No video

PART1: MTI WA AJABU, UKIUPANDA MTU ANAKUFA, MKE HAZAI, SHEHE AELEZEA A-Z..

  Рет қаралды 103,647

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

PART 1: MTI WA AJABU, UKIUPANDA WATU WANAKUFA, MKE HAZAI, SHEHE AELEZEA A-Z..
Ukistaajabu Ya Musa Utayaona ya Firauni! Mti unaoitwa 'Germany Tree' unaofahamika zaidi kwa jina la Mti Chonganishi, ni aina ya mti ambao hupendwa sana na watu na hupandwa kwenye majumba ya watu...
Mti huo unasemekana kuwa na tabia za ajabu yaani ukiupanda nyumbani kwako basi nyumba hiyo haitakauka vimbweka ikiwa ni pamoja na watu kufariki, magonjwa, migogoro isiyoisha, kama umepandwa maeneo ya shuleni basi wanafunzi wanaweza kupata balaa la kuanguka anguka...
Global TV imepita mtaani na kushuhudia nyumba kadhaa zikiwa zimeupanda mti huo na kuzungumza na wahusika, majirani na watu mbalimbali wanafahamu vizuri historia ya mti huo..
Aidha tumezungumza na Sheikh Shariff Majini, ambaye ameelezea kwa kina zaidi juu ya mti huo na kutaja aina mbalimbali za miti ambayo ni hatari kuipanda majumbani.
Hii ni sehemu ya kwanza ya Historia ya Mti huu, sehemu ya pili itakujia kesho Agosti 13, saa 12 jioni.
#MTIWAJABU
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 147
@adrianamoce6052
@adrianamoce6052 5 жыл бұрын
Nikweli kabisaaaa ndugu zangu huu mti unaitwa umblela una asili ya majini na ukiupanda nyumbani kwako lazima mizizi yake ije hadi chumbani hapo ndipo mtafaluku wafamilia unapo anzia ukitaka kuamini fuatilia baadhi ya nyumba ulipo pandwa harafu angalia kama kunausalama
@kamdenabdullah614
@kamdenabdullah614 3 жыл бұрын
I know Im kinda randomly asking but does anyone know of a good website to stream newly released movies online ?
@eliankaison7472
@eliankaison7472 3 жыл бұрын
@Kamden Abdullah i use FlixZone. You can find it by googling :)
@dianamessoh209
@dianamessoh209 Жыл бұрын
@@eliankaison7472 qqq
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 жыл бұрын
Duh asanteni kwakutujuza na Mungu awabariki
@masongatz
@masongatz 5 жыл бұрын
Sheikh nimekuelewa sana endeleeni kutuelimisha katika kweli ya Mungu hata wachungaji pia wamekuwa wakiuzungumzia mti huu
@abrahamreginald5780
@abrahamreginald5780 5 жыл бұрын
Asilimia kubwa ya watu kanda ya pwani ya Tanzania na visiwa vyake. kuongeza na watu wa mikoa ya kusini, hupenda sana shirki pindi wanapokutana na changamoto mbalimbali maishani.
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Shiriki ufanywa na mwanadamu sio pwani au kusini je na naijeria kusini uganda kusini Iraq kusini ghana pwani congo pwani ethiopia pwani wacha ushiriki ni mwanadamu anayependa shiriki
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Ukosefu wa elim ya dini. Watu wame baki kuabudu mashekhe.
@muhubiriproduction69
@muhubiriproduction69 5 жыл бұрын
TERMINALIA MANTALY; LOCAL NAMES English (umbrella tree,terminalia) BOTANIC DESCRIPTION Terminalia mantaly grows 10-20 m with an erect stem and neat, conspicuously layered branches. Bark pale grey, smooth and rather mottled. Leaves smooth, bright green when young, in terminal rosettes of 4-9 unequal leaves on short, thickened stems; length up to 7 cm, apex broadly rounded, base very tapered, margin wavy. Flowers small, greenish, in erect spikes to 5 cm long. Fruit small oval; seeds, about 1.5 cm long with no obvious wings. The generic name comes from the Latin ‘terminalis’ (ending), and refers to the habit of the leaves being crowded at the ends of the shoots.
