💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@VeledianaKalolo14 күн бұрын
Dada lily Mungu akubariki sana huwa unanipa faraja sana kwa kazi unayo fanya maana ndoto zako ninaendana nami Mungu akuinue zaidi dada nakupenda sanaaa❤❤❤
@jacintamalaika9639Ай бұрын
She is beautiful both inside and outside Be strong!
@jessicamwasandube944Ай бұрын
Umeongea maneno mazuri sana lilian Mungu akubariki sana,kila ninapokusikiliza najifunza kitu.
@SamilahMethodАй бұрын
Tuko wengi tu Afu Bora ww uko na kibali cakupata na hera wengine hata mpenzi tu wakukwambia nataka kukuoa hatuna na miaka 30 bila , mtoto Wala mme Wala wazazi kiufupi tuko Dunia yetu yako pekee 😢nilishalia nikachoka nw nangoja MUNGU kuniita tu nimechoka nimechoka nimechoka nimechoka nimechoka sana
@dayana5513storyАй бұрын
Pole dear funga omba Mungu akuna kinachomshinda tuko wengi lakini nashukuru Mungu tangia nimemuamini yeye ndo muweza wa yote nimeona mkono wake
@mtzhalisi2232Ай бұрын
Pole Sana... Ila muda bado mungu yupo...
@agriparose394224 күн бұрын
Tupo wengi
@GfhGfg-y7hАй бұрын
Pole dada❤❤
@fatmaalnabhani3609Ай бұрын
Tuko wengi kama Dada hapo 😭😭
@dayana5513storyАй бұрын
Namimi nimepitia changa moto kama za uyo aunty lakin nashukuru Mungu tangia nimemuamini yeye ndo muweza natoa sadaka Mungu akuna kinachomshinda
@mtzhalisi2232Ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Pole
@FatimaAli-of4ghАй бұрын
Nimekuelewa dada kwa uchungu ulionao but msamehe baba huko alipo usimuongelee
Dada kuna roho ya pepo hata mimi yalinikuta nilikuwa sina hisia na mume wangu akiingia tu na nuna usiku wa kucha nampiga mateke natukana lakini akija mtu na matatizo ya ndoa namshauri pigana ukuondoke hiyo hakuna binadamu asie na hisia
@phoibemkwawi6892Ай бұрын
Nilikuwa interested kuangalia interview yako lkn unavo mtaja baba Kama malaika naishiwa nguvu😁😁😁 baba Hawa Hawa wa tz au Kuna baba wengine Ila twende mbele tuludi nyuma mtu yeyote anacho kibali Cha kutamka na ikawa sio akina baba tu na hakuna laana inayo kupata eti kwasababu mtu anakuchukia😁😁😁 atafute sababu nyingn hio sio sababu ya kukataliwa