PATANISHO : ANYANGO - NAOMBA KUPATANISHWA NA MAMA MZAZI

  Рет қаралды 28,187

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
Subscribe to RadioJambo KZbin - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 99
@celestinekhavayi9176
@celestinekhavayi9176 3 жыл бұрын
I will never choose kimila over my children
@deniswafula3847
@deniswafula3847 3 жыл бұрын
You'll have to and it's amust when it comes to dowry payment madam
@DLBubbles
@DLBubbles 3 жыл бұрын
Gidi, you come across as not interested due to rushing patanisho. There was no meaningful resolution but then again its just a radio show for entertainment! Dota, I feel your pain and pray that God will come through for you.
@chullakoi1508
@chullakoi1508 3 жыл бұрын
Patanisho iongezwe wakati ama waachane na hiki kipindi ju most of the time huwa wanazidi kuumiza watu utapata mtu anataka time ajieleze aeleweke wao hawana hiyo time so mtu anabaki na machungu ka hii.
@shivangidebby646
@shivangidebby646 2 жыл бұрын
True
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Present from Iraq
@mohamedadow2982
@mohamedadow2982 3 жыл бұрын
Who else likes the voice of dota
@beryl804
@beryl804 3 жыл бұрын
With that kind of mum, how can you express yourself? Hii story ni juu ya choice, amechukiwa juu ya kuchoose babake mzazi. That's the hatred. This mother should act like a mother. For mothers who choose men over their kids, I pity you.
@rosenyambura16
@rosenyambura16 3 жыл бұрын
And if you find her saying praise the Lord niomekoka yesu ni Bwana🤦🤦
@beryl804
@beryl804 3 жыл бұрын
@@rosenyambura16 so true. Hypocrites of the highest caliber nkt. Nimeskilia huyo mrembo huruma. Like her parent can't meet the man he's staying with because wa boma hawajapeleka mtu Bado. I thought it was about mkubwa kupelekana first. Wah
@imconcerned5947
@imconcerned5947 3 жыл бұрын
Dota is feeling rejected, unloved, her mum is harsh on her. She is so humble, I feel sorry for her.
@beryl804
@beryl804 3 жыл бұрын
It will really affect her hapa mbele. I pray that she proves the world otherwise, do what your parent didn't do.
@eddahwamboi7683
@eddahwamboi7683 3 жыл бұрын
Oooh pengine mama Dota hataki ijulikane ako na msichana mkubwa !!!! Labda alipomlea aliambia mume wake Dota ni mtoto wa dadake
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
By the way inaweza kua coz amesisitiza" nlikupeana na dada yangu "
@richardnudi8441
@richardnudi8441 3 жыл бұрын
Some mothers have no feeling at all for their children.Anyango's mother has chosen the second husband over her children.Sad indeed.
@veramakau1931
@veramakau1931 3 жыл бұрын
The hard truth is that your mother has zero interest and connection with you. Seek healing through wise women and move on with your life. She does not respect you as adult daughter. Having more expectations of her will bury you in sorrow and self hate
@paulochieng4258
@paulochieng4258 3 жыл бұрын
This is the Kenya we want..you hear waluyha wanaitwa Achieng na Anyango...👏👏
@kerush6983
@kerush6983 2 жыл бұрын
Exactly! Using our African names.
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Duh hata kama ni mila siwezi kaa bila wanangu
@phoebemukhwana3058
@phoebemukhwana3058 3 жыл бұрын
Gidi n ghost i really wonder with some parents, for sure how can you denies your own blood daughter, jameni wazazi kueni na tuu, i watched story on tuko alot of humiliation so sad 😭
@rosenyambura16
@rosenyambura16 3 жыл бұрын
Watu wengine kuona ufalme wa Mungu itakuwa Kama kukamua kuku😏😏🤦mzazi anawezaje kukataa mtoto wake
@hedwiglilande8981
@hedwiglilande8981 Жыл бұрын
Why is the mother blaming her child for going to the dad when she was in high school. Anyango was a child, really young. Thats unfair!
@georgymahi149
@georgymahi149 3 жыл бұрын
The mother has NOT rejected the child.... (considering what she went through at age 12) She(dota) has no information and it is as if she(dota) has been "poisoned"... Doooota aende tu kwa sister ya mom na mom atakuja.
@maryannmwauravlogs9970
@maryannmwauravlogs9970 3 жыл бұрын
I will never choose anything or anyone over my kids....wazazi nowadays wanatulet down saana
@lioness8207
@lioness8207 3 жыл бұрын
Hao ni wazazi wa kitambo
@violachelimo6467
@violachelimo6467 3 жыл бұрын
How can a mum hate her own blood 😭 hugs dota
@kerush6983
@kerush6983 2 жыл бұрын
I have a sister who hates her son too much, ililamisha nichukue uyo mtoi akae na mama yangu.
@dianacharlie5283
@dianacharlie5283 2 жыл бұрын
It's very possible....trust me
@NutrientSpotlight-i2g
@NutrientSpotlight-i2g Жыл бұрын
This is what we call a foolish woman. Women need to understand what it takes to be a mother before getting married or giving birth. A mother is always a mother whatever the situation, huyu ni shetani mjinga baffoon nkt
@shamimaoko
@shamimaoko 2 жыл бұрын
Hapa Gidi ame feli he didn't handle this case well even at the end he was so eager to dismiss Dota bure kabisa...
@gracewakaba8615
@gracewakaba8615 3 жыл бұрын
Huyu mama hapedi mtoto wake maajabu
@mildredaluoch7878
@mildredaluoch7878 3 жыл бұрын
Sina mama natamani lakini mama Anyango huyu apana huyo mtoto niwake msikize tu arudi nyuma poo
@auntiepiarants2238
@auntiepiarants2238 3 жыл бұрын
Huyo mmamathy hana roho ya mama.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 жыл бұрын
sasa huyu ni mama mgani?? hehe
@lioness8207
@lioness8207 3 жыл бұрын
Woiye Aki kina mama wengine wametoka hell
@a.a5839
@a.a5839 3 жыл бұрын
Gidi you either choose to patanisha conclusively or stop it completely stop rushing time but rather help, look here you have not helped Dota the was she expected surely it pains lacking mother's love.
@rubahwilliams3066
@rubahwilliams3066 3 жыл бұрын
I swear this mama🚮🚮💔💔
@zalwango73
@zalwango73 3 жыл бұрын
How can a mother talk to her kid like this in public? So what happens in private? What does the kid have to do with her mother's wrong choices?
@madamboss348
@madamboss348 3 жыл бұрын
Huyu mama jinga kabisa
@xjxjxnxn2673
@xjxjxnxn2673 3 жыл бұрын
Huyu mama Ako na uchungu ya ndoa yake ya kwanza,dota ama heshima sana bt ndio shida
@mummymummy9122
@mummymummy9122 3 жыл бұрын
Woiye Dota.I feel she feels rejected by her own mum. Pliz mums let us not choose anything else over our kids.KIDS COME FIRST!
@johnmuhammad8393
@johnmuhammad8393 2 жыл бұрын
Haha mama wewe
@faithgesare1853
@faithgesare1853 3 жыл бұрын
Uyu Mama yuko na roho mbaya Sana, kama mama lazima uwe na roho ya msamaha, hata kama mwanao amekukosea nini
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Mum ni tough cookie
@SK-pb5ke
@SK-pb5ke 3 жыл бұрын
MAMA,Huyu ni Binti yako,she only need mother's LOVE.
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
Mila sawa kila tribe iko nayo but dem hajasaidika😭😭😭anatafuta affection ya mama mwenye alimpeana kiroho sawa
@livingstonewahome9507
@livingstonewahome9507 3 жыл бұрын
Ooh ma gosh am sorry dia I replied wrong sms ak am real sorry pliz forgive me pliz sikujua pliz marie
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 жыл бұрын
Mama ni mu harsh aiii kama mama mzazi anamteteshaje mtoto wake
@lynntrishnah4960
@lynntrishnah4960 3 жыл бұрын
No matter what the situation my kid first Kalas alaaa
@paulochieng4258
@paulochieng4258 3 жыл бұрын
Gidi na ghost leo mmescore 2/10..hamjamsaidia huyo msichana...she has been left hanging..
