Ottu Jazz Band Penzi Kizungumkuti Official Video

  Рет қаралды 226,880

Africha Entertainment

Africha Entertainment

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@zuberisarahani1175
@zuberisarahani1175 8 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana huu 🔥🔥
@MasatuAdolf
@MasatuAdolf 5 күн бұрын
ira ottu mutaniua nafurahaa mimi
@gaudencekuyanga3549
@gaudencekuyanga3549 Жыл бұрын
Natamani kusikiliza muda wore
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Kubabake mapenzi walahi hayamuachi MTU salama .
@wilkinsonndigajustus33
@wilkinsonndigajustus33 2 жыл бұрын
Sauti za Momba Mbwembwe naTxMoshi basi ngoma ya msondo iliiva na kutimia kweli
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 Жыл бұрын
Mtaani kwetu kuna shereheee wawili wapendanao wamefunga ndoaaaa na Pale mtaa wa pili kijana amejinyonga sababu ya mapenzii ...... Kizungumkuti
@frankmalile4456
@frankmalile4456 4 ай бұрын
Hao ni baba wa muziki simchezo tx moshi from korogwe Jazz Hale
@amadisandaku3131
@amadisandaku3131 3 жыл бұрын
2021 Usishangae mwenye Pesa anakataliwa Fukara anakubaliwa .
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 2 жыл бұрын
Suleman Mbwembwe hakika alikuwa na Mbwembwe! Asante kwa burudani ottu jazz band
@fredricketabale9377
@fredricketabale9377 4 жыл бұрын
Mapenzi ni kama moto tumia vizuri ufaidike sio uteketee
@fredrickmutile
@fredrickmutile 3 ай бұрын
Safi sana
@abullbakijuma9971
@abullbakijuma9971 4 жыл бұрын
Safi sana old is cold itafika karne 100 bado utam upo dah si mchezo
@florakabola4253
@florakabola4253 Жыл бұрын
Nyimbo za zamani hazichoshi wala hazichuji. Hongereni kwa kazi nzuri mliyoifanya. Pumzikeni kwa amani wote mliotangulia mbele za haki.
@zuberisarahani1175
@zuberisarahani1175 8 ай бұрын
Aliyesema kuwa Old is Gold hakukosea kabisaaaaa 😂😂
@divasonmoke8009
@divasonmoke8009 5 жыл бұрын
Jaman wengine tulieni hii nyimbo nilitungiwa mm kwa yaliyonikuta kama mtunzi alikuwepo jaman
@mdromadan5701
@mdromadan5701 5 жыл бұрын
Hahahahahahahah,pole sanaaaa
@allykindamba9800
@allykindamba9800 2 жыл бұрын
Pole
@OsmuntyMwikola
@OsmuntyMwikola 23 күн бұрын
😢
@unclesaleh3257
@unclesaleh3257 3 жыл бұрын
Haitatokea tena hii utake usitake.
@leonardkasambala5802
@leonardkasambala5802 Жыл бұрын
Hatari na nusu
@hajirajabu7917
@hajirajabu7917 2 жыл бұрын
Tamu sana msondo music band, haji msekeni
@fakimwakisu3630
@fakimwakisu3630 5 жыл бұрын
Wala tusishangae nakumbuka ndani ya basi la scandinavia route Dar to Iringa
@ncdfreezoneorganizationnfz3102
@ncdfreezoneorganizationnfz3102 3 жыл бұрын
Nakumbuka enzi hizo kijijini, kila siku babu yangu alikuwa anaweka msondo
@abullbakijuma9971
@abullbakijuma9971 4 жыл бұрын
Hivi nyiye kina alli kiba na dimond hajifuvuzi kwa hawa wazeee mnsikia vyombo vinavyopigwa na mashairi safi elimu tosha sio nyie eyo laiza na huyo yoooo tumechoka michezo ya kuigiza
@frankborghas6910
@frankborghas6910 4 ай бұрын
😂😂😂
@msafirimaganza4492
@msafirimaganza4492 8 жыл бұрын
Kumbe taangu zamani mapenzi yanaimbwa,, hatari sana '
@omarinhomoudy
@omarinhomoudy 7 жыл бұрын
Msafiri Maganza ila ya zamani yalikuwa yanaimbwa kwa malengo marefu na jinsi yalivyo kiuhalisia
@shabanisheby8895
@shabanisheby8895 7 жыл бұрын
Jessica nishike
@athumanfuko199
@athumanfuko199 5 жыл бұрын
Mapenzi shida toka kitambo kuna watu hawataki kuoa tena
@sangomamourice8680
@sangomamourice8680 4 жыл бұрын
kuna raha ujumbe mtamu sana
@mtemlasmtemlas2837
@mtemlasmtemlas2837 4 жыл бұрын
hatariii ndani ya amana jpili kama zoteeee
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Hakika penzi liache tu
@dottokondo7299
@dottokondo7299 5 жыл бұрын
Dar nakumbuka mbali sana wakati uwo niliachwa na mpenzi wangu mungu jamani
@divasonmoke8009
@divasonmoke8009 5 жыл бұрын
Pole km mm yan
@JackobJoseph-mk9yw
@JackobJoseph-mk9yw Жыл бұрын
Wahenga tupo
@adhophmanyama3474
@adhophmanyama3474 4 жыл бұрын
Nikikumbuka machozi yananidondoka
@alistabluslameck2798
@alistabluslameck2798 7 жыл бұрын
nakumbuka RTD kipindicho kunakipinda cha chaguwo la msikilizaji inafikia hatuwa unatoroka shule uwahi kufunguwa radio
@festomatereka1211
@festomatereka1211 5 жыл бұрын
kweli enzi hizo kulikuwa na mziki mzuri sana hongereni vijana wa zamani
@mshambamohamedi8679
@mshambamohamedi8679 5 жыл бұрын
Kweli kamanda
@florakweyunga878
@florakweyunga878 6 жыл бұрын
Msondo kiboko yaooo,ooooh msondo.
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
Best
@jumbeomari3044
@jumbeomari3044 6 жыл бұрын
Tx anasimulia mkasa uliomkuta yy mwenyewe baada ya kumpiga biti sana bint yake ahachane na kijana mmoja ambae c hadhi yake lakini bint akakomaa mwisho kawa mume.saafi tx kwa visa vya kweli
@annaabelli1991
@annaabelli1991 6 жыл бұрын
Itabaki kuwa msondo tuu penda cana
@joelnassari105
@joelnassari105 6 жыл бұрын
Msondo acha iitwe Msondo...Old is Gold..Congratulations Baba ya muziki@Msondo Ngoma
@djn73
@djn73 3 жыл бұрын
0
@jasonweston3769
@jasonweston3769 3 жыл бұрын
instablaster...
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
@beatriceonyango9889
@beatriceonyango9889 2 күн бұрын
Mapenzi ni matamu Hayasemeki
@masoudkivalle9594
@masoudkivalle9594 7 жыл бұрын
Mmmh mapenzi mh...Mugabe na Grace Mugabe
@augustinomongoda4315
@augustinomongoda4315 5 жыл бұрын
Nakumbuka sana
@egnokinunda6959
@egnokinunda6959 5 жыл бұрын
Kweli kweli
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 5 жыл бұрын
Mabelaaa baba
@piusisemndiga6298
@piusisemndiga6298 8 жыл бұрын
daaah penda sana
@aminamhando6468
@aminamhando6468 5 жыл бұрын
Jamani
@eliasihussen6916
@eliasihussen6916 3 жыл бұрын
Ottu band
@chigwiyechipanha4910
@chigwiyechipanha4910 2 жыл бұрын
Afm
@kenethmgimwa4635
@kenethmgimwa4635 7 жыл бұрын
Neno mapenzi we acha tu
@selijusgasper4839
@selijusgasper4839 6 жыл бұрын
Nakumbuka mbali
@divasonmoke8009
@divasonmoke8009 5 жыл бұрын
Nimeimbiwa mm jamn
@seleckykisaka3558
@seleckykisaka3558 4 жыл бұрын
@@divasonmoke8009 zamani maisha yalikuwa mazuli sana.yaani ni majonzi sana.
@seleckykisaka3558
@seleckykisaka3558 4 жыл бұрын
Ama kweli duniani tunapita.inafika sehem machozi yanatoka.
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 4 жыл бұрын
Love much
@abullbakijuma9971
@abullbakijuma9971 4 жыл бұрын
Wakati huo basata hawapo lakini wazee hawa wamefanya kazi kubwa sio hao eti mziki wa kizazi kipya hawa ni kizazi kibovu hawana maadili
@arunamponda3069
@arunamponda3069 4 жыл бұрын
Mungu awarehemu huko mliko , nyimbo hizi mlizitunga kwa kweli. Baba ya mziki.
@mirajimwanafunyo2100
@mirajimwanafunyo2100 6 жыл бұрын
Fantastic
@princelausnicholaus5404
@princelausnicholaus5404 7 жыл бұрын
so mchezo
@piusisemndiga6298
@piusisemndiga6298 8 жыл бұрын
daaah penda sana
Ottu Jazz Band Makutubu Official Video
10:33
Africha Entertainment
Рет қаралды 151 М.
Msondo Ngoma Music Band Nimebadilika Nini Official Video
9:48
Africha Entertainment
Рет қаралды 199 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,6 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Ottu Jazz Band - Ndoa Ndoano
9:40
Power Nguzo
Рет қаралды 302 М.
Rangi ya Chungwa
9:11
Bongo Records
Рет қаралды 124 М.
Arabia Fadhili- Ottu Jazz Band
10:18
JeffBalla Fundi
Рет қаралды 12 М.
Ottu Jazz Band - Mwanamkiwa (Official Video)
10:28
Tunes Of Africa
Рет қаралды 456 М.
Twanga Pepeta - Mapenzi Hayana Kiapo ft Bozi Boziana (Clip officiel)
9:23
Kiala Chenja
10:52
Msondo Ngoma Music Band - Topic
Рет қаралды 4,4 М.
Ufukara Sio Kilema
9:19
Diego Wayne
Рет қаралды 272 М.
Umejuaje Kama si Umbea -Mwana Idi Shaban
13:48
Kiboisbreeders
Рет қаралды 4,2 МЛН
Ottu Jazz Band Kilio Cha Mtu Mzima Official Video
9:14
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,4 МЛН
Jirani
10:31
African Stars Band - Topic
Рет қаралды 58 М.