CATCH PART 1 HERE • HOW ME AND SHIMOLI RAI... PART 2 • How We Broke Shimoli S...
Пікірлер: 178
@pastormorrisontito593729 күн бұрын
God loves you Sir .He will change your story in Jesus name
@josphinechepkoech22057 күн бұрын
Wah! Si nmecheka aki, nmewatch all episodes, today;19th.Nov.2024...Watu hutoka mbali, God saved you man, Barikiwa coz ulikubali ku reform na hivyo, God is not done with u.
@MolenaSuppliesАй бұрын
the end inauma ukweli wah wacha nitume kakitu ukule bro u will be fine God is watching over you
@MrEricdraco29 күн бұрын
Uyu msee anafanana na actor mmoja wa USA anaitwa Jack Nicholson, akona talent ya thearter, acting hapo. Big up usirudi kwa crime God akulinde bro
@nancymatheka919620 күн бұрын
That ocs was a good one because he would warn you and even call your people 😂😂😂 to inform them to talk to you, he would even give you transport uende upcountry , ukikataa hizo advice anakutuma kwa mola
@backupaccount7198Ай бұрын
This guy is just toooo good, na hivyo ndio ameingia hall of fame .... Ill have to rewatch all episodes coz story is tooo fireeee
@emojongtv3995Ай бұрын
Interviewer hay flight of ideas
@behamsupplies1942Ай бұрын
ßl@@emojongtv3995
@robertkariuki366Ай бұрын
This guy can make a very good salesman wa nguo na viatu. Ana story poa sana.
@Benjamin-ny7qtАй бұрын
I grew up in Eastlands umoja and i understand this guy completely i shed a tear knowing my life would have turned out diffrent but i thank God coz some of the guys i schooled with in primary the 90s became criminals and were killed so this interview should become a book..it will change his life...
@edmacmediaАй бұрын
Thank you Benja
@savensiagreen1910Ай бұрын
Huyu jamaa akowapi amenibamba sana nimecheka yangu yote vile amefinya macho😂😂😂😂 hata amenimalizia depression 😂
@joshuakuria1652Ай бұрын
Praying for this guy. Very funny likeable dude. Good job interviewer for giving these guys a platform 😊
@edmacmediaАй бұрын
Much appreciated!
@petermaina7111Ай бұрын
Edmac i really thank God for finding your stories on reformed criminals, i have realised the issues emanate mostly by father's absence. I was reckless and wanted to send away my wife who has my son but i have quite reformed seeing the repercussions it have had on young men, i vowed to be always be there for my family as a man even though i never grew up with a father. I even made a decision to surrender my life to Christ and I have never regretted. God bless & prosper you edmac, God give hope and a new beginning to all reformed criminals
@edmacmediaАй бұрын
please be there for Him its very important
@petermaina7111Ай бұрын
@@edmacmedia nishasukuma ya kakabage na gatheri kadogo ka lunch na supper. Mungu amfungulie mipaka. Probably pia with your influence unaweza mhook up na organization kana crime si poa akiwa peer educator or counsellor. Just a thought
@linvi_chemutaiАй бұрын
Jesus is the way the truth and the life. No one can go to the Father except through him.❤️ Knowing Jesus is knowing peace, protection and provision ❤️ Jesus saves, Jesus heals, Jesus grants peace and Jesus loves you.
@stellahokworo3947Ай бұрын
Glory to Jesus Christ enjoy and serve the Almighty God all the time
@abednegokilonzo3997Ай бұрын
Huyu jamaa anajua kupeana story😂😂😂😂
@stephenchienjo3283Ай бұрын
lol! .... " alikua anaitwa Samson the 'the one' alikua anatumia miti shamba majini "
@bilhakariuki474Ай бұрын
Huyu chali ako fit vyenye amejitambua.dont give up
@brianchurchil8230Ай бұрын
I need big money...the voice itself wee😅😅likes
@myself4128Ай бұрын
Wachungaji hao sio wa Kuamini Kamwe!!!