@robinajohanssen697
@robinajohanssen697 5 жыл бұрын
Umbrella tree! Ni kweli
@epifaniamadingamadinga7565
@epifaniamadingamadinga7565 5 жыл бұрын
nimekupata saaa vizuri saana
@samuelmkiramweni639
@samuelmkiramweni639 5 жыл бұрын
Tujikabizi kwa Mungu ,hizi nii imani zakishirikina
@NambatyaMichael-jz9et
@NambatyaMichael-jz9et 5 ай бұрын
Mungu anasema mujisaidieni NAMI nitawasaidia so kama kiufupi ni mbaya basi usipandwa hata ukiipanda bila Imani yeyote m BAYA yaani Kwa Imani ya mungu tu ila hulka yake na kanunu zake sio nzuri basi vya kaiser tumwachie kaiser na vya mungu tumpeeni mungu . Sio lazima upande epukana nao maana Haina faida hata usipouoanda Bali ni karo tupu ukiupanda . Ila mungu nae tusimujaribu maana tumeambiwana tushajua sio MTU mzuri basi tusiupande nyumbani au ukitaka kuupanda ijengewe septic tank ili mizizi isiende mbali 😂
@isackmsalila982
@isackmsalila982 5 жыл бұрын
Sio mara ya kwanza kusikia habar hiz kuhusu huu mti. Inawezekana kabisa sababu kuna mti dawa na mti sumu
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 жыл бұрын
Isack Msalila huo mti ukimaliza family yetu nyumbani mi ni mukenya
@husseinramadhani7461
@husseinramadhani7461 5 жыл бұрын
Jiongeze mungu hajakusahau ondoa mashaka mashaka mtangulize mungu katika mambo yako ukimuacha mungu naye anakuacha
@hamongukecha8944
@hamongukecha8944 5 жыл бұрын
Hyo ni sahihi mm nautolea ushahd kuwa apa mtaani ninapoiahi upo kwenye nyumba ya jilani hyo nyumba ilikuwa na matatzo sana amna maelewano na mume amefaliki na mke ajulikani alipo na nyumba wameuza!!!!!
@alhajkhatib5597
@alhajkhatib5597 5 жыл бұрын
mbona kwetu umepandwa hatujaona hayo mambo
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Upuuzi mtupu. Huyu ana tangaza uganga wake
@betsonmugisha9604
@betsonmugisha9604 5 жыл бұрын
Kwangu upo na Nina kawaida yakuoteasha Matunda na kupandisha juu yake yanazaa sana Wale waliokata huu mti bila shaka wataishi milele kwa furaha na amani Hii ni kampeni tosha ya kuumaliza uzao wa mti huu mbegu zake zitabaki kwangu tu Enzi na enzi watu wanafarakana watu wanakufa wahehe wanajinyonga Kila mtu na imani yake wenye imani haba poleni mtaendelea kukikosa kivuli cha uzazi wa mpango
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Wajinga ndio wali wao
@mzenji
@mzenji 5 жыл бұрын
Miaka 60 karibia, tangu tupate uhuru, lakini bado ujinga na itikadi zisizo na maana ndio kwanza zinaenea.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Wapumbavu na washirikina walikuwepo tangu zama za Nabii Musa na bado watakuwepo hadi siku ya Mwisho
@leylahley3542
@leylahley3542 5 жыл бұрын
Cpendi kuongelea jambo ambalo sina ujuzi nalo..lakini kwahili imani imani imani..imani yko yakuponya na imani yako yakuponza..mie binafsi siamini mambo haya...lakini yote y yote allahu aalam.
@Wastara001
@Wastara001 5 жыл бұрын
Hi Leila, naomba namba yako please. Niko Mombasa, Kenya.
