PART 2 : "MIMI NA UMBEA WANGU SIWEZI KUVUKA MIPAKA, AANZE KUJISAFISHA ,ANAONA NDOA NI DILI" -LOKOLE

  Рет қаралды 38,475

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@aminkasim7731
@aminkasim7731 Жыл бұрын
Fact 💯 juma lokole,,, mwijaku msengee tuuh yuwataka mume
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Juma mm huwa nakupenda sanaaa Ila huwa unazingua sanaaaa kumtaja hamissa mobetto acha Basi muache dada wa watu jmn pls pls pls
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Jamani kuolewa ni majaliwa hakuna mtu asiependa kuolewa
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@athumanimtajih
@athumanimtajih Жыл бұрын
Wapo wasiopenda
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
WASAFI NI KWELI,ALIWAHI SEMA HAYO HAPO STUDIO,KWA ANAMSHAURI MAMA,NDOA MUHIMU,MAJIBU YA HUYO MAMA ANAJUA MWENYEWE...HUYO KIJANA ALISEMA MARA KWA MARA,RUDINI NYUMA MTAINA,ALIKUWA MSHAURI
@nashajuma2917
@nashajuma2917 Жыл бұрын
Inauma wallai pole bi khadija
@salimkilala8753
@salimkilala8753 Жыл бұрын
Mwijaku kapiga kwenye mshono
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 Жыл бұрын
Huyu mama ni mtu mzima nimzazi wa watu pia Ana hekima wa muache
@KuluthumuJuma
@KuluthumuJuma Жыл бұрын
Exactly 💯
@mamaryammaryam7873
@mamaryammaryam7873 Жыл бұрын
Sote tugopeni mungu kwelikweli sote tutaondoka Dunia tutaicha na pesa zetu tutaziacha.
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 Жыл бұрын
Mzazi mwenyewe si kamtafuta mwijaku mwenyewe uyo mama mwenyewe hana adabu anatafuta comments za mwijaku na ende uko
@AlineRehema-k4h
@AlineRehema-k4h Жыл бұрын
😊😊 😊😊
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Жыл бұрын
Mama Pole sana m/mungu atakupa subira mama khadija kopa
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Жыл бұрын
Mwijaku yupo sahihi Khadija kopa njaa ndo ina mdhalilisha
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Juma leo umesema 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Жыл бұрын
Mzazi mwenyewe anatafuta comments za mwijaku kila kona
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Acha ukum wewe uoni kama mwijaku kuma
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Ukikua utaelewa uchungu wake
@mira748
@mira748 Жыл бұрын
Ila n'a nyinyi mnaupendeleo, ninacho ona mwijaku haja ongea vibaya ao uongo. Ni ukweli mtupu. Ndiyo maana mmecharuka.nyamazeni basi
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Alicho ongea ni kibaya,,, km ni zinaa mbona Marioo na paula anawashabikia kila kukicha,, na kuwaita jay z na Beyonce Je wao wameshaolewa??
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Namaanisha wameshaona??
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Жыл бұрын
mupubafu wewe haujaza ujuwe watoto wanataka nini wala wana fanya nini.
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 Жыл бұрын
Juma ajielewa sanaa👌🥰 huwa havuki mipaka.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Жыл бұрын
Tatizo la mwijaku sifa zakinafki km alitaka kutoa mawaidha basi angetaja watoto wote wanaofanya zinaa kwa ujumla sio kumtaja zuchu! Huoni huo km ni unafki tu anatafuta kutrend tu hana jipya
@MwamvitaKizua
@MwamvitaKizua Жыл бұрын
Upo right kabisa ndugu yang juzi tu katoka kulipa Promo penz la Paula na marioo wale wapo kwenye ndoa? Acha zako wewe usipende kuingia sehemu zisizoingilika shauri yako! Kaka ushauri wa bure amtake radhi mama plz Fanya hivyo kwa haraka
@shawalmusa5595
@shawalmusa5595 Жыл бұрын
Mwijaku ni mshenzi sanaaa alafu hanaga adabu ata ya shillings 1
@seifsaidi
@seifsaidi Жыл бұрын
Mbona nyinyi mnamchafua hamoniz na wazazi wake
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Mh, lin
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
@seifsaidi: hakunasiku wala wambea ambao wameisha mkashifu mama Harmonize
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Acha ukuma wewe katobwe na hamo
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Жыл бұрын
Jamani mwijaku Hana tofauti na ombaomba anatafuta kiki ili apate ugali njaa itamuua,mwacheni msimpe ujikoyeye kaoa au
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Жыл бұрын
Hawa wasenge kweli boss wao kamziaki kiba kw mkewe wamekaa kmy
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Wewe nae twazungumzia mama apa km unanyege jitie madole
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Huyu mwijaku anataka kujulikana na domo lake kuropoka tuu kwa wamfungulie kesi mbwa huyo😏😏
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 Жыл бұрын
Alyewambia ndoa Ndio furaha Nani. Hawajuwi bimbweka vya ndoa. Tena Zuchu uwe makini siku ukiolewa ukiolewa olewa na mwanamume unayempenda wewe sio sisi. Mimi na matatizo yangu yanatosha. Eee Mungu nipe mtoto mzuri na mchapa kazi kama Zuchu.
