Huyu dada anaelezea kwa uchungu inaonesha hakupendezewa na sio wale wengine wanaelezea kwa furaha nao wanasema wameokoka hata hawaoni uchungu sijui tuwaeleweje.
@Lostsoul_ls3 жыл бұрын
Nimekuja ....naamini hii story ,jana pia nilienda kununua vikuku mtaani nikawa namsikia mama mmoja anaelezea wenzake kua mwanae halal anaona nyoka usiku ,mara aone wengi mpaka wampake mafuta ya upako ndio analala ...wenzake wakawa wanamshauri amepeleke kwao uwenda ni mizimu ya upande wa baba ake ,wengine wakawa wanamwambia ukimpaka mafuta c analala vizuri kwahiyo wampeleke kwa uyo nabii mwenye ayo mafuta amuombee ...alaf yule dogo wakawa wanamuuliza unaona nyoka kweli akawa anasema ndio wananifuata wananizunguka usiku ,hata wakiwasha taa yeye anawaona sawia mule chumbani
@musamasanja-pv4ze Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kaka Leo umepigwa za kichwa hiyo movie lakn sijui labda kwli😮😮
@LEO-uq6el3 жыл бұрын
Mzee davistar mtoto umempiga zero distance, ukaona hiyo pini usimuachie sheby alawi Kama na ww ni single kama davistar gonga like
@nasrasway71433 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Mazoea3 жыл бұрын
🤣 🤣😂🤣😂🤣 ziro distance hiyo
@mouwanahamisi82163 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ZainabZainab2299-er3up7 ай бұрын
😂😂😂
@MaureenEnirisha8 ай бұрын
Kuna maswali mengi kichwan mwake, ht majin mizimu wana utaratibu, kwa kifupi hajapona huyo bdo anatumika or stori ya uongo
@noonelike63823 жыл бұрын
Stor nzuri ila dada matamshi dah!. Sijui ndyo swag...
@sharifaabdallah56673 жыл бұрын
😂😂😂
@noonelike63823 жыл бұрын
Sharifa 🤣🤣🤣
@pierremira3 жыл бұрын
Roho zote lazima zijaribiwe hata inaonekana kama yesu lazima zijaribiwe
@michaeldalali74703 жыл бұрын
Davistar naona umempenda dada wakuzimu🤣😂
@valentinanduku87183 жыл бұрын
Umeona ee
@musamasanja-pv4ze Жыл бұрын
Dada mwenyewe pisi kali
@michaeldalali74703 жыл бұрын
Story nzuri inafunzu
@suleimaniyasri21663 жыл бұрын
itanoga kweliiii hiiiiii......ikinoga mnistuee jmn mm nahamaa kidogooo.....
@kalssambaboo99322 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@messimessi72553 жыл бұрын
Davistar unatabasam mwenyew kukaa na mrembo
@eddyjuniortz22343 жыл бұрын
In short Dunia inaelekea mwisho wake ,,haya mambo yapo ila km hayajakukuta utakataa ,, unaweza kuchukuliwa ,,kafara,,msukule,,,ujinini na mwili wako akabaki anautumia kiumbe mwingine Duniani amini usiamini hii ipo ,tumeyaona
@alalwialalwiii81943 жыл бұрын
Mm Leo wakwanzaa nilijua nimechelewaaa
@zeyanaalgheithy65613 жыл бұрын
Davistarrr
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
Pamoja sanaa🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Bonge la story ase alafu Dada ako na comfidance balaa anasimulia vizuuuuuuuuuuri mno natamani part2 lkn mnavolinga sasa😏
Davista keep distance bana eh uko close sana na huyo binti
@stanleywaweru17142 жыл бұрын
Wacha wivu dada ni mzuri
@debbohkawaka92223 жыл бұрын
Story. Mzuri Leo . Tuna subiri ya pili
@alifridahocharo3 жыл бұрын
Part two please
@kelvindaud34613 жыл бұрын
Swa swa kaka pamojaaaa
@mabulamasunga73783 жыл бұрын
Davistar hujatupa uwazi hapa kijiji au kata/wilaya gani alikuwa anaishi?
