#PART2

  Рет қаралды 11,251

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@SambaEmanueli
@SambaEmanueli Ай бұрын
Unaweza ukakuta stor sio yake labda alihadithiwa na yeye kaamua kuihadithia kama yake vile
@geraldmnyema
@geraldmnyema Ай бұрын
Huyu jamaa alivukaje boda ya Zambia na Zimbabwe bila ya kugonga ,hebu mulize vzri!
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi Ай бұрын
Chirundu to Harare nikilometer chache sana jamaa anasema amekaa kwenye gar adi inauma
@Selemanian
@Selemanian Ай бұрын
Dah eti wamakonde ndo waxhosa😂😂😂. Jamaa ni muongo. Safari yake haimake sense hata kiduchu.
@SiabaFadhili
@SiabaFadhili Ай бұрын
Kwani ramani zinadanganya maana naona Zimbabwe ni ndogo mnoo kwa Tanzania 🇹🇿 ila sawa
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Haeleweki huyu mtu...
@rowlandmcharo5437
@rowlandmcharo5437 Ай бұрын
Huyooo mwongoo kabisaaa kaadisiwa nae kaja kuhadithia
@geraldmnyema
@geraldmnyema Ай бұрын
Huyu jamaa alivukaje boda ya Zambia na Zimbabwe bila ya kugonga ,hebu mulize vzri!
@BarakaMkwawa-r1d
@BarakaMkwawa-r1d Ай бұрын
Muongo uyu jamaa kupiga cm 96000 sawa land 800
@myself4128
@myself4128 Ай бұрын
Kwani south Africa ni Ulaya😮😮😮😮??unaingia na kutoka tu kmaa Bongo palivo waethiopia wanaingia kama mang'ombe na wasomali kila siku
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Fido ... Imani huyo
@panduskills5318
@panduskills5318 Ай бұрын
😂😂 mkaushie home banaah ila kanichekesha kamanda presha mzee wa mozelbey kaenda bongo anafanya mpk interview😂😂
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
@@panduskills5318 siopoa Yani juzi kati tu kaingia bongo mara namuona ktk interview
@ShukuruSanga-rq1lt
@ShukuruSanga-rq1lt Ай бұрын
Huyo haeleweki mtangazaji VP bwana tuulize sisi tunao safiri na magari mpaka sauth afrika afu Sasa ivi malori mengi ya Tanzania uyo muongo
@jumarako8526
@jumarako8526 Ай бұрын
Muongo kweli
@JfourHumbi
@JfourHumbi Ай бұрын
Anazungumzia miaka 2000
@ticktoktube
@ticktoktube Ай бұрын
Uyo kasafr 2000 uko asaiv usafir hausumbui sik 3 up south
@songamberetv2219
@songamberetv2219 Ай бұрын
Uyu jama akapimwe mukojo 😂😂 ikisikiya story ya kwanza ukasikia pesa aliokota na pesa alizotumia kufika ni zaidi mara 20😂😂 ata story huwezi kuielewa kabisa
@Selemanian
@Selemanian Ай бұрын
Jamaa pesa yake inazaa ikikaa mfukoni.😂😂😂😂
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Kwahiyo home boy umeenda kupiga singeli kama zaman nini
@SambaEmanueli
@SambaEmanueli Ай бұрын
Duuuuhh ila mwamba muongo jamani punguza uhuni bna
@kitaraabdi9529
@kitaraabdi9529 Ай бұрын
😂😂😂
@MultipleHolding
@MultipleHolding Ай бұрын
Jaman mimi naend south Africa soon ty naomba mnipe madin maan nish kamilish process zoote ila south sin hat mtu naanzaje anzaje nikifik
@AmaniMwankili
@AmaniMwankili Ай бұрын
Usiende kama huna mchongo
@MusaDadydayo
@MusaDadydayo Ай бұрын
Hahaha dah maisha bana sawa kk presha ila Angalia comment zako araf za ma sea sela 45
@alhajiimamu3696
@alhajiimamu3696 Ай бұрын
Asa hizo zote umepata wapii dar ulitoka na 5000 akaokota dola 150 asa hizo nyingine KK vp apo??
@francistadayo1569
@francistadayo1569 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MohammedMaulana-m2t
@MohammedMaulana-m2t Ай бұрын
Uyujamaa ajielewi anasema alikuwa namakwezi then antuambia lwenyesimu katoa 800
@kitaraabdi9529
@kitaraabdi9529 Ай бұрын
Torii kishenz uyu jamaa😂😂😂
@chinamunezjr-fo7gm
@chinamunezjr-fo7gm Ай бұрын
Huyo jamaa muongo, alihadithiwa na yeye kaja kuhadithia 😂😂 sisi ndio tunaishi huku ndio tunajua hata hicho kizulu na kiXhoka anaonekana alipewa story 😂😂
@NokukhanyaKula
@NokukhanyaKula Ай бұрын
Mzee wa mossel bay unatolii ngoja nimuite salim mdigo aje akusikilize
@mariozulu5743
@mariozulu5743 Ай бұрын
😂😂😂Wewe zuchu tu bado Sana.....