@roselugendo6943
@roselugendo6943 3 жыл бұрын
Miti ina maana nyingi sana, wengi hatujasoma sayansi ya miti. Kuna siri nyingi kwenye miti, maua. Kuna maua ukipanda nyoka akisikia harufu anakimbia. Kuna mimea ukiotesha unakaribisha nyoka, kuna aina ya ua la ndani, mpaka sasa yanatumika, ukikosea mtoto akatafuna anakufa, kuna miti inapendwa na mapepo. Mapepo nayo ni viumbe. Kwetu sisi kuna mkungu kuna mtu alituambia tuukate. Kuna mahusiano kati ya miti na viumbe tusiyowaona. Ukiwa muombaji mzuri utaonyeshwa
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 3 жыл бұрын
Allah ndie mwenye kuombwa kuzuia shari ya kila kitu
@milley7185
@milley7185 10 ай бұрын
mtumishi yuko sawa kabisa niliwahi waza hy kila kitu chtokea ardhini
@neemachitema8930
@neemachitema8930 4 жыл бұрын
Hata mninga pia nilisikiaga kua sio mzuri Ni nyumba ya majini, hizi Ni Imani tu, ukiupanda bila kuamini hayo hakuna madhara
@NambatyaMichael-jz9et
@NambatyaMichael-jz9et 5 ай бұрын
Ila Nyie musipende kumjaribu mungu ,SASA mukiambiwa binadamu hupenda kuishi kwenye nyumba au kulala Kwa nyumba iliofunikwa vizuri Kwa hivyo ulienda huko juwa utamupata ,halafu unasikia heti ooh hizo NI Imani Tu potovu si twende Kwa hizo nyumba maana tukiwa na Imani ya mungu hatutapata watu Kwa hizo nyumba ,kiaje sasa wakati humo NDIO wanaishi labda update wamehamia kwingine au wamesafiri au hawajarudi kutoka walikoenda ila kadri unapoishi humo hatimae wenyewe watarudi sasa ndivyo hivyo na hizo miti we utaupanda Kwa Imani Ila juwa pamoja na Imani NDIO mama ya hizo vitu Kwa hivyo wataanza vutugu wataitana wakitaka sehemu Yao iwe huru sasa NDIO Vigo vinaanza,kuepukana mbona NI KAZI ndogo tu maana sio lazima na uzuri nimeambiwa mapema kuliko wale waliupanda bila kujuwa
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 4 жыл бұрын
Tunashukuru kwa elimu sheikh
@christinepangrasio8269
@christinepangrasio8269 4 жыл бұрын
Huo ni uongo, mimi naona kila pahali hapa saudi arabia na sijaona madhala yoyote.
@ibrahimrashid7721
@ibrahimrashid7721 5 жыл бұрын
Dah kwel
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 4 жыл бұрын
Daaaah
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Only Tanzania huo mti Ndo unafanya hayo madhara,ulaya uliktoka hauna madhara,jamani Ndo Maana wazungu wanatuchekaaa,majini yapo tz tuu,imani hizi daah
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 жыл бұрын
waukweeli nikkon niukweli mjomba wangu alipanda huo mti mkewe kafariki dada za mamangu mamangu Bibi yangu na mabinamu hataa mdogo wangu niukweli Sana ndugu yangu mi ni mukenya sio mu tz
@adrianamoce6052
@adrianamoce6052 5 жыл бұрын
Kama huamini upande kwako
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
@@adrianamoce6052 Tuko nayo kibao Hapa kwetu Ndo Maana nashangaa
@adrianamoce6052
@adrianamoce6052 5 жыл бұрын
@@waukweelinikkon6555 broo hvi unajua ni miti gani
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Jamani tuache fikra potofuuu,wakati wa Kufa ukifika lzm kufa,tusiusingizie mti tukasahau kuna magonjwa na vifo vya ghafla,magomvi kwenye familia yapo kila mahali,Huku nilipo Hiyo miti ipo mingi sana,vivuli vyake tunafunga na bembea,hatujawahikuskia Hata Mtoto kadondoka,Yaani waafrika SS MUNGU atusaidie tuu,Sijui tunaotaga
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Ata nuhu wengi walikataa mpaka yalipowakuta wakakubali mda ukawa umekwisha na atasasa wapo wakipindi cha nuhu awakubali kaambiwa tusiwashangae mpaka yaje wataamini
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Kasime dini acha kumuabudu mganga
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 4 жыл бұрын
Nilishafanya uchunguzi ni kweli kabisa.
