PALLA MIDUNDO:NIKI MBISHI/HUYU JAMAA HAYUKO SAWA/MAJANI MASTER JAY/WOTE WANAFANANA/ALBUM NGOMA 34.

  Рет қаралды 969

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 2
@nicksoncharles8240
@nicksoncharles8240 4 жыл бұрын
Respect bro palla
@kyaa006
@kyaa006 3 жыл бұрын
Mziki ni Biashara, na kama ni biashara kila msanii anatakiwa alifahamu soko lake, na akisha fahamu soko lake basi atatengeneza bidhaa(nyimbo) zinazoitajika na soko lake, na ahakikishe soko analolilenga basi liwe na uwezo wa kununua bidhaa hiyo hivyo maudhui ya msanii yalenge kuwateka wateja wake ili wateja wawetayari kununua bila kushurutishwa au kutafuta njia za kona - bahati mbaya sana wasanii wengi sana wa HipHop huwa hawafahamu hili wanaimba nyimbo zao ambazo kwa kiasi kikubwa wanaoupenda basi huwa hawana uwezo wa kununua au si wananuaji ni hao wanaotaka kupata bure nyimbo za wana na kusikilizia getto wakiwa wanavuta vyombo vyao vya kisimiri orkokola .............msanii anatakiwa kubalance wateja aimbe kwa ajili ya masela, kwa ajili ya masister du, aimbe kwa kundi la watu wa umri wa kati na makundi mengine kama watoto/wanafunzi (hawa mara nyingi si wanunuaji bali ni watu ambao hufuatilia kazi za wasanii kwa kiasi kikubwa - nirahisi kuja kwenye shoo za bure pale koko beach na kukupa shwangwe za nguvu ila kwenye kununua album kwa elfu kumi sahau wataishia kwenda vibanda umiza kunyonya kwa buku buku )
Godzilla x Nikki Mbishi - Stay Freestyle (Directed by Skywalker)
3:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 110 М.
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mzee Mwinyi Jaku - Cancer ya Koo inatibika
17:27
ZOP TV
Рет қаралды 8 М.