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa Ай бұрын
Kwenda south Africa bila Pasport na kurudi bila pasport inawezekana msimbishie....niulize mimi niliendaje na nikarudije....nilienda 2010 na nikarudi 2022....bila document....na familia ninayo huko pretoria.....na hata nikitaka kurudi mda wote narudi
@EmmanuelMalack
@EmmanuelMalack Ай бұрын
😮🙏
@ImamSambiro
@ImamSambiro Ай бұрын
Unavuka boda huja gonga paspot upande wa tz mara uko Zimbabwe hujagonga passport chirundu jamaaa muongo mpaka basi haelewec kabisa
@gideondaniel8073
@gideondaniel8073 Ай бұрын
Kafika harare alafu kaambiwa akagonge pasprti jamaa muongo
@elochoyakobo7809
@elochoyakobo7809 Ай бұрын
Huyu hajielew akamatwe haraka sana..naomba mtangazaji umuweke chini ya ulinzi hapo hapo studio habari haileweki na vitu vingi anabahatisha
@Kinyozzi1602
@Kinyozzi1602 Ай бұрын
Huyu ni taahira afu story yake haileweki
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
😂😂😂
@SajoAbel
@SajoAbel Ай бұрын
Acha hizo mbona anaeleweka
@daudAdventures
@daudAdventures Ай бұрын
Jamaa anajichanganyachanganya 😂
@gideondaniel8073
@gideondaniel8073 Ай бұрын
Uyu jamaa ajui anachoadisia
@mkambamohamed8000
@mkambamohamed8000 Ай бұрын
Rusha nyingi wacha kueka moja moja
@mkambamohamed8000
@mkambamohamed8000 Ай бұрын
Warusha baada ya siku mbili Ndio waleta nyengine
@WakiliHaule
@WakiliHaule Ай бұрын
Panya wa kanisa
@mfaumeally1270
@mfaumeally1270 Ай бұрын
Dume la mbegu.... Tori tori ndiyo zake 😂😅
@kitaraabdi9529
@kitaraabdi9529 Ай бұрын
😂😂😂😂
@Selemanian
@Selemanian Ай бұрын
Mzee wa torii huyu.
@SafiaHaji-fo3sl
@SafiaHaji-fo3sl Ай бұрын
Wacha uongo ww ushavuta unga
@magdalenaisrael3432
@magdalenaisrael3432 Ай бұрын
Muongo Sana ata mwandoshi hii pt 2 umsaport kabisa 😂😂 ushochoka unatamani store iishe😂😂
@NsajigwaAmbakisye
@NsajigwaAmbakisye 8 күн бұрын
Big muongo sanaaaaa wewe
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Home boy simu gani ya 800 bana ... Alafu ulikuwa na 700 tu ulipookota dollar sasa hizo pesa zote ulitoa wapi wakat ulishalipa nauli mara mbili Zimbabwe kwenda kulud na umegonga boda .. aaah home boy usifanye hivyo
@Selemanian
@Selemanian Ай бұрын
Zilikuwa zinazaliana mfukoni😂😂😂
@ShufainaAhmad
@ShufainaAhmad Ай бұрын
😅😅😅😅
@africano98.
@africano98. Ай бұрын
Huyu kweli ngonjingo muongo muongo mngese story yakubumba bumba tu njeke uyu
@kitaraabdi9529
@kitaraabdi9529 Ай бұрын
😂😂😂😂
@myself4128
@myself4128 Ай бұрын
Watanzania Ujuaji mwiiiingi ila Ujinga wa safari kama wote,South Africa hapo tu huhitaji kwenda kama unaenda Vitani kwanza ukiwq na Passport ya Tanzania ni Miezi 6 unagongewa border kihalali kabisa lakini wasela mnateseka kwa kukosa Elimu tu
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Ай бұрын
Mi3 sio 6
@Ramanidojr
@Ramanidojr Ай бұрын
We umeenda south Africa mwaka gani ndugu
@ShaibuRamadhani-g9r
@ShaibuRamadhani-g9r Ай бұрын
Oya wewe una chalazia kweli wwe sio mwana mwajuma falaa wewe
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Kwahiyo home boy umeenda kupiga singeli kama zaman nini
@ramadhanmohamed37
@ramadhanmohamed37 Ай бұрын
Ni singenge sio singeli😂
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН