Ni mafundisho ya kila juma kutoka katika kanisa kuu la Bukoba , Mafundisho haya yanatolewa na Padre Dkt Faustine Kamugisha Paroko wa Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba. / @fr.josephat-sharinggo...
Пікірлер: 141
@user-jp1nr4dq5x7 сағат бұрын
Ahsante baba kamgisha mungu akutunze uenderee kutufundisha.
@josephinebiringanine71132 жыл бұрын
Haki unapoliya na kusali Mungu anajibu maombi...Umenibariki saana Padri wangu. Mungu akuweke Baba 🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@paslidahouna54052 жыл бұрын
mungu aliye kupa busara na hekima hii akuzidishie
@OdiliaAliganyilaАй бұрын
Ahsante fr kanyanyazi Kwa mahubiri mwema na mazuri Mungu akubariki
@HellenMallyАй бұрын
Asante baba mung akubark
@beatuswamara23522 күн бұрын
Nashukuru kwa neno hakika nimepata mambo mengi leo.
@lameckcolling-dr5pw Жыл бұрын
Amina
@CatherineLema-o6d26 күн бұрын
Amen
@charlesmarege45502 жыл бұрын
Naomba kuunganishwa kwenye group...Tumsifu yesu kristo
@user-sk5gu5oh7o4 ай бұрын
Amina mtumishi
@alphoncinaramadhani54102 ай бұрын
Amina 🙏🏽🙏🏽 unafundisha hali ambayo napitia asante yesu kristu kwa ukuuu wako
@eliminatarichard64572 жыл бұрын
Barikiwa Sana father kamugisha Mungu akulinde Katika utume wako nabarikiwa Sana na mafundisho yako.
@mosesjonas21822 жыл бұрын
Mungu akubariki sana ktk maisha yako
@noramotron96508 ай бұрын
Father Kamugisha, Mungu azidi kukusimamia, tunabarikiwa sana na mafundisho yako.
@dominicblass4319Ай бұрын
Tyk father Dkt k, takutakia utume mwema.
@jabatakitwala9369 Жыл бұрын
Ahsante sana!Padre kamugisha
@ghatimakonge93832 жыл бұрын
Nimekuelewa Baba nitajitahidi kwa machozi yangu nitamlilia Mungu wangu ❤️🙏 ili vifungo vyote nilivyofungwa vinitoke
@dominicblass431929 күн бұрын
Tyk, mtumishi Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako
@dailytz2 жыл бұрын
Ahsante sana Fr.Kamugisha, hakika wewe ni chombo kilichobora katika uinjilishaji....
@juliusngaga-te8jl2 ай бұрын
hongerasana baba yetu nawe unatungua moyo
@HilariaJoseph10 күн бұрын
ASANTE KWA MAFUNDISHO MAZURI
@wilhelmntenya761811 ай бұрын
Ubarikiwe Baba padre kwa mafundisho yako mazuri mno.
@dorothtobias80532 жыл бұрын
FT KAMUGISHA Napenda Sana mahubiri yako fanya makongamano mikoa mbalimbali. Wakristu wa ROM A Wanatangatanga kwenye makongamano ya madhehebu mengine kwa kukosa huduma hii.
Thank you Fr Kamugisha. I always loved your homily wakati ulikua hapa Kenya at Don Bosco Catholic Church upperhill.
@angelusmachege45212 жыл бұрын
Real preaching.