@agnesladasha5641
@agnesladasha5641 3 жыл бұрын
Maajabu 🙄 🙄
@Christine-tq8ny
@Christine-tq8ny 3 жыл бұрын
Gidi ,umeharibu 20 minutes bure ,u haven't helped this gal,still this mama surely? How can u disown ur own blood ,moreso a daughter,I feel for u Akinyi,just accepted u don't have a mother,huyu mama hakona roho mbaya Sana,lkn Mungu anaweza ngeuza mambo upate huyu msichana umekataa ndio anaweza kukusadia
@celestine9225
@celestine9225 3 жыл бұрын
My kids first
@emmakyaka_show
@emmakyaka_show 3 жыл бұрын
Huyo Hana roho ya utu
@bw4423
@bw4423 3 жыл бұрын
that a toxic mother ,this lady needs to figure that out n forgive herself for trying to get love from her mother she has nothing to offer her daughter,,woow this is deep shit that can affect the whole of her life,,abandonment by your mother hurts like hell but you can overcome,,,,,
@queenlynne4157
@queenlynne4157 3 жыл бұрын
Huyo mama sielewi Kama ako na akili poa....mbona anaumwa na mschana kuleta mume kumuona?? until now hajatolewa mahali na bado anajigamba???she need delivarance😉
@deborahmoige4476
@deborahmoige4476 3 жыл бұрын
Why mom do this surely??? She is very rude, whatever the case moms should always protect their children, Dota she is humble. Mom's love is always crucial but why try disown juu Dota went for dad. I feel for her.
@phoebemukhwana3058
@phoebemukhwana3058 3 жыл бұрын
Yeah some parents i wonder with did you watch the story on tuko about Phyllis while her was there,, so rude to her
@winnymbula
@winnymbula 3 жыл бұрын
Pole Sana dada mungu anaona Yale unapitia
@naomymose1866
@naomymose1866 3 жыл бұрын
When somebody ask for forgiveness always forgive the person or the sin will remain on you,coz u did forgive, hapa Sasa watu wakisikia mtu amejiuwa, coz she has no one to consult
@christineakinyi2472
@christineakinyi2472 3 жыл бұрын
Hyo msichana anataka bba na mma wakule mahari yke pamoja htki iende hko qwa aunt ake
@ivy9179
@ivy9179 3 жыл бұрын
Walai ata wazazi sometimes utuweka mashakani.....ata bwana ya achieng akaskiza hii story anaeza mchukia bure.anyway n life
@rebeccaamadi6927
@rebeccaamadi6927 3 жыл бұрын
My kids my first priority,,
@wafulaalice5180
@wafulaalice5180 3 жыл бұрын
Walahi huyu mama n moto wakuotea mbali,, Mimi pia nmelelewa na step dad, ,wakati nilitaka kuolewa nilimpeleka huyo bwanangu kwa my step dad penye mamangu yuko sai,,sasa huyu mama Mbona anasema haiwezekani,,bure kabisa huyu Mwanamke, ,hana ata upendo kwa huyu mtoto wake ,,
@loiceomwola7451
@loiceomwola7451 3 жыл бұрын
Mwenye kumuolekea yaan Bwana wa Mamako ndo unamwita mwenye kumuolekea? Kizazi kipya manenos,huyu dem hana hesima ametumia lugha mbaya.
