OutReach Worship Team - Nikwimbieje (Live Music Video )

  Рет қаралды 61,771

OUTREACH WORSHIP TEAM

OUTREACH WORSHIP TEAM

Күн бұрын

Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu. ZABURI 98:1
.
.
ARTIST: OUTREACH WORSHIP TEAM
SONGWRITER: JONATHAN KARTAGATA
MUSIC DIRECTOR: GHISLAIN KATENDERE
ASSISTANT DIRECTOR: ELISHA KORG
MUSIC PRODUCTION: CHOOSEN RECORDS
MIXING & MASTERING: SAM MBOYA
BAND
FIRST KEY: ELISHA KORG
SECOND KEY: JAMES
THIRD KEY: PAUL CODE3
BASS GUITAR : ALLAN KATENDERE
LEAD GUITAR : ANDREW
DRUMS: GHISLAIN KATENDERE
BACKLINE : HADDYPRO LTD.
VIDEO DIRECTOR: SP VISUAL
LIGHTS: HURUMA CHARLES
FOH ENGINEER: MITCHELL MIKE JR
MONITOR ENGINEER: MICHO
DRESSED BY PRINCESS DESIGNER
LADIES MAKE UP BY
FLOOR & SET UP : JOYCE MFINANGA
GRAPHIC DESIGN : ELIJAH PICTURE
BAND DIRECTOR : ELISHA KORG

Пікірлер: 162
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 6 ай бұрын
Hiki ni kikundi kinainuka kama agape gospel band.....mungu mkubwaa Sana azidi kuwapa Nehema kubwa Sana ❤naona Bass guitarist yuko na skills za ajab kama John peter wa agape gospel band 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 lead vocalist pia ni victor maestro anaye kuwa Kwa Kasi....huku Kenya nawapenda sana ❤❤
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 6 ай бұрын
Naomba mfanya collabo moja Kali na agape gospel band jameni
@jeremiemukubi6637
@jeremiemukubi6637 6 ай бұрын
Nazo zela bo pelisa mwinda🎉🎉🎉
@johnnyalusi5325
@johnnyalusi5325 6 ай бұрын
OOOH GLORY BE TO GOD....NYIMBO ZANGU HIZI NA SISI TUMCHEZEE MUNGU WETU ....IMEKWENDA SHULE YA KIWANGO CHA KIUNGU
@DanielKisali-om3th
@DanielKisali-om3th 6 ай бұрын
Iyi ni fimbo toujours les congolais bravo nos frères , jonathan k, juslin k, alain k, notre fierte
@mubba1577
@mubba1577 6 ай бұрын
Leader nitafute 🔥🔥🔥🔥 nazawadi yako kwakweli 🙌🏽🙌🏽 … vocal 👌🏾 bassist very smart 🔥🔥🔥 drummer 🔥🔥🔥
@jonathankartagata
@jonathankartagata 6 ай бұрын
Mimi apa baba niambiye
@sadockelias407
@sadockelias407 6 ай бұрын
akikupata na mimi nitaunganisha zawadi take
@ministeremmanuelmelody4973
@ministeremmanuelmelody4973 6 ай бұрын
Ni hatariiiii na ndiye aliyeandika song
@splendourmatanda4570
@splendourmatanda4570 6 ай бұрын
Alizaliwa mshindi, akakufa mshindi, akafufuka mshindi, Yesu mshindi wa washindi🔥🔥🔥🔥🔥
@BoboBourgeois
@BoboBourgeois 6 ай бұрын
Penda usi pende uyu niwa taifa teule 🇨🇩✌️🇹🇿 upendo ume dumu taifa za Mungu
@WomenofRevelation-nd3sr
@WomenofRevelation-nd3sr 6 ай бұрын
Yesu amezaliwa mshindi kwa ajili yetu Mungu awabariki sana outreach, ♥️ ❤️ fire 🔥 ♥️ ❤️
@kenindula7319
@kenindula7319 6 ай бұрын
Yesu Mshindi wa washindi....love from Kenya
@jacklinemeela9586
@jacklinemeela9586 6 ай бұрын
Amen amen. Hakika Yesu ameniketisha juu. Nikwimbieje Bwana'ngu 🙏🙏🙏
@fejeransonlinetv7051
@fejeransonlinetv7051 6 ай бұрын
Amen great sebene of the year 2024-2025 sebene la kuingia nalo 2025❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@patsho
@patsho 6 ай бұрын
Yes yes na kausha washawi, wana fiki,woooote🔥🔥🔥
@andrewemmanuel789
@andrewemmanuel789 6 ай бұрын
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri wenye utukufu kwa Yesu
@JenniphaKhahela
@JenniphaKhahela 6 ай бұрын
Hongereni sana wana wa mungu wimbo huu nauona ukienea duniani yani ni moto sana ❤
@farajamwakamyanda3014
@farajamwakamyanda3014 6 ай бұрын