@mosscheddah99838 күн бұрын
Advise yangu imfikie huyu nduguu ni ajaribu sana asakanye God before kitu ingine yeyote. God atamsort na peace na atampanga kwa hii society na ataishi poa vile kila msee anadai. Ashajua life vile iko sai atafute huyo God mwenye alimfincha asikang'we na wenzake
@shuwanaliloka3816Ай бұрын
From all the stories I like the way huyu mwanamme anavyo simulia na comedy juu. Yani utapenda tu kumsikiliza. Mungu amsamehe makosa yake.
@mohameddubow1904Ай бұрын
Huyu msee Ako true Sasa anataka Busta kama ukona Roho ❤ Na ukona financial poa mazee mlift up
@MrEricdraco29 күн бұрын
30:00 ni ukweli bro watu hii kenya wanapenda kuekeana fitina, kwanza kwanza places ziko na poverty. Ata kama hujawahi iba ata siku moja inaitwa poverty mindset, lakini acha wabonge mabombo kama uko clean itakuwa wanajilaani hao na watu wao. big up sana
@andybabacloe6573Ай бұрын
This reformist is funny😊.demonstrations zake zinabamba😅..Ako na sound na bits😂.no need of instruments👏👏
@savensiagreen1910Ай бұрын
Sana😂
@zippyrudisharudisha2987Ай бұрын
Umenimaliza ati ata umbu hawezi akakuuma😂😂
@danielmghongo7508Ай бұрын
This is one of ur best interviews bring us more za Millenial gangsters hawa wa Genz kidogo aiii but I have followed all the 3 episodes awesome work 😊mpaka nikasubscribe🎉
@Nise8Ай бұрын
I second you Hawa ndo walikua the real gangster s enzi zetu saa tatu na nusu mmefunga mlango na chuma😂😂😂ju ya hawa
@jacquelinenamayi7849Ай бұрын
True bring also stories of the older reformed thugs
@bonifacengigeАй бұрын
Sure
@jastothetrucker1714Ай бұрын
Very true try older reformed thugs
@kenyansongsfan1450Ай бұрын
You talked for 1000 others
@anyonamwangi577219 күн бұрын
place umenibamba ni hapo pa kuwachia mtu ajitoe, all you can do as an OG ni kutry tu kuchange mentality ya hawa ma youngins....pure wisdom!! itrelates so much to addiction.
@lukeSeme17 күн бұрын
Kenya is full of Good Samaritans and poverty can read to crime mindset.. Please let's keep on supporting this guy so that he can have a better tomorrow and we shall be blessed as one family.. #ThereisGodinheavenofanotherchance
@alphariunguАй бұрын
Best interview so far😅...the guy is very intelligent,yani street Smart hope he makes it in life....stori ya torture haku maliza kutu pea ...
@edmacmediaАй бұрын
Recap on Saturday
@johnsimba-h5nАй бұрын
Anaeza tafta bade ya jaba niwe namtumania me nalima miraa
@bavonmasengo591315 күн бұрын
Bigup drop number mtu anaweza ona imfikie
@Nise8Ай бұрын
Aki huyu millennial gang amenivunja mbavu walai
@savensiagreen1910Ай бұрын
Me too😂
@Mercy-ms8fw23 күн бұрын
ata wewe tutakuua got me 😂😂😂😂😂
@brianchurchil8230Ай бұрын
She looked thief😅😅😅
@karenmuthini64521 күн бұрын
haki mungu akuonekanie.......😢😢😢 lkn huyu jamaa ni vibe banah..... ama pia wewe ata wewe tutakuua got me 😂😂😂😂
@felixomondi9091Ай бұрын
Huyu jamaa nayo atanimaliza na hizi expression zake😂😂😂😂😂 kwanza hiyo kuduuu!! Kuduuu!!
@mansolo6653Ай бұрын
😂
@darius1744Ай бұрын
😂
@smithomondi5084Ай бұрын
Nakwambia huyu angekuwa actor moja noma sana! i wish angepitia KNT hizo ma dayz.
@savensiagreen1910Ай бұрын
😂😂😂
@gracemalombe636312 күн бұрын
😂😂😂😂
@FundiKevinАй бұрын
I stayed in dandora phase 3 for 17 years, this guy reminds me of dandora life,I remember mkisii police wa kinyago, but mkisii came to dandora in 2003 to 2004 not 2000.