@albertamligo13502 жыл бұрын
Hongera baba upo vizuri
@user-qi2ve3xu9o10 ай бұрын
Ubarikiwe baba kwa mafundisho mazuri
@johngibson3089 Жыл бұрын
Padre asante sana. Sijapata kusikia mahubiri kama haya kutoka katoliki. Upo vzr father
@hurberthmadangwa3327 Жыл бұрын
Mungu akulinde na akutangulie ktk safari yako upadre
@jamesmboyi4742 Жыл бұрын
Mungu akulinde na kukutunza fr,umenigua sana katika somo hili.NAKUOMBA UNIOMBEE
@mimahkessy9836 Жыл бұрын
Baba padre somo ni zuri sana limenibariki na kunifungua
@gracemillanzi40562 жыл бұрын
Asante Sana Fr Kamugisha kwa mafundisho yako mazuri na kwa Mifano hai
@jellysathanas37419 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@celestineungilila445810 ай бұрын
Thenk good
@celestineungilila445810 ай бұрын
Thanks good
@pauljoseph9192 жыл бұрын
Asante father mafundisho yako yanajenga Sana nimebarikiwa🙏
@renaldangeze7472 жыл бұрын
Asante Mungu kea karama uliyompa padre wetu hajaficha karama yake
@michaelgerald88732 жыл бұрын
Amina barikiwa baba mafundisho mazuri sana na yana mafunzo mengi ya kiroho na kimwili.
@fidelisdaniel98212 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa yote
@ruciawinchislaus94242 жыл бұрын
Amina. Mungu ashukuluwe kwa kukuweka , ubarikiwe kwa kukiishi kipaji chako. NAJIFUNZA MENGI MNOO
@agnesndetaramo7209 Жыл бұрын
Asante Fr Kamugisha Ameeen 🙏🙏🙏
@user-wc3wo5ew8x5 ай бұрын
Mungu atanue zaidi wigo wako pia Nuru yako iangaze zaid ulimwenguni
@pilielias71902 жыл бұрын
Hongera sana baba paroko kwa ujumbe mzuri
@MathayoChizenga-ih6eh8 ай бұрын
Amina mungu akubariki
@thggctghcct5701 Жыл бұрын
You always help me father to continue growing spiritually thanks alot
@leonardnyakemwa35982 жыл бұрын
I have gained a great message which will help me in my life may God bless you priest
@albertamligo13502 жыл бұрын
Sawa
@edimunddiocles8843 Жыл бұрын
Mungu akwebembele
@gracewambui55292 жыл бұрын
Thank you very much fr. You have really blessed me. Thank you Lord praise you Jesus
@theresesifa16842 жыл бұрын
Ubarikiwe baba padri
@priscussulle91002 жыл бұрын
Asante baba wa kiroho mungu akulinde tuendele kupata mafundisho zaidi
@veronicagituma88922 жыл бұрын
Ameen, your word is a blessing
@leonardnyakemwa35982 жыл бұрын
May God bless your work
@nicodemntara8487 Жыл бұрын
Amina baba Padre.🙏🙏🙏
@richardchaula18602 жыл бұрын
Asante Sana Fr.Kamugisha.Mungu azidi kukubariki.
@evelynejuvenary26312 жыл бұрын
Amen Baba.... Nimebarikiwa Sana katika hili neno LA Mungu
@LucylineciambogoNjoka-zu7to Жыл бұрын
Thanks fr umenipa nguvu mpya..kupitia hii maubili
@josephmochama5756 Жыл бұрын
Kumbe machozi ni Sara iliyokamilika asante padri
@panfiliusnestory342 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atende kama ulivyonena baba paroko neno lako ni dawa
@deborahmgedzi73832 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mwenyezi Mungu.
@annachuwa34322 жыл бұрын
Barikiwa sana baba kamugisha
@frumencyshirima42752 жыл бұрын
Amina barikiwa sana,hakika umenifungua nilikuanawaza mambo yaliyopita,
@lucymasasi62412 жыл бұрын
I received the word of God...thanks Father
@restutaemmanuel92232 жыл бұрын
Asante fr. Kamugisha hakika wewe ni mtumishi wa Mungu.
@josephruhiu46052 жыл бұрын
It's good to hear from you Fr. Kamugisha since you left Nairobi in late 2000
@johnsonbagambi19082 жыл бұрын
Asante mtumishi wangu🙏🙏🙏🙏
@dismascosmas7860 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@kissaphilimonkyambile86892 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi kamgisha
@justardmutarrmwa44522 жыл бұрын
Asante Fr Kamugisha
@heriethrobert94462 жыл бұрын
Amina Fr. Kamugusha somo zuri sana🙏
@espoirwatona2858 Жыл бұрын
Baba uwa unanibariki sana
@edwinrichard89402 жыл бұрын
Asante baba
@kashanimmo9372 жыл бұрын
Asante Baba
@lydiamakhatsa75842 жыл бұрын
Ubarikiwe sana padre
@michaelmassay1882 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@reginagatitu242 жыл бұрын
Thank you fr for your blessing words
@rogeralbert5352 жыл бұрын
I received you're word of God father
@maurachorobi76837 ай бұрын
Amen to
@gwidokaobona26652 жыл бұрын
Asante baba kamugisha
@pasilisajerono74092 жыл бұрын
OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.
@matrida.lunyilija51962 жыл бұрын
Asante baba wa kiroho
@marymary83132 жыл бұрын
Thanks fr. for good lesson
@anthonypauli79652 жыл бұрын
Amina.
@adelinemtanguye9881 Жыл бұрын
Padre kweli unatoa mahubiri mazuri san pia naamini ww ndo padre wa Kwanza kutoa mahubiri yako Kila mahali
@morisichonanga78542 жыл бұрын
Amen nimebalikiwa saaana fr Kamugisha
@cristianmwanja29182 жыл бұрын
Amina! Amina!!
@marymary83132 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@catherinekarimi99932 жыл бұрын
Father Keep up
@ngalawekikohingalawekikohi47682 жыл бұрын
Nakusoma vzuri sana fadher
@franciskajessy44682 жыл бұрын
Woow uwa unanikosha sana father Kamugisha👍🙏🙏
@ferdinandmtui48532 жыл бұрын
Father asante kwa mafundisho mazuri
@paschaldamian45972 жыл бұрын
Mahubiri mazuri sana ila kanisa halina waumini
@annachuwa34322 жыл бұрын
Hilo si jukumu lako ndugu yang jukumu lako nikusikiliza maubiri tuu samahani kwailo
@lispafulgence99832 жыл бұрын
Barikiwa sana
@ladaeklkl38472 жыл бұрын
Amen amen.A very interesting lesson
@ladaeklkl38472 жыл бұрын
Kweli kila kina wakati wake nisiogope mabaya bali nikae kwa maombi
@sokikuba68392 жыл бұрын
Amena
@judyjosee53152 жыл бұрын
Ameen 🙏🏻
@agnesssimyota68742 жыл бұрын
Mafundisho yananibadisha sana
@vijotamazao7850 Жыл бұрын
Nafarijika kwa kunibadilisha mtazamo hakika sitoogopa
@roselineshisinya51892 жыл бұрын
Napenda maubiri ya Huyu father sana
@kinaratamasha54982 жыл бұрын
Hongera father
@mhongoleadriano36952 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa somo zurii
@robertndilla39112 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu!
@kalaisonkalaisongym32132 жыл бұрын
⛪⛪
@frolencerwehumbiza5982 жыл бұрын
Good tolisteniilike him
@rwizasperatus40162 жыл бұрын
Huyu alitumwa na Mungu kwakweli
@polycarpliyayi58162 жыл бұрын
Maubiri mema
@jacquelinesamson2 жыл бұрын
AMEN I AGREE AND BELIEVE IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST AMEN HALLELUJAH GLORY BE TO GOD
@neemadeule27352 жыл бұрын
Asante baba
@Mja1rz11 ай бұрын
"...Na umonaki (UTAWA wa MAPADRI) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata. Basi wale walio amini katika wao tuliwapa ujira wao. Na wengi wao ni wapotovu." (Qur'an 57:27)