@zuhuramwanafuno1851
@zuhuramwanafuno1851 Жыл бұрын
Bigap💕😘
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Kwann Lina sifa mie sipend jaman mie MILELE kabisaaaaa mwijaku anapenda Sina sifaa
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
Zuchu akimushitak mwijaku mwazo wa sms mama Zuchu njo amemujibu vibaya tuu kawaida pale mwijaku amekuwa akuwambiya vibaya imekuwa kama ushauri iko nawashauri
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Mungu ampe utuliv wa nafc bi khadija naelewa uchungu wake
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy Жыл бұрын
Nyie kutwa kumkashfu konde na family Ake afu nyie hamtaki msemwe sio? Dawa ya mwijaku imewakolea poleni
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
Hakuna mtu alisha mkashifu mama ya Harmonize,
@zuhuramwanafuno1851
@zuhuramwanafuno1851 Жыл бұрын
Muongeege ukweli humu chefuu huyo mamaake konde kasemwa lini humu
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Nasikia wewe unafirwa kuna m2 ameupenda mkundu wako vipi?
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Unaugonjwa wa akili ww
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Жыл бұрын
Nyie mnatetea tu ajira WASAFI. Mwijaku kakosea wapi?
@appolonation
@appolonation Жыл бұрын
Juma I do love the way u love and protect your people from Wasafi. 😂
@Kwazulu1
@Kwazulu1 Жыл бұрын
Na mke wa Allikiba je???? Mulivyomudhalilisha. Mkuki kwa Nguruwe nyie WASAFI
@fadya-w5s
@fadya-w5s Жыл бұрын
Juma hapo umenena kama watu mia.mbona hasemi ya menina
@maryamhassan1154
@maryamhassan1154 Жыл бұрын
Sijaona kosa hapo aliloliongea mwinjaku hata km ana mapungufu yake
@robert4g189
@robert4g189 Жыл бұрын
kosa ni kuinglia maisha ya watu.
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
Kukumbushana ni jambo la kawaida mi pia sijaona kosa la Mwijaku na kama ni mapungufu kila binadamu anayo
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Pia mimi mwijaku hakuongea vibaya juu ya khadija ,wanawake wa kiislamu kuzini tu kama fahyyma na rayvani na wengine Allah atusitiri
@abuubakarikirungi
@abuubakarikirungi Жыл бұрын
Sasa uyu mama kwa nini anajibishana na mtoto wa kiume mwenye tabia za kike ...mm namshauri mama aende studio atoe ngoma moja sababu ya uyo mtoto wa kike upande mume...alafu mama atulie kando 🙏
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Nikweli kabisa halafu mm nashangaa masheikh kwann hawamkatazi anaongea ayat za quran na hadithi ndivo sivo. Kila siku anakosea aya za quran
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Жыл бұрын
Mapenzi matamu jamani double D Didaaa sura imenyoooka karudi usichana kabisaaa 😂❤
@pendoleonard954
@pendoleonard954 Жыл бұрын
Hivi mama yangu mzazi kweli anajibizana insta ??hata kama kakosewa kweli?? Dunia inaenda Kasi sana aisee...