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 5 жыл бұрын
Huo ni ushirikina, mti ni mti tu unaweza kuwa dawa sumu au dawa nzuri, lakini mikosi ugomvi mapepo vifo kupoteza maarifa huo ni ushirikina, mnataka kutuaminisha kuwa pasipo na hiyo miti hapana ugomvi vifo n.k, pasipo na hayo ni pale pasipo na mtu, wagomvi na washirikina n.k ni watu siyo miti.
@amorazwafula9963
@amorazwafula9963 5 жыл бұрын
safi nipe like 254
@priscajackson8830
@priscajackson8830 5 жыл бұрын
Kuna baadhi ya miti noma ukileta ndani kama kuni yakupikia aliinakuwa mbaya kiuchumi
@Ishengoma1
@Ishengoma1 5 жыл бұрын
Kwetu hatuna miti kama hiyo wala yoyote. Hatuna hata maua. Lakini ugomvi ni kama ligi tu
@allymngwaya9855
@allymngwaya9855 5 жыл бұрын
Jina lake tu halina uhusiano na jina la shiekh. Mcha Mungu huwezi kujiita sheikh majini. Mshirikina tu huyo
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Nalichukia hili li ganga jamani . Limeteka watu wengi sana hususan wanawake. Ni shekhe wa majini huyu sio wa binadam
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
True
@salumrajab332
@salumrajab332 5 жыл бұрын
Mti hauwezi uwamtu uwongo huwo ni ushirikina
@abellkihando7308
@abellkihando7308 5 жыл бұрын
Uongo uo
@juliethmwombeki6156
@juliethmwombeki6156 5 жыл бұрын
Jaman kuen na akili basi. Hivi kama unasali kuna huu upuuzi kweli? Mungu awarehemu
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 жыл бұрын
Uchawi upo hata katika vitabu vya dini
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 2 жыл бұрын
Usipuuzie vitu hvyo vina ukweli ndan yake
@pillynyembo246
@pillynyembo246 5 жыл бұрын
Ambae aamini aupande kwake aone mie nimeukata mwezi ulioisha jirani yangu bado kaipanda hivi navyoongea mtaa mzima anaongea na watu wawili tu wote kaishagombana nao.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Si kwetu tunayo mingi sana. Hadi mingine ime katwa mbao na bado kuna mingine. Upuuzi mtupu
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 жыл бұрын
Kumbe kweli
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 5 жыл бұрын
Bora usipande yasikukute haya kuliko kupanda yakakukuta.
@aishamusa6806
@aishamusa6806 4 жыл бұрын
Hasa m.buyu.nimbaya.sana
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 жыл бұрын
Alouumba ninwenyezimngu mbona tuna kufuruh na itikaadi.hataa siri ya mwenyezimngu twaitakaa kuijuwaaaaa.lahaulaa walaa kuwataaa ilaaa billaah..kwake yeye ni qunfayaqoun..
@nelsonmatiku5862
@nelsonmatiku5862 5 жыл бұрын
Kweli kabhixa sheikh nakuunga mkono huu mti haufai kupandwa nyumbani kabhixa... sisi tulikua nao ulileta shida tuka ung’olea mbali na kuukata wote... and then tukawa fresh tu....
@abdallahmilaba5407
@abdallahmilaba5407 5 жыл бұрын
Sijui bwana lakini mimi nimeachana na mke wangu. Na majirani zangu 2 (Wapangaji ) wa nyumba hiyohiyo nao waliachana na wake zao Baadaye baadhi waliokuwepo kwenye nyumba hiyo walianza kuunyooshea vidole mti huo ambao ulikuwa jirani kabisa.
