zenu na kwa sheikh wenu lkn huo ndio ukweli mambo, so be humble and stop be arrogant, humbled yourself except the truth and changamka and find the right islamic knowledge.
@zahormohammed44767 ай бұрын
Wewe ni choyo ndio kinakusumbua
@maryamtemba17604 жыл бұрын
Mashallah
@fauziaabdullah37334 жыл бұрын
Allah Akbar
@mename60204 жыл бұрын
Ameen Allahuma Ameen... Allah akulipe ujira mwema shehe wetu..