@BabakerashidaMamake
@BabakerashidaMamake Жыл бұрын
Shida yutu sisi uwislamu wetu waki swahili sanaa
@BakariMtomae
@BakariMtomae Жыл бұрын
Hakuna uislam wa kiswahili wewe
@AtkaAhmad
@AtkaAhmad Жыл бұрын
Hiyo mwijaku mjua dini kutwa mkewe anatembea nusu uchi na hasemi au kwakua anafugwa? Anaogopa kusema atakosa makazi? Ukiamua kuwa mkemeaji anzia ndaninkwako kwanza pakiwa safi toka nje
@priyahtz7255
@priyahtz7255 Жыл бұрын
Sema imani zao usijumlishe UISLAM …
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 Жыл бұрын
Mwijaku hana maadili kabisa .hajui kueti
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Жыл бұрын
inaonekana nyie watangazaji wanafiki sana,wangapi mmewasemea? ni kweli mama ametumia maneno ya hekima.nyie kwa nafasi yenu mnachochea.acheni tabia hizo.nyie wenyewe wachokonoko sana wa maisha ya watu.
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Жыл бұрын
Kweli kabisa Juma ❤
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
kabisa
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz Жыл бұрын
Mwijagu anaishi maisha ya kuzalilisha watu juzijuzi hapa aliwazalilisha mabodgurd yaani kiukweli ndugu zangu yeye hata kama ni mavi yakimpa Hela tu atayasifia sana Ili mradi tu Kuna maokoto sasa dawa yake ni kumthibiti uso Kwa uso awe kwake unamfuata sehemu yeyote alipo na mnao zalilishwa na huyu jamaa mkiendelea kumyamazia ipo siku atakuja kwako huu ndo mda wa kumzibiti huyu
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Hakika,,, yy ndio mpaliliaji mkubwa wa zinaa... Kwani si ndio huyu hyu mwijaku ambae yupo hadi kwenue kipindi cha Mr. Right?? Ss je Usilamu unaruhusu kitendo kile... Huyu ni kipwite km kipwite tu
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Mwanamke punguza sauti kidogo, unakera masikio
@abufeiy
@abufeiy Жыл бұрын
Ila mama wa Konde sio mama yenu mbona mlimdhalikisha mitandaoni kuwa kufukuzwa kwenye Nyumba ya kupanga au mmesahau???
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Oyaaa pigeni kelele mpaka mupasuke ila kwa alichokiongea Mijaku sio kibaya na yupo sawa bhna katika hili
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
Kabisaaa hamna baya aliloliongea
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Mikundu ya shangazi yenu nyote
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
@@HamzaShocki 🙏🙏🙏Allah akuongoe kijana
@rtam3150
@rtam3150 Жыл бұрын
Kweli kabisa jumalokole
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Жыл бұрын
Mwijaku ni mpumbavu bb lizima chawa wa ali kiba
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Khadija kopa ujumbe umekufikia mche mungu kwanini unaogopa umasikini?unaona zuchu kuachana na mond utapata umasikini. Bikhadija mbele ya mungu utaenda kujibu
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Sawa mke wng
@MiryamSleiman-c7p
@MiryamSleiman-c7p Жыл бұрын
Mzaz mzaz2 alafu pia kwan uy diamond s alikua uko uko afu pia uy mange na uyo mwijaku sjui kama s mtu wake zuu kashitak asa
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 Жыл бұрын
Kawaida ya wa bongo mtu anapo ongeya mambo ya ukweli mnachukuwa zingine siri zilizo jificha mnataka kuzileta hazarani mwijaku hajaongeya kwa ubaya wenye kuskiya wa skiye ila sizani kama mambo yandowa yake ao anavo anavo ishi binahusiyana na ivyo kwahiyo hadidja coppa ni mtu mzima na ameskiya aweze kuka na mwanaye amshauri mana mtoto kwa mzazi hakuwi
@rtam3150
@rtam3150 Жыл бұрын
Maskini mama khadija kopa😭😭😭
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Mwijaku asikubabaishe hana ustaarabu anapenda udhalilishaji
@JohnHanga
@JohnHanga Жыл бұрын
Mwijaku hadi wakenya wamemind sana
@rahiimal-shuwehdy1203
@rahiimal-shuwehdy1203 Жыл бұрын
Mwijaku is 💯 right.. so today we came to find out that bi Khadija is not happy with the relationship of her daughter 😢😢😢😢
@jamaryribson7671
@jamaryribson7671 Жыл бұрын
Shut up beach
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Za kuambiwa ongeza na zako
@robert4g189
@robert4g189 Жыл бұрын
so sawa kuingilia maisha ya wengine.?