@zuhuraRamadhanl-dz7tl
@zuhuraRamadhanl-dz7tl 6 ай бұрын
Huyu. Shehe. Nae motoni. Tunaenda. Wengi
@faridayusuph9496
@faridayusuph9496 5 жыл бұрын
Duh
@honeyjerrylugose3312
@honeyjerrylugose3312 5 жыл бұрын
Sishangai walai
@jeen3098
@jeen3098 Жыл бұрын
nkweli kuhusu huu mti huu mtii tuliupanda kwetu na mnayo ya sema n kwel uana
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 5 жыл бұрын
Sisi watu weusi hatuaminigi kwa kuambiwa mpaka yatufike kama jamaa alie fiwa na wazazi wote ndo akaamini
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Mimi yalinikuta hayo huo mti m.baya kweli
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Watu weusi tunajifnza tukiwa kabrini 😁😁😁😁😂😂
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 жыл бұрын
Othman Shahib hataa mimi huo mti ulimaliza family yetu
@kassimmwamambeya4489
@kassimmwamambeya4489 5 жыл бұрын
Familia yenu ilimalizwa na izrail ama huo mti?
@allymngwaya9855
@allymngwaya9855 5 жыл бұрын
Imani za ujinga tu. Allah atawaadhibu msiemuamini
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Ninawezakukubali.kakayanguameupandakwake.yeyemwenyewe.amefariki.magovihayaishi
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 жыл бұрын
Jamaa anaconfidance kali sana kiasi kwamba unaweza dhani anachokizungumza kimekuwa documented sehemu kumbe anayatunga tu.
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Hawa ndio wale wa tuma ile hela kwenye namba hii
@mariasongea5518
@mariasongea5518 4 жыл бұрын
Mh!! Nikiamka tu naukataaa.... upo hapa om. .. ni kweli tupu yanayonisibu kwangu tangu 2015 ni sheeedah
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 5 жыл бұрын
Wewe ni shehe uchwala unaeneza uzushi wakijinga sana.Hata maelezo yako yaonyesha uzusho na uongo wako.Plz acha mawazo yakijinga
@lewismpangala927
@lewismpangala927 3 жыл бұрын
Mh mti huu mmekosea jina lakini nimiti ipo madasca na China nime Google Sana baada ya kufikilia kuikata miti hii nimeipanda minne
@rehemaedward7997
@rehemaedward7997 3 жыл бұрын
Duuuuuh nimesha elewa aiseeee🤣🤔🤔🤔🤔🤔
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 жыл бұрын
Yaan jamaa amekusanya maneno yasemwayo nawatu nakuyajengea hoja ili asikinzane na maneno ya watu.
@phedriclhusna3949
@phedriclhusna3949 5 жыл бұрын
Kuna familia jiran kaupanda uwoo mti umekuwa mkubwa kwer kila siku wanagombna watoto mbka wamefikia hatua watoto wakiume wa familia hiyo wamemwingilia mtoto wa Dada yao mbka kapata mimba kila cku ngumi mbka mzee WAP alalazwa kwaajil ya stress kumbe ni MTi tatzo nitawaambia wauchimbue
@hizim6699
@hizim6699 5 жыл бұрын
Ila mim kaniacha,, mti unaweza kugeuzwa pepo mbwa anageuzwa pepo huu mti ci mzuri mi mwenyew nauona japokuwa cina utaalamu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 жыл бұрын
Huu mti kweli kabisaaa tulikua tunabisha nyumban mpk walipokufa wazaz wangu wote ndo tukaamin.