Alizaliwa mshindi, akakufa mshindi, akafufuka mshindii🎉🎉🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
@lucysepetu1426
@lucysepetu1426 6 ай бұрын
Alizaliwa Mshindi..💪🏾
@magloirekasongo
@magloirekasongo 6 ай бұрын
Je suis Magloire Kasongo je vous suis depuis Likasi /DRC
@FurahaJackson-hz7cg
@FurahaJackson-hz7cg 6 ай бұрын
Alooo Alani mpiga bass umetisha kwa Tabasamu start until the end❤ na solo kweny vaibu atuangshiii💃💃💃
@Malima29_10
@Malima29_10 6 ай бұрын
Hiyo Intro 🔥🔥, Mungu azidi kuwabariki watumishi....🙏
@alainshindano5109
@alainshindano5109 6 ай бұрын
Kweli ni moto kabisa 🔥🔥🔥
@Ethankloop
@Ethankloop 6 ай бұрын
Hello Hello Hello kingine kibao ichi kutoka outreach gosper
@daviskumenya6700
@daviskumenya6700 6 ай бұрын
Bassist&drummer 🔒🔒🔥🔥🔥
@gloirekiza5276
@gloirekiza5276 6 ай бұрын
Waouuh j’adore bien
@hermankiondo3451
@hermankiondo3451 6 ай бұрын
Huu Mwendooooo ni🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 ni fire🔥🔥🔥
@loveynbaraza1870
@loveynbaraza1870 6 ай бұрын
Africa ni ya Yesu 🎉❤✝️🤞🏻🇰🇪
@mtaliimweusi9893
@mtaliimweusi9893 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Dicksonnestory-s7i
@Dicksonnestory-s7i 6 ай бұрын
Kwakwel kilichobak apatikane sponsor wa kubrand hii nyimbo upendo tv
@gloirekiza5276
@gloirekiza5276 6 ай бұрын
Waouuh j’adore bien Bassiste 💪💪
@PASTORSHUKURUSELVIS
@PASTORSHUKURUSELVIS 6 ай бұрын
Yesu ni mshindi wawashindi
@suzanaAbihudi
@suzanaAbihudi 6 ай бұрын
Kula chuma icho sebene la kwenda mbinguni
@splendourmatanda4570
@splendourmatanda4570 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥eeeeee huyu ndugu amebarikiwa sana. OWT you're doing exploits through Jesus Christ. Muendelee kutumika na Bwana zaidi. Very powerful and sweet song. Utamu reloaded🔥🔥🔥🔥
@fancysticks3359
@fancysticks3359 6 ай бұрын
Eeeeh hivi sasa🎉🎉🎉❤
@IrKamateChadrack
@IrKamateChadrack 6 ай бұрын
Hello, outreach am very happy
@GloireTassi
@GloireTassi 6 ай бұрын
It so verry nice!!! go fast outreache ❤❤❤❤
@BLESSSTEPHEN
@BLESSSTEPHEN 6 ай бұрын
Mbo ni motooooooooo kinoma sana
@charleskinyua7697
@charleskinyua7697 6 ай бұрын
Baaaassiist🔥🔥🔥
@johnmwongela7761
@johnmwongela7761 6 ай бұрын
Yesu ni Mshindi wa washindi
@suzyndoya3280
@suzyndoya3280 6 ай бұрын
Jamani mambo ni fire 🔥🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@farajamwakamyanda3014
@farajamwakamyanda3014 6 ай бұрын
OWT mmepigaje hapo tafadhali irudiwe
@erastondomba9685
@erastondomba9685 6 ай бұрын
its elikorg kaka🙌🙌💥 , andrew aloo hizo vocals 😢😢 and crew nzima mmenyoosh 😭😭😭🙇🙇
@ElieMunepo
@ElieMunepo 6 ай бұрын
Hii ni ya Moto 🔥🇨🇩x🇹🇿
@wilsonnoraus5465
@wilsonnoraus5465 6 ай бұрын
Outreach to the world❤
@zachariahjuma5330
@zachariahjuma5330 6 ай бұрын
Amazing
@israelchizungu8701
@israelchizungu8701 6 ай бұрын
soliste 🙏respect. well done
@farajamwakamyanda3014
@farajamwakamyanda3014 6 ай бұрын
OWT ni hii moja tu ❤🎉🎉🎉🎉🎉
@eliudjames8923
@eliudjames8923 6 ай бұрын
Moto ni mkali sana 🔥🔥🔥🔥
@danielingosi3963
@danielingosi3963 6 ай бұрын
Aaah aah Yesu mshindi eeh eeh mshindi wa mshindi
@AzariahSifaBand
@AzariahSifaBand 6 ай бұрын
Eeeeih the soloist... Very nice leading, the arrangement of the song is on another level. Seben❤❤❤❤
@jacquessolo
@jacquessolo 6 ай бұрын
nimoto❤❤❤😂😂
@chantjune
@chantjune 6 ай бұрын
🔥🔥moto sana...Great Work Team👏