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 Жыл бұрын
Kweli Juma
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Kivumbi leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Maisha ya kutokuwa na mipaka haya.sawa twendeni tu
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 Жыл бұрын
Upande mwengine mwinjaku anakosea dini haiko hivo kumdhihaki mtu amwite pembeni amfahamishe asichoke iko siku anaweza akazinduka.... mana wk wengi wachafu na wakipata mabwana yy hua wa mwanzo kusifia mapenzi yao
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Sawa nikweli lakin likishatokea tumpongeze tu manake sio siri tena
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Жыл бұрын
Tatizo la daimond pamoja na wasafi mnamchekea sana .mnamchukulia ndo anatafuta riziki kupitia kuwasema wasafi akiwemo daimond .mpaka mama dangote siku kibao anamvunjia heshima mashabiki tunatukanana kwenye koment baadae huyo simba anamkumbatia na kumsaidia shida zake lazima atawapanda kichwani anajuwa hamuwezi kumfanya chochote .mbona Ali kiba anamuheshimu na hamuongelei vibaya na akitokea mtu anamsema kiba anasimama nae kwakumtetea juzi tu hapa kamsema gigi money kisa tu kiba asichafuliwe mimi huwa sikoment sana siku hizi simba akitukanwa maana baadae mnamkumbatia wenyewe leo ndo mwisho kutoa maoni yangu kuhusu watu wanamvunjia heshima simba na familia yake
@fabiannjovu2273
@fabiannjovu2273 Жыл бұрын
WW HAJIMARA MBONA MLIKUA MNA MCHARURAA HAIKUWA NDOA ILE MSIJIFANYE WEMA KISA WATU WA WCB NDO WAMEGUSWA HAPO
@fekechempare7510
@fekechempare7510 Жыл бұрын
Mwijaku ni mpumbavu sana, acha kutumia kivuli cha dini kuchafua watu tena mama zako halafu mitandaoni, mfate direct mwambie sio uje umwambie kwenye mitandao. Kwa hili kaka omba radhi haraka mnoitakucost. Laana hiyo kaka, nadhan hata mkeo unamchanganya sana kwa hili.
@khamishumba6511
@khamishumba6511 Жыл бұрын
Dida shaibu km anasharibu😅😅😅
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
Mama hadij punguza makasiliko jiheshimu..🙆‍♀️🙆‍♀️
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Kweli kabisa ataenda kuulizwa.
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Mama ako pia ataenda ulizwa mana anafirana sana wewe hujui2
@Dalaman10
@Dalaman10 Жыл бұрын
Mama khadija leo nimekuelewa. Kweli kama mzazi unaumia. Zuchu anakudhalilisha na kukuumiza. Anakutukanisha mitandaoni. Anavaa uchi sana . Anajidhalilisha sana. Diamond si mwanamme kwa nini anamtetea . Mwanamme na hasa si mumeo usimtetee juzi juzi tuu katembea na FANTANA leo unamkingia kifua hadharani umejitoa live MPUMBAV MKUBWA
@HamzaShocki
@HamzaShocki Жыл бұрын
Kuma la mama ako fanya heshma kidogo
@SarahMaloba-gd4yf
@SarahMaloba-gd4yf Жыл бұрын
Mwijaku umezidisha bwana mpaka tumekasilika kwa nini uongehi mama wa mtu , mama wako ndo mama duniani, mwijaku we shuli muongeleya harmonize kusemana na mwanamke sasa yeye ana muongeleya zuchu na mamake
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 Жыл бұрын
Mbona kipitwe
@godfreylutengano9367
@godfreylutengano9367 Жыл бұрын
Tisa kumi ila nae Khadija kopa ni mmoja wa wazaz wa hovyo, yeye si ndio alisema amezaa wengine wame-----
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Mwajaku hajakosea amesema ukweli kama nikumuowa amuowe tu asimzini. Sasa wanaomtukana na kumuona mpumbavu kwa vile amekataza uzinifu ni wapumbavu
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Жыл бұрын
kweli juma kaogeya ukweli😉😉mwejaku kapitiliza inabidi wamuweke wazi sasa na miminnaugana na jumalokole .fanya ubeya ila muzanzi umupe na fasi yake
@MwamvitaKizua
@MwamvitaKizua Жыл бұрын
Mwijaku my brother pls ushauri wa bure mtake radhi mama plz Nazi haishindani najiwe mwijaku haya maneno yashike mbona marioo unaemshabikia na Paula tena unalipa promo penzi lao mbona hukemei hiyo zinaa unayoipigia promo? Unamchukia Sana zuchu wangapi wanazini huoni? Umeona zuchu tu?