@annawilliam1911
@annawilliam1911 5 жыл бұрын
omary kk3 mmmh samahani ilikuwaje
@financialloan9818
@financialloan9818 5 жыл бұрын
Embu tutokee apa na nuks zenu izo mmekalia uchawi chawi tuu Kwan kufa ndo nn alikufa adamu na awa nn wazazi wako?jee na lile gari la mafuta lililo waka na kuunguza watu uho mti upo apo?nyinyi ndo mnaliwa ela na awa wafuga majini apo ulipo una majini kibao kichwani kutwaa kuwatolea sadaka mala kuku mala shuka jekundu yan nyinyi binadamu mnaangamia vby sana kifo kipo na akikimbiliki ata iweje maana ni laana tangia pale Eden sasa kufa wazazi wako inausiana vp na mti?aisee tatizo elimu msxuuuuuu umenichefua kweli kweli
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 5 жыл бұрын
Babu zako wako??
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
pole kwa kupoteza wazazi wako, lkn acha fikra shirki qul nafs dhakal tul mait
@nyakwarnyongele2474
@nyakwarnyongele2474 5 жыл бұрын
Aisee hiii miti nimetokea kuipendaa mwenye miche yake anipatie nataka niipande izunguke eneo LA nyumba yangu
@pillynyembo246
@pillynyembo246 5 жыл бұрын
Sidhani kama ulinifikia mapenzi kwenye huu mti lkn sikudanganyi nimeukata hivi karibuni na ulikua ushanipa kivuri kizuri kwangu sasa jua ni kali na shinda ndani hii yote ni kwakua nimeahuhudia haya
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@pillynyembo246 pole, duniani kuna watu na viatu si kila linalozungumzwa na wengi basi lina ukweli ndani yake, sometimes u need to listen to ur self. sasa umeukata na kivuli umekikosa , pole sana. panda mwingine uwa inaota kwa kasi kama ukihudumia vizuri.
@francisedson904
@francisedson904 5 жыл бұрын
hakika mjinga ataendelea kuwa mjinga na huwaza vya kijinga tu! huo mti sisi ulipandwa nyumban kalibu na nyumba mpaka ukakua mpaka tukaupasua mbao hakuna chochote mtajifunzauongo tu,,
@fatumamohamed8203
@fatumamohamed8203 4 жыл бұрын
Wallahi sijui lakini Allah Ndie Ajuae Zaidi, Huu mti umepandwa kwa Babu yangu, Wallahi Mola ndie Ajuae zaidi, Hii family ya Babu Wallahi Hawana maelewano Mwisho watoto na baba yao ambae Ni Marehemu wameishi katika mitihani mikubwa, mwisho watoto walipanga Kumuua baba yao mwenyewe, Wakamgonga kichwani usiku lakini Allah ni mkubwa alipona. Baada ya kupona ikiwa mkorogano Moja kwa Moja yaani balaa hii family yangu kabsaa lakini hata mimi nawaogopa. Mara baada ya masiku Nyumba ya babu ilishika moto ikawaka yote nyumba kubwa sana. Mara Aunt yangu akaanzwa na maradhi, huyo ni mtoto wa huyo Babu Maskini wakawa na kitu kimejaa kwa tumbo, alipo pelekwa hospital akawa operated na akatolewa nyama kilo nne, baada ya wiki mbili au Tate Akafa. Sasa kufa ujue family ina mgogogoro hata wengine wanaishi hapo lakini wakakataa kumzika dada yao. Na mpaka leo bado ni hivyo balaa tuu wamegaanyika mmoja haongei na mamake na amekwambia mamake siku akikanyaga nyumba yake ndio mwisho wake. Sasa imagine wanaishi katika shamba moja na saa hii huyo Uncle yangu anawatoto 3 na huyo bibi hana Ruhusa ya kukanyaga hapo, Pia kabla sihasahau nilishangaa Hati huyo Marham Babu waliachana na bibi yake wakiwa wazee sanaa hata wana vitukuu jamani Allahu Yaalam but Huu mti upo hapo tena si mmoja mingi na hivi kuna mikozo ya shamba Waliobaki humo ni ndugu na mama yao na Hawaelewani Kabsaaaaaaa.😥😥
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 жыл бұрын
Kujinyonga kwa mwanaume kuna ishara yamambo mengi sannna wala hakuna uhusiano na mti, wanaume ni wasiri sannna anaweza kuwa namambo yanamkwaza asipoyapatia majibu huweza akajinyonga
@saeedmrindoko4074
@saeedmrindoko4074 4 жыл бұрын
Sasa bora kupanda bangi tu
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 5 жыл бұрын
Wewe ni adui wa mazingira
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Kweli kabisa. Serikali inge mchukulia hatua
@softymoha5484
@softymoha5484 5 жыл бұрын
Huu mti kule Kenya kuna Wakati kila mtu aliupanda, lakini ni kitambo kidogo, ilifikia Wakati tulitangaziwa kila mtu aukate eti sio mzuri. Na hatukuwa hi ambiwa sababu. Lakini kila mtu aliukata, hata kwetu nyumbani tuliukata
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Mlitangaziwa na nani ?
@softymoha5484
@softymoha5484 5 жыл бұрын
@@bjzee1981 tulikuwa tunatangaziwa na wakuu wa mikoa
@bibimzee7880
@bibimzee7880 4 жыл бұрын
Jamani huu ni ule tunaeta mwavuli
@Kumbukwa83
@Kumbukwa83 4 жыл бұрын
Hii ni elimu ya kishetani kabisa
@naomikavosa4485
@naomikavosa4485 5 жыл бұрын
Uwongo mbona ss tunayo nyingi sana kwetu sijawahi ona
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 5 жыл бұрын
Naomi Kavosa wakati utaanza kazi dadangu utajuwa mimi ni mukenya na huo mti tulikuwa hatuujuwi mjomba wangu alikuja nayo akaupanda eti urembo mkewe ndio alikuwa wa Kwanza dada za mamangu siku moja wawili binamu zangu mamangu na bibi yangu mdogo wangu na mabinamu usiwe mubishi wakati mimi ni mukenya na nilishuhudia
@emanuelmtenda6419
@emanuelmtenda6419 5 жыл бұрын
Jamani tuache uwongo hakuna mahusiano yoyote kati ya mti na mwanadam, kwanza hawa wazushi wanasabisha jangwa kwani watu wengi wamekata hiyo miti, huyo shehe anafaa akamatwe, hakuna tofauti na wale wanao kata miti kwa panga.
@naomikavosa4485
@naomikavosa4485 5 жыл бұрын
I believe in God and I trust in him nothing will happen coz i hv been to white countries na hizo miti zimepanwa kwa wingi na sioni shida ss wafrika tuna imani potovu believe truth and put your faith in God and nothing will happen
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Ukisikia manabii wa uongo ndio hawa. Jitu lina kuja kutangaza uganga na watu wana mfuata
@queenmaya8022
@queenmaya8022 4 жыл бұрын
Tatizo siio mti tatizo labda kuna majini na mashetwani yanakuwepo yenyewe ndio yanasababisha
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 5 жыл бұрын
Acheni uongo nyie ni watu wazima.mti wapi na wapi na kifo
@vittojorg2953
@vittojorg2953 3 жыл бұрын
Sio ukwel sisi tumepanda kwetu kimara pale ipo 5 na hkn mtafaruku wala nn na ipo inamiaka zaidi ya 20 pale
@aishahamisi5025
@aishahamisi5025 5 жыл бұрын
Jamani yani nikweli jamani jirani yangu kaipanda mingi ndani yani ndoa take chungu alafu anaumwa kila siku
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Aisha nakuja kwa jirani yako niambie ni wapi la aziz,kuna miti mingine siyo kuipanda nyumbani miashoki sijui michongoma, miti ya kiyahudi hii
@umifauz384
@umifauz384 5 жыл бұрын
uwongo wako wewe acha shirki, huo mti tu na wala usiitie quraan ktk ushirikina wako
@sefumhenga1878
@sefumhenga1878 4 жыл бұрын
Haya ww usiyekuwa mshirikina nenda kaupande nyumbani kwako.
