Рет қаралды 4,527
jinsi ya kutegeneza mifuko ya kaki. katika video hii fupi nimeonyesha njia rahisi hatua kwa hatua ili kuweza kutengeneza mifuko ya kaki ukiwa nyumbani. maligafi zilizotumika ni karatasi ya kaki pamoja na gundi. angalia mpaka mwisho, pia usisahau kusubscribe, kushare na kucoment.
music by:
kzbin.infom...