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Na mimi nilitaka kuuliza
@Patience.673 жыл бұрын
Mapepo,majini ,mizimu ni roho na wanauweza wa kuvaa umbo lolote ata ya mwanadamu,hi stori naamini kabisa shetani anauweza wa kubeba roho ya mtu ,na akaibadilisha na ya joka ama pepo
@sharifamakaja88032 жыл бұрын
Toka mabando yapande bei hki nimefeli kukusikiliza mm
@estrestr15523 жыл бұрын
We Davistar kua makini sana ustumie mda wako kudanganywa
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣
@thelivingwordchannel90273 жыл бұрын
JAPO ALIYOELEZA HUYU DADA NDIVYO YALIVYO ILA NINA MASHAKA HUENDA NI STORI YA KUTUNGA!
@philipmbaabu6169 Жыл бұрын
Oh my God 😯
@stanfordchimola97923 жыл бұрын
Stori nzuri kaka
@jonassilveter24153 жыл бұрын
Dada mzuri huyo
@brendajadevera95973 жыл бұрын
Social distancing Davistar kuna covid😁😁😁
@stanleywaweru17142 жыл бұрын
🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣 covid Gani? Covid ilisha kitambo
@AploniaBihye-kt3gd Жыл бұрын
Asante
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Natamani kusema kitu ila naogopa 🤭ila hiii simulizi...... mmmh mdomo wangu koma 🤐🤐🤐🤐🤐😂😂😂😂
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@newchanel6154 mmmh mbona kama tumepigwa hapa😂😂
@judiehance17363 жыл бұрын
Umeonaee yaani mtu aniambie anakuja usiku afu niridhie eti kila kitu nimsikilize , Mambo yote ya kutisha hivo ,labla kama alikuwa ameshamnywesha vitu au kumwandaa kinafsi wakiwa katika urafiki ,akamfunga akil
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@newchanel6154 itaishia...... Atakuwa anasikia sauti inamuita aende kanisani akamtumikie mungu
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@judiehance1736 mimi mwenyewe nashangaa sana . Afu kitu kingine hasemi mkoa wala kata hata kijiji na wakati tumeona uharisia wake sasa Kuna haja gani ya kuficha maeneo?????
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Afu kitu ambacho hatujui hii ni movie ya Nigeria huko ilichezwea mwaka 2014
@davidochieng70553 жыл бұрын
Mapema tuu mmeanza mahubiri
@nadyasalim79563 жыл бұрын
nimewahi leo mie wa mwanzo
@thetravelquestservices3 жыл бұрын
haaaaya davista nimpe number ya mdada miee haha
@shabanially47943 жыл бұрын
Brother davistar,Mimi binafsi ninapenda sana kazi yako,ila kuwa makini na baadhi ya wasimuliaji..Kama huyu dada inaonyesha wazi kabisa hii story ametunga...matukio anayosimulia na hisia alizonazo katika kusimulia haviendani kabisa..huyu ametunga hii story...story ya kweli ukimsikiliza msimuliaji unajua kabisa huyu mtu kweli kapitia huo mkasa...Mimi binafsi uwa nawaamini wanaosimulia wakiwa wameficha sura zao..huyo anasimulia movie.
@fatumamohamed86453 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Huyo ni muongo mara nyingi watu wa jinsi hiyo wanatumwa na wachungaji wao katika kanisa fulani ili kupromote dhehebu lao huyo ni muongo ata kwa jinsi anavyosimulia mpka anatumia nguvu huku nakujenga isia vyote avifanyavyo na ishara zote nizakujifunza kwakusudi
@stanleywaweru17142 жыл бұрын
Dada anazema ukweli, wewe kama huamini shauri yako
@musamasanja-pv4ze Жыл бұрын
Umesema kwli ile ya zabron ilikua kwli yani ata akisimlia tu unajua kwli au umepigwa za kichwa
@joannanekesa77583 жыл бұрын
Part 2
@benyavan57743 жыл бұрын
Huyu jamaaa mbona naye ni mambo ya kchawi chawi tu we unatafuta watu wa hivo tu Hii kazi ni kama unampa shetani sifa, au nawewe davista ni uko kwenye pang wa KISHETANI
@msaysha58863 жыл бұрын
Hiki kiswahili cha wapi mbona kama sielewi au mapozi tu 🤔
@msaysha58863 жыл бұрын