@BAHATIKAHAMAROSTAND
@BAHATIKAHAMAROSTAND 4 ай бұрын
Mubarikiwe sana watu wa Mungu . SIFA NI ZA BWANA
@abrahammutsipa1705
@abrahammutsipa1705 6 ай бұрын
Makanyanya ❤️
@barakakato7744
@barakakato7744 6 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa 😍🥳🥳
@JobTopcare
@JobTopcare 5 ай бұрын
Kenya ni ya Yesu! Ayiiiiiii 🔥 🇰🇪
@davidbrown8878
@davidbrown8878 5 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na huduma yenu.. Nyimbo nzuri, mziki smart.. Amazing dance.🔥
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 6 ай бұрын
Outreach ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@patsho
@patsho 6 ай бұрын
Bwana ameniona ✊🙏
@SamuelHakiza8
@SamuelHakiza8 6 ай бұрын
Du bien vraiment ♥️♥️
@victoreddieofficial2605
@victoreddieofficial2605 3 ай бұрын
Bado Kuna waimbaji duniani... Am really blessed
@hildakulola
@hildakulola 6 ай бұрын
On my repeat mode 🙏🙏
@jonathanmirindi9455
@jonathanmirindi9455 6 ай бұрын
Alain bass🎸, Ghislain 🥁 na majina Jonathan 🎤, Mubarikiwe kwa kazi yenye mume fanya nyimbo hizo zina tu bariki sana
@davidmastaki
@davidmastaki 4 ай бұрын
The quality and anointing in this praise and worship is so powerful. Im shocked how Kenyans and Tanzanians are good in this. I even thought they were Congolese at first. 💯
@gabrielkishi9692
@gabrielkishi9692 Ай бұрын
The leader must be congolese!
@priscillahlukindo7370
@priscillahlukindo7370 6 ай бұрын
Ni moto fireee🔥🔥🔥🔥🔥
@alexanderenock6691
@alexanderenock6691 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥uwiiih ni hatari sana be blessed OWT..noma sana
@neemamngale4553
@neemamngale4553 6 ай бұрын
Mpiga solo❤
@suzanaAbihudi
@suzanaAbihudi 6 ай бұрын
Can't wait to join the band. Blessings over Blessings ❤
@rebeccaalfred7633
@rebeccaalfred7633 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SaraJumanne
@SaraJumanne 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@alainshindano5109
@alainshindano5109 6 ай бұрын
Asante sana mkuu🙏
@ShanuGidion-ep9lb
@ShanuGidion-ep9lb 6 ай бұрын
Ayayayaya ni🔥🔥🔥
@LucasMalowola
@LucasMalowola 6 ай бұрын
❤outreach forever
@DanielBrian-w2y
@DanielBrian-w2y 6 ай бұрын
Jina ya mchezaji solo guitar 😮🎸🎸, wueh 🔥🔥🔥, more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@meshackkapula7576
@meshackkapula7576 6 ай бұрын
Andrew
@kipkiruigillie4332
@kipkiruigillie4332 6 ай бұрын
Anaitwa Andrew Michael kaniki ...huyu bwana ni mkali saana huku Kenya 🇰🇪 nampenda sana ni motooooooooo🔥🔥🔥🔥
@TimothyAnyange
@TimothyAnyange 6 ай бұрын
Andrew
@nicemara12357
@nicemara12357 6 ай бұрын
Waiting...💃💃💃
@LoiseManguru
@LoiseManguru 6 ай бұрын
Heeeeeey jesussss hiii nayo imewezaaa
@clementmajaliwa5659
@clementmajaliwa5659 6 ай бұрын
good job, bless you men of God 🙏
@glapeaproduction8171
@glapeaproduction8171 Ай бұрын
Duh!Kama Duniani ni hivi Mbinguni itakuwaje,Mungu awabariki kwa huduma njema
@pudensianamwanilwa7017
@pudensianamwanilwa7017 6 ай бұрын
Sebene la kibabe Hii OWT ni fire jamaniii🔥🔥🔥
@hedayakagoma9133
@hedayakagoma9133 6 ай бұрын
🔥🔥🔥
@katemuthoni8092
@katemuthoni8092 6 ай бұрын
🔥 🎉❤
@RuthHalson
@RuthHalson 6 ай бұрын
Mjajua mpaka mnakela❤
@johnnyalusi5325
@johnnyalusi5325 6 ай бұрын
YAANI KILA KITU KIMEKAA SEHEMU YAKE ...OOH KWELI MPAKA INAKERA ...GLORY BE TO GOD
@joealfredy
@joealfredy 6 ай бұрын
