AMEN🙏🙏🙏NAMSHUKURU MUNGU AMEANZA KUNIFUNGULIA MILANGO,,NIIMAN SANA KUWAJENGEA WAZAZI BUT KUPITIA MAFUNDISHO HAYA KUFIKIA JANA SALARY YA HUU MWEZI NIMENUNUA MABATI NA NINA IMAN ATATIMIZA MALENGO YA MAISHA YANGU.BARIKIWA SANA MTUMISHI NASHUKURU MUNGU KUPITIA UJUMBE WAKO.🙏🙏🙏