@AnnstasiahNdutaАй бұрын
Haki huyu ni mkweli Hadi inatia sukari"😂😂
@Plmmy19 күн бұрын
Nice video thanks sana umesaidia uyu jamaa
@simonndirangu336Ай бұрын
Edmac uko na maswali mingi sana..Wacha aseme ndi series ziwe mob..
@HalimaNjeriАй бұрын
Woie this boy amenipea stress Mungu amuonekanie aki🙏🙏.hes very right about judgement😢😢
@festonyakaya464610 күн бұрын
Amekupea stress aje??
@marykarambh977124 күн бұрын
🤣🤣🤣mtu amewai kua mwizi macho yake inakuanga stand by
@abssollie604311 күн бұрын
Ako radar Radar deadly unaweza kutwa yoh 😅😅😅
@EbkEbk-v7y29 күн бұрын
Watu wanafurahia aje ni km ku encourage more wizi na mauaji
@soniinyambu512Ай бұрын
Alafu akiuliwa kwani wanawake wameisha 😮😮siatauwa wengi sana if saahii tuko watu wazima na mbado unaskia mzee ako na kadame mahali so iyo ni ujinga
@PeterMuriuki-j4eАй бұрын
White house app sharply ensure Olivia keja yale moi
@davidmabalu463527 күн бұрын
Hands up for the interviewer
@edmacmedia27 күн бұрын
Asante sana bro
@rosenight272Ай бұрын
Waaaaa imagine someone mascarrading as one praying for those with problems, kumbe ni bure & she's the one planning to murder someone's daughter
@marymaina7267Ай бұрын
Imagine ,hata hakuwa wakati nitatambua pastor yeyote
@isaiahmose4109Ай бұрын
She look thief. Exactly. Wee hiyo ni story 😅😅
@phoebewanjiru9631Ай бұрын
Hehehe he looks Thief
@pamj9v25 күн бұрын
Baluti join😂😂😂😂😂😂😂
@tommykiii8581Ай бұрын
pull one last job uanze business... kwani iko nini 😂😂
@jastothetrucker1714Ай бұрын
She look cute hahahaaa Ngeli ya she na hiiiii
@MohamedSaid-zi7xj24 күн бұрын
Muchiri Bazenga
@marionwangari3928Ай бұрын
He seems to be a nice guy
@simonndirangu336Ай бұрын
Wacha tu anyoe Rasta ,ndiokumwamini iwe rahisi. People address u the way your present ur self
@schrodingerscat2788Ай бұрын
bro, tuletee hawa OGs wachana na Gen Zs. hawa wanajua life and indeed, wamereform
@alexnathan5943Ай бұрын
Bro hi sasa ni movie umetuletea acha ifike mpaka episode 15 uyu asiende 😝😝😝
@wanjinjorosjunior1621Ай бұрын
Lesson to learn! pesa ya wizi haisaidii
@edmacmediaАй бұрын
It will never
@petermuema1184Ай бұрын
Hua inasaidia depends on hw you use it
@paulkamaukimani799520 күн бұрын
@@petermuema1184shaarraaaap!!!haisaidiii kabisa
@japhethwambua6888Ай бұрын
😢😢 bug up Man.... Usife Moyo bro!!
@patrono2613Ай бұрын
That must be the OCS called Maasaii
@SUBANEESEАй бұрын
May God come through to him, let's put all to God. Mi Mungu
@denniskioko6937Ай бұрын
Uliza huyu jamaa kama ako na dunduki ya kuuza
@nancylaura6039Ай бұрын
Mazeee huyu kweli ni story teller hehehehe
@edmacmediaАй бұрын
shes very smart
@Hasfah-880Ай бұрын
this guy is a vyb😂😂😂😂
@edmacmediaАй бұрын
Apewe nini kwa bill yako Janet
@Hasfah-880Ай бұрын
@@edmacmedia Apewe chai ju amesha reform 😂 😂 😂
@tysonsakwa313715 күн бұрын
Kutoka White House dandora phase 5 adi daraja ya coach,make me understand 😅😅😅😅
@ckrusherkay.y6307Ай бұрын
The Best🎉nimengoja sana😂
@Bikemanchronicles-_1762Ай бұрын
She look thief nayo imeniokota walai.Eish😂😂😂😅.