On repeat🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@daviskumenya6700
@daviskumenya6700 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jacquelinemayala3269
@jacquelinemayala3269 6 ай бұрын
GOD BLESS YOU🔥🔥🔥❤️❤️❤️
@AnsbertDamian
@AnsbertDamian 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯 💯💯
@neemalyimo3333
@neemalyimo3333 3 ай бұрын
Kumbe kumbe bwana uliniooonaaa🎉pokea shukrani zangu bwana Najua unanipenda❤❤❤
@victoreddieofficial2605
@victoreddieofficial2605 3 ай бұрын
For sure this Muzik is blessed ❤❤❤❤
@VictoriaGeorge-dw1yw
@VictoriaGeorge-dw1yw 4 ай бұрын
Moto unawaka!!!🙌🙌 Bassist ni hatarii, Leader sasa👏 Drummer and wote jaman God bless you people 👏👏🙏🙏
@regnethmtemanyongo2237
@regnethmtemanyongo2237 5 ай бұрын
Kuna vitu vinagonga Hadi ndani ya roho
@Clement_Level
@Clement_Level 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🤗🤗
@allanmutati
@allanmutati 3 ай бұрын
More graceministers .From Kenya with Love❤
@lusajomwankusye3477
@lusajomwankusye3477 6 ай бұрын
❤❤❤
@TshibangAlain
@TshibangAlain 3 ай бұрын
depouis la RDC nzambe atobuama vrement
@wenseslasdjumasuleymantv8849
@wenseslasdjumasuleymantv8849 3 ай бұрын
🇹🇿 🇨🇩 TUKIUNGANA AFRICA DUNIA ITAINUWA JINA LA YESU
@magejay4715
@magejay4715 5 ай бұрын
Nyimbo yangu ya mwaka nairudia Kila mara nikiwa kazini nikiwa nyumbani nikiwa barabarani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@alexbuya9665
@alexbuya9665 3 ай бұрын
I love the Energy, vile sijui kucheza naogopa tukifika mbinguni kutakuwaje?!navile huko nikuimba na kucheza❤❤❤❤
@misterceo15
@misterceo15 6 ай бұрын
Amazing work... You guys are doing a great work and I am sure the throne of God is shaking now 🔥
@Me-Shercky
@Me-Shercky 20 күн бұрын
hilo neno la KWANZA NI GANI BEFORE ASEME BWANA UNANIPENDAA????
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 5 ай бұрын
Waoooooo baraka za Mungu zisiwapungukie Kila siku
@jacquelinemayala3269
@jacquelinemayala3269 6 ай бұрын
OWT🔥🔥🔥🔥🔥
@JORDANIRWEYEMAMU
@JORDANIRWEYEMAMU 5 ай бұрын
owt waooooooooooooooooooooooooooooo mungu awape nguvu zaidi
@michaelwafula-y8o
@michaelwafula-y8o 3 ай бұрын
I love the bassist and the soloist, God bless you for the perfect work.
@leonehamisi629
@leonehamisi629 4 ай бұрын
Bass guitarist and the drummer you've lit the show
OutReach Worship Team - Mafuta (Live Music Video)
14:48
OUTREACH WORSHIP TEAM
Рет қаралды 183 М.
WA NTUMBO, TUKIJA NTUMBO- CELEBRATION NSENGA 2024 - JOEL KABWE _ VIDEO OFFICIELLE
15:56
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Outreach Worship Team - Tunaleta Sifa (Live Music Video )
11:55
OUTREACH WORSHIP TEAM
Рет қаралды 17 М.
Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video )
14:44
Paul Clement Official
Рет қаралды 992 М.
Françoise moleka et lody Sonia_célébration kumama lisusu
15:14
diasala nkongo
Рет қаралды 107 М.
KU MCHEZEA - NOE VOICE { SEBEN LIVE CONGOLESE PRAISE }
15:55
NOE KYAVIRO VOICE
Рет қаралды 5 М.
NSENGA MUKWASHI | PASTEUR JOEL KABWE | EPHPHATHA #kathyvision_tv
17:57
kathy vision TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
OutReach Worship Team - Njia ( Live Music Video )
5:50
OUTREACH WORSHIP TEAM
Рет қаралды 40 М.
Essence of Worship ft Paul Clement -Hutimiza Maagano
15:17
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 1 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН