Thanks my sstr vick my name is Marcelino Mtenga from iringa -kilolo to Bomalangombe village ,heshima kwako da vick na Fanani wote pamoja na sisi Hadhiraaaa Mwenyez Mung awazidishie ubunif zaid na zaid
@RachelThomas-ox3jr11 ай бұрын
Vick busara nyingi sana wanawake tuchukue somo kwa da v kwel kaz nzr asiyeelewa na ajifunze kupitia donta Tv big up kelvin ❤
@JeannetteManirambona-o6m4 ай бұрын
Sna
@SergeKambale-mz5tn11 ай бұрын
Hongera sana Da Vicky ata mimi pia umenifunza mengi kupitiya hii movie nawafata nikiwa Provence ya ituri bunia❤
@SusanWandera-lz7nf10 ай бұрын
Kwa kweli kupitia kwenu am humbled🙏🙏🙏🙏and dada vicky wewe ni mwanamke bomba much love from kenya
@KundeTz-rs9lp10 ай бұрын
Yaani kama kuelimisha munajitahidi sana kuelimisha jamii mana watu wengi pia wanaachana na mke wa ndoa kwasababu TU ya mwanamke ambae ata kwao hawakujui so Kwa hii move mwanamke kacheza vizuri sana hongera yake kwakwel
@RizikiZiki Жыл бұрын
Wa 36 sijacelewa sana wapenzi donta TV tujuwane ❤
@RenathaCosmas-m3t Жыл бұрын
Dada viky penda Sana we dada umeua sanaaaa, 😂😂😂😂 Vita baridi hiyo 😂😂😂 Kila unapo kuwa popote Mimi nipo umenibadilisha Sana we mhehe good job❤❤❤❤
@beautifulafrica6886 Жыл бұрын
Pamoja ❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹💋💋💋💋💋💞💞💞
@JacklineAndayi11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@نيجي-ن1د8 ай бұрын
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe hongera sana dada Vicky
@NshoboleClarice6 ай бұрын
Hongera dd Vicky najifunza vingi kutoka kwako Ila mungu aendelee kukutunza mpaka uolewe❤❤❤❤
@Cathrineatieno-sm3kc11 ай бұрын
Vicky unaweza vita chino ya maji n mwenye alikuwa anakusumbua pia n mzuri hajakutambua vizuri sana congratulations 👏👏
@patientluliba9 ай бұрын
Movie yenu ina fundisho nzuri na baki kwenye likies zenu.huyu dada ame cheza movie vizuri sana.
@MartinKaluba-t8f10 ай бұрын
Hii moja naikubali kwa kweli ninawapenda sana❤ i from Burundi
@batofrancis6930 Жыл бұрын
Mwenye ameona ❤bite kwa shingo la Vick like plz 😂😂😂
@SarahJoseph-r1i5 ай бұрын
Ha ha haa unamacho ww
@zuleykhasaid9673 ай бұрын
Na karema haitokii Hapo 😅😅😅
@AngelJohnson-q5pАй бұрын
Nimeona
@MwaminiKapongoАй бұрын
❤😂❤❤6. @@zuleykhasaid967
@FayfayTalente9 күн бұрын
N kweli venye vick anasema 😂😂
@SporahBonipha6 ай бұрын
Jamani viki uko vizuri sana wewe .mfano mzuri wa kuigwaaa❤❤❤
@Simonkakai21011 ай бұрын
Oya bro,kelvin unaweza baba,shikilia hapo hapo.,ila kenya twawapenda sana aisee ❤❤❤
@EzekiaMichael-jn5np Жыл бұрын
Hongera sana kaka na shemeji Viki mko vizuri sana hongera Kwa mafundisho mazuri
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Yangu pia wapokee
@AmoAmos-t7t9 ай бұрын
Kelvine vipy Kaka we mwana wakiume bana penzi ni sherehe kumbwa jemeni ❤❤❤❤🎉
@TeresiahNjoroge-b9m7 ай бұрын
Huwa na tazama nikiwa Kenya and I love the way mna act movie zenyu Mungu awabaliki sana
@TausiMiraji-vq5uw10 ай бұрын
Mimi jaman nina gundu like tu mpaka niombe hiii nyota gani ya kunguru😭😭😭😭
@NdayishimiyeAgnes-of2tnАй бұрын
😂😂😂 kaisafish sasa
@CeciliaMutua-pu8ds7 ай бұрын
❤❤❤❤ Vicky na Kelvin good job mnaelimisha jamii
@AlphonsinaSilayo-ff3pe11 ай бұрын
Ila jamani Kelvin na vickoria mnapendeza sana mkiwa mke na mume hongereni sana kwa kazi nzuri sana Mimi kikubwatu nawaombea mungu awape nguvu na afya njema mzidi kutuletea muvi nzuri zaidi
@maryd1538 Жыл бұрын
Niko karbu sijachelew❤❤❤❤ watu wang from keny
@GladysWandera-j7v8 ай бұрын
Vicky mwanamke Bomba na ujasiri pongezi.
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Walai
@EsterSiwakwifire6 ай бұрын
Aise inafundisha sanaa hii❤
@andreamtewele4439 Жыл бұрын
Duuuh izi move zinanchanganya sasaaa naona namaliza tuuu bando wekeni miendelezo basiii Kila siku move mpya
Kama wewe ni mwanamke mfupi km Mimi njooo tuandamane Kelvin katutusi njooo unipe like
@نيجي-ن1د8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣mtawezana
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Kabisa
@JeannetteManirambona-o6m4 ай бұрын
😂😂😂maandamano tena jmn
@AmosEmmanuel-i3c6 ай бұрын
Hongera sana dada vick❤❤❤
@JanetRiziki-ut2is Жыл бұрын
Asante sana muna tufundisha mengi sana mungu awabariki viki na kelvin ❤❤❤🎉
@CatherineOrupia11 ай бұрын
Congrajulation to you vicky hii kali sana
@NasraIbrahim-dw1hr11 ай бұрын
Napenda unavyojali upendo victoria
@STANLEYKINYILI9 ай бұрын
Kenya Watching, twapenda
@JoyceKisenga-mq8tt8 ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri na juhudi kubwa za kuelimisha jamii Mungu awabariki
@ShaniShebila11 ай бұрын
Huyu dad viktor huwa nampenda san❤🎉🎉🎉🎉
@florencenechesa764511 ай бұрын
Pia mm hata napenda jinsi anavyo vaa ❤❤
@ProsperMbwanji-tb1gw11 ай бұрын
Asanteni sana nimejifunza mambo mengi sana
@EMMAHMORAA Жыл бұрын
Wa kwanza Leo...love you my people.........from kenya
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Nice
@chimammymohaa Жыл бұрын
Kma umejifunza kitu kutoka kwa team kelvin tujuane kupitia kwa likes ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@InnocentAirplaneWindow-ep3tt8 ай бұрын
Kelvin ame2 funza sana asa Mimi kuna ki2 nimeji funza
@InnocentAirplaneWindow-ep3tt8 ай бұрын
Kelvin ame2 funza sana asa Mimi kuna ki2 nimeji funza
@AffectionateBread-nv5ok8 ай бұрын
Q
@ChristinaMussa-g8b8 ай бұрын
Jaman city vingi sana
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Good work to this guys
@halimamohammedsuleiman515911 ай бұрын
Victoria Asante wallah nmejifuza vitu vingi kwaajili yako❤
@TeresiahNjoroge-b9m7 ай бұрын
Napenda movie zako ingawa mm ni mgeni KZbin❤🙏🤳
@ka-maina20007 ай бұрын
Waiting mama ntilie ep.5....
@RammyanLewah11 ай бұрын
Yan hapo umemweza dada Vicky
@gaf987411 ай бұрын
hongera sana viki daah ,kelvin kaka mko vizuri sana hongera kwa mafundisho mazuri mashallah 🙏 ♥️
@VumiliaMinani11 ай бұрын
Inafunza vitu vingi sana asate teni sana mungu awatuze
@sarahnjeri-tz8eu5 ай бұрын
Mimi naweza tembea Tz nimwone huyu Vic mwenye heshima na pia mwerevu,much love from Kenya ❤❤❤
@SosiSaeed-y6iАй бұрын
Very educative,l love you guys, thanks Victoria kwa kutuelemisha sisi ambap tuko na wanaume wahanyaji❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SarahEregwa-yd8rs11 ай бұрын
Oooh Vicky na Kevin mnanijazi ski nawapenda
@JeniphaAlfonce Жыл бұрын
Mimi wa mwisho jamani sijawahi kupata like naomba mnifikirie🤣🤣🤣🤣
@mobastian5050 Жыл бұрын
Wew ndo mafwaila kabisa😂😂😂😂😂😂
@kladahmad3333 Жыл бұрын
Tumekufikiriya sasa😂😂😂😂
@maysaghjii505811 ай бұрын
😅😅😅Victor wachekesha sana
@maysaghjii505811 ай бұрын
Victoria yaniww hunamfano nimke wakuigwa
@maysaghjii505811 ай бұрын
😅😅😅😅😅Victor subutu
@Riziki.AliSalim11 ай бұрын
hongera dear victky nawapenda sn
@fatumakidoa400611 ай бұрын
Hii imeenda wee DONTA TV wametuakilisha kweli
@NISHIMWENadege9 ай бұрын
nawapendasana mungu awabariki kwazi yenu
@WinnieJepkoech-d4v7 ай бұрын
Nimejifuza ❤❤❤❤❤the mean
@younglee527211 ай бұрын
Nimewai wa mwisho ata likes mnipee
@JustinaMumbua-j2k11 ай бұрын
Mafunzo mengi Vicky weee ni mvumilivu dada na subira pia kama ni mwigine🙆dah hpo kw hpo vita Asante pia kelvin kuomba msamaha mnapendeza🔥🙏
@Agnes-w1n8 ай бұрын
Viki we noma sana umenifunza kitu
@TabiaMussa-t6f7 ай бұрын
Vick kiukweli umeweza big up dada Vick ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@elfidelebalu23048 ай бұрын
m'y favorite 👌👌
@NISHIMWENadege9 ай бұрын
nimejifunza mengikupitia kwenu ❤❤❤
@AnneNiyonyishu-cq8nm6 ай бұрын
❤❤❤
@HedielJohn-xo9ec11 ай бұрын
NANI AMEONA LOVEBITE KWENYE SHINGO YA VICTORIA GONGA LIKE HAPA ....... WAKINA SUDBROWN TUJUANE
@gladysosoro89638 ай бұрын
Hickey kiss💋💋
@BethiGody8 ай бұрын
ivi izo love bite zenyew azifutikagi 😂😂😂😂
@zuheorsalim77596 ай бұрын
kevlin kashamnyonya kumbe hawa wasanii wanadungana kwmaza 😅
@sarahkanyuamwithi38556 ай бұрын
Mimi
@MathiasMathias-cg4nf5 ай бұрын
Okay
@حليمهال-ج3ل Жыл бұрын
Safi
@MonicaMkwama-xi3zs Жыл бұрын
NAPENDA MKIIGIZA PAMOJA. ❤❤❤
@helinasubila987 Жыл бұрын
Vicke na Kelvin na peda sana mukiseza pamojo
@brigitalalay62215 ай бұрын
Ama kweli ninyi ni kioo cha jamii.mnatoa mafundisho mazuri sana.nimewapenda bureee.mbarikiwe na mlindwe na M ungu.Amina
@princessmshana11 ай бұрын
aliyeona,love bite kwa dada vik aje uku tujumuike pamoja😜😜
@priverpriva414411 ай бұрын
😂😂
@mkasihamad722511 ай бұрын
😂😂😂
@OmaryMgoss5 ай бұрын
😂😂
@PatrickLodrigueАй бұрын
🎉😂😢
@ayshanani Жыл бұрын
Victoria ungelala achana na simu ya Kelvin wataka stress sio 😂😂😂😂😂😂
@Naumi-c7s11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aminakhamis22529 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@joycemuenimutua4506 Жыл бұрын
Good work, congratulations 👏 Kenya 🇰🇪 twawapenda
@RenathaCosmas-m3t Жыл бұрын
Waooo viky ile tu karibu mume wangu 😂😂😂😂😂 mume mwenyewe Kelvin daah nikakumbua penzi dada wa kazi 😂😂😂😂 mnafaana Sana kuigiza mume na mke 😂😂😂 😂 nawapenda❤❤❤❤
@waydaeldaudi4388 Жыл бұрын
Hahahahaaaaa Waoane kabisa hao,😂😂😂😂 Just kidding
@RenathaCosmas-m3t Жыл бұрын
@@waydaeldaudi4388 haswaaaaa
@beautifulafrica6886 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mobastian5050 Жыл бұрын
Et kelvin kaoa huyu khaa😂😂😂😂
@ashamwanganzi640011 ай бұрын
Much 💕💕 love guys nikiona vicky roho iko poa san aisei❤❤❤❤❤
@HadijaHusen-od2bw11 ай бұрын
Mnatufundisha sana
@halima23822 ай бұрын
Honger dada vick kwa njia uliyo itumia aki❤❤
@KhadijaDaniel-zr6ll11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂utakujaaa kifaaa Victoria ilaaa nawapenda sanaa maan munatupaa mafunzo mazur sana❤❤❤❤ big up
@jameskimongi1759 Жыл бұрын
Twendee nalo......wa kwanza hapa
@HellenNyambura-gh5nr8 ай бұрын
Nice.move.is.good,❤🎉❤❤🎉🎉
@TausiJuma-z9e11 ай бұрын
Mnatoa nyingi mindelezo hamna
@GraceVISAMAYANI-gj1xm11 ай бұрын
Hongera sana. Vraiment munatufunza mengi Sana.Mungu anipe hekima ya Da Vicky. Victoria nakupenda sana
@Thestronglightcinema3 ай бұрын
Kazi zenyu suri kweli mungu Awa zidi chiee kwa kipiji 🇹🇿 kms kipara❤ tuka 🌼 R.D.C🙏 Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JohariHasham11 ай бұрын
Tamaa za wanaume nazo jamani Victoria mwanamke Bora tena jasiri hongera kipenzi 💕🥰🥰🥰
@HedielJohn-xo9ec11 ай бұрын
LOVEBITE FROM VICKY SHINGO HAHHAHA LIKE HAPA PLEASE
@bennamush461610 ай бұрын
😂😂konkiii
@josephellytemu96455 ай бұрын
Alimnyandua kwanza 😂😂😂ili move inoge
@mobastian5050 Жыл бұрын
Mmmh mnawai mnoo kha
@dottokibiki898411 ай бұрын
Kazi yao ni nzuri
@Ased-qy7sh2 ай бұрын
Hakika vick mme atakae kuja kukuoa atapata laha Sana sawa tunajua ni kuigiza Ila naww Apo unajifunza jins ya kuishi na mme wako nakupenda San vickitory py na brother Kelvin nampenda py mungu awasimamie kwa kila jambo lenu na ajibu maombi yenu yote mnayo omba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@basimisemusafiri48563 ай бұрын
Jaman ❤kelvin aukueeka mapati tutajuwaaje Kama ulifanyiya ibyobyashara kazi nakutoka na Victory
@RehemaMusa-s5x2 ай бұрын
Ubarikiwe da vick kwa busara zako jmn umenifunza nikiolewa sitapata shida
@hannan279311 ай бұрын
Mumeweza🎉
@JamimaZ7 күн бұрын
Kelven ulipata mke Bora n Vicktoria hongera Kwa Vick❤❤❤❤❤mwenye msamaha hatak mambo mengi usirudie Hilo kosa Kelvin
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Unalia nini ss wakati umjui kelvin😂😂😂😂😂Viky😊😊😊😊😊
@MakhuMasudi4 ай бұрын
Daa vicky asante kwa kunifanya niwe jasiri kwa sasa lkua nmekata tamaa kabisa lkn kwa Acha tu niseme asante Mungu ...umeweza daa keep it up
@PenziiMkami3 ай бұрын
Heshima Yako Vicky akh inatufunza sana sisi Wake ya ❤❤❤❤ ,.... Kama Vicky anakufunza gonga like ukipita wadau.❤
@ruthsyokau75279 ай бұрын
much love from kenya❤❤❤
@dinahmoraa9943 Жыл бұрын
Wa mwizo kufika mnipe likes zenu
@Phoebenafula Жыл бұрын
Wa mwisho hoyeeeeee likes nipeni jameni keep it up team Kevin na Victoria nawapenda bureee ❤❤❤❤❤
@MerlinamerlinasPhalikia Жыл бұрын
Much love from Mombasa kenya ❤❤❤
@Zainajuma-n5n2 ай бұрын
Honhera San Dada Vick kwanjia uliyo tumia ❤❤❤
@DanielPaluku-rp9pw3 ай бұрын
Sisi ma single girls tuna uwawa bure jamani hatujuwake kama waume zenu wana wake ahaaa😍💋👂,asanteni dah
@Damacline400411 ай бұрын
Jamani viki mzuri kajariwa urembo
@حليمهالبلوشي-ز5ث11 ай бұрын
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote nawakubali sana ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂najifuza mengu toka kwenu😂😂😂😂😂
@JoyceOenga2 ай бұрын
Wow congrats 👏 if you have forgiven each other may God bless you
@RobertoMisigiri-lk3ld Жыл бұрын
Wa Kwanzaa🔥🔥👏
@YusuphIjengo-md8kf10 ай бұрын
Yaani hicho kitanda mnakionea 😂😂😂 any way likes zangu mi wa mwisho, natafuta likes tu😅😅
@AnnaMathias-h3s6 ай бұрын
Kwakweli dada vick uko vizur kabisaa naamin kama upo kwenye ndoa naiman ndoa yako inafuraha sanaa
@toshaelias7138 Жыл бұрын
Jamani hacha nawape mama yenu ❤❤❤
@KaroliCharles Жыл бұрын
twende na burudan kutoka kwa Kevin zikivika comment 1000 tuna rud kivingine