@aishamusa6806
@aishamusa6806 4 жыл бұрын
Shule.hawapandi.miti.iyo.sio.kweli.miti.mingi.inaishi.majini.mkwaju.mzambarau..m.huyu.mkaratusi..
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Ime andikwa wapi ktk Qur'an na Sunnah? Mti ulio tajwa ktk Qur'an ni mti wa Zaqoom ambao wata ula watu wa motoni na hata hivyo hakuna hadithi iliyo thibiti kwamba watu wasi upande wala ku ukaribia. Pamoja na Kharaqat . Washirikina wenzio ndio watakao kuamini
@nadhiralfane8875
@nadhiralfane8875 5 жыл бұрын
Uwongo mtupu
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Huyu mganga ndio wale wa tuma hela kwenye namba hii au wale wanao tuma sms kuanza ku kuambia matatizo yako kisha anakwambia nitafute kwenye hii namba
@mkushplatnam1595
@mkushplatnam1595 5 жыл бұрын
sisi tunao ishi msituni mbona tuko fresh tu
@ramarsalehe8332
@ramarsalehe8332 5 жыл бұрын
mkush platnam tuliza kipago dogo
@eliacmakbwe7218
@eliacmakbwe7218 4 жыл бұрын
Duh_ngoja nikaukate🏃🏃
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Uongo mtupu. Mbona si tunayo mingi kwetu na hapaja wahi kutokea hayo yote? Ushirikina tu. Huyu shekhe fala sana ni mchawi mkubwa
@mozanalinga401
@mozanalinga401 5 жыл бұрын
Mbona matusi tena
@shireyusufducaleshireducal2367
@shireyusufducaleshireducal2367 5 жыл бұрын
Sipendi ujinga kabisa badala ya mtu kujishughulisha unaongela uchawi uchawi tu
@petrokiyenzenapendamzkihuu596
@petrokiyenzenapendamzkihuu596 5 жыл бұрын
Panda
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 жыл бұрын
Panda ndo uamin kama ni ujinga ujinga au nin ila usipande nyumba ya kupanga utafukuzwa ka mwizi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dukundanehamadah1579
@dukundanehamadah1579 5 жыл бұрын
Haaaa mimi binafsi ninao myaka 15 sasa
@shireyusufducaleshireducal2367
@shireyusufducaleshireducal2367 5 жыл бұрын
Mimi Mambo ya uchawi hauna nafasi kwenye maisha yangu
@allymadunda7931
@allymadunda7931 5 жыл бұрын
Dodoma ndo miti yao ya Vivuli.kama in kweli wachukuwe tahadhari
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Na mbona ndio imekua makao makuu😂
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
basi ofisi za serikali na lile jengo jipya vyote vitateketea bunge ndio litazamishwa kwenye ardhi kabisaaa 😄
@saeedabdullah8131
@saeedabdullah8131 4 жыл бұрын
Mukisikia kama Duniani kuna mambo ya Unafiki, fitna na mambo yakichawi ndio kama hawa watu, wewe tangu lini mti ukauwa Mtu? Acheni mambo ya kijinga, Western world UK, America, na watu wote wanaangalia science and technology and Africa's wanalelemika kuhusu MTI!!! WOW Wazee Ukweli tuseme Maendeleo yapo mbali sana sana na SISI. WISE UP YOO
@makeresiapawa7947
@makeresiapawa7947 2 жыл бұрын
kwa nini ukiugua unatumia miti kujiponya? ikiwa miti ni dawa kubali vilevile kuwa dawa ni sumu kwa upande mwingine! kila kitu kina hasi na chanya. Ujinga wako kisiwe kigezo cha kutokuwepo taaluma usiyoijua !
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 5 жыл бұрын
stupidly thinking
@hajatihajati5357
@hajatihajati5357 5 жыл бұрын
Si shirki hi to make tukiiamini apo Mungu hayupo
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 14 МЛН
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,7 МЛН
Börsfallet tilltar efter jobbsiffrorna - Kopelman och Mellqvist analyserar
13:40
Så går det för guld och silver när marknaden skakar
9:47
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 6 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16