@rebeccaamadi6927
@rebeccaamadi6927 3 жыл бұрын
Forgive her aki,,,nikuchanganyikiwa woolai this girl needs cancelling,, leaving without mother love it's not easy,, so painful, you live like your mom is dead yet she's a live I feel sorry for the girl
@lilianrough6896
@lilianrough6896 3 жыл бұрын
Watching from iraq Baghdad
@fridahmwanzia9921
@fridahmwanzia9921 3 жыл бұрын
Nko Baghdad pia.. City center
@brendaamwaya8543
@brendaamwaya8543 3 жыл бұрын
Dota I feel your pain gal 😭😭
@jacksonmulinge2888
@jacksonmulinge2888 3 жыл бұрын
Pia huyo mama anaitaji kupatanishwa ata kama ako na ukali hipo
@gracemburu6355
@gracemburu6355 3 жыл бұрын
Aiii mum mtoi wako umezaa... dunia ni hard.
@clemencianyaboga8946
@clemencianyaboga8946 3 жыл бұрын
Waluhya na kimila 🤣🤣🤣🤣
@amaa6353
@amaa6353 3 жыл бұрын
Waafrika na kimila
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
Huyo mama anaongea vitu gani
@aishaatashi8326
@aishaatashi8326 3 жыл бұрын
afadhali leo nime rauka kila.siku nawch usiku
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 жыл бұрын
Eeh huyu ni mama kweli
@shanicemasai5589
@shanicemasai5589 3 жыл бұрын
Wow leo nimepahatika sana 1
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 3 жыл бұрын
Wewe mama Mungu anaona yote
@ivy9179
@ivy9179 3 жыл бұрын
Huyu mama though.
@maggiegichana5151
@maggiegichana5151 3 жыл бұрын
Wamama wengine !
@Princess-eq5ei
@Princess-eq5ei 3 жыл бұрын
Hello guys
@ruthbosibori1482
@ruthbosibori1482 3 жыл бұрын
Ndaaani
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 3 жыл бұрын
Kama kura ya nani?😅
@mbnnbm1235
@mbnnbm1235 3 жыл бұрын
Waaah kimila inaniacha mdomo wazi mimi
@deniswafula3847
@deniswafula3847 3 жыл бұрын
Itabidii uzoee
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
👋
@zarabati1750
@zarabati1750 3 жыл бұрын
Kama Kura ya Nani hahahahahaha
@badifamwenyewe8301
@badifamwenyewe8301 3 жыл бұрын
Yes kimila muhimu uyo mama ako sawa
@rosenyambura16
@rosenyambura16 3 жыл бұрын
Mila zingine ni za kishetani 😞
@livingstonewahome9507
@livingstonewahome9507 3 жыл бұрын
You are mad who bewitched that woman also bewitched you
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
Mila inahusiana aje na mama kuongea na mtoto... Umeelewa patanisho kweli huyo dem anadai maongezi tu ata hajasema anataka kuenda kule mama yuko.
@livingstonewahome9507
@livingstonewahome9507 3 жыл бұрын
@@prayerchamber1600 kama ni wewe ungeacha mtoi wako hivyo in the name of kimila no matter wat unaeza b seriouze ma dia unajua damu ni nzito kuliko maji
@prayerchamber1600
@prayerchamber1600 3 жыл бұрын
@@livingstonewahome9507 maybe hujanielewa...
@charitymmbone7611
@charitymmbone7611 3 жыл бұрын
Am here ooh
PATANISHO : NILIKOSANA NA BABA MZAZI 2014
21:04
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 15 М.
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 54 МЛН
PATANISHO : ONGEA KWA SABABU NAONGEA NA NG'OMBE
25:43
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 176 М.
OBUFUMBO OBWENKUKUTU TIBUSOBOKA
14:38
103.5 APEX FM TV
Рет қаралды 678
PATANISHO : MUME WANGU NI MHANYAJI SANA
15:27
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 34 М.
I PAY HIS 80K RENT, FUEL HIS CAR AND SUPPORT HIM FINANCIALLY
21:06
Classic105Kenya
Рет қаралды 55 М.
NYAHUNYO : JIRANI ANACHOMA PICHA KWA MAMA
3:54
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 3,2 М.
PATANISHO : KAMA KUNA MWANAMKE ANANIMEZEA MATE     MIMI NI BWANA WA WENYEWE
12:45
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН