Рет қаралды 99
karibu sana Rafiki yangu kwenye wimbo huu kwaajili ya kusikiliza na kkumbuka. mengi uliyo tendewa na huyu MUNGU katika safari ya maisha pia ni ndefu sana. lakini yeye aliye MWANZA NA MWISHO YANI ALPHA AND OMEGA najua Yuko upande wako kutetea katika Kila hatua uliyo nayo usifike aneo ukaona Bwana YESU amekuacha Yuko pamoja na wewe simama imara Songa mbele BWANA MUNGU AKUBARIKI SANA.
#travel #gospelmusic #tanzania #napitaalbamu #pkmedia #album #music #audio #paschalkiniofficial #tranding #NAPITA