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Жыл бұрын
Mwijaku kamkosea wapi huyo mama?
@khamishumba6511
@khamishumba6511 Жыл бұрын
Lokole mishipa imemsimama 😂😂😂
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Жыл бұрын
Huyo ni chawa kama hajazungumza kwenye mitandao hawezi kula nyani haoni mkundu wake anaona mkundu wa mwenziwe jiheshimu wewe unasema mtu wa dini halafu unajuwa na mambo yasio eleweka hatukuelewi uko dhakar au khuntha
@SeifuNassoro-po6rb
@SeifuNassoro-po6rb Жыл бұрын
Ww juma unatetea ujinga mwijaku yuko sahihi
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 Жыл бұрын
Mwijaku kawapa ukweli loh 😅poleni mwambieni bosi wenu amuoe basi
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Kweli kabisa
@SaidAL-SHARJI-j6m
@SaidAL-SHARJI-j6m Жыл бұрын
Kwani juma kaokoka lini
@fatmabY-m5u
@fatmabY-m5u Жыл бұрын
mnanichekesha nyie eti kipwite..Hii inatamkwa.. KIPWATE ni mtu mwenye kutaka kitu kwa haraka haraka hana kusubiri kimbele mbele wa jambo anataka aonekane yeye kalianza mwanzo kuliko mwengine..huyo anaitwa mtu mwenye KIPWATE
@AkramatyRajabu
@AkramatyRajabu Жыл бұрын
Wenaye inaonekana.imekuuma mwijaku yup sawa
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
Tena zaidi ya sawa
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Жыл бұрын
Kwel kunya anye kuku,,,hv kuna channel inayosimanga watu km hii??😂😂😂😂km ww lokole uliwah sema mama ake harmonise anaangaika vijijin hana maisha mazur,,leo mshipa wa mkundu umekusimama😅😅😅😅😅😅😅Asante mwijaku
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Halafu kuolewa ni majaliwa na waliokosa wa kuwaoa wasiwe na mausiano?
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
Apo Sasa nashangaa ndoa Ni furaha na Amani ayo mengineo Aya mana
@LuluLevy
@LuluLevy Жыл бұрын
Hapa zuchu asimalize hela maana pia mamake kamtusi mwijaku hii ilikuwa titi fo tati mamake na zuchu angekaa kimya bila kumrudishia hapa zuchu angechukuwa maamuzi anayotaka yeye sina ubaya maoni tu kama maoni ya wengine
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
Upo sahh
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
Mi sikuskia tusi la mwijaku niliona ukweli mchungu tu😂😂😂😂
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 Жыл бұрын
Mbona huyo bosiwenu alimtaja mke wa Kiba hamkusema
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
😂😂😂😂we ziro
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Lini? Yy alisema Amina jee Amina ni mke wa kiba tu
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 Жыл бұрын
​@@ZINDUKAMUISILAMU30kwan zuchu yupo mmoja tu
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Жыл бұрын
Kwa kwel😂😂😂😂😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Hakuna mtu NAMPENDA KATIKA MAISHA YANGU KAMA MAMA YAKE ZUCHU YAN HAPA MPAKA MACHOZI YANANITOKA YAN MAMA ZUCHU NAKUMBUKA MIE MDOGO SANA MAREHEM MAMA YETU ALIKUWA ANATUPELEKA KWENYE SHOO ZAKE
@abdallaabdalla998
@abdallaabdalla998 Жыл бұрын
Kwa hiyo Juma Lokole na yeye Kipwite?😂😂
@Mwanasha-cf9vd
@Mwanasha-cf9vd Жыл бұрын
Mwijaku mjinga sana kama nimshauri mbona asimshauri Kiba akafata mkewe ame muacha Kenya huku daa yuwazini nakina nifah mnafiki tu
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Mke ndo amekimbia mwenyewe na anataka talaka mume hataki
@diuchilesaidi778
@diuchilesaidi778 Жыл бұрын
Ujinga tu mnaacha kuongea ya maana mnaongea ujinga mumrudie mungu
@didakalaule7840
@didakalaule7840 Жыл бұрын
Ila Mwijaku yatakiwa atiwe adabu mana ana vuka mipaka sasa
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 Жыл бұрын
huyu mama tokea hpo zuchu alipomaliza kuongea angekaa kimya sheria ifate mkondo wake, mwishowe haaribu kabisa.
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg Жыл бұрын
Ukweli kasema mwijaku hatakama inauma lakini kasema ujumbe umefika zinaa mbaya inasababisha vifo na ukame mwacheni mwijaku aongee viongozi wadini kilasiku wanasema
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Kweli kabisa na wanao mpinga niwazifu tu
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 Жыл бұрын
Nimizani manara kumbe dida.😢
@sabrakiswanya769
@sabrakiswanya769 Жыл бұрын
Haaaahaaa nimechekaaaa🤣🤣🤣
@LuluLevy
@LuluLevy Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 jamani
@jsabood
@jsabood Жыл бұрын
Hiki kipindi kisitumike kutowa siri za watu. Menina anahusika na nini na uchafu wa zuchu. Juma lukole anasema tuu wakati mwijaku alisema kwenye nguzo za kiislam. Maadili ya dini hayaruhusu kufanya zina bila ya ndoa. Mama mtu na mtoto wana makosa.
@iddysonyo266
@iddysonyo266 Жыл бұрын
vp kuhusu diamond kwa mke wa Ally kiba mbona hamjaweka vikao
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Nyinyi nyote mnao mteteya ujinqa moto unawahudu mwijaku alirekebisha hakumtukana mtu
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Sasa hapoo Hamisa kafata nn kwani Hamisa amezaliwa na mwijakuuu
@taseleli9181
@taseleli9181 Жыл бұрын
Kwa kweli nimeshangaa sana bila kumtaja Hamisa siku hazisogei?
@goldenboytiger799
@goldenboytiger799 Жыл бұрын
😂😂😂😂sasa wasafi media imekua githeri media hii ni issue ya family
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
Jamani ukweli unaumaaa
@Mumewangu
@Mumewangu Жыл бұрын
Mwijaku amesema kweli
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Жыл бұрын
Machawa wanapiga umbea msituchoshe na huyo sura ya chura wenu zuchu
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Жыл бұрын
Kwani wewe unamzidi mini zuhura acha chuki binafsi
@BarakaIssa-dy5rn
@BarakaIssa-dy5rn Жыл бұрын
Acha uijinga😂😂unamzidi nn zuchu wewe😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
Huna hakili ww mwenyesula Zuri uko wap chitobori au😂😂😂 ùsikufuru umbaji
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 Жыл бұрын
Umetumwa uwasikilize
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Жыл бұрын
Matako ya zuchu kama matiti ya mbwa😂
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Жыл бұрын
KUNA DESTURI,MILA NA DINI..USHAURI! HATA NYIE UMBEA UMEZIDIII😅
@solangebagal149
@solangebagal149 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Dalaman10
@Dalaman10 Жыл бұрын
Kweli. Mwinjaku anampalilia paula na marioo kwani wale wameoana? Zuchu ajiheshimu anamkosea mama ake. Leo angejisitiri na zinaa yake basi haya matusi asingetukanwa mama ake. Ila mwinjaku kafaa leo kizimkazi kaimba na hijabu😅. Na angalau kavaa suruali ndefu haijachanwa😅
@fabiannjovu2273
@fabiannjovu2273 Жыл бұрын
HAWA WANAPIGA DOMO COZ BOSS WAO KAGUSWA😂😂
@rehemashikeli961
@rehemashikeli961 Жыл бұрын
Ndio hapo wangetajwa wengine wangefurahi nafsi zao
@iddysonyo266
@iddysonyo266 Жыл бұрын
hapohapo mlimchamba kajala na Paula Leo hi kwasababu zuchu anadate nabosi wenu muache unafiki na nyie
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Mwijaku hana akili ,alileta zarau shule,itakuwa na nyumbani pia ndo maana hana maadili
@MponjoliSaver-fr5tc
@MponjoliSaver-fr5tc Жыл бұрын
Huyo khadija kopa ndo hajieshimu
@ashaothman-vz7ro
@ashaothman-vz7ro Жыл бұрын
Tatizo hamtaki kiwambia ukweli unauma dunia tuna pita as site makhalifa tuambiane
@benjaminmartin4548
@benjaminmartin4548 Жыл бұрын
Nani kasikia omba omba wa Taifa. 😂
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
ALICHO KISEMA MWL MWAKASEGE  KWENYE IBADA YA SHUKRANI ILIYOFANYIKA KKKT-DMP
3:36
SEE HOW KAMBA MUSCIAN DID AT PATRICK MWANZA NDELA BOY BAND BURIAL
1:01:56