Millicent ana madharau sana hata alifuata jamaa ju ya pesa but hampendi na pia jamaa hana pesa vile alikuwa anaexpect,kama haupendi mtu achana na vitu zake,na Kevin anaongea kama parrot huyo hapana yani hawaendani kabisa kila mtu ajisort vile atamove on ukisikia dem akisema hakupendi ni ukweli hakupendi
@cynthianoanezz94513 ай бұрын
Mimi am here to read comments 😅😅😅😅
@bobomambia70624 ай бұрын
Hawa hawawezi kuishi pamoja. Kelvin anaongea nyingi pia. Millicent ana madharau kiasi.
@VeronicaDunbar4 ай бұрын
Millicent hamtaki hata akipewa na kupokea pesa. Milicent shud not accept or ask for any money. And Vincent shud not send any money or call her for anything. They shud cut ties, kila mtu aishi maisha yake. Na Kevin, acha kumfuatilia, hataaaa ukimpa pesa. Sababu, hakulazimishi.
@Seventhdayadventistsongs4 ай бұрын
Kiburi mingi ikona huyu mama lakini Mungu atamrudisha chini tu
Both of you hamjakomaa , reasoning iko chini yaan mko Tu!!Hamjielewi🤔
@edwinoduor40754 ай бұрын
😢😢 sisi watoto wa bellow 28yrs wanatutusingi wajinga wakishamaliza pesa yetu ama wakishapata kitu walitaka 😔😔😔. Fear ladies 😢
@CynthiaSaula-vz9ek4 ай бұрын
😂😂number 1
@bintiwakwetu13574 ай бұрын
I feel the boy,,,😢ukipenda mtu ni ngumu saana kumuacha..
@Kiwso25254 ай бұрын
Date mjaluo on ur own risk😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@carenmusyoka65193 ай бұрын
Gidi ndungu yangu Mimi na ogopa
@JeizyJeizy-o1g4 ай бұрын
Waaah makubwa
@CarolNjeri-f7j4 ай бұрын
Wah uyu dem n kichwaa alloh😢😅😮
@user-cg3vf2bl6b4 ай бұрын
Siku ingine utaitiwa pesa na uchinjwe ,usicheze moyo WA mtu
@MohammedMohammed-uz4jn4 ай бұрын
Kabisa aki 😢
@VeronicaDunbar4 ай бұрын
True, but same can happen to Kelvin.
@aimablekito4 ай бұрын
❤😂😂😂😂
@Anwar-t4r4 ай бұрын
Ww mwanamke ndio mjinga vipi utakua na bwana na unarafiki njee
@Quilant7494 ай бұрын
Ndio najiliza
@prideofafrica_2544 ай бұрын
Marry your type abeg
@shemmosoti28084 ай бұрын
Mwanaume akitusiwa inakuabni kicheko but kwa mwanamke ni kukosa heshima
@francismutua33164 ай бұрын
am wondering too. mwanamke yeye kila sentence ni matusi lakini inachukuliwa kama entertainment. this is very bad. poor boychad
@stellahokworo39474 ай бұрын
Tuned hata kama ni late 😂😂😂
@jamohoz4 ай бұрын
Millicent taweee
@DENISJUMA-v9e3 ай бұрын
Huyo msichana mjinga
@user-cg3vf2bl6b4 ай бұрын
Mille huku inje nikugumu utafika mahali ata MTU WA kukusalamia hapari mzuri hakuna,na umri utakuwa umesonga hiyo matharau uko nayo utajua sana
@fatuma46ramadhan184 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka yangu yote 😂😂
@rejoycemmbone50494 ай бұрын
Late comers in the house 😊
@rejoycemmbone50494 ай бұрын
😂😂😂😂Gidi eti unafanya nini.....kama wewe unaogopa na mwenye anaishi naye haah
@puritymwendi86763 ай бұрын
Hii ndo maana ctawai olewa mimi
@Cutebree4 ай бұрын
No 2😂😂😂
@briankiprono40834 ай бұрын
Wanaume wajiheshimu saa zingine
@MuhamudYusuf-g4n4 ай бұрын
Ni hamisi sio himisi jifunze kusoma majina.jina yote sio ya kijaluo
@dolfinenyabuto29473 ай бұрын
Huyu mwanamke ndio mjinga kabisa, how comes anatoka kwa ndoa yake anaendea mpango wa kando? How i wish huyo mzee wake ODHIAMBO asikie hii patanisho amfukuze 😂😂😂
@nyarsakwa14924 ай бұрын
This kind of disrespectful talk from the lady ndiyo inafanya wanadada wauliwe, kama hutaki mtu matusi dawe, block na upotee
@susankomu89784 ай бұрын
Imgn akimwabia n mjinga wakiwa pamoja then kichwa iede tutablame jamaa
@brendaokola38934 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂weeeh
@cynthianoanezz94513 ай бұрын
😅😅😅kevin parrot 🦜
@joelmumba93004 ай бұрын
😂😂
@KenyanUnicorn4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 nimecheka nikakufa
@emilyMulama4 ай бұрын
iyo n red flag uyu mwanaume atakuja kusumbua ata wakirudiana akuna doa😢
@beryltammybee91363 ай бұрын
Wanaume wanakosa wakija huku hawasemi ukweli
@MercylineMukasia-nv2cf4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@maxmilla11334 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Quilant7494 ай бұрын
😂😂😂😂😂milly yawa mtu akikuitia pesa huwesi acha, millie ni gold digger