@jacklinemutie8901Ай бұрын
English englishing
@japhethwambua6888Ай бұрын
😂😂😂😂@@jacklinemutie8901
@AnnstasiahNdutaАй бұрын
Maisha yaki change,take your wife back ad 4give her.hata wewe ulichangia yeye kuzaa na mwingine.give each other a second chance.mtoi anaweza kuwa baraka
@Blackchain107Ай бұрын
I saw it. Stay blessed
@rosejambi2713Ай бұрын
Siwatu wote wanatumikia mungu, wengine, ni wanyama , waborini,
@abednegokilonzo3997Ай бұрын
You can create content with this guy na iede
@tida3727Ай бұрын
The guy is a vibe😂😂😂😂😂
@daphinekandagor912225 күн бұрын
Nmeskia kaundq sut😂
@literaturephilosophy715825 күн бұрын
Did you record him with his consent?
@maestro2186Ай бұрын
People might laugh here but deep inside this guy is totally not okey
@boniface3710Ай бұрын
Huyu ni mnoma ameforce kizungu ikakua comedy but ni mtrue
@stellakaregi3970Ай бұрын
Huyo askari rambo alikufa
@susanmaina3130Ай бұрын
But hio number inaleta Pauline kiragu not muchiri.
@edmacmediaАй бұрын
Yes inaleta Pauline
@OmondiBovalowinyoАй бұрын
It's a long story if not God you wouldn't be alive bro, God's time is the best.
@jobonchoke2660Ай бұрын
Hope he saw Jesus UpTo date 😂😂😂
@bengikonyo251221 күн бұрын
If you can send him money and it reads Pauline Washeke instead of his real names, do you he has really reformed?
@edmacmedia21 күн бұрын
its the sisters no
@PiratesMaliqАй бұрын
Kenye inanibamba ni both male na female anawaita" she"
@edmacmediaАй бұрын
Shes very smart, fake it till u make it
@ngurukitv4584Ай бұрын
You are looking funny I love ❤ ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@joshuamachuki79916 күн бұрын
41 na umezeeka hivo
@amoskatana702Ай бұрын
he's comedian and economic analyst masquareding as ex gangasta. he got those talents, he can make something good if well utilized esp as a standup comedian or actor
@savensiagreen1910Ай бұрын
Definitely
@douglang2327Ай бұрын
WALE WANAONA NI COMEDY...PITY UNTO YOU
@teddykiplimo809216 күн бұрын
She look good one❤
@bonifacengigeАй бұрын
Cheriyot na Rambo ni marehemu
@Elizabeth12368Ай бұрын
Both of them marehemu aje sasa what happened?
@aar7061Ай бұрын
Cheruyoit aliuliwa pale Buruburu, alipigana na askari several hours
Turn to Jesus Christ, get saved & find a good church with supporting community. where are you located?
@GideonMateАй бұрын
Huyu alikua muuaji😢😢
@CarolaKanjaguaАй бұрын
Past tense alikuwa.maybe I missed that part he killed but he saved that ladys life ....better you who is so holy ..He who has not sinned be the first to cast a stone. Our God is a God of second chances.
@faumash673427 күн бұрын
kwani hii stry imeanzia katikati,kuna vile siradanishi ama hii ni part 2
@edmacmedia27 күн бұрын
shika part 1 hapa Aus kzbin.info/www/bejne/gZqtmImle8t1iNU
@faumash673427 күн бұрын
@edmacmedia shukran
@bettynino7354Ай бұрын
Bale za 20k kuanzia si itaweza
@edmacmediaАй бұрын
Kabisa
@mauriceouma7390Ай бұрын
Hahahaha aky wakenya wanapenda story ya uongo mmm story za java Bure kabisaa
@francisnjane3912Ай бұрын
Wacha ufanywe interview tukusiye.
@abssollie604311 күн бұрын
Hushawai kula jaba ama ni ukudas yu
@henrynjoki3239Ай бұрын
Kisii aka biggy
@musaumwangi8340Ай бұрын
Sinyaaa ndio nini
@BeezyPacАй бұрын
Karao
@Agile2605Ай бұрын
That number inatoa jina ya demu - what is his number
@edmacmediaАй бұрын
ni hio its his sister
@mimsbaibe6mimsgul737Ай бұрын
There is God of another chance when I watch this I hv faith our children I'll change in God we trust 🙏🙏🙏🙏