@@magzeeee nicheke mie 🤣🤣🤣🤣
@godlovem71393 жыл бұрын
Kama muhaya vile😀
@msaysha58863 жыл бұрын
@@godlovem7139 au Mburundi hivi naona kina gongana gongana
@mohammedrashid77353 жыл бұрын
Cha kuzimu
@msaysha58863 жыл бұрын
@@mohammedrashid7735 🤣🤣🤣
@yusterlucass Жыл бұрын
Huyu dada hajatunga labda usimuliaji mm ninavoona
@credo78373 жыл бұрын
Mmmh sio kwel
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
Mr dj
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Mazoea3 жыл бұрын
😂😆😂😆 umeona nheeeee anatudanganya uyu
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
@@Mazoea 🤣🤣🤣🤣🤣
@rikekikonyo22653 жыл бұрын
@@Mazoea Kama kutunga rahisi tutungie na wewe
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Pamoja###
@valentinanduku87183 жыл бұрын
Pamoja dav
@rechorechojumamaroda50453 жыл бұрын
Ww mdada muongo umekuja mbele ya kamera ili tu naww uonekane hiyo story umetunga kabisa siyo kweli
@lizzybeth63443 жыл бұрын
Kama rahisi kutunga nawe si utunge yako
@rechorechojumamaroda50453 жыл бұрын
@@lizzybeth6344 we vp naww au ndo ww unaetudanganya njoo nikutungie geto ukasimulie naww
@lizzybeth63443 жыл бұрын
@@rechorechojumamaroda5045 kwani izi tunasikilizia geto,na Kama unastory unajua kutunga apa unafanya nini? Si si uwendelehe kusikiliza zako mfyuuuuu,.....za kutunga zatunga,umelazimishwa ukiona uwelewi pita kushoto,....mi pia nikiona story sielewei uwa sisikilizi akuna anae lazimishwa....EBOO
@Mpakauseme Жыл бұрын
@lizzybeth6344 Nyinyi wabongo asilimia kubwa akili hamna, uwezo wakugundua mambo ya uwongo hamna ata kidogo inasikitisha sana sasa sijui ni ndui walizowachoma zimewaweua yani mnashindwa gundua ata point za uwongo , hapa kuna wengi wamesimulia aina za hizo story na kama mtu mwenye akili nzuri baadhi ya story kuna ukweli ndani yake lakini masimulizi ya huyo dada kuna uwongo mwingi sana . Fahamu baadhi ya makanisa uwamezesha waumini wao masimulizi ya uwongo ilikwamba waende kushuhudia kanisani au pahala fulani kusudi ili kwamba wapate waumini wakutosha katika makanisa yao sasa mtu huyo kusema uwongo wewe unachoshanga ni nini ?
@MerryRenatus-ck4lz10 ай бұрын
@@MpakausemeAsante kwa hilo😮
@shukraniboniphace4033 жыл бұрын
Davsta, napenda unavomuelekeza mtu, ili aipange vizur stor
@hoddanhassan1952 жыл бұрын
🥰
@imagepower36413 жыл бұрын
mzuri
@samueljohn45693 жыл бұрын
Tumefika
@aprilking82503 жыл бұрын
Majini hawatupendi hata kidogo kazi yao ni kuiba nyota za watoto wa Mungu.
@estasage4983 жыл бұрын
I like the way davistar ask questions
@ramadhanikassim86423 жыл бұрын
Kizaz
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Huo ni uwongo mtupu, yani mtu anakuja bila kugonga na usipige kelele , eti humu ndani umeingiaje na haujagoga ? yani unamuuliza mtu ambaye aliyekuzukia usiku chumbani wakati hupo usingizini tena wala usishtuke wala kupiga kelele yani unazungumza kama vile sijambo lakutisha aisee wewe dada yangu kweli mtaalamu 🤣
@stanleywaweru17142 жыл бұрын
Kama huelewi mambo ya kiroho nyakati hizi pole sana kwako
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@stanleywaweru1714 Wewe mimi sio mjinga kama wewe mtu anaposimulia kitu namsikiza kwamakini, mimi sio mshamba mjomba na nafahamu mambo hayo ata hapa wapo watu waliosimulia mambo hayo na ukituliza akili utagundua kuna ukweli ndani yake sasa huyo binti ni muongo so my friend mimi sio bwege kama wewe
@saadiaali56093 жыл бұрын
Hawa watu wakutoka kuzimu huwa hawajawacha hio kazi yako wanajificha tu kuwa ametoka huko ameacha ameokoka mm hata siwaamini kabisa wanawazubaisha watu